IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA - ''HUO NI USHAMBA''

  Рет қаралды 657,471

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA - ''HUO NI USHAMBA''
MKUU wa jeshi la polisi nchini, IGP Simon Sirro, amefanya mkutano na makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya nchini wenye lengo la kupanga mikakati ya namna ya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza hivi karibuni pamoja na usalama wa raia na mali zake nchini.
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App

Пікірлер: 646
@globaltv_online
@globaltv_online 5 жыл бұрын
JE, una habari ungependa wana You Tube waijue? Tutumie au tupigie WhatsApp No: +255 657 955825 au +255 784 888982 - GLOBAL TV ONLINE.
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 жыл бұрын
Safi sanaaa hii iko poa
@jobboniphasi1161
@jobboniphasi1161 4 жыл бұрын
Mmmmh vzr vzr vzr good good umeleweka kamanda huu mwaka kweli umebadilika siro ni hiyo hasa ndo Kaz yako udumu kamanda jesh lilipotea xana kushabikia wanasiasa komesha siro tunakwamini umeonesha uzalendo wa nchi yako than k u
@eyezarc1239
@eyezarc1239 5 жыл бұрын
Some military values can be seen from this Man..., one clap for him 👏🏿
@distonmwaitumile5955
@distonmwaitumile5955 5 жыл бұрын
Ur the best father
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 5 жыл бұрын
INDEED !!!!
@saidndimbwa4976
@saidndimbwa4976 5 жыл бұрын
For sure
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Nothing!!!!
@clementmwaitebele7687
@clementmwaitebele7687 5 жыл бұрын
This is a statement of commander ...big up..IGP Siro...tumepita National Service Mujibu wa sheria huwa tunawashangaa Sana. Lakini sasa uko super Big up
@habarikazanzibar3667
@habarikazanzibar3667 4 жыл бұрын
Mstaafu, Wanaojua Jeshi wanawashangaa Polisi
@esteredward6980
@esteredward6980 3 жыл бұрын
Dafi
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Sasa Mujibu wa sheria na wewe umecomment🤣🤣🤣🤣
@AhmedZahor-z8e
@AhmedZahor-z8e Ай бұрын
Bora ulivyo wapa ukweli maana hao wanajiskia kweli so masihara
@clementmwaitebele7687
@clementmwaitebele7687 5 жыл бұрын
Una practice Usomi wako ...Graduated Commander big up
@kingkazeba9205
@kingkazeba9205 5 жыл бұрын
Misajawai kuona ushamba kama huo kama nawewe umesikia hilo mwaga like yako hapo
@imamuhemedi4387
@imamuhemedi4387 5 жыл бұрын
king Kazeba
@sharonpaulo8149
@sharonpaulo8149 4 жыл бұрын
Aisee huyu kamanda anajielewa Sana sna sna na anajua maadili na mipaka ya kazi yake Kuna wale makamanda wachache wanao lichafua jeshi kma kushabikia vyama na kulazimishwa watu washabikie chama flani wakat ni kinyume cha maadili ya jeshi hao pia angepita nao hv. Wapo na wanafahamika na hawaachi
@gasperwiliam7712
@gasperwiliam7712 3 жыл бұрын
Asante
@danieljames3017
@danieljames3017 5 жыл бұрын
Kumbe huyu jamaa Ana akili kiasi hiki.👏👏👏👏👏👏👏
@jacklineraymond6487
@jacklineraymond6487 4 жыл бұрын
Uko sahii boss
@jacklineraymond6487
@jacklineraymond6487 4 жыл бұрын
Uko sahihi boss
@lucassamwel5544
@lucassamwel5544 4 жыл бұрын
Ssfi sana siro
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Daniel James hawana lolote hawa wanatuchora
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 5 жыл бұрын
Hamna siku kaongea point kama hapa yani 👏👏 everybody is innocent till proven guilty🙌
@eventelias3566
@eventelias3566 5 жыл бұрын
Absolutely
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 5 жыл бұрын
Very true
@geraldkalima7183
@geraldkalima7183 4 жыл бұрын
Safiii sana mkuu igp ilove you.
@nicolausnicolaus734
@nicolausnicolaus734 5 жыл бұрын
Hata ulipokuwa mwanza ulituongoza vzr kwenye uchaguz mshindi alitangazzwa bila kutumia nguvu siro ni mwamba sana
@sadicktony9725
@sadicktony9725 4 жыл бұрын
Trafic zako mzee wamekuwa wezi deleva wa tanzania ana uhulu wa kuendesha gari nchi yenye siyo yake kuliko kwake
@marrymafwa6458
@marrymafwa6458 3 жыл бұрын
@@sadicktony9725 nadi
@jojoekiza5400
@jojoekiza5400 5 жыл бұрын
Show off sir kweli God bless u. Wakumbuke Tanzania 🇹🇿 inatazamwa na dunia sio local.
@silverman6930
@silverman6930 5 жыл бұрын
IGP you have spoken sense to these dudes
@kiwangodaniel1302
@kiwangodaniel1302 5 жыл бұрын
Kamanda Mimi Ni local people Ila Leo umeongea ukweli kelikweli. Umesoma ukaelimika. Safi sanaaaaa.
@queensadick5910
@queensadick5910 5 жыл бұрын
Umeongea point sana Siro, big up
@alckisndabwia3377
@alckisndabwia3377 4 жыл бұрын
Queen Sadick msigqa Ll Msiigwa
@ibrahimchediel4867
@ibrahimchediel4867 3 жыл бұрын
Big up commender
@boniphacetabu2903
@boniphacetabu2903 5 жыл бұрын
Ukweli ni ukweli na siku zote ukweli unauma na msema kweli hapendwi. IGP uko vizuri JPM hakukosea big up tuko pamoja na wewe tunakuombea sana huku kwetu MWITONGO -MUSOMA
@richardamos5898
@richardamos5898 5 жыл бұрын
Mura amang'ana
@zuhurasebastian5883
@zuhurasebastian5883 4 жыл бұрын
Waambie na mahakama iangalie haki si kuingiza siasa kwenye kazi wananchi wanawatizama waooo
@barakakomondawamollel1965
@barakakomondawamollel1965 3 жыл бұрын
Uyu ndio una msifu
@chalodavid4537
@chalodavid4537 5 жыл бұрын
Surely your good enough to be you SAIMON SIRO
@godmkwama585
@godmkwama585 5 жыл бұрын
Big up kamanda sirro
@sirasisirasibenedict771
@sirasisirasibenedict771 3 жыл бұрын
Dapnd
@sirasisirasibenedict771
@sirasisirasibenedict771 3 жыл бұрын
Joyrz
@francismkenda
@francismkenda 5 жыл бұрын
Mkuu mm tangu nimepata akil ya kujua majukumu ya IGP ilkuwa kipind cha rais Mkapa ila wewe umewazid wotee aisee heshima yako mkuu Sirro
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 5 жыл бұрын
Siro yuko Smart sana! Big up!!
@malangoyaushindi3279
@malangoyaushindi3279 4 жыл бұрын
Amina baba
@omerakisum
@omerakisum 5 жыл бұрын
I like you IGP Sirro....keep it up....very honourable man....you deserve to be IGP.....love and respect you.
@kingsolomon0
@kingsolomon0 3 жыл бұрын
IGP Siro, you are a leader & Manager , thanks for enlightening your juniors on how they should conduct themselves as professional police officers love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@danielhumble4292
@danielhumble4292 5 жыл бұрын
Siku zote madini haya ya speech uliyafichaga wapi kamanda wangu???
@eventelias3566
@eventelias3566 5 жыл бұрын
kweli madini asee
@finiaswanguba7688
@finiaswanguba7688 5 жыл бұрын
Skujua siro unajua kiasi hiki., nimependa sana hii, and am very much proud of you soldier.
@evenievarist9475
@evenievarist9475 4 жыл бұрын
Safi kamanda huo ndio uzalenda wa kijeshi ,"waz,wazi mkuu.
@sayman158
@sayman158 5 жыл бұрын
Dah SIRRO mungu akuongoze na akulinde...very inteligent Officer...unajua ubinadamu baba...
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 5 жыл бұрын
I Understand you very clear, let see what will be the next move comes from reactions
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 5 жыл бұрын
Kweli tunawaona tofaiti sana u a true Mr siro fika pale Hai kunakijana anasumbua sana na kuzalilisha jeshi la pls kisa mkuu wa w
@godsongodson6087
@godsongodson6087 5 жыл бұрын
Jambo Afande!!! Naelewa sana kitu,, CHAIN OF COMMAND,, Mm nilijua mnawatuma kumbe ni maamuzi yao binafsi,,😎😎
@mkalihanzuruni4924
@mkalihanzuruni4924 5 жыл бұрын
Siku zote ukweli haufichwi kwakupaka rangi, Hongera sana IGP Sirro kwautendaji wako mzuri wa kazi pia nakupongeza kwakuwakumbusha makamanda wako taratibu na mipaka ya kazi yao. Kiukweli kuna baadhi ya Makamanda wanapenda saana showoff ili aonekane anachapakazi, Nimefurahi sana kama umeliona hilo!
@rithaurassa
@rithaurassa 4 ай бұрын
Nchi hii inatakiwa tuu watu wanye. HOFU ya MUNGU KAMA HUYU UBARIKIWE KAMANDA MUKUU BARIKIWA SANA
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 5 жыл бұрын
E bwanaaeee Leo umeongea fact kabsa,tushaelewa
@jacksonsendama9458
@jacksonsendama9458 5 жыл бұрын
Hadi Mimi nimekuelewa Daar umeongea point Mambosasa alikua amezidi Kiherehere
@omarymwenemti2945
@omarymwenemti2945 5 жыл бұрын
Mbona kamanda wa dodoma umemsahau.
@walivyojuma7095
@walivyojuma7095 5 жыл бұрын
Namuroto wadodoma hanakiherekihere saaana
@stukiaally4690
@stukiaally4690 5 жыл бұрын
Hongera IGP umewapa ya ukweli wakinuna wawe na sababu!! Daah RPC anaitisha waandishi kumtangaza mwizi wakati hata mkuu wa kituo anaweza!! Lakini kiupelelezi wenzie si watakwenda mbali
@unambwenaiman5355
@unambwenaiman5355 4 жыл бұрын
Safiiiiiiiii Sana waambie Mana Baadhi ya MARPC wameingia kwenye siasa
@Malata_francis
@Malata_francis 4 жыл бұрын
Unaakili Sana Namba yangu iyo +255-744-191-671 unafaa kuwa rafiki yangu.
@stukiaally4690
@stukiaally4690 4 жыл бұрын
@@Malata_francis ahsante
@Malata_francis
@Malata_francis 4 жыл бұрын
@@stukiaally4690 so can you find Me on Whatsap for that my number. Have a good evening. My sister stukia Ally
@princeerick372
@princeerick372 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Mkuu, WORK ETHICS is very important for any organisation
@nelsonrogers8532
@nelsonrogers8532 5 жыл бұрын
Your Totally fit for that Position
@janejames5329
@janejames5329 5 жыл бұрын
NELSON ROGERS perfect
@ibrakadabra8298
@ibrakadabra8298 5 жыл бұрын
Yani kaniosha sana kiongozi wetu IGP sirro kuanzia leo nadumisha kukupenda zaidi na zaidi kukufatilia kazi zako
@mohamedmohamed614
@mohamedmohamed614 5 жыл бұрын
Lakini huyo wa dodoma mhhhhh hapana bora umeongea ukweli mh igp
@mustafagaula3166
@mustafagaula3166 5 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kiongozi mkuu.....! (BIG POINT BRO)
@cpabonnychris6315
@cpabonnychris6315 5 жыл бұрын
This man is very clever, Katika watu wazuri rais wetu aliochagua This Igp alicheza sana ,,hongera mkuu nimeipenda speech yako.
@michaelmwaksole7244
@michaelmwaksole7244 4 жыл бұрын
Hongera mzee hakika umecmama ktk kweli mungu na azidi kukulinda na azidi kukupa maono zaidi big up👊👊👊👊
@shedrackhm2204
@shedrackhm2204 5 жыл бұрын
Professional Police Officer. Nakubali ....
@Sangaadam
@Sangaadam 5 жыл бұрын
Cheo cha uwaziri wa Mambo ya Ndani kingekufaa sana IGP Siro you've Great vision on how to be a Leader.....!!!
@championshahidu2465
@championshahidu2465 5 жыл бұрын
Mh. Magufuli ameonesha kila mtu/kiongozi na jukumu/wajibu wake. Asante Mh.Magu na Siro.
@frashconnect.1
@frashconnect.1 5 жыл бұрын
One of the best Tanzania IGP speech of all time. Big up Police Team. Sema tu tatzo la intelenjensia ya wapinzani life basi, walindwe na wafanye siasa safi. Mkizua watu kuongea, mnatengeneza matatzo. But all the best, siku hizi tunalala bila ata kelele za mbwa.
@akihose9835
@akihose9835 5 жыл бұрын
Wewe upo vzr sna IGP yni umesema ukweli mtupu MUNGU akulinde na akupe Moyo wakusema kweli daima.
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 5 жыл бұрын
Yaani kaka yangu, umeongea ukweli mtupu. Big-up sanaa. Watu walifikia hatua ya kuwachukia mapolisi na magwanda yao ya jango!! Afadhali umeliona hilo, nadhani umeeleweka. Hotuba yako iliyojaa busara imenifanya mwili mzima usisimke kwa furaha. Mungu akubariki IGP wangu.
@beatricelucas1454
@beatricelucas1454 5 жыл бұрын
Nimekuelewa sana mheshimiwa Ongera sana Mungu awe nawe katika kazi yako
@mtatirorotale2119
@mtatirorotale2119 3 жыл бұрын
Mungu akulinde kiongozi siro nasikia raha Sana. Napo onaga viongozi wenye maono naupeo mkubwa Kama huu kizuri zaidi tena hupatikani Kanda yaziwa japo watu kuambiwa ukweri huchukia Ila Acha wambiwe ukweri magufuli mungu akulinde nakukupa maisha malefu mungu ibariki Tanzania nawatu wake wote
@isaackiwelu1458
@isaackiwelu1458 5 жыл бұрын
Tell them Sir, I suspect is innocent till proven guilty by the law. This habit of show off it's only in Tanzania. Mostly by the police .it's a big shame shame shame.
@sospetermartin9811
@sospetermartin9811 4 жыл бұрын
That is very important Mr Simon siro they should be looking differ as a mirror of a society
@shantungamaumba7159
@shantungamaumba7159 4 жыл бұрын
Your the really IGP the Republic including myself will have a pleasant night. May God bless your and protect your position. Big up
@isayasewe7296
@isayasewe7296 5 жыл бұрын
Nakukubari sana MKUU SIRO.MUNGU AKULINDE MKUU WETU.
@robertakello1666
@robertakello1666 5 жыл бұрын
I appreciate your wisdom Mr IGP
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 5 жыл бұрын
I G P nimemwelewa Sana big up Mzee kwa kusema ukweli
@allanmedi1333
@allanmedi1333 5 жыл бұрын
For sure Mr nyakoro u deserve this position bro,enokwi agwitabhiri kaka
@canaljamali9036
@canaljamali9036 5 жыл бұрын
Dodoma,dar,arusha umewapta apo salute kwa IGP
@ramadhanhassan4188
@ramadhanhassan4188 5 жыл бұрын
Siro uwaga nakuku bari sanaaaaaaaaaaaaaaa safiiiisana father ake
@aloyztv8434
@aloyztv8434 4 жыл бұрын
Your right
@barickprogrammer
@barickprogrammer 5 жыл бұрын
Yes SIR...big up
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 жыл бұрын
Umeongea maneno kuntu kbs hongera mkuu kazi njema
@lordrichreuben1446
@lordrichreuben1446 3 жыл бұрын
Safiiii I.G.P.Ww ndyo boss wao watakuelewa sisi hawawezi kutuelewa,point kamanda unatakiwa uwe smart na ujue kufaa unform kulingana na wakati. safiiii sana
@irenepeter8702
@irenepeter8702 4 жыл бұрын
Safi sana makamanda ichi ni kubwa kuliko chama
@sakayamolel5167
@sakayamolel5167 4 жыл бұрын
Mweshimiwa mungu akulinde
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 жыл бұрын
kweli hii ni tanzania mpya hata sifa pia hazitakiwi hahahahah safi I.G.P wetu
@tecnof1232
@tecnof1232 5 жыл бұрын
Siro sawa! Lakini kama viongozi ni vyema kuitana na kukosoana vikao vya ndani, is shame for soldiers to coflict or contempt between them before public, it is mistake! Hakuna aso kasoro! > fr. Paje S.Ung. Z'bar
@amandusmark3060
@amandusmark3060 5 жыл бұрын
Ofcourse sio sawa saana maana hawa watu wote muhimu sana., Sema uckute washaambiana mara kadhaa ndani bila mabadiliko.
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Mambosasa Ni mzuri kanisaidia sana mambo yangu
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 5 жыл бұрын
Safi sana kamanda leo umeugusa Moyo wangu safi
@maxlupapa4468
@maxlupapa4468 5 жыл бұрын
mm najua siku zote watu makini mpo
@godfreymhochi6206
@godfreymhochi6206 5 жыл бұрын
safi sana mkuu proud of Mara regions proud of tanzania
@freshtiff1265
@freshtiff1265 5 жыл бұрын
IGP SIMON SIRRO NAMKUBALI SANA HUYU KAMANDA 🙌🏻🙌🏻 YAANI ANAENDA SAMBAMBA NA UONGOZI WA MH.RAISI HAPINDISHI MANENO .. HALAFU SIKU ZOTE ANAONGEA POINT TU 🇹🇿 🙌🏻🔥
@ebenernnko3339
@ebenernnko3339 5 жыл бұрын
Safi hapa kidogo unaturudishiya moyo kuwa tuna IGP mwelewa vizuri lkn shida ya jeshi liko linaendeshwa na wanasiaasa
@eventelias3566
@eventelias3566 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishie hekima kiongoz..Simon Sirro our IGP
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 4 ай бұрын
Ila alipelekwa Dar Mara zote watenda haki wanaandamwa na wasiopenda haki❤❤❤❤❤bigup Sirro
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 5 жыл бұрын
Binasfi tangu nikufahamu ukiwa Mwanza sijawahi kuwa na shaka juu ya utendaji wako. You are very very smart, umesema RPC wanapotumia jukwaa la jeshi la Polisi kufanya siasa hunufaika wao binafsi lakini hapohapo jeshi hubaki limechafuka na kuzalilika kwa kiasi kikubwa sana! Uko sawa kabisa. Tangu kuanza kwa utawala huu ndiyo kuliibuka haka katabia ka ma RPC kufanya siasa za wazi mbele ya camera saaa mimi nikazani labda na hiyo nayo ni moja ya ajenda za utawala wa kipindi hiki na labda na wewe kama IGP labda unaridhia huo ujinga kumbe ulikuwa unakeleka kiasi hicho! Hongera sana mzee wangu IGP Siro natamani katiba ya nchi kama ingekupa nguvu zaidi ya hizo ulizonazo.
@hamismnyaya1276
@hamismnyaya1276 5 жыл бұрын
Rock City Native unadhn tatzo liko wapi mpaka wameamua kupiga siasa?
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 5 жыл бұрын
hamis mnyaya Mimi sielewi lakini huo ujinga ambao IGP Siro anaupiga vita ulianza baada ya 2015 labda hapo tusaidiane kuumiza kichwa kujua nani ni chanzo Ila mimi tangu mwanzo nilikuwa simuhusishi kabisa mzee wangu kamanda Siro na huo ujinga na leo kadhirisha wazi hayuko pamoja na ujinga huo.
@hamismnyaya1276
@hamismnyaya1276 5 жыл бұрын
Rock City Native Ndugu short and clear kwenye maisha ukiona mtu ana kiburi, majivuno, dharau, kujiona na mengne meng ambayo sio mazuri jua nyuma ya pazia ana vitu vinavyomsukuma au anawatu fulani wanaompa nguvu ya kutenda na kufanya lolote. Mfano anaweza akawa na pesa, elimu, mafanikio, madaraka na n. k, Tafakar hii kauli sijaongea then naamin utakua umenielewa.
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 5 жыл бұрын
hamis mnyaya Exactly
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 4 жыл бұрын
Umeongea point baba mda mrefu nimekuamini ni mwadilifu sana
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 5 жыл бұрын
IGP hii spech ya leo ndio nimejua kumbe ilo jesh liko na standard km ya europe. Ila usipiqe kelele sana mkuu askari wenu wenqi mnaajiri kw kujuana na sio kw viqezo va elimu
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 жыл бұрын
Ahsante Afande kwa Elimu
@innocentsmartbarnabas7597
@innocentsmartbarnabas7597 5 жыл бұрын
Babaa ulikuwa wapiii mudaa woteeee.....Mbona unaongea vituuu Konkiiiii afandee DA aah....Salute mkuu
@emmanuelwilson482
@emmanuelwilson482 5 жыл бұрын
well said Commander
@athmanissa9264
@athmanissa9264 5 жыл бұрын
Kweri kamanda cheo ni dhamana mungu akuongozeee simamia kwenye ukweri
@mbegesdigita5182
@mbegesdigita5182 5 жыл бұрын
Kamanda kama kweli unanena kutoka moyoni uko vizuri
@ausonjustinian5494
@ausonjustinian5494 4 жыл бұрын
Asante boss. Ni vzr kumwamsha alie lala. Akilala sana atakoroma atachafua na hali ya hewa. Asante Magu raisi muona mbari.
@nassoroiddy4684
@nassoroiddy4684 4 жыл бұрын
Safi Sana kamanda sirro. Anachofanya Mambo sasa si sawa
@jacksonmchongoma7330
@jacksonmchongoma7330 4 жыл бұрын
Big up mkuuu ,,,,,,wakumbushe mipaka yao maana kila kukicha wanamaliza mb zetu kwa manyanga tuuu
@abdallaabeid4251
@abdallaabeid4251 5 жыл бұрын
Well said IGP👏
@ebaraniathomas4750
@ebaraniathomas4750 5 жыл бұрын
kwakweli kamanda Siro upo vizuri nimekuelewa sana polisi wengi wamekuwa wakiwaonyesha watuhumiwa kabla ya upelelezi na pengine siyo mwizi mungu akupe miaka mingi
@officer1208
@officer1208 5 жыл бұрын
Some Dudes wataona kama you hate them but truth never die. Moja kati ya watu makini sana hapa TZ.
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 5 жыл бұрын
Kamanda wako hakikosea Mwandikie Barua Au Muite Ofisini ili kulinda Nidhamu kwa Jeshi Letu Nakukubali ila hapo Sijaipenda hiyo Afandeeeee wangu
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 3 жыл бұрын
Nakupenda saana silo mungu wa mbinguni akubariki naakufishe mbali
@abelwilliam7329
@abelwilliam7329 5 жыл бұрын
IGP siro Mungu akulinde big IP sans👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@renatusmushi3117
@renatusmushi3117 5 жыл бұрын
IGP upo sawa hongera kila cku umekuwa ukioñgea point
@nyamilimakagoma720
@nyamilimakagoma720 5 жыл бұрын
mzeee nakupenda sana ....you are perfect
@minjacsd1874
@minjacsd1874 5 жыл бұрын
Unazungumza manyanga manyanga ni Zaid ya kuongea pumba yani tahira nimekuelewa kamanda siro
@jamesnjuu881
@jamesnjuu881 5 жыл бұрын
Haaa,wagonge!!
@salumkilongoji5912
@salumkilongoji5912 2 жыл бұрын
Namshauri mama asikutoekazini. Maana unakaribia kustaaf.pls tunaomba uongezewe muda..
@Phonce-ei2pn
@Phonce-ei2pn 4 жыл бұрын
Safi sana
@eaglecrown3872
@eaglecrown3872 5 жыл бұрын
Ni kweli speach nzuri ila mimi sizani kama tulipaswa kujua habari za hicho kikao maana sio vikao vyote ni vya kutuonyesha sisi
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 5 жыл бұрын
Yaap hat mm nldhani hvyo
@zubeirkhamisabdallah9627
@zubeirkhamisabdallah9627 5 жыл бұрын
Mashaalah kamanda ww ni really police officer na unajua wajibu wa police na kazi yake ongera mkuu
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Zubeir Khamis Abdallah ,Ongea kamanda wetu,hao wanaojidai ni miungu watu,Makamanda watendahaki waliopita Omar Mahita,Seleman Kova,Rashid Hemed,hoyeee!!!
@tkmedia3939
@tkmedia3939 3 жыл бұрын
Very correct... Mkuu
@methodatanas7338
@methodatanas7338 3 жыл бұрын
Kamanda upo sawa tunadharirishwa sana asante kwa hilo
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Huyu kamanda. Salute for you
@dafamagogo583
@dafamagogo583 5 жыл бұрын
Nimekuelewa uko vzr uani nimesikiriza mpakamwisho ukojuu mkuu
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 3 жыл бұрын
Hiyo ndio Title ya kuwa IGP nimependa uwezo wako wa kufundisha. .. Kama RPC unapozunguza unatakiwa kujipanga. . Upo sawa 100%.
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 4 жыл бұрын
Safi.
@blessjo1678
@blessjo1678 3 жыл бұрын
Kwa Mara ya kwanza nimeikubali polisi na ni kwa Ajiri ya speech yako Sirro...maana wanatunyanyasa sana mtaani na kutudhalilisha bila ushahidi
@labanhezekiel5627
@labanhezekiel5627 3 жыл бұрын
Nice
@hamilhassan9464
@hamilhassan9464 3 жыл бұрын
Mzee umeongea point sana sana sana leo kwanza wa dodoma kazidi sifa
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 5 жыл бұрын
Amen Amen. Mungu awape hekima yake.leo nimekuelewa. Mungu atusaidie .Amen.
@morgankalima5824
@morgankalima5824 5 жыл бұрын
This is a real policeman officer very intelligence keep it up.
IGP SIRRO - ''JIANDAENI Kutafuta IGP MPYA, Muda Wowote KIKILIPUKA.....''
7:14
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 191 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 125 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
MAGUFULI AMPIGIA IGP SIRRO LAIVU AKIWA POLISI, AMTUMBUA OCD!
11:16
Global TV Online
Рет қаралды 322 М.
IGP SIRRO AWASIMAMISHA MAKAMANDA "MSIPOJIBU NAWATENGUA"
6:16
Millard Ayo
Рет қаралды 116 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 191 МЛН