ORYX KUFUNGA MFUMO wa GESI MINAKI SEKONDARI - YAKABIDHI MITUNGI ya GESI 700 KISARAWE...

  Рет қаралды 184

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

ORYX KUFUNGA MFUMO wa GESI MINAKI SEKONDARI - YAKABIDHI MITUNGI ya GESI 700 KISARAWE...
SHULE ya Sekondari Minaki mkoani Pwani inatarajiwa kufungiwa mfumo wa gesi na Kampuni ya Oryx Gas, kwa lengo la kuiwezesha kutumia nishati safi ya kupikia na kuondokana na matumizi ya kuni na mkaa.
Pia Oryx kwa kushirikiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makumu wa Rais Muungano na Mazingira Dk. Seleman Jafo,wamekabidhi mitungi 700 ya gesi kwa walimu 500 Wilaya ya Kisarawre Mkoani Pwani, pamoja na baba na mama lishe 200 ambayo inathamani ya zaidi ya shilingi milioni 50.
Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi hiyo kwa walimu wa shule za msingi na sekondari Wilayani humo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Oryx Gas Tanzania Benoit Araman alimshukuru Waziri Jafo, kwa kumpatia nafasi ya kupeleka nishati safi ya kupikia kwa walimu pamoja na Baba na Mama lishe wilayani Kisarawe.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 1
@globaltv_online
@globaltv_online 8 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,7 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 55 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 752 М.
UFUNGUZI HOTEL YA MTUME MWAMPOSA G7 WONDERS MBEYA
31:23
Chomoza Tv
Рет қаралды 66 М.
MWILI WA HAYATI DKT.  JOHN POMBE MAGUFULI UKIWASILI CHATO -GEITA
56:00
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 149 М.