IGP SIRRO - ''JIANDAENI Kutafuta IGP MPYA, Muda Wowote KIKILIPUKA.....''

  Рет қаралды 703,248

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

IGP SIRRO - ''JIANDAENI Kutafuta IGP MPYA, Muda Wowote KIKILIPUKA.....''
MKUU wa jeshi la polisi nchini, IGP Simon Sirro, amefanya mkutano na makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya nchini wenye lengo la kupanga mikakati ya namna ya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza hivi karibuni pamoja na usalama wa raia na mali zake nchini.
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App

Пікірлер: 543
@globaltv_online
@globaltv_online 5 жыл бұрын
JE, una habari ungependa wana You Tube waijue? Tutumie au tupigie WhatsApp No: +255 657 955825 au +255 784 888982 - GLOBAL TV ONLINE.
@jumalula7516
@jumalula7516 5 жыл бұрын
Global TV Online group LA whatsap tuunge kwa namba 0753544644
@elvirareonard2520
@elvirareonard2520 5 жыл бұрын
Niunge group 0757380439
@shammahlupon7945
@shammahlupon7945 5 жыл бұрын
Askari wajifunze hekima ya kamanda siro
@jamarybaranyikwa8941
@jamarybaranyikwa8941 3 жыл бұрын
hakika kiongozi igp Siro hekima uliyonayo unaweza ukawa kiongozi yeyotehapa t.z
@abdukarim7012
@abdukarim7012 3 жыл бұрын
wapelelezi wamajarada ndio wanavunja sanna Sheria baada wapeleleze kisomi wao nikupiga mtuhumiwa eti anampiga halafu anamuliza simu ikowapi? Kazi tenu nikulinda sheria ibara ya ishirini kifungu cha 11 kinasema nikosa polisi kumpiga mtuhumiwa anapokuwa kiziwizini au mikononi, na hamujali munapiga tu hakuna aliekuwa juu ya sheria,
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 5 жыл бұрын
HII HOTUBA UNAWEZA KUNYWEA CHAI, UKALIA NA UGALI MCHANA, UKALIA NA DINNER USIKU NA ISICHACHE. YOU ARE VERY CRITICAL IGP.
@peterhhatisnay6616
@peterhhatisnay6616 4 жыл бұрын
Big up
@mahingilasambichuma1369
@mahingilasambichuma1369 3 жыл бұрын
Ukweli mchungu lakini wenye tija.
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 3 жыл бұрын
Mmhhh!!
@rithaurassa
@rithaurassa 4 ай бұрын
Mungu akulinde na utumishi wk .Kweli IGP SIMON SIRRO WEW UNAFAA SAN KWENYE HII NCHI NIMEJARIBU. KUKUSIKILIZA SAN UNAPOIT YAKULINDA UTU.WENGINE WANGEPATA CHEO CHAKO WANGENYANYASA SAN WATU. HONGE SAN MHESHIMIWA.
@mohamedmohamed614
@mohamedmohamed614 5 жыл бұрын
Huyu mzee anahuruma saana na anauoga wa mungu na ni mkweli wala hatafuti kiki respect mkuu viva igp siro
@frankjohn8570
@frankjohn8570 5 жыл бұрын
Mohamed Mohamed polisi kumuogopa Mungu ni aghalab,aweza kuogopa kwa maneno lkn matendo yatajielezea, hata Bwana YESU alionya polisi kuhusu kuwashtaki watu kwa uongo,,isivyohaki, kwahiyo polisi wa kupiga wa kamata mwiz men, wa barabarani kutenda haki ni kwa kupapasa sana, labda wanajeshi walinzi TAIFA hao watakuepo wengi mbinguni mana ni wanyenyekevu na wanatumia fani yao kwa haki, kupiga kura kuharibu kjjenga kulinda kwa haki si kuonea, na hufanya kwa kufuata amri, hawaombi rushwa wala kutengenezea mtu kesi mbaya au kumtia hatiani asie na kosa, wala kufyatulia risasi RAIA wasio na kitu mkononi eti kwavile wako mob,so utu wema kwa polisi upo kwa wachache kama huyu lkn sio wengi
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Ww hujui chochote broo, Jeshi la wananchi na polisi majukumu yao ni tofauti, na Kama ikitokea wamebadilishana majukumu hata kwa wiki moja tu hautarudia kuzungumza hivyo tena.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
@@akshaydavid159 mimi zamani nilifkiri jeshi ndio wabaya. Kumbe sivyo kabisa. Ishi NA wanajeshi uone utu wao ni wa hali ya juu. Wanamafunzo kabisa. Lakini askari🤔. Akipewa buku TANO tu kishakugeukia NA utaisahau haki yako. Sababu wengi wao wameokotwa njiani wakapewa kazi bila kujielewa. Fahari yao ya kishamba kuwa anataka kujuana NA mkubwa flani. Im sorry huo ndio ukweli. NA jeshi ataeiga raia basi nafsini mwake ana tatizo ila hapewi mafunzo hayo.
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa. Huyu jamaa hatafuti makuu.
@bahatifrank4869
@bahatifrank4869 5 жыл бұрын
Leo nimejifunza kitu kibwa sana kwa IGP kumbe kuwa àskari au kiongozi ngazi yoyote sio lazima utumie sauti ya vitisho ili ueleweke. Mkuu Mungu akutie nguvu sana. Ndugu zangu uliye mwelewa Mkuu gonga like
@betyjohn2556
@betyjohn2556 5 жыл бұрын
Nimemkubali SIRO
@ibrahimdavid6219
@ibrahimdavid6219 5 жыл бұрын
Kauli ya ukali ufundishi mtu bali unatengeneza kuogopwa na ukiogopwa katika uongozi uwezi pata mema mengi ya kiutendaji#
@saloomidd1084
@saloomidd1084 5 жыл бұрын
Huyu mzee yupo vizuri sana upstair ukilinganisha na wengine ndio maana hana majivuno ya ajabu.
@imamuhemedi4387
@imamuhemedi4387 5 жыл бұрын
BAHATI FRANK
@nighanilehenry2818
@nighanilehenry2818 5 жыл бұрын
Said sana
@wickama
@wickama 5 жыл бұрын
Afande Sirro stay blessed. M/Mungu alisema kwamba kwa yule anayemjaalia HEKIMA basi huwa amemjaalia kitu ADHIIM sana. Mshukuru M/Mungu kwa kukujaalia hekima
@jeromendetaulwa3466
@jeromendetaulwa3466 5 жыл бұрын
IGP SIRO una busara sana Mungu akulinde unafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 4 жыл бұрын
Waxiri wa mambo ni cheo Cha chini kwa IGP, Kama ulikuwa hujuwi
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
@@kaisarimbisso7579 kweli
@stevebupamba5009
@stevebupamba5009 5 жыл бұрын
Big up....hawa ndio viongozi wanaotakiwa, kazungumza ukweli...facial expression yake inasema kweli. " Sote hatuwezi kuwa ma IGP" kila mtu anapewa kwa nafasi yake. Tunawapenda jeshi la Police umoja wenu na ushirikiano wenu utatufanya tusonge mbele. Kikubwa Mungu ahusike na kazi zetu. Hongera Mzee Siro....Umeongea vema i like it.
@ramadhansylvesta1952
@ramadhansylvesta1952 5 жыл бұрын
dah! nimependa sana busala za mzee sirro, Safi sana
@bakariamraniamran8404
@bakariamraniamran8404 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mkuu
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 жыл бұрын
HONGERA DADY UNACHAPA KAZI SIO KITOTO. Uishi miaka mingi inshaallah 🙏
@nassorsuleiman4630
@nassorsuleiman4630 5 жыл бұрын
Munira Ahmed it's good like that!
@mwawiyaomari3796
@mwawiyaomari3796 5 жыл бұрын
Munira Ahmed nimekupenda bure
@jahabdallah1829
@jahabdallah1829 5 жыл бұрын
Mambo dada???unajitaidi kila kona uko ongera m south Africa jah
@amriseleman9395
@amriseleman9395 4 жыл бұрын
Sana Munira uko sahihi
@mustaphyassin9743
@mustaphyassin9743 4 жыл бұрын
Munira nicheck kwa whatsApp 0771725442
@bestonmfikwa8510
@bestonmfikwa8510 5 жыл бұрын
Aisee!!! Huyu jamaa ni shida. Nampenda sana
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 5 жыл бұрын
Kiongozi MZURI SAAANA HUYU asante saaaaana mpendwa mkuu wa jeshi la police tz
@mahmoudabdallah4533
@mahmoudabdallah4533 5 жыл бұрын
uko sahihi
@amrizuberi3830
@amrizuberi3830 3 жыл бұрын
Jaman huyu ndo kamanda
@kingcobra9238
@kingcobra9238 5 жыл бұрын
Salute salute salute IGP kwa point zinazotujenga kua cheo ni dhamani long life mr.IGP
@thegreatsource2953
@thegreatsource2953 4 жыл бұрын
Safi sana IGP, siyo wote wanaweza kuwa Viongozi kwa wakati mmoja. Waliochini tafadhali wachape kazi wakati wao ukifika watateuliwa pia Mipango ya Mungu ikitimia. Big up IGP👏👏👏
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
IGP, mkuu wa police Tanzania.. ni kiongozi bora sana..nampenda huyu mkuu yuko makini sana..nimejifunza mengi kutoka kwake..
@pastorchristopher758
@pastorchristopher758 4 жыл бұрын
Nimekupenda hufanani na asikar wengine wanabakia nivitisho tuu nimekupenda.
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 3 жыл бұрын
Asante sana kiongozi, AGP Sirro that is a good speech, MUNGU alibariki jeshi letu la police.
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 5 жыл бұрын
Asante kamanda sirro we ndio igp safiiiiiiìiii
@maembelaurent970
@maembelaurent970 4 жыл бұрын
Safi sana mkuu
@nassorrashidynassorrashidy7272
@nassorrashidynassorrashidy7272 4 жыл бұрын
Safi sana ww ni binadamu na nikamanda mwenye hekima mungu akuongeze ivyo ivyo
@ibrahimdavid6219
@ibrahimdavid6219 5 жыл бұрын
Among of gud leaders in our country congratulations I real like a leader like Siro utamchukiaje kiongozi km huyu Mungu aendelee kukupa hekima mkuu#
@audaxkasindo9016
@audaxkasindo9016 5 жыл бұрын
Kamanda siro uwa nakuami ikwa utendaji wakazi mungu akusimamie kwa utendaji wa kazi ongera mzee siro
@paulbwanana7886
@paulbwanana7886 5 жыл бұрын
Safi sana baba piga kazi ,hasa ukimtanguliza Mungu mbele ukijua kwamba ndiye alie kuweka kwenye nafasi hiyo wewe ni mtumishi wake Amen
@ngaosedekia4897
@ngaosedekia4897 5 жыл бұрын
Blessed
@danielpius14
@danielpius14 5 жыл бұрын
You're a super man , good speech
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 3 жыл бұрын
Safi sana Sirro hongera ndugu yangu.
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 4 жыл бұрын
Nice speech IGP may God protect u n do all that is right
@fightermoshi5921
@fightermoshi5921 5 жыл бұрын
👏💚 afande wangu uko vzr IGP
@yunusali9514
@yunusali9514 4 жыл бұрын
Asante mkuu,upo vizur sana,
@nasrimhagama5958
@nasrimhagama5958 4 жыл бұрын
God Bless you
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 4 жыл бұрын
Mashaalah huyu mzee anatamani kustaafu kwa heshima,hataki Tanzania iingie kwenye machafuko.tunacho waomba vyombo vya dolla mkae pembeni na siasa.
@omarikibula7115
@omarikibula7115 5 жыл бұрын
Leo umeongea maneno ambayo sikutegemea utakaa uyaseme insha allah tunategemea mabadiliko ktk utendaji ukweli nikwamba jeshi la polisi nikimbilio sana mwanzo wahaki kwa wanyonge. Kwa hotuba hii naomba tuiombee nchi yetu sheria zifuatwe sio maagizo yawatu imefika pahala mpaka baazi yaviongozi wa ccm wanasema jeshi la polisi nilao wapinzani nanyie tafteni lenu. Yote hio ilitokana na baazi yapolisi kufanyakazi kinyume nasheria inavyo wataka kutokana nataaluma zao. Wakati sisi wananchi tunatakiwa tuwekaribu na maafisa wetu wapolisi ili tuweze kuwa taarifa pale mtu unapoona jambo la uhalifu linataka kufanyika ukibahtika kujua maramoja bila kuchelewa upige simu polisi na tujitahdi watu wote tupende kuzisevu namba zasimu za jeshi letu lapolisi. MUNGU IBARIKI TANZANIA mana kunamvurugano kidogo na hotuba kama hii yaleo ya IGP siro nisehemu ya matibabu
@imamuhemedi4387
@imamuhemedi4387 5 жыл бұрын
Omari Kibula
@abemampya2871
@abemampya2871 5 жыл бұрын
Namkubali sana IGP Sirro. Yuko vizur hakika anasema ukweli
@faidamasegenghe3379
@faidamasegenghe3379 5 жыл бұрын
Nimekuelewa sana IGP SAIMON SIRO
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 5 жыл бұрын
Mkuu wasaidizi wako wanatusaliti wananchi wengi wenu mnatumikia CCM mnajisahau kuwa mko kwaajili ya watu awe ccm au upande mwengine.
@josephmateru8892
@josephmateru8892 5 жыл бұрын
Nimekupenda Bure Kamanda Du Mungu Hakuweke Maisha Kweli Mafupi 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@ipyanahudson7515
@ipyanahudson7515 4 жыл бұрын
I like your point chief camander
@lairumbelaizer4429
@lairumbelaizer4429 4 жыл бұрын
Great, huu ndiyo uongozi firm & and fair
@barakamtui8198
@barakamtui8198 4 жыл бұрын
Upo sawa kamanda siro
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 4 жыл бұрын
"Maafsa Wenzangu,maaskari wenzangu, na Nduguzangu." Naipenda sana kauli hii. Hongerasana unajitahidi kuifanya jeshi linaenda na wakati.
@abubakaryomary3985
@abubakaryomary3985 4 жыл бұрын
Nimekuelewa afisa mwezangu
@simonchambo1230
@simonchambo1230 4 жыл бұрын
Good speech indeed you deserve to that position God bless you with that kindness heart.
@barakarobert1029
@barakarobert1029 2 жыл бұрын
Hongera sna ulijua haya yaliyo tokea leo baada ya jpm kufa asante kwa kaz nzuri
@suleimanmmingange2983
@suleimanmmingange2983 4 жыл бұрын
Sina cha kukupa baba sema sema ukweri babaaaaaa!!.
@saidihilinti6919
@saidihilinti6919 4 жыл бұрын
Kiukweli nikiwa raia wk Allah akutangulie kwa imani yako kwa huruma yako kwa hayo ullio yasema yamenikuna yamenifanya niwe mnyonge mno mzee wetu kwani uko very very nice saluti mungu akutangulie ktk Yale magum kwako ayafanye ayafanye yawe rahis na matam 🙏🤝
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 3 жыл бұрын
Nakupenda sana KAMANDA Sirro
@tunumadiba824
@tunumadiba824 3 жыл бұрын
Big up Sirro ,IGP,,, nakufahamu vzr ,,ni mtu mwema sana na mtenda haki itendeke,,kweli unapendwa sana na watu wengi ,,Mungu akulinde
@evelinerichard7631
@evelinerichard7631 5 жыл бұрын
nimeipenda speech yako Mkuu
@mcmapunda5837
@mcmapunda5837 4 жыл бұрын
Nimekuelewa mungu akulinde sana amina
@oscarmosha383
@oscarmosha383 4 жыл бұрын
Sikuwahi kujua Kama unahekima kubwa NAMNA hiyo mzee siro mungu akulinde Sana
@iddiali8057
@iddiali8057 5 жыл бұрын
SIRRO IS EXTRA ORDINARY MAN
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 5 жыл бұрын
Watanzania tunayo mazoea ya kusifia hata mtu akijinyea. Eti Sirri ni extra ordinary. Atupatie majibu nani wanatena, wanapiga na kuwaua ndugu zetu ndio tumpatie jina la extra ordinary. Hata kama Rais na wakuu wa vyombo vya usalama hawashitakiwi hapa Tanzania kwenye vyombo vya kimataifa watashitakiwa tu. Wao waendelee kuwaua wapiga kura kwa kujipa moyo kuwa hawatashitakiwa ila wajue kesi zote za kupiga watu, kuteka na kuwaua Watanzania ziko ICC na mhusika mkuu ni Rais na Mkuu wa Jeshi la Polisi. Ndugu zetu wameuwawa, wamepigwa na kufunguliwa kesi za uongo na wahusika wakuu ni Rais na Mkuu wa Jeshi la Polisi. Watapanda Mahakamani hata kama miaka kumi ijayo.
@mayungamboi9753
@mayungamboi9753 4 жыл бұрын
@@evansmlalo4049 nmekuelewa Sana mkuu mungu akubariki🙏🙏🙏🙏
@stevengaspa1567
@stevengaspa1567 3 жыл бұрын
Wajinga niwengi amesha fanya fanya ujinga leohanaongea ujinga wakipumbavu
@veronikadalali7251
@veronikadalali7251 3 жыл бұрын
Namwelewa sana Siro ndug yetu huyu kasaidia vijana wengi hapa Kyabakar
@mashakashobo979
@mashakashobo979 4 жыл бұрын
Uncle umejaa hekima sana huna mambo ya kujimwambafai pamoja na kuwa na cheo Cha juu kabisa,,,MUNGU akuongezee maisha malefu na yenye baraka tele,,,
@barakandugu7283
@barakandugu7283 4 жыл бұрын
Safii san mkuu wetu
@jumannesaid4873
@jumannesaid4873 5 жыл бұрын
Nilikua nampenda kabla hajawa IGP huyu mzee yuko makini sana
@shabanmohamed1545
@shabanmohamed1545 5 жыл бұрын
Mkuu ,mungu akujalie hekma na busara ,kwani hii dunia tunapita tu.
@frankkaiza3658
@frankkaiza3658 4 жыл бұрын
Safi cn kamanda siro umeongea vzr mnaweza mkawa 10 lakini akatokea 1 ili aongoze wengine ubalikiwe!!!!
@hapakazitu7364
@hapakazitu7364 5 жыл бұрын
safi baba ndo maana nilitabili kuwa hivyo . niliamini utakuwa best IGP toka ulivyokuwa operation Tanzania
@emmanuelmarco9789
@emmanuelmarco9789 5 жыл бұрын
My igp GOD bless u
@azizamir1944
@azizamir1944 4 жыл бұрын
Good speach
@emmanuelsovellah5521
@emmanuelsovellah5521 5 жыл бұрын
Wewe ni IGP kweli kweli respect to yuu boss wa police
@hamzasaidi3055
@hamzasaidi3055 5 жыл бұрын
Big up IGP. Very good presentation
@vickngowi2779
@vickngowi2779 3 жыл бұрын
SiRRO wangu nakupenda bure unabusara sana baba😍😍
@hussenimiraji8998
@hussenimiraji8998 5 жыл бұрын
Siro nilichogundua wewe ni mcha Mungu maneno yako yananiumiza sana
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 5 жыл бұрын
Kweli aiseeeee
@bluebeamkennel9266
@bluebeamkennel9266 5 жыл бұрын
Siroooo....nifanye nini ujue nakuamini na tunakuamini???
@rukayarabii1449
@rukayarabii1449 5 жыл бұрын
Asante Afande Sirro
@Bam268
@Bam268 5 жыл бұрын
Mpe mchezo
@issamsuya583
@issamsuya583 4 жыл бұрын
alvin msoffe 😁😁
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 4 жыл бұрын
@@Bam268 hhhhhhh, nimecheka xnaaa
@calvinarichard666
@calvinarichard666 3 жыл бұрын
Napenda sana kiongozi anae zungumza ukweli
@fadhilimfalamagoha2682
@fadhilimfalamagoha2682 5 жыл бұрын
Raisi hakukosea kufanya uteuzi wako, well understood speech
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 5 жыл бұрын
Wewe unafaa kuwaraisi mwenyezimungu akufikishe hukokwenye uraisi
@merickymangula5156
@merickymangula5156 5 жыл бұрын
Very professional mzee kaongea vizuri sana
@mwinyimwimbe8842
@mwinyimwimbe8842 5 жыл бұрын
Nimemuelewa sn AGP
@jumakapesa726
@jumakapesa726 5 жыл бұрын
Hazina ya Taifa. Hekima iliyohifadhiwa
@janethyona1361
@janethyona1361 5 жыл бұрын
Mungu akubarikie IGP sirro kwa kauli zako kila kitu Mungu anampa MTU kwa wakati wake huu ni wakati wako, pia nikupongeze kwa mwongozo wako kwa Ma RPC naomba waufuate jeshi lihaheshimika pia nishaur vyombo vya dola imean polisi waachane na media sbb media zinapunguza umahili wa jeshi mnajikuta hata kaxi ya upelelezi inawapashida sbb plan zenu au operation zenu mnaziweka wazi mno. Mungu ibariki Tanzania
@afidhusultan4967
@afidhusultan4967 5 жыл бұрын
Kamanda wangu siro nakukubali sana zaidi ya sana mungu akupe umri mrefu
@tusajigwekanemela4784
@tusajigwekanemela4784 4 жыл бұрын
MZEE umeongea kwa hekima sanaaaaaaaa
@blessjo1678
@blessjo1678 3 жыл бұрын
One of the best....super genius IGP
@dsouzamaguno7006
@dsouzamaguno7006 5 жыл бұрын
Well Say Mkuu
@imanmwamasage9366
@imanmwamasage9366 2 жыл бұрын
Hongr kamanda siro
@conasmalale1073
@conasmalale1073 5 жыл бұрын
you have strong point
@yusufurajabuomari647
@yusufurajabuomari647 5 жыл бұрын
Pain 😫
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 5 жыл бұрын
Asante mkuu ushauri wKo
@mohamedbinfadhil1396
@mohamedbinfadhil1396 5 жыл бұрын
IGP wa kwanza kusikia anaongea openly na makamanda kwa ukubwa wa speech hii nakupa salute sirro.
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 5 жыл бұрын
I salute him very nice speech
@lucasmkui3160
@lucasmkui3160 5 жыл бұрын
Yes sir good vision, good focus commander please sir take again your binocular look at Zanzibar slowly.
@daudimwanandenje8058
@daudimwanandenje8058 5 жыл бұрын
good
@jacoblaiser7634
@jacoblaiser7634 3 жыл бұрын
Maneno makubwa na mazito, tena ya uwazi mkubwa. Hongera Kamanda Siro., huu ndio uongozi shirikishi na utawala wa kisheria
@richardchibuga302
@richardchibuga302 2 жыл бұрын
Makubwa umeyafanya Mheshimiwa na hao wanaokubeza wajiulize mara mbili polisi hakika ni kazi ngumu Mungu akutangulie tu kwa wakati wake aliyokupa
@exampleemail8662
@exampleemail8662 5 жыл бұрын
IGp silo hapoumeongea pointing nzuri sana binafsi nimeshukuru
@rithaurassa
@rithaurassa 21 күн бұрын
Nimemkubali huyu kamanda Mungu akubariki kwanza unahofu yaMungu. Wenzako waige huo mfano na kama hawezi wajitahidi Utu ni zaid cheo unachojivunia.
@alhajitambwe9565
@alhajitambwe9565 4 жыл бұрын
Mungu asante kwa maisha ya IGP wetu umlinde aendelee kufanya kazi hii iliyotukuka
@rajabmsengi9169
@rajabmsengi9169 4 жыл бұрын
Mzee uko vzr Mungu akulinde
@anthonyfaru9908
@anthonyfaru9908 5 жыл бұрын
Leo mzee wangu umetulia Sana, umeeleweka Sana umeongea kijeshi haswa kikamanda awiiiii awaaaa
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 3 жыл бұрын
We love sirro
@mwetajackson8969
@mwetajackson8969 4 жыл бұрын
Umelishushia sana heshima jeshi la polisi maana polisi wameacha kutekeleza wajibu wao na kuishi na kufanya kazi kwa kupokea oda na kusahau wajibu waliousomea.
@far_hard1301
@far_hard1301 5 жыл бұрын
baba uko juu wanyooshe hao wanawanyasasa sana wananchi kwaajili ya cheo uliowapa hawajui jukumu lao ila ni kutafuta kiki tu kwenye media baba wape ukweli tu nakupenda sana mungu akulinde milele
@husseinkhan4889
@husseinkhan4889 4 жыл бұрын
Siro ni kiongozi mwelewa sana tofauti na viongozi wengine wa jeshi. Anajua uongozi ni kupita tu wachache wenye uwelewa huo!
@queenlenatus4628
@queenlenatus4628 4 жыл бұрын
Siro uko vizuri baba
@yassinijumanne6117
@yassinijumanne6117 4 жыл бұрын
IGP we n mzur sana napenda unakuwaga muwazi na kuelimisha vizur na mungu akuhifadhi na hip hekima ulionae
@jojosstar8930
@jojosstar8930 2 жыл бұрын
Yule anaeta kuwa IGP ana tamaa ya madaraka kiufupi hafai hakutakiwa kusema hadharani kama mwanasiasa kiufupi raiya wenu wema hatujapendezewa na kaulizake, piga kazi IGP wetu SIRRO na ALLAH akujalie tuko pamoja na Wewe,.
@chandrnyoeliakim1006
@chandrnyoeliakim1006 5 жыл бұрын
Safi uko vizuri dady
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 4 жыл бұрын
Unatosha sana afande, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Endelea kutuasa, Mungu akubariki.
@immatesha1830
@immatesha1830 3 жыл бұрын
Ila sirro upo vizuri sana mkuu binafsi nakuelewa sana sana
@abubakaryomary3985
@abubakaryomary3985 4 жыл бұрын
Nimekuelewa Igp siro
@clementmwaitebele7687
@clementmwaitebele7687 5 жыл бұрын
Uko vizuri
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 5 жыл бұрын
Sahihi kabisaa kamanda siro
@okoakahemela5867
@okoakahemela5867 4 жыл бұрын
Maneno ya hekima sana!! Mungu aendelee kklinda kamanda wetu
@marthashimba5166
@marthashimba5166 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie katika kazi yako,hakika umeongea yale ambayo Mungu anataka tufanye.
@juniordamas2957
@juniordamas2957 5 жыл бұрын
You are the best ever!!!
@ramadhanisuru1822
@ramadhanisuru1822 5 жыл бұрын
Nimekuelewa kiongozi IGP wetu
@mariuscyprian1235
@mariuscyprian1235 5 жыл бұрын
Ukishakuwa RPC kuna uraji sasa ukiletwa makao makuu uraji umepungua ndio maana wanakasilika ila IGP uko vizuri maana ukimnyosha RPC wakuu wa vituo wanakaa saw a Narudia tena IGP sasa hivi hata panya road wamepotea wazee wangwasuma kwa jina lingine Wajomba wamekubali yaishe sasa hivi hakuna kuibiana IGP uko vizuri sana Piga kazi Ongera sana
@charlesjustin4805
@charlesjustin4805 5 жыл бұрын
safiiii sana IGP wetu heshima ipo sana Mimi polisi Mimi nilikuwa siitamn hata kulalamika pale nilikodhulumiwa ila sasa hivi sanaaaaa nakushukuru sana
@tumainamani3981
@tumainamani3981 4 жыл бұрын
Wiseman
@donardmtambo6606
@donardmtambo6606 2 жыл бұрын
siro umesema kweli cheo ni mungu anatoa ikfika siku unaiacha safi sana
IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA  - ''HUO NI USHAMBA''
7:17
Global TV Online
Рет қаралды 657 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 44 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 49 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 17 МЛН
MWANZO-MWISHO: IGP Sirro aenda Kibiti na Mkuranga
10:25
Millard Ayo
Рет қаралды 263 М.
"NENDA KAMKAMATE SASA HIVI, UMUWEKE NDANI HARAKA" - JPM
8:41
Global TV Online
Рет қаралды 1,1 МЛН