JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@trillhappybeautypoint98749 ай бұрын
My dady Mwamposa tunabarikiwa na tunazidi kubarikiwa in Jesus name 🙏🏼
@AishaOman-qz7tn10 ай бұрын
Hallelujah hallelujah 🙌 nimefurah kusikia huu ushuhuda barikiwa Dr kumbuka 🙏
@florabuzoya394810 ай бұрын
Ushuhuda Mzito Sana Huu🙏🏿Nimefurahi Mwamposa is truly man of God.
@mwanduelizabeth22829 ай бұрын
Kupitia madhabahu ya Mwamposa nimepokea vitu vingi Sana ikiwemo uponyaji, nyumba na mengine mengi,Ooooh haleluya Mungu aendelee kumbariki mtumishi wa Mungu Mwamposa Namuombea kwa Mungu Aishi miaka mingi 🙏🏼
@KennethMgona-jy4vc9 ай бұрын
Umefungwa
@mwanduelizabeth22829 ай бұрын
@@KennethMgona-jy4vcIsaya 54:17 kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako utahukumiwa Kuwa mkosa.Niwe nimefunga wewe inakuhusu Nini mfyuuuu!
@gladistaemanueliy63369 ай бұрын
Asante Dr kumbuka, mimi mwenyewe Nina ushuhuda jamani mkubwa sana mungu amuweke mwamposa miaka mingi
@Bless-sk8uv9 ай бұрын
Mm hapa baada ya upako wa mwamposa nimepata mke sahihi na baba yangu mzazi alinitamkia sitoowa maishani mwangu na niliaangaika but after kufika kwa huyo mchungaji miezi miwili tu sio ushabiki
@ittybitty-bp1cl9 ай бұрын
Nisaidie jinsi ya kufika 😣
@Bless-sk8uv9 ай бұрын
@@ittybitty-bp1cl kufika wapi?
@FridaMwageni9 ай бұрын
@ittybitty-bp1cl anapatkana kawe dar es salaam Tanganyika peackers
@PaulinaSemindu-ob3de9 ай бұрын
Hakika mm hunambii kitu kuhusu madhabahu ya inuka uangaze kawe imenitendea mambo makubwa mnoooo ubarikiwe mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa🙏
@rahabnkya827621 күн бұрын
Leo ni 3.12.24 j4. EWE mungu uliye Hai, unaniona nimepita MAPITO juu ya wanangu, niokoe ee MFALME ndani ya Muda huu, Allan atoke awe salama arudie Hali yake nasi tuone ukuuwako. Ameen.
@rithadonatus81109 ай бұрын
Nilikuwa Sina kazi ndani ya miezi mitatu lakini nipoenda kwenye ibada kwa Imani mpaka Leo hii Nina interview kibao ❤❤❤
@bettybetty3518Ай бұрын
On repeat, doc. Kumbuka💙🫶🏾
@imanimwakinga49349 ай бұрын
Kumbe huyu jamaa ni mstaarabu aseee na ana madini sana, mi navyomuonaga na uswahili wake nikajua sijui wa wapi 😂😂😂 aisee ni mstaarabu basi tu ni hustles za maisha
@maryamadam56227 ай бұрын
Kweli kabisa na mie nakuunga mkono. Dr ana kipaji mno
@doricekamara36315 ай бұрын
Kumbuka nakuelewaga sana unachokisikia moyoni ni kweli kbs una point sana barikiwa zaid
@blaciachiunga82719 ай бұрын
Dr. Kumbuka uko vzr Baraka za Mungu ziambatane nawe ck zote,,,Big up Lilian Mwasha
@marymwaya968510 ай бұрын
Kwa kweli nilivyokuwa nakuona sivyo mungu akubariki sana
@monikamasasi75829 ай бұрын
Ushuhuda umenipa nguvu kubwa jamani,Mungu na Mimi naomba watoto mapacha mea Imani nipate
@marylutengano15559 ай бұрын
Tuko pamoja mama Mungu atupe mapacha
@SalmaBakar-z4c2 ай бұрын
Yaan mungu anatenda nimesumbiliwa na operation mpk nikawa kama mdudu siwez kumsahau jirani yang alinipeleka kwamwamposa jmn mungu alijua kunitendea kwa wakati
@ephraimkabeya964810 ай бұрын
With this kind of talk Dr kumbuka I'm in your support
@Hawaa-cw6fl9 ай бұрын
Jamani hata wakisema nn mwamposa ametutoa mbali ila wengine atutoi ushuhuda
@ruckyaarabi40309 ай бұрын
Chawa ni mtu mvivu. Nimekupenda sana kaka Kumbuka big up sana
@gracekiondo25419 ай бұрын
Chawa sio mvivu tu,bali ni mtu ambaye ameshikwa na roho za mapepo na kichawi.shetani hataki ufanikiwe na kumbuka mwanadamu hajaumbwa amtawale mwanadamu mwenziwe.akifanya hivyo hiyo ni kufuru kwa Mungu.
@beatricecherdiel92999 ай бұрын
Kumbuka you are a good person
@kekiplus1andonly9 ай бұрын
Our lady Lilian is onpoint,ni kweli lazima ujiulize wanaume mahitaji yao hayaishi,umfanye mtoto,lakini mwanamke pia ni mtu na yeye anatamani kufanywa mtoto,nani atamfanya yeye mtoto... Ndo maana baadi ya wanawake waliolewa ndiyo the most sad/depressed people sbb wanajitoa sana lkn mmmh🙄🙄 Lakini ukiwa dada wa mjini unatenda au unakuwa kahaba mara 5 mshahara wako ni matunzo😂😂😂😂ulipiwe kodi,ununuliwe kila upendacho na utakacho,upewe pesa hata kama huitaji.. Kwaiyo kazi kwako,chagua kunyoa au usuke😂😂😂😂 Ushauri wangu zingatia maokoto😂😂😂
@RevinaPastoryBirungo9 ай бұрын
Aisee
@vero5710 ай бұрын
Wanawake kazi tunayo. Lakini kuna wanaume wengine hawasikii ata uwaoshe na olive oil 😂😂😂
@ambocornely7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@saraphinalupondo111510 ай бұрын
Kuna kit nimkipataaa ubarikiwe weela sitakutafuta bali wewe,pesa utanitafuta mimi aminaaa sanaaaa
@fatihiyadossa3759 ай бұрын
Asante kakangh kumbuka kwa unumbe wko mzuri
@mamaziada1349 ай бұрын
Napokea namimi ushuhuda huu mungu nisikie baba napata tabu baba naomba hiyo sauti ije na kwangu
@rosemwakyoma83719 ай бұрын
Barikiwa sana Dr kunbuka
@kekiplus1andonly9 ай бұрын
Chawa kama chawa😂😂😂😂😂sio mchezo😂😂😂imebidi umejipanga😂😂😂😂😂
@RosemaryLema9 ай бұрын
Amen ukiamini Mungu anatenda
@sophiankwera90209 ай бұрын
Unamaneno ya hekima sana Mungu akupe kuliishi kusudi lake
@magrethmbuma30459 ай бұрын
Mungu anasikiia sanaa tena kwa sikio la wepesi sana
@hosianaeliud2439 ай бұрын
God is good
@Alexbenon-ow5lh6 ай бұрын
Mwasha ndo huyu duh😮😮
@ElizabethJoshua-op5fz9 ай бұрын
Asante kwa ushuhuda huu
@Siti_maroneit9 ай бұрын
Datario kumbuka kaongea big point.malaya awanaga aibuu hata kama nyonyooo limetepekaa wanajiachiaaa yaani awqnaga aibu wale ...
@juliethkatabwa530610 ай бұрын
Dr. Wanafanya ushirikina. Bwana. Kuna wanawake ni watendaji wazurii lkn hakuna kitu.
@VeledianaKalolo9 ай бұрын
Dada liliani nabarikiwa sana na kipindi chako
@jankenkasambala76879 ай бұрын
Ila huyu dada Mwasha kweli msanii. Eti Halleluya Amina
@Mina.158 ай бұрын
😂😂😂😂
@eunicesaimon91259 ай бұрын
Mungu abaliki hikii kipindiii🙏🏿
@suzanmairy26389 ай бұрын
😅😅😅yaani wewe kumbuka mpaka iyovi unapajua uwiiih😂😂😂😂😂
@BeliBeli-n9h9 ай бұрын
Umsifie adi ndugu zake walio kufa😂😂😂😂
@upendogreutert19910 ай бұрын
Napenda jumbe za Dr Kumbuka 😅😂🤭🤣😂
@zenamwaisaka9 ай бұрын
Glory to God. Jesus is real
@saraphinalupondo111510 ай бұрын
Nakweli watu tunaombaa alafu hatumuamini yule tunaemuomba kweli ukiamini kweli utajibiwa chap ila imani yako ikiwa kma ya thomaso utakuwa unaona Mungu hawez
@JohanithaMugango9 ай бұрын
Amina
@gildopitapita13839 ай бұрын
Asante brother
@bibielroybibielroy87109 ай бұрын
Haleluyaaaa Arise and shine 9:59 😅😅😅
@gracelee5659 ай бұрын
Handudu handada🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣 you have killed me swahili norma
@hadijamadina61018 ай бұрын
🙏🙏🙏
@esterjosephat9719 ай бұрын
I like that😅😅😅😅 nimekuelewa sana Dr
@salumlehani39523 ай бұрын
Kipindi kizuri kasoro ni kukosa maswali yenye mtiririko mzuri .
@upendogreutert19910 ай бұрын
Jamani uchawi upooo khaa
@edinalihedule76099 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@RogatheJosiah9 ай бұрын
Nilimfanyia nikaambiwa naanza kuwa Malaya mambo Gani nalenda ndani mwisho wa siku nikaondoka nikaipenda kazi kuliko mapenzi Na kuyachukia mapenzi milele am single 26years kwa kuchukia wanaume waonyo waongo Sana
Kumbuka sikubar minanjua mudada anyafanya Hadi kumuogesha anamufanyia utundu ila anamufisha Hadi Mari tena mudada muzur anmpikia Hadi tinasema
@Hanifa4-d4q10 ай бұрын
Mpenda sanaaa dr
@Gdhjgjk9 ай бұрын
Jamani nyiemnolala bilakuoga mpo je ayomengine mtayaweza mtaolewa nakuachwa tu kwasababu hamjitumi .
@dayana5513story9 ай бұрын
Kwenye wanawake kushulika umeongea kweli kabisaaa 🤸
@vickysteven11729 ай бұрын
Kweli kabisa
@katsuvakamatedaniel78939 ай бұрын
Si amini macho yangu 😂ni huyu kumbuka anaye chamba watu kueli
@MohammedJaizan-yf5yt10 ай бұрын
Heeeee yamekuwa hayo sasa
@RamulaKabugho-bk8vk10 ай бұрын
Nampenda huyu jama uwa mkweli sana😂
@loveneskasanga41869 ай бұрын
Ameni❤❤❤
@Gdhjgjk9 ай бұрын
Wee kaka napenda hataukiongea mambo ya Ibada badounaonekana kama unampasha mtu.
@gloriakawago62239 ай бұрын
😂😂😂😂 mnasifia hadi watu wa Kilolo, Iringa had walio kufa.
@hurumaanyisile19189 ай бұрын
Hahhaha mbn kilolo sjapenta
@abdulllyhussein32249 ай бұрын
2016 mwamposa hakua kawe ..😂😂😂au n 19 maana imebid nirudie mara 2....KWAHIO IL TUAMIN VZUR SHUHUDA YAKO EB WEKA VZUR BAADH YA VITU MAANA N KAMA UNATUCHANGANYA....
@allenmlelwa79509 ай бұрын
Kuna kujichanganya kidogo bana kwenye tarehe.kikubwa ushuhuda umeeleweka.
@ROZITHOMAS-y4q9 ай бұрын
Mwamposa ni mtumishi
@jenipherkamugisha46879 ай бұрын
Nifanye hayo yote na kazini naenda saa ngapi😅😅
@JerusaMkuyu-pw1zo9 ай бұрын
😂😂😂😂kumbuka jaman
@Mkombozi2559 ай бұрын
I dont know why but i dont like Lilian after katibu wa kanisa incident,I think she is fake😮
@MchagaUk9 ай бұрын
Same
@habibajumahabiba67309 ай бұрын
❤❤
@queenmilan202410 ай бұрын
Mlete tena ili aongee kuhusu mapenzi. From Europe
@MTOTOWAvitoto10 ай бұрын
Mambo vp ndugu???
@LilianeShindano9 ай бұрын
Dr kumbuka mwana muke naye anapashwa kupendwa tumeumizw
@Bless-sk8uv9 ай бұрын
Mimi nasema siri zetu ninyi wanawake hamtapata kamwe kama sisi tunavyoshindwa kugundua mnachokitaka usiwe na usiwe na nguvu za kiume bado tunaachwa tutasubiriana sana, hayo bra braa ni uongo tunatiana moyo tu
@Gdhjgjk9 ай бұрын
Jamani weekauzu.
@Happy-yk3lv9 ай бұрын
Amen
@OmegaThreads9 ай бұрын
Dr. Kumbuuuuuuuuukaaaaaaa
@HumphreykirutuKirutu9 ай бұрын
Da ! Kwanza nimshukuru MUNGU kwa ajili ya DR.kumbuka nilikua namjugde vibaya hasa namna nilivyokua namsikia kwenye mitandao ya kijamii
@vickysteven11729 ай бұрын
😂baba, junior 😂😂
@vickysteven11729 ай бұрын
Siku moja dkt kumbuka ataokoka haki vile 😂😂
@optimumafrica12439 ай бұрын
Walokole wana alama gani kwani?
@MchagaUk9 ай бұрын
Mungu wangu anajibu Ivo Ivo kama wa Dr Kumbuka
@MagrethCharles-ne2ts9 ай бұрын
Very soon !😂
@AlphaBlessing-qx7ep9 ай бұрын
Tayari YESU anashuhulika na3
@angelalyimo286210 ай бұрын
Nimejifunza
@giftgeza366210 ай бұрын
Aamen
@gfydfdf886910 ай бұрын
Ameeni Mungu aliyee hai awabariki watumishi,wa Mungu kwa shuda nzito , barikiwa kwa ushuda, nzito ..
@MkoaniMkoani9 ай бұрын
Saaa mbovu😅😅😅
@lucywilson58759 ай бұрын
Injili zamafanikio. Tunapaswa kuacha dhambi na sio kuhubiriwa pesa nautajiri au maendeleo. Tafuteni ufalme wa Mungu kwanza ( Utakatifu ) mengine huja kwaziada.
@carolinederi56909 ай бұрын
Am surprised hakuna mtu anae sema nlikua mzinzi nkahubiriwa nikaacha,nlikua najichua nkaacha, nlikua na hasira au nlikua siez kufunga nakuomba sa hii naeza hakuna anae shuhudia nliacha kunywa pombe ila ni kazi na ndoa😢what a pity shetani ameroga amewapofusha akili na macho they don't see
@PrudencePaul-fj5sm9 ай бұрын
Tumehaidiwa kufanywa vichwa na sio mikia tutakuwa wa kwanza sio wa mwisho shuhuda ni nyingi watu tumepona kupitia maombi SEMA nyie hamjui
@magiehermess99499 ай бұрын
Nikajuaga ni Muslim, ila anakaa kama mhubiri,ana kitu flani cha kimungu.Tuache kuwa judge watu for sure
@nyandichearts9 ай бұрын
Kwani hawezi kuongea bila kulegeza mdomo pumbuka she looking like anashonwaaa😅
@malianonicass70299 ай бұрын
Yani kwenye mambo ya msingi unaleta ushoga kuku wewe
@zenamwaisaka9 ай бұрын
Jesus is real
@Mpakauseme9 ай бұрын
Sisi wanaume ni watoto katika wanawake ila jambo ilo wanawake wa leo hawalijui , big mistake
@elizabethgeorge21979 ай бұрын
Kbsaa upo sahihi sanaa kaka angu
@Gdhjgjk9 ай бұрын
Weedada nawe usiwekama niangusage usichoelewa nini sisi tupo kwaajili Yao .
@lulurubby22359 ай бұрын
Huyu mchawiiiiii na mwamposa wake
@claudiajames20039 ай бұрын
Basi ukiwa haujawahi kuhudumiwa na mchungaji yule basi usimtolee ushahidi wa uongo,tuliofanikiwa kwake tuna ushuhuda
@lulurubby22359 ай бұрын
@@claudiajames2003 wachungaji wote waganga wa kienyeji tuu ,hakuna mzinifu au mtoa kafara anaweza kufanya miujiza hao ni waganga wanatumia makanisa kujifanya eti wachungaji mmfyuu acha upuuzi
@PaulinaSemindu-ob3de9 ай бұрын
Siku yakikukuta utamimbilia Ile madhabahu na utaomba msamaha lulirubby 2235
@lulurubby22359 ай бұрын
@@PaulinaSemindu-ob3de mungu wangu ni mkubwa kuliko mwamposa nikaombewe kwa mchawi si bora niende kwenye mizimu najua kabisa hakuna unafiki huyo ni child abuser analala na mabinti wadogo eti ndio nabii nabii wa wapi ? Yesu hakua mbakaji au mtoa kafara na ndio maana miujiza aliopewa na mungu ilikua inafanya kazi
@lulurubby22359 ай бұрын
@@claudiajames2003 mwamposa mchawi tuu mganga wa kienyeji tuu hana tofauti na manyaunyau
@nehemia3979 ай бұрын
dokta kivipi?
@MchagaUk9 ай бұрын
Uchawi upo
@zoab26999 ай бұрын
We kumbuka ww ni mwislam hakuna mtume bada ya mtume mohamed aleye salaam