TAHARUKI! MAJAMBAZI WAVAMIA MADUKA 14 ya PESA na KUIBA, MASHUHUDA WASIMULIA - WALIKUWA na SILAHA"..

  Рет қаралды 25,679

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

TAHARUKI! MAJAMBAZI WAVAMIA MADUKA 14 ya PESA na KUIBA, MASHUHUDA WASIMULIA - "WALIKUWA na SILAHA"..
Watu wasiojulikana wamevaia maduka 14 mkoani Geita na kufanya uporaji wa mali mbalimbali ikiwemo kuiba fedha kwenye huduma za kifedha...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 41
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 Жыл бұрын
DUNIA UNAYO ISHI WEWE SIYO WANAYO || MAY JAH RASTAFARAI CONTINUE TO GIVE US AMANI NA UPENDO
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Poleni Sana.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Jamani kwani ni nini?? Tuogope kuishi na kufungua biashara sasa😢😢😢kha!!!
@MKOMBOZIM3
@MKOMBOZIM3 Жыл бұрын
Poleni Sana hapa Ni KATORO GEITA
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 Жыл бұрын
Magu Yuko wapiiiiiiii?
@mbwilojenipha8741
@mbwilojenipha8741 Жыл бұрын
Poleni jamni
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Poleni, Hapo kwenye senene 😋😋
@RoseJohn-js7kb
@RoseJohn-js7kb Жыл бұрын
Kumuacha aongee afu uso unaonekana kunaweza sababisha shida Kwa huyo mtu na hao wahalifu.mfiche mtu sura ili kumlinda
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui Жыл бұрын
majambazi Huwa Hawaibi Huwa wanapora, but polen Kwa wahanga
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Hizi zama tulikua tumesha zisahau
@saidiamiri7898
@saidiamiri7898 Жыл бұрын
Wapi mbona habari hapo wapi?
@monicageorge2181
@monicageorge2181 Жыл бұрын
Katoro
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Ad Leo watu wanaachaga ela dkani iyo atar Sana
@shabanikitula645
@shabanikitula645 Жыл бұрын
Sio wachaga
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
Ulitakiwa ujiwekee uzoefu hasa hyo biashara ya uwakala,jion saa kumi kwenda bank kuweka pesa zote ikbd hata za Dukan maana uhalifu bhana ni mitihan mida ya saa kumi mpaka unaenda funga sidhan kama utafanya biashara kiasi cha kubak na mipesa yote hapo hlo ni kosa kubwa raman huwa inachorwa ktambo tu,kuvunjiwa biashara kunauma sana pole aisee
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Hatar
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Жыл бұрын
Aoni panya lodi jambazi. Aongei. Kwa kujinadi ibyoo
@indigomadibilla9599
@indigomadibilla9599 Жыл бұрын
Yani saivi haya matukio yamezidi hasa uku Tunduma yetu polen sana
@josephenock5312
@josephenock5312 Жыл бұрын
Geita sehemu ngani mwaadishi
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 Жыл бұрын
No sukani sio salama kuacha pesa
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani ewe mola wetu tuhurumiye waja wako hawa majambazi sio watu wazuri na wao wakipatikana wauliwe
@mackyladislaus7887
@mackyladislaus7887 Жыл бұрын
Jmn wameambiwa wakitoka kambini wakajiajiri Sasa mtu kafundishwa kutumia siraha kwa mwaka mzima harafu akimaliza akajiajiri ,hiyo ndo kazi yenyewe walitaka wafanyaje
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Жыл бұрын
Ko ndo waje kuchukua hela bila ya kfanyia kaz fala wewe wakafie hko jeshn
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 Жыл бұрын
Bora hawajaua,jamani,,halafu unaachaje hela dukani ????????
@elipidiusmtimagwe3989
@elipidiusmtimagwe3989 Жыл бұрын
Oyaa
@shabanikitula645
@shabanikitula645 Жыл бұрын
Dukani siku zote hakuna usalama
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Жыл бұрын
Ujambazi umeamua tena?. Mungu atunusuru. Amen.
@ibraheemiddy8612
@ibraheemiddy8612 Жыл бұрын
Majambazi hawa njaa iliwazid mbwa hawa
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Walinziii woteee washikweee wanahusikaas
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Weunaingea tu watu 20 nakitu alafu unasema kunawalinzi 7 unafanya mchezo kifa wewe ata mimi kama mlinzi najifucha sutoki
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Жыл бұрын
Walinzi 7 HV kwel ndo hao hao
@elipidiusmtimagwe3989
@elipidiusmtimagwe3989 Жыл бұрын
Ao washatiwa mbaloni
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Жыл бұрын
MTANGAZAJ WAP MKOA GANI UANZE NA KICHWA CHA HABALI
@sadatimchondo
@sadatimchondo Жыл бұрын
😂😂 bibi
@4hestatecompany20
@4hestatecompany20 Жыл бұрын
Tunauza viwanja kigambon
@mwajumahamisi2006
@mwajumahamisi2006 Жыл бұрын
😂😂😂
@kaayakitomary1233
@kaayakitomary1233 Жыл бұрын
Tusilaumu chochote serikali imefanya maisha ya watanzania yakawa magumu
@esterpeasongoya7156
@esterpeasongoya7156 Жыл бұрын
Walinzi wamefanya njama
@SHINDIKALUHANGA-s8z
@SHINDIKALUHANGA-s8z Жыл бұрын
Yani tumerudi nyuma hatuwa 2000
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 Жыл бұрын
Weee muongo utaacheje hela yote hiyo
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 6 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 84 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Out Of Focus Live | 12 October 2024
46:46
MediaoneTV Live
Рет қаралды 52 М.
Mossad's Deadliest Mission: The Hunt for al-Wazir | Real Crime
48:45
Real Crime
Рет қаралды 1,1 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 6 МЛН