No video

Mazishi ya Ivan Ssemwanga, Mume wa Zari, Kufuru Tupu!

  Рет қаралды 350,157

Global TV  Online

Global TV Online

7 жыл бұрын

Ivan Ssemwanga 'The Don' Azikwa!. Shughuli ya kuuzika mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mume wa Zarina Hassan, Ivan Ssemwaga ambaye amezikwa katika makaburi ya ukoo wake yaliyoko Kayunga, nchini Uganda, yamevunja rekodi kwa kuzikwa na manoti kaburini, hivyo kuwa kama KUFURU!!.
Mazishi ya Ivan Ssemwanga, Ivan The Don. Rest In Peace Ivan. The Rich Gang. Uganda. Buried with Cash. Ivan Azikwa na Manoti
Mazishi ya Ivan Ssemwanga, Ivan The Don. Rest In Peace Ivan. The Rich Gang. Uganda. Buried with Cash. Ivan Azikwa na Manoti
Mazishi ya Ivan Ssemwanga, Ivan The Don. Rest In Peace Ivan. The Rich Gang. Uganda. Buried with Cash. Ivan Azikwa na Manoti
Mazishi ya Ivan Ssemwanga, Ivan The Don. Rest In Peace Ivan. The Rich Gang. Uganda. Buried with Cash. Ivan Azikwa na Manoti

Пікірлер: 36
@maggykavata9439
@maggykavata9439 5 жыл бұрын
hayaaaaaa
@fatimhalfatimh1147
@fatimhalfatimh1147 7 жыл бұрын
Mwenyewe kazitafuta kwa mini asizikwe nazo,dunia hii ya leo maskini atabaki kuna maskini n.a. Tajiri atabaki kuwa tajiri
@tuphujekumuhkunonyiile3739
@tuphujekumuhkunonyiile3739 5 жыл бұрын
Japoa alizitafuta ila nizaserikali
@jitulakale5387
@jitulakale5387 7 жыл бұрын
wachaaa mtu atumie pesa yake bana
@neymussa1229
@neymussa1229 7 жыл бұрын
rip
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
Kufuru kwa walio hai yeye ameacha vyote duniani ameenda yeye tu. Ndio ujue binadamu si chochote Mali zako zote umeacha.R.i.p lvan.
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Mtoto wa mama mkubwa aliniambia kuwa walimwaga, pesa
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
@@hatamimnimempendabulejaman1596 Kufuru Tupu,
@mariamsaid8770
@mariamsaid8770 5 жыл бұрын
Huu ni upuzi pesa hizo wangewapa mayatima au masikini. nashangaa. kuona hivyo. Amali zake ndio zitabaki sio pesa zilizotiwa kwa kaburi.mwenye kufanya uishi niaaALLAH na yakaburini pia ni ya. ALLAH .msilete fikra zenu ati alikua mtu wa pesa kwa hivyo ataishi maisha ya pesa. ALLAH atakuadhibu ikiwa ulikua mtu ambae hujikatazi yale aliotuambrisha tuachane nayo.sio pesa,magari,majumba,wanao,mkeo .haya yote utayaacha na utarudi kwaALLAH.vyote utaviacha na utaenda kuoza na kila kipindi cha swala mwenyezmungu huteremsha malaika wake. Ulikua ukiswali utanusurika,ulikua huswali basi utakiona
@wardaally9888
@wardaally9888 5 жыл бұрын
Mariam said haki mm nawasha gaa hawa watu sasa mtu azikwe na pesa zinamsaidia nn Zaid ya amali zako Yan haki din ya upumbavu
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 5 жыл бұрын
Utafikiri hawajafiliwa loh
@youngmhenzi8687
@youngmhenzi8687 7 жыл бұрын
R I P
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Rest in peace
@diamondplatnumztv6138
@diamondplatnumztv6138 7 жыл бұрын
Good video
@sadickchakka6350
@sadickchakka6350 3 жыл бұрын
Mtafutien kaz nyngne mtangaz
@rachelpallangyo9159
@rachelpallangyo9159 7 жыл бұрын
R.I.P Ivan
@JOELMEDIAtz
@JOELMEDIAtz 7 жыл бұрын
Mambovipml embo
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Nilisikia hilo swala La kumwaga pesa
@dawoodtekakie4012
@dawoodtekakie4012 3 жыл бұрын
Ulikuwepo
@molelimaiko4339
@molelimaiko4339 2 жыл бұрын
Uwogo naomba nikuulize kwani wasanii wangapi walingiya hapo bobi wine alikuyepo niyambie muongoo
@sniperboy7098
@sniperboy7098 4 жыл бұрын
Pesa haina chochote
@zashairbathandbody2009
@zashairbathandbody2009 3 жыл бұрын
Staghfirullah. Huyo zari c ajifanya Muslim?????
@sharifahamisi3477
@sharifahamisi3477 2 жыл бұрын
Masson hao
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
Rest in peace Ivan Don
@jitulakale5387
@jitulakale5387 7 жыл бұрын
sio kufuru nikutokana nyinyi pesa hamna mwenye pesa acha afanye atakavo inakuuma pesa kwani niyako
@iddiramadhan6417
@iddiramadhan6417 7 жыл бұрын
nani kwel pesa madaf kwao
@hassanmuhidin871
@hassanmuhidin871 7 ай бұрын
Upuuzi mtupu😅😅
@andydicap7658
@andydicap7658 6 жыл бұрын
Muache umbea
@habibatally6392
@habibatally6392 4 жыл бұрын
kufuru tupu
@dianajepkorir3821
@dianajepkorir3821 6 жыл бұрын
kwani zari alioleka kapla mumewe kufa mpona sielewi
@swabrinamasoud106
@swabrinamasoud106 6 жыл бұрын
Diana Jepkorir mm pia cielw
@taigerzinda4039
@taigerzinda4039 5 жыл бұрын
Diana Jepkorir Ndio walikuwa washa Achana na Ivan
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Fyuuu halaf zar anajifanya muslim
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 жыл бұрын
Upumbavu mtupu kisha oza na habari anaipata.
@neymussa1229
@neymussa1229 7 жыл бұрын
rip
@maujitimo7001
@maujitimo7001 6 жыл бұрын
Miziki diamond
Omugagga omuto Ivan Ssemwanga afudde
5:43
Bukedde TV
Рет қаралды 43 М.
EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don
18:22
Millard Ayo
Рет қаралды 954 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 43 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 126 МЛН
IVAN  SSEMWANGA ARRIVAL AT NAMBOOLE
7:07
Kelvin Kenneth
Рет қаралды 86 М.
ZARI HASSAN,UGANDAN SOCIALITE: Net Worth/Wealth and Family.
4:59
KNOW IT ALL WORLD
Рет қаралды 4,4 М.
Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.
15:29
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 929 М.
Hizi Ndizo Sababu za Kifo cha Ivan Done wa Zari the Boss Lady
6:41
Global TV Online
Рет қаралды 434 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 43 МЛН