Najua wale wapenda kitonga ndio mmekuja kuangalia hii video ....msiondoke hv hv naomba niwajue😂😂😂😂
@wilsonmoses27615 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@khadijahassan35045 жыл бұрын
Upo sahihi ndg😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@michaelsiweya65005 жыл бұрын
Lukumbulu napo vipi.. Kama unatokea Songea kuja Njombe
@adolphmwangoje28875 жыл бұрын
Kanjia kakwenda nyumbni
@djharouny76705 жыл бұрын
😄😄😄
@pascalinamichael5545 жыл бұрын
Alie ona mtaalami badala ya mtaalamu gonga like twende sawa
@sadas2294 жыл бұрын
Hqpo nilipita nilihisi kufa wallh
@dasiohaule99745 жыл бұрын
First mwandisi kachemka kidogo hapo plz elezea vizuri jaman rigid surface haili mafuta kuliko flexible na rigid surface ni comfortable kuliko en pia ujenzi wa rigid surface unaweza kuwa wa gharama kubwa kulingana na mazingira kwa maana ya time. Mwandisi aeleze vizuri bhana mtafuteni tena akiwa amemeza vitini fresh
@makongorowassira65935 жыл бұрын
dasio haule kachemka haswa kwenye gharama
@salumabdallah66805 жыл бұрын
dasio haule pia gharama ya zege iko juu kuliko lami
@polycarpmdemu35525 жыл бұрын
Rigid ina gharama kubwa ya ujenzi, Pia rigid si comfortable, hivyo ndio nijuavyo
@0yh9645 жыл бұрын
Pia rigid inakula tyres kuliko lami ya kawaida
@leonardoscarkitime1454 жыл бұрын
Sio mwandisi ni Muhandisi.. Tuanzie hapo kwanza. Halafu kingine, Kama kitu hukijui piga chini, waachie wataalamu waongee na usikilize wanachosema, na si kutoka utokako umejishibia zako makande unataka na wewe usikulizwe
@upendomndeme94785 жыл бұрын
Asante kwa Elimu engineer, proud of you
@BB-qj8dd2 жыл бұрын
Mwishoni mwa interview kuna dereva anaendesha lorry ya kijani kwa mwendo kasi tena kwenye kona utadhani brake zimefeli. Wenzangu mmemuona?
@magaritechnology54275 жыл бұрын
Rami= Bitumen(Asphalt) ni world wide used katika ujenzi wa barabara zote kwa ajili ya magari yanayo tumia hasa rubber tires and trucks ... Tire patch on bitumen provides a very nice tire tractions...to provide nice control ,handling and safety... Kuhusu maswala ya uzito wa gari ni wao wajenzi inabidi hizo factor wazingatie , pia slope angle izingatiwe, mabadiriko ya hali ya hewa pia izingatiwe katika designing na pia ili wafikie lengo la kuhakikisha safety, fuel consumption ikiwa wanatumia ni raia ili iwasaidie kupunguza matumizi ya mafuta zaidi... Kuliko kujengea zege sehemu hatari kama ile ... Nashangaa sana. Kwasababu nikifikilia zege na tire traction, mabadiriko ya hewa mfano jua kali, mvua kubwa , na upepo mkali... Sidhani kama concrete road inakua reliable hasa katika sehemu hatari kama kitonga. Look Bitumen ni mabaki ya mwisho katika uchujaji wa crude oil... Inatumika kama binder katika utengenezaji wa barabara.. Rubber Tyre huleta reaction nzuri na rami, kuliko concrete. Kudidimia, ku -purge, au kuonesha mabadiriko yoyote ya barabara ya rami.. Huonesha namna gani barabara imejengwa chini ya kiwango... So mm sihafikiani na engineer wa ujenzi. Ninavyo elewa na ndo ilivyo. Labda sijamuelewa vizuri engineer.
Hapo bro Umefeli, Yaani unataka Kitonga pawe surfeced by Asphalt? Unajua hiyo Rigid ina miaka mingapi mpaka sasa? Je ingekuwa flexible pavements kama unavyotaka si ingekuwa majanga
@0yh9645 жыл бұрын
Hapo wamejenga zege kwa sababu kuu moja tu. Durability, zege linaweza kukaa hata 40 years wakati asaphalt ikienda sana ni miaka 10. Kushinda unafanya maintenance hapo kitonga ni kusababisha foleni zisizo za lazima
@ramadhanmahongole56632 жыл бұрын
nimekuelewa vizuri sana mtaalamu
@josephndomba18955 жыл бұрын
Millard Ayo vipi kuusu ruvuma mbona utokei uku Kuna kampuni inaitwa Sietco ni ya kichina inatengeneza barabara.... Hapa atujawaiona viongozi wa mkoa kuja kutembelea lea wafanya kazi na pia mladi ni wa mabilioni wanalipa wafanyakazi ela ndogo labda ukija wewe uku cku moja watasikia viongozi wengne uko wakitaifa watasaidia
@kahenzagadau1gadau8784 жыл бұрын
Nimekusoma mr mtaalamu asante sana
@nuruissa26485 жыл бұрын
Aiseeeee,nilipita APA kwenda mbaey,nilipofika nilimuuliza mume wangu hakuna njia nyingine ?? Ya kurudi maana mmmmmh
@michaeljonas74975 жыл бұрын
Ipo ya Dodoma
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA5 жыл бұрын
Nuru Issa 😀😀😅
@iskiji12405 жыл бұрын
@@michaeljonas7497 ukipita Dodoma kuja iringa utakutana na milima ya nyang'oro, nako kuna kona kama za kitonga tu
Ongea kuhusu tear and wear,barabara ya zege friction ni nyingi inatia hasara ya tairi, lami nayo ni nzuri aina kukwaruza lakini inaisha haraka sababu ya maji na uzito wa magari makubwa kupitisha viwango vya ubebaji
@gabrielrymond93384 жыл бұрын
Hongera cna kaka kwakuipendq kazi yako nasi tunaipenda pia
@francismngumi51255 жыл бұрын
Kuna basi la blue Sijui nimeliona peke yang ...jamaa yuko speed kinoma kuliko
@kelvinbatista11424 жыл бұрын
Hiyoni JM LUXURY
@albanbros67054 жыл бұрын
AL SAEDY hiyo sio JM LUXURY
@theresiaassey82044 жыл бұрын
Alysaid
@nasrimikidady13253 жыл бұрын
Al saedy
@kamanda0075 жыл бұрын
Huyu dereva was basi dakika 2.08 blue bus mpuuzi Sana and very careless.. shenzi sana huyu
@jogoolashamba30745 жыл бұрын
kamanda007 haaaa huyo mbona hapo hayuko spid sana kuna mabasi yanashuka hapo kwa spid mpaka unataman kulia
@bjzee19815 жыл бұрын
Tatizo ni abiria. Wange ongea kwa umoja lazima angefanya adabu. Ila kuna watu uki ongea unaonekana mjinga hadi wanakushangaa. Ajali nyingi kwa kweli ni husababishwa na uzembe
@omarymwenemti29455 жыл бұрын
Hi hi hiii,msenge sana na huyo mwenye roli hapo mwisho anashuka kama yupo tambalale..😁😁
@geofreyemanuel89395 жыл бұрын
Geof na Alysaedy yake haelewi anashukatu namkubali sana dereva wa hilo bas
@abdulkarimhamissi37555 жыл бұрын
Millard izo mbona za kawaida nenda kaangalie Bara Bara ya nyasa kwenda mbambabey ni hatsry
@ChumaTheGreat4 жыл бұрын
Nyasa kwenya mbambabey au mbinga kwenda nyasa
@doraharnold24314 жыл бұрын
@@ChumaTheGreat Hahhahhahhha hajakosea kote njia mbaya
@kajolo12885 жыл бұрын
Very useful
@adamshana83154 жыл бұрын
Nilikuwa cjawah kupita jmn ila cku niliyoopita gar zima walinihurumia mpk nafka kitonga comfort tumb la kuharisha limenishka cji kurudia tena kupita hyo njia
@adinanikarata31155 жыл бұрын
Hapo mm napita kila kila Mara na fuso ya nyanya kutoka ilula daaah ila huwa sipazoei kabisa huo mlima ni noma kona Kali miteremko mikali afu pembamba huko bondeni sasa hadi Giza huoni chini
@eneolatukio84935 жыл бұрын
Minyoka kibao uko chini mamaa weee!!
@elizachota63615 жыл бұрын
Adinani karata naomba namba zako tuongee ishu 🤗
@hakikahoman6155 жыл бұрын
Nilikuwa napasikia tu kitonga ni mlima atari sana lakini nimejionea mwaka huu duuuuuuh. Alafu ni kipande kirefu sana
@eneolatukio84935 жыл бұрын
Hapo unasali sala zote zinamalizika na unarudia tena na tena hahhhaa. Hapaishi haraka
@lilianluhasi76855 жыл бұрын
@@eneolatukio8493 wala haitishi ukifika live utaona
@queenbhanji72235 жыл бұрын
mbn wala hapatishi sana ukija pita utajionea2
@hakikahoman6155 жыл бұрын
@@queenbhanji7223 nimesha pita hapo we si mchezo
@المهلهلالحراصي5 жыл бұрын
Hata mimi pia nimeshapita mlima kitonga nilikuwa natoka dar kwenda tunduma tena tulikuta lori la viazi batata limeanguka hapo hapo kilima kitonga
@ezrahgeorge39335 жыл бұрын
yaan kila nikitaka kwenda mbeya nikiwaza hapa aisee natokwa mpk vipele vya baridi yaan napaogopa sana hapa nakuwaga kimya nasali tu
@michaelsiweya65005 жыл бұрын
😁😁😁😁
@eneolatukio84935 жыл бұрын
Watu wengi wanaokokeaga hapa🤣🤣😂
@mariageorge47294 жыл бұрын
Wee acha tuu
@hemednassour47633 жыл бұрын
Jamani kitonga mbn pametrand sana kwan kuna nn uko
@christianmwashala2764 жыл бұрын
Basi mbn lipo taratibu angalia iyo semi trela nyuma ilivo tokeza kwenye Kona ndo noma
@pilymasoud19785 жыл бұрын
Mmmhu sitaki hata kuongea hiyo balabala,mng awatangurie madereva
@mtalifimbomusa13954 жыл бұрын
Iringa ni kwetu,iala nikitaka kwenda nyumbani nazunguka dodoma kuogopa huo mlima
@blackseason5994 жыл бұрын
Al Saedy huyooo DNN namba moja Dar -Mby anatelezaa tu Kitongaaa
@rajabmartojr33023 жыл бұрын
Sauli baba lao
@rashidahmed80714 жыл бұрын
Sikushangaa nilipopita nilistaaja kuona baskeli inashuka kwa speed na mapipa 3 ya ulanzi dah inatisha
@delsonandrew93304 жыл бұрын
Kuna roli linapanda Mwisho Hapo liko speed kwel
@dasilvajunior30164 жыл бұрын
umeona eeeh
@KorobianKapungu22 күн бұрын
Kipindi haujachongwa ulikua ni balaa sana lakikin kwasasa wamepunguza ajali sana
@jargontz35464 жыл бұрын
yah ik vzr
@israeleliah15685 жыл бұрын
Hua nikifika apa miguu hua inaisha nguvu sijui madereva hua wana kua na ujasiri gani
@evacharles94485 жыл бұрын
Haha huwa unahisi wajina Israel yupo karibu nini 😂 😂
@juliusphabian63364 жыл бұрын
Asa kama israel anahisi miguu kuisha nguv mm ni nani
@kadokemarco99665 жыл бұрын
Mbona cha mtoto nenda Nyang'horo Iringa-Dodoma, utasimulia vizuri, kuna kona za hatari.
@elmasroj97125 жыл бұрын
Nyang'oro uzuri wake hakuna mpando sehemu kubwa ni flati mipando ni michache sana
@Immatech2555 жыл бұрын
Apo pakawaida Sana hujakutana na Isuzu forward inapeleka nyanya dar ukisikiaaa stop engine imelia ujue kashamalza Kona. Kwa bus zinatembea adi sio pw ila usiombe bas liwe na wanawake watalia Lia umo atar
@polycarpmdemu35525 жыл бұрын
Pakawaida ukipalinganisha na wapi?
@caseyjason-ws3fr4 жыл бұрын
Yaani huu mlima ndo unanifanya nisiende Songea,serious kwanini hawachimbi katikati ,huo mlima si umekufa, si watengeneze Tunnel hapo katikati, au kuna nini, wajuaji naomba mnijuze,.......Nikirudi bongo ntapanda ndege kwenda Songea Dah balaa huo mlima,maana nikisikia ndugu wakiongea nasikiaga baridi la ajabu linanipata
@markmushi89402 жыл бұрын
Daah nlipitaga mwaka 1993 hadi leo ckupita tena
@dgt63035 жыл бұрын
Daah nikipapitaga huwa nazuga kulala ili nisione nje ila na ucngiz nao hauji
@batromeonassoro32735 жыл бұрын
Huyo mwenye roli wa mwisho mwisho kabisa mwenye kontena hiyo sped anayoshukanayo sio ya nchi hii khaaaa
@africanhappyadventure69515 жыл бұрын
Duuuuh. !kuna jemedari mmoja hapo naona ana sororesha kitu moja ya Blue bahari sijui anatembea kama yuko high way..
@beatricegadau94515 жыл бұрын
Wamezoea njia hzo
@beatricegadau94515 жыл бұрын
Duuuuh siku napita hapo niliumwa htr
@emmanuelmichael90875 жыл бұрын
Barabara ya Zege gharama yake ipo juu na sio chini kdogo km mwandis anavyosema hapo juu compared na rami yakawaida
Barabara za zege ni bei kubwa sana hata hiyo kitonga nahisi imejengwa kwa hela za wakorea au wajapan 😁😁😁
@yellooh5 жыл бұрын
Thank you.
@kanoa6455 жыл бұрын
Hapo kwenye rofauti ya zege na lami katika uendeshaji mhandisi kasaha kitu ADHESIVENES na friction kati ya gurudumu na surface
@asalasaad75684 жыл бұрын
Una masaa mangapi mpaka kuisha huo mlima. Kupandisha au kushusha???
@husseinmdoe88324 жыл бұрын
Duuh hizo basi ziko fast san
@PeterSaaja8 ай бұрын
Na kama gari inasimama kwa milima na unafaa kwasia kuhendesha
@allymbegu8685 жыл бұрын
Wazir anaehusika na haya mambo kuna haja ya kumtafuta huyo dereva wa hilo bus anatembeza kasi knoma
@omarymwenemti29455 жыл бұрын
Aaahh unamuonea wa basi,hujamuona huyo wa roli hapo mwisho anavyoshuka..!? Hata basi lingekuwepo lingepitwa😁😁maana nimemrudia mara tatu niene kama ajagonga kweli.
@allymbegu8685 жыл бұрын
@@omarymwenemti2945 😂🤣😂🤣
@aishaatamiminipoomaninimef20115 жыл бұрын
Nikienda songea nitapitia njia ya Kusini
@allthingdranabeauty5 жыл бұрын
Nendeni tu Duh ,kisa cha kufa kwa uwoga ,
@gladymndala10615 жыл бұрын
Aisee ni hatr silalgi nikifika sehemu hii hasa nikikumbuka tulinusurika kugongana na bus afu ss tuko kati nyuma na mbele woga mpaka leo ila dereva wa bus nahis wanaona kawaida maana hawapungiz mwendo😔😔😔😔
@saimonmkama78795 жыл бұрын
Kwa wale wenzangu wa mgeta morogolo tunasema kitonga ni mlima wa kawaida na kona chache sana
@z.nalnabhani71944 жыл бұрын
Ipo haja ya kujengea uzio mzito,utakao zuia gari kubiringia bondeni pindi ikitokea ajali,kilamwaka tunapoteza watu wengi serikali iangalie hilo,iache mengine ifanye hilo
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
Barabara Ni Pana sana
@0yh9645 жыл бұрын
Concrete ina gharama chini kidogo ukilindanisha na lami? How comes? Hapa amedanganya kabisaaa... Concrete ni barabara ya gharama na inadumu kwa miaka mingi kuliko lami ya kawaida.
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Tatizo huwa mnafanya vitu visivyo faa hivi cement tunayo kibao lakini barabarani mbona kijibarabara kifinyu mnoo na ajali ndio maana zipo kila mara kutokuwa na ubunifu mzuri.
hilo ni cha mtoto.nendeni karatu mkaangalie lilikoanzia huo mkondo wa creater.hapo kitonga ndio linamalizikia.tena limegawanyika.maeneo ya senkeke matawi ndio yamechanua pale semkeke.ma limeenda mpk jordan.na limeanzia ngorongoro Arusha.
@HeleneOyster3 ай бұрын
Upo sahihi kabisa bila chenga
@nyash25425 жыл бұрын
Mara ya kwanza kuingia Tanzania nikisifia sana sehemu hii kama sijakosea kama 25km kupanda na Axor 2543 waliita gari ndogo sivyo nilivyo zikata streamliner 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@emmanuelwille89333 жыл бұрын
Mabas yakifukuzan
@mariamm27243 жыл бұрын
Njia hiyo ya kitonga huwa naogopa mno japo nimepita mala kibao yaan nikishafika hapo maini na firigisi vinachanganyana
@anganilekajigilikajigili2641 Жыл бұрын
Hua unaendeshaga gar gani mkuu utupe lift 🎉
@geraldnyamaiswe5705 жыл бұрын
Wahandisi kwa nini wasifikirie kubomowa gema zaidi ili barabara iwe pana yaani upande wa kulia unapopandisha huo Mlima?
@shedrackmwaipopo2192 жыл бұрын
Ukipanua sana umesababsha mmomonyoko
@shabanimbaga89215 жыл бұрын
Kudadeki madereva wa kibongo tuna roho ngumu yani tunazunguka hapo kama kwenye tambarare 🤣🤣🤣🤣
@polycarpmdemu35525 жыл бұрын
Newforce ndio hutumia chance kuwapita waoga hapo 😁😁😁
@wbdsgamer_5 жыл бұрын
1:52 Naona AL SAEDY "DNN" inateleza na hizo kona tu😀😀😀
@dennissuarez94154 жыл бұрын
No D
@rajabmartojr33024 жыл бұрын
Al saedy masaa Sana
@magaritechnology54275 жыл бұрын
Dah millard ayo... Muhusika katika kuelezea hivyo vitu Inabidi umtafute Mr.kyando.. Binafsi sijapenda kwa kweli..
@jonkomba74065 жыл бұрын
Nazani watu hampajui mlima Chinambedo ... Nazan ndio panatisha zaidi ya kitonga.
@eneolatukio84935 жыл бұрын
Uko wapi huo mlima?
@shakiramkotya45984 жыл бұрын
Nilishawahi kupita jamani jaman niliogopa sana
@evacharles94485 жыл бұрын
Naiona Al Saedy Bus hiyo inashuka Kitonga
@lilym7045 жыл бұрын
Hiyo njiya yarab akili gani tengenezeni njiya 2 za kwenda na 2 za kurudi na iwe large ata ikitokewa kitu iwe fasi ya kusimama ni lorry ndo zinapita sio basckell hamna usalama
@ramadanadam80365 жыл бұрын
Ya dodoma ipo lkin hzo kona za nyang'oro bora upite kitonga tyu umbali mfupi tu pale
@tuonhfhgf16055 жыл бұрын
Mr.kyando msalimieni
@shangwehongole4515 жыл бұрын
Naikubali Sana alisaid ya jofuuuu
@bjzee19815 жыл бұрын
Cheki hilo basi linavyo kimbizwa kwenye hizo kona.
@hakikahoman6155 жыл бұрын
Na km ukiwa na roho ndogo ukifika iyo safaris wanakupeleka hospital moja kwa moja
@bullermgana2135 жыл бұрын
kuna dereva wa semi anashusha kama gari ndogo 4:34
@bjzee19815 жыл бұрын
@@bullermgana213 ni akili zao kweli au kuna ndumu imetumika hapo
@bullermgana2135 жыл бұрын
@@bjzee1981 hahaha
@mariyammuhammed44285 жыл бұрын
Natamani kwenda Mbeya lkn naogopa kitonga
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Sawasawa haya wale wakwetu iringa ndio home naomba like zenu
@hafsamchome67755 жыл бұрын
Mh mungu jaman anatunusuru wajawake
@ngenzisaid49585 жыл бұрын
watu wanalia sanaaaa kitonga kitonga mbn twapita kila day na hakuna chochote kile papo poa sanaa apo
@shedrackmwaipopo2192 жыл бұрын
Hilo semi vip uo mwendo
@elizamwaigombe24575 жыл бұрын
Mbeya pia kuna kona za mkoa, barabara ya kwenda chunya, mje mzione pia,
@lilianluhasi76855 жыл бұрын
Acha wivu
@elizamwaigombe24575 жыл бұрын
Lilian Luhasi sina wivu nawakaribishaa tuuuu
@lilianluhasi76855 жыл бұрын
@@elizamwaigombe2457 haya mpendwa nilikuwa natania tu
@elizamwaigombe24575 жыл бұрын
Lilian Luhasi asantee my dear
@kadokemarco99665 жыл бұрын
Mimi naona hizo kona za Mbeya-Chunya ni namba 1, 2 nyang'horo na 3 kitonga. Kitonga ni za kawaida sana.
@eltonmatary13454 жыл бұрын
Oya sio pw
@salehejongo27994 жыл бұрын
Kona kali sana.
@joelhassaninnocent17815 жыл бұрын
nakumbuka safari yangu nirifika mlima huo mvua ikanyesha ndio niriona mengi zaidi
@kubiluedward21905 жыл бұрын
Engineer katupa matango..sio kwel barabara ya zege ni cheap kuzid ya lami..na barabara ya zege ni bora kuliko lami...life span ya barabara ya zege ni 45yrs wakat lami ni 15yrs
@jaydanafricanboy27825 жыл бұрын
uyo dereva wa bus la bluu atafutwe awezi kushuka kitonga kwaspidi kama ivo au nimeona pekeangu
@andrewmziray22334 жыл бұрын
Kwa kosa gan mzee ? Hilo n bus sio truck .
@jaydanafricanboy27824 жыл бұрын
@@andrewmziray2233 anahatarisha maisha ya watu hapo kitong hatar babu
@agathathobias86905 жыл бұрын
No3
@dennischeyo13025 жыл бұрын
Tumezoa kupita huko toka 2005 mpka leo tunafuraia kupita kitonga
@lilianluhasi76855 жыл бұрын
Tena kumejaa vivutio vitupu
@bonifacemarwa64964 жыл бұрын
Nilipita hapa usiku wa saa nne nikitokea Iringa, nilikua nachungulia hilo bonde kwa uoga sana
@bonifacemarwa64964 жыл бұрын
Sasa Kuna ingine hiyo ya kupitia dodoma-mtera - Iringa nayo ni shida
@shijasagali51614 жыл бұрын
Hiyo barabara kitonga cha mtoto
@stephenmaithya139511 ай бұрын
Nithi bridge
@athumanswalehe6985 жыл бұрын
Namuona al saedy inachanja mbuga tu hapo hana hata was was
@agreytossi69785 жыл бұрын
Athuman Swalehe Al saedy anawah kufika mbeya Anaitoboa tyuu kitongaaaaaaa
@athumanswalehe6985 жыл бұрын
@@agreytossi6978 mjomba yupo masaaa sana
@yusuphjuma46385 жыл бұрын
Hao Al saed wanaenda sana na muda ila kwa kitonga hatar sana
@hundamaniamania8725 жыл бұрын
Sasa hakuna hta uzio pembeni duuh bas Sauzi itabaki kileleni
@soundstream29304 жыл бұрын
Kwa usajili wa Kampuni, Jina la biashara, Nembo ya biashara (Trade Mark), NGO,s, Churches, Barcodes kwa ajili ya bidhaa zako, Kubadili jina la Kampuni/ Biashara, Kubadili wamiliki wa Kampuni (Directors), Annual returns, International NGO,s zinazotaka kufanya kazi hapa Tanzania na mengineyo yahuduyo Kampuni tupigie sasa 0786 660 202 KARIBU SANA TUKUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU SANA NA WELEDI WA HALI YA JUU
@alphardthegreat88895 жыл бұрын
No1
@lydiathadeous66444 жыл бұрын
Wekend Uzio jamani
@maisaramaulid46685 жыл бұрын
Kunatisha sn
@amribudi78705 жыл бұрын
Suala lingine taili ni rahisi kupasuka kwenye barabara ya zege kuliko kwenye lami
@0yh9645 жыл бұрын
Exact... zege inakula sana tairi kwanza
@hamismalimungu99595 жыл бұрын
Maeneo maku😂😂
@minjacsd18745 жыл бұрын
No 5
@lilianluhasi76855 жыл бұрын
Ukipita unatalii tu
@micamathew64335 жыл бұрын
Lkn hiyo barabara inatakiwa kupanuliwa bana, angalau iwe na njia tatu. Maana hiyo eneo la barabara ni finyu mno...hadi magari yanakaribia kugusana..hiyo ni hatari.
@hakikahoman6155 жыл бұрын
My pale unatanuwa wapi au ujawai kupanda hapo
@صخرهثابته5 жыл бұрын
@@hakikahoman615 hawapajuwi kitonga
@micamathew64335 жыл бұрын
@@hakikahoman615 my huo mlima unakatwa had raha, wakiamua wanaweza kabisa.
@micamathew64335 жыл бұрын
@@hakikahoman615 weka namba yako hapa nikuelezee
@bjzee19815 жыл бұрын
Waki ongezea si ndio watakibiza kama wako kwenye mashindano
@milelestudios10504 жыл бұрын
Gonga like kama umeelewa zaidi
@magnusmlowe86345 жыл бұрын
Nami
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
Inavutia Sana kitonga ndiyo maana nako watalii Ni wengi sana