UFUNGUZI HOTEL YA MTUME MWAMPOSA G7 WONDERS MBEYA

  Рет қаралды 64,763

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Жыл бұрын

Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
KZbin : kzbin.info?su...
#ChomozaTv#2022

Пікірлер: 187
@prophetnkoronko1990
@prophetnkoronko1990 Жыл бұрын
Watu wengi wanamtazamo kwamba watumishi hawawezi kufanikiwa ,acha Mungu amuinue zaidi ,
@evamkonyi1642
@evamkonyi1642 Жыл бұрын
BINADAAMU kazi sana....mlitaka Asifanikiwe ili mseme,,, biblia inasema baba yetu wa imani Alikuwa Tajiri wa pesa na mali....uishi miaka mingi mtumshi wa MUNGU mwamposa umefanyika baraka sana kwa mamilioni wanakufatilia Amina
@evamkonyi1642
@evamkonyi1642 Жыл бұрын
Hongera my dday.....MUNGU Aendelee kukuinua kama baba yangu Anavyozidiwa na mafanikio ndivyo nitakavyozidiwa na mafanikie kwa jina la YESU
@dianamakyara4210
@dianamakyara4210 Жыл бұрын
Acheni kuwasema watumishi wa Mungu,Kwa Nini wao wakifanikiwa mnachanganyikiwa,Mungu anaemtumikia ni tajiri sio maskini,nampongeza sana Mwamposa,natamani Kila mkoa ujenge hotel vijana wa Tanzania wapate Ajira. Hongera sana Mwamposa
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Kwaio mungu anambaliki yeye tu. Waumini mungu hawasikii maombiyao? acheni hizo. Tambuenikua dunia itakunjwa kama karatasi. Nyie jisahauni namapambo yadunia siku inakuja
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 9 ай бұрын
Siku yoyote ile Mungu akinijaalia nitafika hotelini hapo kwa mtumishi ,kwani ina mandhari mazuri sana,ubarikiwe mtumishi.
@xhamzy
@xhamzy Жыл бұрын
nabii na hotel ni vitu viwili tofauti unaacha kujenga nyumba za ibada munafanya dini kitega uchumi
@gideongerald2846
@gideongerald2846 Жыл бұрын
Kwani YESU alijenga wapi kanisa?
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Na wewe anzisha dhehebu la kwako ili upate sadaka
@denismlwati3285
@denismlwati3285 Жыл бұрын
Nashangaa sana
@angeldenis8262
@angeldenis8262 Жыл бұрын
Una kazi ya kufanya acha rongorongo
@princetygah_inspiration5912
@princetygah_inspiration5912 Жыл бұрын
Kashapga hela zake za maji.. Alizo changiwa na akina mama... fresh..
@eaglecrown6470
@eaglecrown6470 Жыл бұрын
Kwenda huko
@geofreyg.mtensa4559
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
@@eaglecrown6470 jamaa kasema ukwel, apo watu watazini, zitauzwa pombe, daaah ...mashaka nishayapata mm
@eaglecrown6470
@eaglecrown6470 Жыл бұрын
@@geofreyg.mtensa4559 MUNGU wa kweli atajibu juu ya nafsi zao kumhusu MUNGU wa kweli.
@neemagidion302
@neemagidion302 Жыл бұрын
Matunda mazuri sana Kumtumikia Mungu kuna faida be blessed more my spiritual father
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 Жыл бұрын
Maskini ya Mungu,watu wanakimbilia mafuta kumbe wengine wanaingiza siku🤣
@msuhahappy7016
@msuhahappy7016 Жыл бұрын
Unasahau kuna wema wake hapo kuna ndugu zetu wanapata ajira mtumish kaajir watu weng mno wanakula na kusomesha kupitia yeye bado wafanya biashara kawe wapo kwa kuwa yupo wanapata kipato na maisha yanasonga mnapojadili angalien mmeisaidia jamii kwa kias gani
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow 11 ай бұрын
Ukifanya kazi na mungu lazima upewe vitu vikubwa namarifa yajuu ulitaka asibarikiwe
@mankacharles4559
@mankacharles4559 Жыл бұрын
Za kuambiwa changanya na za kwako
@vikimartin9441
@vikimartin9441 Жыл бұрын
Kiukweli,mwaka Huu,2023 nikipata kibali Cha kwenda mlima wa maamuzi MBEYA na Mungu akanipa mume na ndoa, nitatamani honeymoon iwe G7.
@Summerbtz
@Summerbtz Жыл бұрын
Mungu akupe haja ya moyo wako Pokea kibali mwaka huu mwaka ukawe na neema na baraka kwako
@edwinmbwilo6128
@edwinmbwilo6128 Жыл бұрын
Huo mlima wa maamuzi unaitwaje?
@salmahassan3521
@salmahassan3521 Жыл бұрын
ukitoka uko honeymoon na majini ya mafarakano kibao
@sophiekinyonga3182
@sophiekinyonga3182 Жыл бұрын
@@salmahassan3521 ni vem kuw kimy
@danieljonathan6619
@danieljonathan6619 Жыл бұрын
Kwenda kuzoa mapepo ya uzinzi
@ruthmosesmasanja6502
@ruthmosesmasanja6502 Жыл бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukuinua. Tunakuombea sana baba yetu
@paulmbogo2141
@paulmbogo2141 Жыл бұрын
Hotel nzuri Sana, ila sijuwi kwanini nawiwa kuona hii GHARAMA ILIYOTUMIKA HAPA, INGEKUA NI JENGO LA IBADA, YAANI MBEYA NZIMA TUKASEMA HAKUNA JENGO KUBWA, ZURI LA KISASA KAMA YA AKINA OYEDEPO, TB JOSHUA N.K, MBEYA AU TANZANIA NZIMA, MTUME ANA WAFUASI WENGI, ASISAHAU NYUMBA ZA IBADA!!
@happinesslugiko2150
@happinesslugiko2150 Жыл бұрын
Unaijua miradi ya hao ulowataja?
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 8 күн бұрын
Mmmhhh jamani haya ni ya dunia tu yanapita tutaandamana na matndo tetutu mena
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 Жыл бұрын
Hotel ni nzuri,uwekezaji ni mzuri. Chanzo cha pesa za uwekezaji ndio shida. Hivi hii hotel mmiliki ni kanisa ama ni mtume,kama ni mtume haya bwana
@alenyema7738
@alenyema7738 Жыл бұрын
Ukiona rahisi na wewe kuwa mtume mkuu
@roselugendo6943
@roselugendo6943 Жыл бұрын
Hongera baba. Mungu azidi kukuinua
@marynice318
@marynice318 Жыл бұрын
Hungera baba 🙌❤️❤️ nataka na mimi nibalikiwe kama wewe kwenye mazabao yako ninayo sari nipate majumba magari viwanja pesa nyinge💸na za kuwasaidia watu wasio jiweza
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 9 ай бұрын
Great Hotel! God bless his servant. Hii ni baraka.
@yasinijuma6646
@yasinijuma6646 Жыл бұрын
Ameen ameen na mimi naomba MUNGU unibariki nifaye mambo makubwa bila kujali maneno ya wakosaji
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi, MUNGU akuzidishe sana kama sulemani
@wiliamvicentewiliam4903
@wiliamvicentewiliam4903 Жыл бұрын
Mwamposa Mungu wa mbinguni YESU Cristo akusamehee sana.ibu rudi kwenye ukweli uwo ni winzi tupu
@IssaIbrahimu-gw5cs
@IssaIbrahimu-gw5cs 3 ай бұрын
Na mimi nitafanya mambo makubwa kwa jina la Yesu kristo
@marthamahule3346
@marthamahule3346 Жыл бұрын
Waooo!! Waooo! What a big blessings to area people!! May his name be glorified, Be blessed Apostle for such Investment, So wonderful 🤣🙏
@margaretkapolesya3979
@margaretkapolesya3979 Жыл бұрын
Congratulations Daddy...MUNGU AZIDI kuzibariki kazi za MIKONO yako
@shashikantgajjar8941
@shashikantgajjar8941 Жыл бұрын
Nice Congratulations Baba
@BettyMsongole
@BettyMsongole 4 ай бұрын
Hongera baba tunaiona huduma yako inatuponya wengi
@elishaobadia8829
@elishaobadia8829 Жыл бұрын
Pesa za maskin Wanao LALa na njaa
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 Жыл бұрын
😄😄😄😄
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Жыл бұрын
Najiulizza hii Hotel si inaweza kuwa chanzo cha uzinzi?Natamani angewekeza kingine hata shule chuo,hosp,bank, etc.
@danieljonathan6619
@danieljonathan6619 Жыл бұрын
Umeonaeeee uzinzi mtupu humo
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 Жыл бұрын
Wewe simzinzi lazima uwaze uzinzi
@atmcademy5435
@atmcademy5435 Жыл бұрын
Kwan izo biashara ulizotaj aziwez kuwa chanzo cha maovu ..au upeo wa kufikir n mdogo..unakuw km yuda alivyomshauri Yesu...tuuze tugawie maskini
@benondominic1475
@benondominic1475 Жыл бұрын
Shule wanafunzi ushoga.. hospital wanatoa Mimba..chuo ndio usisesema kila kitu kimekaa kimauv 😃
@nsajirobert
@nsajirobert Жыл бұрын
Sophia kimaro inategemea kuna siku moja nililala lodge moja karibu na stand kuu pale mbeya kama huna ndoa huwez lala na mwanamke pale ni utaratibu walio jiwekea
@jamesjanuary6707
@jamesjanuary6707 Жыл бұрын
Mimi nasikitika watumishi wa Mungu kujenga sehemu ya kufanyia uzinzi
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
True Kwan ye amejenga kwa ajili ya Kaz ya uyo mungu wake,anemjuwa yye
@AvatiNdoghwe-od4hp
@AvatiNdoghwe-od4hp Жыл бұрын
Mcheza kwao hutunzwa mtumishi mungu akutunze niombee namimi nifanikiwe pamoja na Imani yangu nimefurahi sans hoteli nzr sans ameni
@fellisianholle9431
@fellisianholle9431 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@nsibwenekaswaga6267
@nsibwenekaswaga6267 Жыл бұрын
Be blessed
@romanafrancis265
@romanafrancis265 Жыл бұрын
Mungu kakubariki kama alivyo mbariki Ibrahim, so usijali maneno ya wanadamu, hawakosagi lakusema, kama wanajua ulitapeli ndo ukawa tajiri nao siwakatapeli kwani utajiri hawautaki,
@PillyjoshuaJoshuamahinja
@PillyjoshuaJoshuamahinja 6 ай бұрын
Naomba kazi hapo hotel
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow 11 ай бұрын
Hongera yake ❤❤❤❤❤
@floramongi1410
@floramongi1410 10 ай бұрын
Yesu akasememaq enendeni duniani mkaihubiri injili mkawafanye watu kuwa wanafunzi wangu wala msiitamani dunia na mambo yaharibikayo msipende fedha muwe na kiasi kwani hayo yote ni ubatili
@floramongi1410
@floramongi1410 10 ай бұрын
Kwani hajajenga kanisa basi ni shida Mungu alisema katika malaki majenga nyumba nzuri mvua ikinyesha mnaiacha nyumba ya Bwana mnakimbilia nyumba zenu nzuri jamani!!!!!!!!!
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Жыл бұрын
Ni hatari yaani hela tulizopigwa na kudanganywa yeye anajenga hotel sisi tunapokea kwa imani.Mwamposa mwamposa mnatuibia
@evelynekomba7216
@evelynekomba7216 Жыл бұрын
Ha haahaa jameniii
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Sema naibiwa acha kutujumuisha tunaobarikiwa we vip 😏
@liberatimsoma9742
@liberatimsoma9742 Жыл бұрын
Acha roho ya chuki ndugu. Usishindane na mtumishi wa bwana. Acha awe mfano mzuri nakwa watumishi wengine wajue mali na vitu vyote vya dunia vinatoka kwa mwenyezi Mungu.
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Жыл бұрын
@@liberatimsoma9742 Yaani wewe anavyotuuzia mafuta na maji unaona sawa.Afungue kiwanda cha mafuta auze ya kupikia ila siyo ya upako wakupata hela halafu yeye tunampatia hela.Siyo vzr
@floramongi1410
@floramongi1410 10 ай бұрын
Kama ni mtumishi mbona alisababisha wachagga wakafa vile na hakufanywa chochote hata kakobe alivuma sana lakini Yako walk tunajua utjiri na heshima vinatoka Kwa Mungu ila sio wa kuuza neno la Mungu
@sophiekinyonga3182
@sophiekinyonga3182 Жыл бұрын
Mungu akikuinua uinuka maadui sishangai hilo mungu azid kukubarik mtumish kwan umefnyika barak kweny familia yangu
@danieljonathan6619
@danieljonathan6619 Жыл бұрын
Watumishi wa mungu nao wanajenga majumba ya uzinzi!!!! Mungu tuponye,watu kujidanganya eti kitu cha thamani ni mali hapana cha thamani ni Roho anayoitafuta Mungu kila siku,acheni upumbavu kusema kabarikiwa mwizi huyo.
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 Жыл бұрын
Mungu tupe akili ya kung'amua mambo
@meeknessmaziku2156
@meeknessmaziku2156 Жыл бұрын
Hii inaweza kuwa imepandishwa Kama ilivyo kutoka kuzimu! Ata sishagai😳
@sophiekinyonga3182
@sophiekinyonga3182 Жыл бұрын
Imeandikwa kwenye biblia na abarikiwe akubarikie na walaaniwe wakulaanio Jambo usilolijua n vema kukaa kimy au omb mungu akupe hekim unawez kubeba laan bila kujijua mwenzen apiganag wala kushindan na mtu anashindaniw n Bwana, Mungu naomb nifundishe kunyamaza
@floramongi1410
@floramongi1410 10 ай бұрын
Tunachoshangaa Kwanini anauza hago Mami na kuyaita yaupako yananini
@floramongi1410
@floramongi1410 10 ай бұрын
Sisi hatuna wivu hata sisi tumejenga ila ukweli utajulikana kama alivyosema yoshua naijulikane leo Mungu wenu na Mungu wenu nani ni Mungu wa kweli
@denismlwati3285
@denismlwati3285 Жыл бұрын
Wanaofanikiwa kwa Hawa jamaa wahuni labda udange na uibe bila ivyo utaishia kua maskini tu mpaka mwisho
@angeldenis8262
@angeldenis8262 Жыл бұрын
Shda zako ndo zinakusubua
@shujaanduna2050
@shujaanduna2050 Жыл бұрын
Wanamchangia wamebaki maskini ye anatajirika.Kwa kuuza neno la mungu na maji,mafuta,nk na miujiza ya kishetani.
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Ushindwe wewe ndo maskini.... Shubamiti zako mimi nachangia ipasavyo na MUNGU kanibariki pakubwa tu kulingana na kujituma kwangu.... ACHA mawazo ya kifukara.... Inuka na ungaze wewe
@wilfredisack6447
@wilfredisack6447 Жыл бұрын
Kuwa mtume na ww uchangiwe kama n rahc ... utume n wito..Sio biashar kama unavyofkiria
@hildamsumal8628
@hildamsumal8628 Жыл бұрын
unauhakika naunacho ongea au ndio roho yaki maskini inakusumbua.tafuta hela uwache kusumbuliwa na mafanikio ya watu 😏😏
@sophiekinyonga3182
@sophiekinyonga3182 Жыл бұрын
Mawaz yako n pumba unapotoa ndipo unapobarikiw ujaijua hiyo Siri? Bak n mia mbili yako uiban kam utaongezeka tutampa mpka mwisho we waumia wap ushindwe kwa jin la yesu
@adventinarwegasira2341
@adventinarwegasira2341 Жыл бұрын
Majibu ulojibiwa nadhani yamekutoshaaa
@emmanueljosephati3192
@emmanueljosephati3192 Жыл бұрын
Yeye anawapa maji Mnapa pesa and then anajega maotel wajiga ndo waliwao huyu agent wa shetani kibieni tafuteni ijili ya kwel abayo inawahimiza kufanya toba na kwenda mbiguni!?
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Mama angu umwambii kitu nipesa akose tu ndio hatoenda
@happysophyr.mbasha2339
@happysophyr.mbasha2339 Жыл бұрын
Siyo kosa lako, ndo kiwango chako cha kufikiri. Nahuko mbinguni utafika ukiwa hoi sana, maana unaishi kwa kukariri
@sophiekinyonga3182
@sophiekinyonga3182 Жыл бұрын
Vp sis tunaoyaombea maj n mafut ya kupikia yakiw nyumban na tukapokea kufunguliw uponyaj uchum app tunamtajirisha nn unaropokwa tu wewe mtafute mungu kwa bidii ayo yote utazidishiw
@fredaandrea303
@fredaandrea303 7 ай бұрын
Wengne hata hatujawah hata kufika ila tunasaidika sanaa kwa iman hakuna mkamilif ni Mungu peke
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Mwenye macho haambiwi ona, jamani tufungue macho . Kama asemavyo yeye mwenyewe "SHINE YOUR EYES '
@adriankamareck8151
@adriankamareck8151 Жыл бұрын
Inapendeza nzuli
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 10 ай бұрын
Mtumshi hongera
@yasinijuma6646
@yasinijuma6646 Жыл бұрын
we love you Mwamposa
@user-kb8wv6kg8g
@user-kb8wv6kg8g Ай бұрын
Mbona watu wanafunguliwa? Mnapata mafanikio? Msihukumu Mungu njia zake hazitafutikani amempa zawadi ya kazi zake mtajuaje?
@marthakimia4075
@marthakimia4075 Жыл бұрын
Mungu atubariki sana pamoja na mtumishi wetu wa Mungu. Mungu atakupa zaidi na zaidi in Jesus's Name
@eliudezekiel8615
@eliudezekiel8615 10 ай бұрын
Mwamposaa ungefunguwa hata hospital kubwaaaa ningesema sawaa ilaaaaa mh
@osanamgallah4297
@osanamgallah4297 Жыл бұрын
PESA mnazo tapeli watu wala sio mkono wa Mungu wa mbinguni.. Endelea kupotosha watu ili uendelee kujinufaisha na familia yako ..utalipwa na Mungu
@liberatimsoma9742
@liberatimsoma9742 Жыл бұрын
Ndugu uyo Mungu unaye muongelea ambaye sio wa mwamposa anaye mhubiri ni yupi uyo tunaomba somo. Kama huna mwombe msamaha muumba wako usimkufuru Mungu kwa kukejeli watumishi wake. Uwekezaji ni ajira kwa wengi pia serikali itapata kodi ambazo zinasaidia taifa kwa ujumla pasipo kubagua yeyote.
@denismlwati3285
@denismlwati3285 Жыл бұрын
Eti muhubiri nabii ana mahotel duu Atari sana
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
Wewe famba kweli unaongea pumba gan unataka wasifanikiwe kwenda huko na roho yako ya umaskini
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
@@denismlwati3285 ww ulitakaje awe maskini mbna maagent wa kuzimu wakifanikiwa hampig kelele nyie ndo wachawi wenyewe msiotaka WANA WA MUNGU wafanikiwe halaf mnajiita wakristo, nyie ni makristo wa uongo hamn maana katika kuujenga UFALME WA YESU KRISTO bali ni kuubomoa
@osanamgallah4297
@osanamgallah4297 Жыл бұрын
@@Churchofecclesia huyo ni WAKALA WA SHETANI hakuna mtumishi hapoo...WAKALA WA KUZIMU...funguka machooo..
@lidyateddy6950
@lidyateddy6950 Жыл бұрын
Watu mnalaumu bure huo ni wivu wa maendeleo,Sasa kama mwamposa kapewa kibali na anaweza kubariki wengine na wakapata baraka teletele Sasa kwann yeye asiwe baba wa mfano wa baraka hizo 🥰watoto ndio tunatakiwa kufuata mfano huu nakuziteka baraka.kanisa zuri ni kweli tunatamani lakini Kama alivo sema tunahitaji umakini mkubwa na eneo kubwa kwa maana inabidi kujenga kanisa kubwa bila kubomoa bomoa watu wanazidi kuongezeka kila siku,Mimi naamini kuhusu kanisa mtume analifikiria na tuombe Mungu amuwezeshe afanye Jambo juu ujenzi huo.
@evangelistdanielsenyagwa4018
@evangelistdanielsenyagwa4018 Жыл бұрын
😂😂😭😭
@admirabilismallaso9468
@admirabilismallaso9468 Жыл бұрын
Mitume na manabii wa kale walijilimbikizia mali namna hii? Nauliza tu msijeniumiza
@admirabilismallaso9468
@admirabilismallaso9468 Жыл бұрын
Mitume na manabii wa kale walijilimbikizia mali namna hii? Nauliza tu msijeniumiza
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Waambie wachawi hao watapigwa na majeshi yasiooneka hao akina Yuda
@lidyateddy6950
@lidyateddy6950 Жыл бұрын
@@shukujaibu7143 na watajikuta na manundu kwa kudundwa na majeshi yasiyo onekana🤣🤣🤣mlitaka awe masikini?Soma biblia vizuri wewe unaesema mitume na manabii eti walikuwa masikini🙄🙄🙄hakuna mtume au nabii aliye kuwa masikini na nilazima wale madhabahuni🤪🤪🤪
@abigailbateyunga8187
@abigailbateyunga8187 Жыл бұрын
Thanks 👏💯 Dad be blessed 🍾🍾🎁
@mkambatoleojipya5710
@mkambatoleojipya5710 Жыл бұрын
Wote wanao saport mafanikio ya huyu jambazi wa kutumia akili ni wale wanao umia na mafanikio yake wenyewe wanabaki kusubiri pokea miujiza kwa kukanyaga mafuta na kujitoa sadaka wao wenyewe kwa mafanikio ya mwenzao polen sana kwani mnaangamia kwa kukosa maarifa , 😭😭😭😭😭
@suzanafransis1449
@suzanafransis1449 Жыл бұрын
Hongera sana mtume mungu afanye Jambo lingine zaidi ya hili
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Full busness time
@geofreyg.mtensa4559
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
Ila Mwamposa ww ni mchungaji wng, huu mwaka wa 7 sasa, naomba jenga kanisa DAR la kisasa, hatuna kanisa mahalumu paster
@oscarmgeradinukauangaze1130
@oscarmgeradinukauangaze1130 Жыл бұрын
Mpendwa mtume aliwahi kusema ukijenga kanisa NIKAMA unemuwekea mungu ukomo wa watu unao wataka kwaiyo mpaka Sasa navo kwambia mpaka mafunuo yafanye kazi yake
@geofreyg.mtensa4559
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
Ayo mafunuo ya kutomjengea Mungu nyumba ya ibada sio kweli mtumishi, sisi km waumin tunapenda tutulie sehemu 1, ipo cku ata kawe twaweza kuhamishwa
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 Жыл бұрын
Waaaumini huwa mnahama Makanisa, mnatanga tanga kutafta miujiza. Mnyakyusa kawashtukia, ameona bora ajenge NSSF yake ya Uzeeni. Big up Mwamposa. Hivi, Kwa hiyo Hotel, Kuna UGIMBI???
@msuhahappy7016
@msuhahappy7016 Жыл бұрын
Mwaka 2022 alisema anatafuta eneo kubwa la kanisa la kwake nazan n issue ya mda
@tajimwambole3115
@tajimwambole3115 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwa kweli .kesho wapo kwa musa kesho kwa mzee wa upako .
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Shida siyo kuwekeza,vyanzo vya mapato,njia anazopatia na matokeo yake Hilo ndilo tatizo" neno liko wazi mtawatambua kwa matunda yao'
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 Жыл бұрын
Mimi ndio maana nimeacha kutolea Sadaka kwa watu wa stahili za kukanyaga mafuta
@amosidamian7273
@amosidamian7273 Жыл бұрын
Angejenga nyumba ya ibada amejenga nyumba yawashalati wazinifu Sasa nn amefanya ndo ataendelea kupnga kawe kweli nihatali kabisa
@AlfaniMohammed-zk1hn
@AlfaniMohammed-zk1hn Ай бұрын
Sadaka za maji ya upako
@siajohn6866
@siajohn6866 Жыл бұрын
Glory to God,, bless bless bless 🙏🙏🙏
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow 11 ай бұрын
Mwamposa afungue kanisa jamani
@rosekigombola7737
@rosekigombola7737 Жыл бұрын
Glory To GOD Above All.. Congrats Dad.. We ar Soo Proud of U Spiritual Dad.. Always 🌹 💖
@marryamos6526
@marryamos6526 Жыл бұрын
Hotel sio yake jamani kapewa heshima ya ufunguzi tu na maombi kwa ujumla roho zimewatoka wengine lol mh
@harrieth56
@harrieth56 Жыл бұрын
Hongera sana Apostle Boniface Mwamposa, KAZI yako ni njema, umekumbuka nyumbani
@harrieth56
@harrieth56 Жыл бұрын
Namwomba Mungu anipe KIBALI nitembelee G7 WONDERS within the First Six Months of 2023 na yule Partner wangu wa AHADÌ, LM, NILIYEPEWA NA MUNGU BAADA YA MIAKA MINGI YA KUMLILIA MUNGU.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Ubatili mtupuu.
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow 11 ай бұрын
Maarifa sindio hayo ukibari nawe utabarikiwa
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Жыл бұрын
Vipi hapo bia zitakuwepo ama
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Razma ziwepo
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Жыл бұрын
Ukipata jibu nishutue
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Kama ni halali ni vema la sivyo MATH:7:15-25;inamhusu
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 11 ай бұрын
Sadaka za walala hoi
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 Жыл бұрын
Mimi nawashangaa siyo kila mtu Ana neema hii ukisema mafuta ya mwamposa ni bei sw na bure ni elf tu kulinganisha bei za wengine maji hauzi ni wewe unabeba hiyo ni akili yake tu km wewe unavyopigana na ndoto zako
@saumsaum1916
@saumsaum1916 Жыл бұрын
Si angejenga hospitali ya wagonjwa au kituo cha kulelea watoto yatima kwl mpako una nguvu
@aminamollel3571
@aminamollel3571 4 ай бұрын
Oooh god Bless you My dad, Mungu akuinue zaidi na Zaidi ni furaha ilioje Acha Mungu Aitwe Mungu, Barikiwa Zaidi❤❤❤
@nsibwenekaswaga6267
@nsibwenekaswaga6267 Жыл бұрын
Nimefurahi sana kwa kuona hii hotel iliyojengwa na mzawa
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 Жыл бұрын
Nani aliwaambia kuna mitume iliyo hai hadi leo? Punguzeni laana makafiri nyie.
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 Жыл бұрын
Hotel ya mtume misba mkubwa
@rubefabi8366
@rubefabi8366 Жыл бұрын
Ana haki ya kujenga chupa za mafuta 100000×2000=? Kwa kongamano la mkoa mmoja mara mikoa kadhaa ni tsh ngapi bila kodi yoyote.
@mariaclaver7721
@mariaclaver7721 Жыл бұрын
Msome ujinga wenu mtakao lala humo no ninyi mliomchangia kwa mafuta, mwishowe anachukua roho zenu maskini nyieee.
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Acheni wivu machoko
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Hubiri na wewe uza maji na mafuta ujenge heshima var
@lidyateddy6950
@lidyateddy6950 Жыл бұрын
Uza na wewe tununue
@joycejames3892
@joycejames3892 Жыл бұрын
Mungu akuinuwe kwa viwango vya juu zaidi ya hapo mtume uliye retwa na mungu kutukomboa sisi na kutujenga kiimani. Ameen🙏🙏🙏🙏
@dinalema732
@dinalema732 Жыл бұрын
Hela za mafuta ya maji ya kuuza..kwa wajinga.....WAJINGA NDIO WALIWAO.....KADANGANYA HADI KAJENIGA HOTELI WATU WAZINI HUKO VZR..
@angeldenis8262
@angeldenis8262 Жыл бұрын
Ayakuusuu fanya yako
@danieljonathan6619
@danieljonathan6619 Жыл бұрын
Washirika wake wamesaidia uzinzi ufanyike vizuri watatoa hesabu siku zinakuja asema BWANA wa Majeshi.
@danieljonathan6619
@danieljonathan6619 Жыл бұрын
@@angeldenis8262 nawewe umeshaliwaaaa
@angeldenis8262
@angeldenis8262 Жыл бұрын
@@danieljonathan6619 mh una jipy wat tunapambana atukai na majungu
@mariamdarwesh4388
@mariamdarwesh4388 Жыл бұрын
Wajinga ndy waliwao!!! Na wajinga hawaishi kila siku wanazaliwa
@fredaandrea303
@fredaandrea303 7 ай бұрын
Usihukum tu kwan hapana mkamilif haraf hayo ni maono yakoo na uelewa wako hasa kuna wengne hata hatujawah kufikaa hata kutoa hata mia ila iman tu imetuponyaa acha kuhukum
@adamzablon8939
@adamzablon8939 Жыл бұрын
Kama kutapeli watu ni rahisi nawewe fungua kanisa ukawatapeli.
@neemagidion302
@neemagidion302 Жыл бұрын
Kabisa
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow 11 ай бұрын
Mwamposa afungue kanisa jamani
"Mawazo" Sehemu Ya 64 Thoughts Dr Elie VD Waminia
41:52
Chomoza Tv
Рет қаралды 586
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 59 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 14 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
MKUU WA MKOA FEKI AKAMATWA MBEYA, ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI!
4:37
Откуда эти паучки??? @zackdfilms - автор анимации.
0:29
Время знаний
Рет қаралды 3,6 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 24 МЛН
LEVITATING MAGIC REVEALED 😱😳
0:18
Milaad K
Рет қаралды 33 МЛН
Rabbit doesn't know who hit her#Short #Officer Rabbit #angel
0:46
兔子警官
Рет қаралды 20 МЛН
And who would you choose?👇
0:20
Kitty Power
Рет қаралды 14 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 26 МЛН