🔴

  Рет қаралды 37,388

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live: RC MAKONDA YUKO WAPI? WAZIRI MASAUNI KUHUSU UTEKAJI na UHALIFU -SAMIA ANAUPIGA -TLS PAMOTO...| FRONT PAGE
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
Karibu kutazama na kusikiliza na kutazama Kipindi cha FRONT PAGE kila siku kuanzia JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia Saa 2:30 Asubuhi...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 739 750 910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 36
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@robertdonart7221
@robertdonart7221 2 ай бұрын
Mnapokuwa mnajadili peyaneni nafasi ya kuongea . Na siyo kuingiliana . Aongee mmoja wengine wanyamaze . Akimaliza aongee mwingine.
@عبداللهباحميد-ن4ق
@عبداللهباحميد-ن4ق 2 ай бұрын
Huyu Bro Mwenye Shati Nyekundu Uko Sawa Weka Maneno Wazi
@Rwegasila-i1w
@Rwegasila-i1w 2 ай бұрын
Mtanzania tunapenda sana siasa unaulizwa hiki hunajibu kile kila mtu anakichwa chake kutokuwa Arusha siyo kutokujua taarifa ya kiongozi akipotea kwenye majukumu yake
@AndrewShiratu
@AndrewShiratu 2 ай бұрын
Jamani.mi napendekeza maoni yangu.makonda kwao ni igoma mwanza karibu na stend ya magu.ndipo baba au family yake inapoishi. Wandishi wa hbr safirini mpaka hapo mkaujue ukweri.
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 2 ай бұрын
Bring back our lovely Makonda!!!
@Rwegasila-i1w
@Rwegasila-i1w 2 ай бұрын
Sijawaelewa sana ninyi watangazaji mnatupeleka mbele mnatuludisha nyuma toeni majibu sahii acheni siasa
@chrissamani7921
@chrissamani7921 2 ай бұрын
Where is Makonda??????
@KinyeKiboko
@KinyeKiboko 2 ай бұрын
Kinye kiongozi ni mfuasi mfuasi ni kiongozi ni muhimu kujua mkuu wako aliko
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 2 ай бұрын
Acha uchawa ww kama MTU ayupo serikalini ndio asimuhulizie kiongozi ambae NI muadilifu
@AmosmasanjaChendegele
@AmosmasanjaChendegele 2 ай бұрын
Dhh nimemic kumuona mkuu wangu makonda
@MagehemaGodfrey
@MagehemaGodfrey 2 ай бұрын
Nyie waandishi mna tatizo kazi maalumu siri hizi sio lazima mjue
@MagehemaGodfrey
@MagehemaGodfrey 2 ай бұрын
Hayo unayotaka mkt utatengeneza shida hauna ed
@KinyeKiboko
@KinyeKiboko 2 ай бұрын
Nyie ikishikwa ughaibuni kwa nini raisi akuhangaikie tatizo ni kutokupewa taarifa tu
@babukije268
@babukije268 2 ай бұрын
Chalamila akifa poa makonda ni kiongozi wa nchi nzima lazima tujue yupo wapi
@shamzone388
@shamzone388 2 ай бұрын
Anayo sema ni kweli kwani tukijua tutapata faida gani Mungu atulinde soote
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 2 ай бұрын
unamanisha nini???
@GidionKombe-h1p
@GidionKombe-h1p 2 ай бұрын
Nawashukuru hapo studio
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 2 ай бұрын
Subirini mishahar tu hapo
@mwanache
@mwanache 2 ай бұрын
This is absurd… swali la kijinga kabisa “eti inakusaidia nini ukijua kuwa Rais au kiongozi wako anaumwa”… ni Rais wa nchi na anasimamia mambo makumbwa ya nchi ikiwa pamoja na siri za nchi, mikataba, uteuzi wa viongozi, mali za nchi nk hivyo ni lazima wananchi wake wajue ni nani anakaimu shughuli za nchi wakati kiongozi anaumwa au yupo likizo nk. Na haya yote yapo kwenye kanuni na taratibu za uongozi. The sooner the better… kutotoa taarifa siku moja au mbili it’s okay kwa sababu ya kushughulikia mambo ya nani anashughulikia nini na taratibu za kukabidhiana madaraka… Ila mnaakaa wiki mbili hamjatoa taarifa that’s crazy and unacceptable 🤷🏿‍♂️
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Wa Tanganyika Tatizo shule,c vibaya wt kujua hali y mkuu,ili tujifunze maisha,juzi Trump America sikio lilienda risasi,ukijizima data kisa we n bwn mkubw haya Trump,sikio,limechanwa,ili tujifunze kukaa na binadam et ukijua kuna faida gani,kukaa na watu baba kaz
@AlmasOmary-k6m
@AlmasOmary-k6m 2 ай бұрын
Sisi.wa.arusha.pia.tunataka.kujua.yuko.wapi.makonda.ajitokeze.tumuone
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 2 ай бұрын
Ninyi waandishi acheni ushabiki na mzaha wa matukio makubwa yanayogusa wanainchi na taifa ,tunataka familia ya makonda ihojiwe na iko wapi,ndgu wa makonda huko kwao wahojiwe . .. tambueni haya mamb hata ninyi yatawakuta ,na ipo mifano
@stevensosipita
@stevensosipita 2 ай бұрын
LETENI MCHEZO TU IPO SIKU KUTANUKA KAMA KENYA MAANA WATANZANIA TUMECHOKA TUNAKOELEKEA KUBAYA
@johnmbatta9872
@johnmbatta9872 2 ай бұрын
Kunadokezo nimelipokea sasa hivi kuhusu mkuu wa mkoa wa Arusha AMEFARIKI DUNIA Africa Kusini.
@Rwegasila-i1w
@Rwegasila-i1w 2 ай бұрын
Unapo mpoteza mtu gafla
@simonsadala2386
@simonsadala2386 2 ай бұрын
Huyu Masai chenga tuuuu hajui hata yeye mwenyewe anachokiongea
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 2 ай бұрын
Huu, utangazaji nayo ni kazi?? Mbona sioni cha maaana hapo . Kuna jasho hapo kweli???
@speroninvestment9055
@speroninvestment9055 2 ай бұрын
Kwanini msimpigie simu kwani mnazuiwa???
@AlmasOmary-k6m
@AlmasOmary-k6m 2 ай бұрын
Nyie.bishaneni.sisi.tunamtaka.mkuu.wetu.wa.mkoa.makonda
@Rwegasila-i1w
@Rwegasila-i1w 2 ай бұрын
Sijawaelewa sana ninyi watangazaji mnatupeleka mbele mnatuludisha nyuma toeni majibu sahii acheni siasa
@Rwegasila-i1w
@Rwegasila-i1w 2 ай бұрын
Unapo mpoteza mtu gafla
How drone technology is changing warfare | BBC News
16:46
BBC News
Рет қаралды 125 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 115 МЛН
MAPYA KUHUSU SAKATA LA MAKONDA, DUDU BAYA AWASHA MOTO
9:49
Mbengo Tv
Рет қаралды 83 М.
Philip Kotler: Marketing
57:30
Chicago Humanities Festival
Рет қаралды 2,3 МЛН
Netanyahu confirms Yahya Sinwar killing, says war is not over
11:14
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН