MAGUFULI AMPIGIA IGP SIRRO LAIVU AKIWA POLISI, AMTUMBUA OCD!

  Рет қаралды 321,106

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

MAGUFULI AMPIGIA IGP SIRRO LAIVU AKIWA POLISI, AMTUMBUA OCD!
Baada ya kumalizia hotuba yake na kuzindua barabara ya Tunduma, Rais Magufuli, amefanya ziara ya kushtukiza kwenye kituo cha polisi kilichopo Laela mkoani Rukwa..
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: kzbin.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:kzbin.info?list...
GLOBAL RADIO TV:kzbin.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEWS:kzbin.info?list...

Пікірлер: 296
@mulirohilary209
@mulirohilary209 4 жыл бұрын
Mr president ur very intelligent ww ndo bora sana Dunianin
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 жыл бұрын
Nampenda rais wangu mpaka furaha.hivi ndo inavyotakiwa kuwa.rais anayejiamini ,anapiga kazi na ana fit kwenye kiti chake.
@hancymachemba959
@hancymachemba959 4 жыл бұрын
Pamoja na makosa ambayo yapo ila kuna taratibu za utendaji. Kwanza kabisa huyo mtu anatakiwa asikilizwe pia huwezi kujua kuwa kuna mtu kamuangushia jumba bovu. Sio mpaka mh rais awe anafanya haya ni wazi watu wa juu ktk jeshi la polisi ndiyo wa kwanza walitakiwa kuwajibika kwa kushindwa kuwasimamia hao wa chini yao
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 4 жыл бұрын
Kwanini tusimchague mpka afe jamani course kajitolea kwa watanzania hasa maskini leo kajenga reli ya train kanunua ndege sasa tunataka nini jamani
@linkreuben5804
@linkreuben5804 4 жыл бұрын
@@hancymachemba959 muda wa kumsikiliza utatoka wapi, maelekezo alisha pewa kitambo, Jeshi haliendi hivyo, unafanya ulicho amriiwa na bosi, kwa muda uliopewa. Mambo ya kujieleza yapo kwenye siasa Jeshini ni kazi tu! Tena wamemmuta bosi wao ( Rais ) anajielewa sana!
@alitesco4943
@alitesco4943 4 жыл бұрын
Kwa Kweli mimi ni diaspora lakini niko na furaha na nchi yangu tanzania 🇹🇿 tungeomba Quine elizabert ampe honour reality tungempata raisi Watu huyu mungu amlinde tunaommba raisi atupe ruksa na. Sisi tumpigie kampeni ya nguvu kwa peas zetu wenye we magufuli oyeeeeeeeeeeee
@restymlale6003
@restymlale6003 4 жыл бұрын
Ndugu wa Diaspora. Sisi Diaspora hatuna hata haki yoyote tz. Ttuombe mungu waje waruhusu Dual nationality. Hiyo ndio mpiganie. Ninaamini kabudi ataweza kufanikisha. Asante kila la heri.
@bonifacebenny2733
@bonifacebenny2733 4 жыл бұрын
But kwanini Queen Elizabet??
@zefamange7281
@zefamange7281 4 жыл бұрын
Yani huyu raisi tumuunge mkono. Huko mliko mmtangaze raisi wetu kwa mema anayo yafanya. Kuna kidudu mtu tundu lisu anazunguka huko na kuchafua jina la raisi wetu
@noronhacompanylimited5370
@noronhacompanylimited5370 4 жыл бұрын
Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba sio msahafu ibadilishwe!!!!!!
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
Leo ndo nimeamini huyu raisi anachapa kazi sio kitoto🙆
@MAPETEE
@MAPETEE 4 жыл бұрын
Asant
@respiskasomo7859
@respiskasomo7859 4 жыл бұрын
👊🏿
@chidymswti3604
@chidymswti3604 3 жыл бұрын
Munira Asalaam aleykum
@dbwaxvevo5780
@dbwaxvevo5780 4 жыл бұрын
Anko akichukia ananuna balaaa Fanya kazi baba IYO INAITWA FINISHING MAMAE
@salmaoriginaloriginal6478
@salmaoriginaloriginal6478 4 жыл бұрын
Na kanuna kwel kwel
@sophiakatogoro5516
@sophiakatogoro5516 4 жыл бұрын
Yaani ukiwa na mawazo fuatilia comment tu
@kindolek9257
@kindolek9257 4 жыл бұрын
Kavu balaa
@lovenesskhalfan1790
@lovenesskhalfan1790 4 жыл бұрын
D BWAX official hahahahahahaha
@kiariedavid8370
@kiariedavid8370 4 жыл бұрын
Patamu ni hapo anapomwagiza IGP amusimamishe kazi na kumtakia IGP kazi njema 🤣🤣🤣🤣
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 4 жыл бұрын
Kiarie David 😀😀😀😀
@zefamange7281
@zefamange7281 4 жыл бұрын
😄😂😅💪💪💪
@saidbanga
@saidbanga 4 жыл бұрын
Umenifanya nicheke kwa umakini wako
@justinemweupe6653
@justinemweupe6653 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@hemedsalumu7463
@hemedsalumu7463 4 жыл бұрын
kura yangu chukuwa tu baba miaka 100
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 жыл бұрын
Hemed Salumu mimi forever
@christowajanakei1622
@christowajanakei1622 4 жыл бұрын
Hongera sana Rais wetu MUNGU akutangulie katika kazi yako njema
@faraj.20
@faraj.20 4 жыл бұрын
Njoo Kenya mheshimiwa kenya ferry wamezembea kazini mama No Mtt mpk Leo wako chini ya maji😭😭
@benjaminsamson9505
@benjaminsamson9505 4 жыл бұрын
فرج rais wenu nae afanye hayo wenu
@MtuSafi
@MtuSafi 4 жыл бұрын
Hahahahha huko Rais hakuna?
@evaomarymasinde262
@evaomarymasinde262 4 жыл бұрын
😳😳😳mpaka Leo duh htr San.
@salmaalbarwani2618
@salmaalbarwani2618 4 жыл бұрын
Huyu ni mlezi wa wanyonge ana imani sana Mungu akulinde
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 4 жыл бұрын
Inatia huruma kweli yaani 😢😢😢 hii Kenya
@kimbulumabina235
@kimbulumabina235 4 жыл бұрын
Hata sisi tunaonewa huku wamiliki wa magari Trafiki wanasumbua sana Mzee
@bleztv7011
@bleztv7011 4 жыл бұрын
Uza gari nunua guta
@innocentalfredo-youngboss
@innocentalfredo-youngboss 4 жыл бұрын
hahaha
@maryjonh311
@maryjonh311 4 жыл бұрын
Mtaisoma namba tu akuna cha askari wala raia wa kawaida wotei levo moja.heshima lazima iwepo
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
OCD from hero to zero 🤣🤣🤣🤣 tuta fika tu Magufuli for life Oyeeeeeh
@alitesco4943
@alitesco4943 4 жыл бұрын
Mafisadi gumbo joto mmepatikana mungu kamleta mungu amlinde
@frankmandaya4141
@frankmandaya4141 4 жыл бұрын
Hata police kigoma wanasumbua mh njoo nahuku, hasa trafic wanakula rushwa sanaaa
@humayduwe1762
@humayduwe1762 4 жыл бұрын
Dah hizi kazi presha!! tutakoma awamu hii
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 4 жыл бұрын
Hahahaha
@shabanisaidi2560
@shabanisaidi2560 4 жыл бұрын
Acha kazi kaa nyumbani
@humayduwe1762
@humayduwe1762 4 жыл бұрын
@@shabanisaidi2560 Niko hatua za mwisho kuacha maana utumishi huu baada unakuwa screpa bila kitu
@humayduwe1762
@humayduwe1762 4 жыл бұрын
@@shabanisaidi2560 mm cwezi kukaa nymbn ww, anayekaa home Ni yule ambaye elimu haijamkomboa vzr
@shabanisaidi2560
@shabanisaidi2560 4 жыл бұрын
@@humayduwe1762 Ni vizuri kwa KUWA mlizoea kupiga na sasa hivi ukipiga mwezi 3 wa 7 unazitapika Bora tu ujiachilie usije ukaishia jela.
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Pole Baba yangu.Nimesikitika sana Kuona Rais wangu Amekasirika . Na kuwa Mnyonge kwa Ajiri yatu.Pole Baba yetu Mungu Atakulinda InshaAllah.
@mauchamakh4756
@mauchamakh4756 4 жыл бұрын
Utaeleweka ila hawataki kukuelewa
@vinjaoko8083
@vinjaoko8083 4 жыл бұрын
Naomba mungu siku moja apa Kenya tutapata Rais kama magufuli.
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 жыл бұрын
Vin Jaoko kabsa
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 4 жыл бұрын
Mungu wangu utatupea rais kama uyu jameni? hapa kenya tumeumia sana, maghufuli ni jembe kweli kwali hongera sana mzee.
@linkreuben5804
@linkreuben5804 4 жыл бұрын
Kenya ni majirani zetu msiogope Tukiijenga tz tuta kuja na huko!
@bettynaisenya662
@bettynaisenya662 4 жыл бұрын
Labda wakenya waache kumchagua rais kwa ukabila wamchague rais atakae weza kua kiongozi bora hapo ndipo wakenya watapata mabadiliko.
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 4 жыл бұрын
@@bettynaisenya662 hapo sasa betty
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 4 жыл бұрын
pumbav kanyaga kanyaga hamsomi nyakat pumbav san ngojen amalize mda wake alaf muendeleze tamadun zenu za kulindana .....mtanyoka kama hamtak ameni nchi..
@felisterhalima8724
@felisterhalima8724 4 жыл бұрын
Ayoub Abdull huyu ndie laisi tuliepewa na mungu mungu aendelee kukutunza laid wetu
@davidnyambuche352
@davidnyambuche352 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rachelissacmahenge1348
@rachelissacmahenge1348 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣, wataelewa tu mpaka kipindi cha pili kiishe wakati wamenyooka
@akibamajaliwa2193
@akibamajaliwa2193 4 жыл бұрын
Jamani kama una penda MAGUFULI aongezewe miaka ya kutawala gonga like hapa chini...Huyu ndo NYERERE wa sasa wa Tanzania😀😁😁😁😁😁😁😁
@rizlambajuni
@rizlambajuni 3 жыл бұрын
Musionee watu🙏🏽musionee wananchi wanyonge 💯💯💯💯💯🙏🏽
@Boaz22
@Boaz22 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂OCD kibarua kimeota nyasi 😂😂😂😂
@sophiakatogoro5516
@sophiakatogoro5516 4 жыл бұрын
Tena za magugu🤣🤣🤣🤣
@sophiakatogoro5516
@sophiakatogoro5516 4 жыл бұрын
Tena za maguguu🤣🤣
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 4 жыл бұрын
😂😂🏃🏃🏃
@kindolek9257
@kindolek9257 4 жыл бұрын
Faster sana
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 4 жыл бұрын
Tenaa nina shaka anaweza akavuliwa nyota moja akawa anacheo cha SSP... 😀😀
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 4 жыл бұрын
ANAKWAMBIA TUTAFIKA TU!!! SAAF PRESIDENT
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 4 жыл бұрын
Kabisa yaani 😁😁😁😁😁👊
@mbonireamina6497
@mbonireamina6497 4 жыл бұрын
Magufuli unatumia jeshi la Polisi kuwanyanyasa raia na wapinzani. Unatakiwa ushitakiwe ICC, na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
@cullenlembris2686
@cullenlembris2686 4 жыл бұрын
Wanyooshe Babaaa.. Uncle Magu
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 4 жыл бұрын
Hahahaaaaaaaaaa,waliokuwa wanasema nguvu ya soda wako wapiiiiiiiiiiii?mzee baba ndo kama ameanza Jana .Kanyaga twende jemedari wetu.Tulisugua goti kumuomba Mungu ili atupatie wewe na tuna amini ni wakati Mungu aliamua uje utupe faraja,hakika tunafarijika.watashindana lakini, watashindwa tu.Mungu akubarki Sana jemedari wetu.Tunapokuona tunaiona farja ya mioyo yetu.
@jumakassim5351
@jumakassim5351 4 жыл бұрын
Siku zinavoenda mbele ndo anakuwa mkali kuliko jana
@crespomaeromajigo6923
@crespomaeromajigo6923 4 жыл бұрын
Daa mtu anafukuzwa kazi kisimpo hivyo jamani
@shadymujuni2884
@shadymujuni2884 4 жыл бұрын
Ajafukuzwa ila amesimamishwa
@kimbulumabina235
@kimbulumabina235 4 жыл бұрын
Hapo kura mtapata
@nsajigwaseth6152
@nsajigwaseth6152 4 жыл бұрын
Salute to you Mr. President. I really appreciate you. May God bless you and protect you
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 4 жыл бұрын
Safi sana unle magufuri watumbue sana hao mpka wanyooke wezi hao
@upendohalisi80
@upendohalisi80 4 жыл бұрын
Ringo umeona eeh harafu tutakuja ss tukabe nafasi hizo, safi jpm watanyooka tu!!
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 4 жыл бұрын
Mimi ningeeomba katiba ivunjwe ili unle magu aendelee kuwa madarakani nchi yetu itakua kama ulaya tu hakuna kinachoshindikana jamani mbona raisi wa china raia wao wamemchagua mpaka afe
@klaragreen7999
@klaragreen7999 4 жыл бұрын
Kwakweli wanajisikia SN. Na walisha jiona miungu watu..😆😆😆kazi serikalini now ni kwamoto..mamae watakuwa wanaota ofisini. Shwaini
@sammykamau4575
@sammykamau4575 4 жыл бұрын
Wallahi hapa Kenya mambo msiba kwani tunapomuona Rais Maghufuli akichapa kazi hivyo, twajiuliza hapa kwetu nani alie turoga. UFISADI NDIYO AGENDA KUU na ni NANI atakayekua NINI katika uchaguzi ujao, ndiyo shughuli na hao mengine yote huja baadaye, umaskini unazidi kukidhiri na sisi kama wananchi tumetetereka tayari. Hamna matumaini kwa mwananchi wa kawaida, twangoja kifo tu.
@vinjaoko8083
@vinjaoko8083 4 жыл бұрын
Tulirogwa na ukabila. Na kujipga kifua atiii ni sisi tu.
@ngalelefijo2545
@ngalelefijo2545 4 жыл бұрын
Hakuna mkenya anaandika hivi wewe fallen
@linkreuben5804
@linkreuben5804 4 жыл бұрын
Mtuambie nyinyi wenyewe wakenya, Manakosea wapi, Lakini Maandiko yalisha weka wazi, ajiinuae atashushwa! Na wakwanza atakuwa wamwisho! Pengine mljiona mpo juu sana mkawadhalau wa tz, Msilalamike,muyabebe mabegani hao mfisadi!
@zaharahasan1912
@zaharahasan1912 4 жыл бұрын
@@linkreuben5804 t Tena nilisoma kuna mkenya aliandika Tz kuna shida sana
@geraldpallangyo7726
@geraldpallangyo7726 4 жыл бұрын
Kamau mimi ni Mtanzani Niko kenya Nairobi nikubaya Sana kila mtu analia
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Jmn madaktari wenzangu mnao muangalia afya ya baba Naomba mumuangalie afya ya jembe letu, hizo ni pressure kila kitu anafanya mwenyewe jmn. I hope afya yake ni nzuri jmn esp msongo wa mawazo kwa wananchi wake na wafanyakazi haswa wasio tekeleza wajibu
@saidimaliki1453
@saidimaliki1453 4 жыл бұрын
Hongera sana rais wetu waziri uliemchagua Mh. Kangi lugola anafanya kazi vizuri sana lakn police baadhi yao wanamdharau
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 4 жыл бұрын
Wanamdharau sn kangi,hawa polisi sijui wanamchukuliaje,waache dharau huyu kateuliwa na raisi.Kiukweli polisi ni wanyanyasi kinoma
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 4 жыл бұрын
Daaah Jaman mheshimiwa msamehe naye pia ni binadamu msamehe
@frenkisaya1280
@frenkisaya1280 4 жыл бұрын
Amn mtu mbaya km mtu ambae ana dharau
@emmamwande4696
@emmamwande4696 3 жыл бұрын
Vzr mh rais magufuli ila kangi lugola ipo siku atapoteza kila k2
@sultandom1945
@sultandom1945 4 жыл бұрын
Na kazi ya uhuru kenyatta ni kukuja kwa press conference akiwa na macho ya ????
@naimarashidrashidd3148
@naimarashidrashidd3148 4 жыл бұрын
Hongela laisi wetu Mimi ningependa ungetemberea kibaha mkoa wa pwani kijiji cha soga kunashida napo kule tena nyingi tu kazi njema baba wa taifa hongela
@fasanitzfasanitz9631
@fasanitzfasanitz9631 4 жыл бұрын
Walijitamba et rukwa ni mwishon mwanchi rais awez kifika aya sasa pambaneni na nae
@radm320
@radm320 4 жыл бұрын
Raisi amesema TUTAFIKA TU.
@alfredbyangwamu9821
@alfredbyangwamu9821 4 жыл бұрын
Hili La kuwaamisha maasikari kwa sababu ya mazoea ya kukaa kituo kimoja muda mrefu in jema, inapunguza uonevu.
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 4 жыл бұрын
Wamesha mchomesha Urio wawatu kwakuwa hayupo hapo Gonga like kama umeona hilo
@saulimmbaga.safisana9556
@saulimmbaga.safisana9556 3 жыл бұрын
Inaniuma sana
@khammcijmmhamd6041
@khammcijmmhamd6041 4 жыл бұрын
VIONGOZI HONGERENI SANA. HASWA RAISI WETU. USISAHAU KUJA TANGA KUANGALIA KERO
@ameniameni617
@ameniameni617 4 жыл бұрын
Mtajuta mwaka huu
@jumakatema6348
@jumakatema6348 4 жыл бұрын
Kuna watumishi bado hawajaelewa tukowapi.
@shidabundala8984
@shidabundala8984 4 жыл бұрын
Kula yangu nakupa kabisa 🤝
@lorineprince4170
@lorineprince4170 4 жыл бұрын
Afadhal ila muheshimiwa me nalia kila siku baba angu maana hakuna kinacho niumiza km mama na dada ang kuwekwa gerezani ikiwa hawana kosa na shamba ni letu jaman kesi ipo mahakaman ila hakuna kinacho fanyika mpk sasa na m2 anae 2sumbua shamban yupo anakula maisha anamlingia pesa zake alizo nazo mungu ee baba naomba 2saidie kwa upande wa ardhi hakuna wanachofanya kwa kwel naumia sana
@abdulrashid7334
@abdulrashid7334 4 жыл бұрын
President wetu Magufuli,Tunaomba uchunguzi wa wale Traffic Police wa Mikumi weighbridge pia. Wanatesa wanainchi wako
@mohamednyinge3400
@mohamednyinge3400 4 жыл бұрын
Ukimaliza Tanzanians njoo kenya mheshimiwa Rais utunyoroshee oia
@feisalmuya1424
@feisalmuya1424 4 жыл бұрын
Tufanye kazi kwa kumuogopa mungu' Allah akujalie umri mrefu Rais wetu.
@prettyh7509
@prettyh7509 4 жыл бұрын
Ameeen
@japharytwaha8552
@japharytwaha8552 4 жыл бұрын
Daaaaa huyu ndio Uongozi ambao Oder Ikitolewa wote tunatakiwa tutiiii yaaani asingefanya haya huyu waziri angekuwa taaambaaalaaa la dekiiii
@user-et1nf9yk2d
@user-et1nf9yk2d 4 жыл бұрын
Na trafiki wapwani nao waliokua mbezi wana tugac sana huku pwani kila kilomita tano wapo wana kagua sasa hizo kazi tutafanya saangapi na kuwahi mda kama wamejaa sana wekeni vituoni2
@zainasudi5722
@zainasudi5722 4 жыл бұрын
Hukumu kama hizi hata mungu hapendi unamuhukumu mtu bila yeye kuzungumza chochote mtihani
@jumannekhalifa7761
@jumannekhalifa7761 4 жыл бұрын
Ajetuu ulaiani tupigewote uchebe wakiwa wanamavazi hayo ss nzengo hatuthaminiki nayy aje huku tumgongee nyagi
@zefamange7281
@zefamange7281 4 жыл бұрын
CHUMA JPM, OYEEEEEEEE. TUNYOOSHE MZEE BABA
@happynespaulo4492
@happynespaulo4492 4 жыл бұрын
Nani km rais huyu mungu akupe maisha marefu
@officialmbeyaone3572
@officialmbeyaone3572 4 жыл бұрын
Nakwambieni ukweli watanzania wenzangu atutopata tena rais mwema kama uyu msio elewa kunyweni sumu mala moja
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 4 жыл бұрын
Mimi nitakunywa juice
@omarhamadi4002
@omarhamadi4002 4 жыл бұрын
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪 magufuli tena
@aboubacarkillo5140
@aboubacarkillo5140 4 жыл бұрын
Allah yuko pamoja nawe mh raisi jpm
@godfreydestury8813
@godfreydestury8813 4 жыл бұрын
Bado tráfic ni kero
@dominicomakungwa729
@dominicomakungwa729 4 жыл бұрын
Ha ha ha et s lazma liwe jpya
@ibrahimmungure7493
@ibrahimmungure7493 4 жыл бұрын
Ahsante mkuu, Tutafika tu.
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 жыл бұрын
Wanyooshe anko maana hakuna namna hatutaki dharau
@yahayab4u614
@yahayab4u614 4 жыл бұрын
Safiiiiiiiii mzeeee
@shaby988
@shaby988 4 жыл бұрын
Unakuta jitu linamchukia president nakupenda bure baba magu toka uingie sna shaka kabisa⛹️‍♀️⛹️‍♀️⛹️‍♀️
@aminirapa2470
@aminirapa2470 4 жыл бұрын
Kwa ushauli tu Mh Ungempa nafasi ya kumsikiliza na huyo askari wa upande wa pili asie kuwepo
@donnngeta2022
@donnngeta2022 4 жыл бұрын
Amini Rapa 24 hapo hajakuwepo amekimbia anajua alichokifanya!
@aminirapa2470
@aminirapa2470 4 жыл бұрын
@@donnngeta2022 kama mbona OCD alisema kaenda kusimamia ujenz wa barabara
@saidasimba9979
@saidasimba9979 4 жыл бұрын
Jeshi sio siasa ukipewa amri ni ndio hakunaga maswali..
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 4 жыл бұрын
Jeshi sio siasa unatii amri yamkubwa wako
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 4 жыл бұрын
Jesh haliko ivyo kilaia nduguu cc ambao tupo kweny icho chombo ndo tunajuwa strategy zakee..
@mosesnyamhanga449
@mosesnyamhanga449 4 жыл бұрын
Magufuri juu mbali kama Eagle! TUTA FIKA TU!
@ngalelefijo2545
@ngalelefijo2545 4 жыл бұрын
Angekuwa ngosha au maganga labda angepewa UWA RPC
@ommyathumani7264
@ommyathumani7264 4 жыл бұрын
Achakuleta ukabila aisee Tanzania hatuna ukabila
@charlesmsasa7339
@charlesmsasa7339 4 жыл бұрын
Safi sana Rais Magufuli ulikuwa wapi? kwa sasa Tanzania hatuhitaji Rais mwingine Magufuli anatosha
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 4 жыл бұрын
Duh...ni moto...kazi kwa kwenda mbele...kitaeleweka hakuna mchezomchezo hapa ni kuwajibika tu....hakika tunaelekea kuzuri...tutafika hakika mh Dr John Pombe Magufuli
@aminaluttu649
@aminaluttu649 4 жыл бұрын
Tumbua anko tumbua kura yangu chukua
@towerodispensary3255
@towerodispensary3255 4 жыл бұрын
Leo ndio nimeona hasira ya raisi alivyofyumu kudadeki mbaya zaidi anasema tutafika tu nakupenda Sana kiukweli nakuandalia Zawadi raisi wangu japo sijui watakubali nikuletee ikulu
@yussufhaji3335
@yussufhaji3335 4 жыл бұрын
Kura zote nizako baba inshaallah
@yahayab4u614
@yahayab4u614 4 жыл бұрын
Tukijaliwa lazimaaaa nikupe kura yangu mzeeee magu
@marymtuy237
@marymtuy237 3 жыл бұрын
"Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure!"
@mybrevisai2508
@mybrevisai2508 4 жыл бұрын
Mkipewa amri na waziri jaribuni kuiheshimu hata kinafiki...
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 4 жыл бұрын
Kamanda umemwagia mwenzako ugari kwa kujitetea wewe daah asee😅😅 kamanda kamanda mungu anakuona ujue 😂😂
@patrickmadiwa3845
@patrickmadiwa3845 4 жыл бұрын
Mawaziri jamani mjitahidi kutekeleza majukumu madogo sio Lazima mpaka rais wang aje atekeleze ana mambo makubwa yanayomsonga plzzzzzzzzzz !
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 4 жыл бұрын
Kweli kamanda hamna hapo, kamchoma mwenzake duuuh...🤔🤔🤔
@lorineprince4170
@lorineprince4170 4 жыл бұрын
tena kuna mkubwa wa polis anakula sana rushwa kwa m2 anaevamia shamba letu apo manispaa sumbawanga
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 4 жыл бұрын
Kwa kweli suala la kuunganishwa kwake kwenye kesi ya kumshambulia mfanya biashara huyo limemuathiri Sana na tena no mgonjwa WA vidonda vya tumbo Amekua akipata tabu Sana huko gerezani .naomba cku mheshimiwa Rais akipata fursa apite ajionee jinsi watu wanavyodhulumiwa.
@mozejcs9160
@mozejcs9160 4 жыл бұрын
Mkuu hapo vwawa kuna watu wengi wamewekwa jera kwa kubabikiziwa kesi na mapp km una uwezekano tuma watu wako pale!
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 4 жыл бұрын
Global TV mbona mnakera na hizo sauti zisizokuwa na lazima mpaka tunashindwa kusikiliza kinachoongewa...
@charlesooko8842
@charlesooko8842 4 жыл бұрын
Kusema na kufanya na sasa ,tunafanya
@msovietimjamaa3017
@msovietimjamaa3017 4 жыл бұрын
Hahahaaaaa yaaani haka jamaa bwna daaaah kana biti hahahahaa
@issafundi4372
@issafundi4372 4 жыл бұрын
Hii ni Awamu ya 5 hakuna kubweteka ukireta nyodo unawekwa pembeni ikibidi kutemwa kabisa wengine mzinduke hapa kazi Tu,
@jamilsalanga4193
@jamilsalanga4193 4 жыл бұрын
Ocd njooo tule matikiti😂
@julianarobert9815
@julianarobert9815 4 жыл бұрын
😂😂😂
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 жыл бұрын
dah Mh. ni kazi tuu hapa au mkuu?
@receptionzanbluu3656
@receptionzanbluu3656 4 жыл бұрын
Baba jifanye kama umepotea njia ufike handeni rushwa imetawala balaa
@klaragreen7999
@klaragreen7999 4 жыл бұрын
TUTAHESHIMIANA MWAKA HUU. PUMBAVU. I LOVE YOU PREZIDAAA
@MAPETEE
@MAPETEE 4 жыл бұрын
Uyu ndio baba wetu tanzania
@lazarosilayo6918
@lazarosilayo6918 4 жыл бұрын
Rais sometime anatakiwa awe mbabe,.. Kweli utanii Rais aiseee Ubarikiwe sanaa Mh. Rais. Alafu dalili za dharau kwa Mh. Lugola zilianza kuonekana mda.. Naamini sasa hvi hawata kudharau teeena mh. Lugola.
@Nufaila442
@Nufaila442 4 жыл бұрын
Mh waziri bado agizo lako la Bodaboda kukamatwa kamatwa zile ziingiapo mjini hapa Dar
@mohamedhalifambela6419
@mohamedhalifambela6419 4 жыл бұрын
Niliwahi kupost kua polisi muwe waadilifu nikawekewa kisasi na polisi wenyewe leo si haya yanawatafuna visasi vyao
@aishaddddhh6272
@aishaddddhh6272 4 жыл бұрын
Hòngera baba magu kwakaz nzur wanyooshe
@eliankya3272
@eliankya3272 4 жыл бұрын
Izi ziara nikujipanga kwelikweli
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 жыл бұрын
Elia Nkya gafla gafla bwana noma
@mohameddikaluka5403
@mohameddikaluka5403 4 жыл бұрын
Mh, Lugola hivi huku kilosa mnakuja lini? Hayo ya kubambikia kesi huku ndiyo zaidi naisi kuliko Tanzania nzima kwa nini amji jamani,hii wilaya ni shida Mimi mwenyewe ni mhanga wa kubambikiwa njooni huku vihongozi Tena mkija hongeeni na wananchi tunaishi Kama atupo nchini kwetu tumechoka kilosa hakufai kabisa kwa kweli
@lorineprince4170
@lorineprince4170 4 жыл бұрын
Apo manispaa sumbawanga kwa kwel panaumiza sana naomba baba angalia sana upande wa ardhi kuna majip mengi mnooo
@omarhamadi4002
@omarhamadi4002 4 жыл бұрын
I need you to be the president of kenya 🇰🇪
@Jamela-ix6pb
@Jamela-ix6pb 4 жыл бұрын
Mjomba hakikasilika muangalie sura yake mdomo unavyokuwa
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 4 жыл бұрын
🙈
@josephgama7810
@josephgama7810 4 жыл бұрын
Asiyempenda rais Magufuri huyo ni mchawi tu.
@abdulswamaduathumani7203
@abdulswamaduathumani7203 4 жыл бұрын
We Raisi wewe wacha wapinzani wapige kelele ila sisi watanzania wala sio wajinga kiasi hicho kura za 2020 mm sihangaiki kupiga kura mm alaaaa ni yako tuuuu mungu anifikishe tupewe nn watanzaniaaaa
@malayikanepo788
@malayikanepo788 4 жыл бұрын
Raisi kutoka msumbiji anasema unaweza kulala tajiri ukaamka maskini ndo huyo sasa yamemkuta kabisa... Anko Magu, salama kutoka Burundi
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 159 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
Rais Magufuli alivyompigia simu Makonda katikati ya mkutano
9:37
Millard Ayo
Рет қаралды 235 М.
"NAKUAGIZA MSIMAMISHE KAZI LEO, AMEUA, ETI ALILEWA, KHAA" - MAGUFULI
8:19
TAZAMA BOARDGUARD WA MAGUFULI ALIVYOMVUA KIATU NA KUMVALISHA VIPYA
3:59
RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA
3:00
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН