VITUKO vya MBUNGE BWEGE, AMEANZA UPYAAAA, SPIKA Hoi, Awalipua CCM..

  Рет қаралды 487,980

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

VITUKO vya MBUNGE BWEGE, AMEANZA UPYAAAA, SPIKA Hoi, Awalipua CCM..
Mbunge wa Kilwa Kusini (CUF), Seleman Bungara 'Bwege', amemuomba spika wa Bunge, Job Ndugai na wabunge wote kupitisha mchango kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa mafuriko wilayani Kilwa ambapo kaya zaidi ya elfu nne hazina mahala pa kuishi..
#BUNGENIDODOMA
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co....
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 215
@rodgersm
@rodgersm 4 жыл бұрын
Am from 🇰🇪. Lakini napendezwa na mchango wa mbunge Bwege.....
@alainonge7752
@alainonge7752 3 жыл бұрын
Tutakao m miss bwenge baada ya kukosa ubunge tujuane
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 жыл бұрын
Inaniuma kwakwel uyu ni jembe
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 3 жыл бұрын
😥😭😭
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Njama2 zile kumtoa
@davidjerry2554
@davidjerry2554 3 жыл бұрын
asee acha kabisaaa
@benedictordaniely8332
@benedictordaniely8332 3 жыл бұрын
Duh
@mozaytm8268
@mozaytm8268 4 жыл бұрын
Likes za wakenya zikuje...lets show ths mp some love
@Djnr001
@Djnr001 4 жыл бұрын
Huyu akija Kenya tunampa kura direct. We' olisikia wapi!
@iqbalomar9162
@iqbalomar9162 4 жыл бұрын
mutawapa hao hao wanaowapa ahadi za uongo na kula pesa za wananchi
@ephraimkihahu9615
@ephraimkihahu9615 4 жыл бұрын
I'm enjoying this from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Nauliza hivi, Je Mheshima anajua yeye ni Famous huku Kenya?😂😂 Ama mtaniuliza we Ooliskia wapi?
@that_guy_evans
@that_guy_evans 4 жыл бұрын
Ooliskia wapi wewe, Uliskia wapi 😂😒
@carrymnati4402
@carrymnati4402 4 жыл бұрын
Kabisa 😂😂 😂😂 😂 ...umeskia sudi kweli😘😘😘
@albertmuchirimunene6602
@albertmuchirimunene6602 4 жыл бұрын
Wewe oliskia wapi
@emannueljohn3502
@emannueljohn3502 3 жыл бұрын
Tanzania na Kenya bhn ni nduguu migogoro midogo midogo tu isifanyee tutengane au tuumizanee
@khatibually9795
@khatibually9795 3 жыл бұрын
We ulisikia wapi
@hassanyussuph4407
@hassanyussuph4407 3 жыл бұрын
Mzee kama alijua vile wallah ukiwa mkweli shida sana
@lukagulagekidehele5788
@lukagulagekidehele5788 4 жыл бұрын
Kiboko wa hoja makini bungeni utakumbukwa daima
@engineermuturi2292
@engineermuturi2292 3 жыл бұрын
From Nairobi , Kenya. OOOLISIKIA WAPI? 😂
@mohamedabdirisak3940
@mohamedabdirisak3940 4 жыл бұрын
Am M.Abirisak.A from 🇸🇴 Bunge la 🇹🇿 ni Bunge bora katika Afrika Mashariki na hata Afrika mzima kuna nidhamu na taratibu katika Bunge waheshimiwa wakitoa hoja zao.
@youngloyclassic3173
@youngloyclassic3173 4 жыл бұрын
Sijawahi kucoment acha niseme wewe ni kiboko mzee uko vizur tunapenda kiongoz kama wew
@mwamrajunior7631
@mwamrajunior7631 4 жыл бұрын
Oouliskia wapi ...wapi likes za Mombasa
@salumnassor9425
@salumnassor9425 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea; point kabisa
@emmanueloduor1132
@emmanueloduor1132 4 жыл бұрын
Tafadhali mtupe huyu awe gavana huku Nairobi.
@omanoman1576
@omanoman1576 3 жыл бұрын
Xx bng la xx niuyoga halina llt mana hawana mkosoaji ila kwakuwa wamechaguana wnyw vpofu litakuwa bng la vpf
@2ndprophetjohn
@2ndprophetjohn 4 жыл бұрын
Kenyan am happy with Bwege😄😄
@MartinMutugiMwangi
@MartinMutugiMwangi 3 жыл бұрын
Jameni bunge la Muungano wa Tanzania🇹🇿 lina utulivu na adabu sana 👍.... lakini kumtoa huyu mbunge kitini ilikua hujuuuma 🤣
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 4 жыл бұрын
Spika huwa anajaribu kumtoa kwenye reli Bwege anapowaeleza ukweli watawala lakini jamaa huyu huwa hatetereki.
@charlsbenjamincbm8611
@charlsbenjamincbm8611 4 жыл бұрын
Kabisa yani huwa anajatibu kumtoa mtu kwenye reli
@ericklaizer1696
@ericklaizer1696 4 жыл бұрын
Ila huyu bhna hagucki
@johneliuteri3796
@johneliuteri3796 4 жыл бұрын
Iko waz
@ELISSKGTV
@ELISSKGTV 3 жыл бұрын
Lakini, bwegwe hajachaguliwa🤣🤣
@charitywanjiru4520
@charitywanjiru4520 4 жыл бұрын
Penda wewe bure 🇰🇪🇰🇪
@JEPHRON
@JEPHRON 4 жыл бұрын
weeh oooliskiaaa wapiii hatufai kuchanga?! mweshimiwa? weeh ooliskia wapii?!! 🇰🇪😂😂😂
@killymgaya7375
@killymgaya7375 3 жыл бұрын
Uyu bwana 2025 agombee
@fatumajuma1157
@fatumajuma1157 3 жыл бұрын
Tatzo hapa hakuna uchaguz Ccm wakiamua hawakutaki wanamrisha time huyu hatumtaki has kz imeksha
@babanicole815
@babanicole815 4 жыл бұрын
I really like Bwege contributions. God fearing man.
@kenyalatelyupdatestv9770
@kenyalatelyupdatestv9770 4 жыл бұрын
Huyu ni mbwege kweli, ametamba uku Kenya, ooolisikia wapi??
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Napenda Tz sana 💖💖💖💖
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 3 жыл бұрын
Hahaha umeshiba ndio unanjaa ndio.
@QuickSimpleEffectiveTech
@QuickSimpleEffectiveTech 4 жыл бұрын
Oliskia wapi...!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@muhamadkombo264
@muhamadkombo264 3 жыл бұрын
Mishono
@johnchuwa2888
@johnchuwa2888 3 жыл бұрын
Jamani mmempoteza mbunge Makini sana kilwa.
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Hajapotezwa ni njama za chama cha majambazi kumtoa
@johngodwin8281
@johngodwin8281 3 жыл бұрын
Yametimia maneno yako😀😀😀😀
@noahndunde3166
@noahndunde3166 4 жыл бұрын
Suleiman,mtu wangu!!! This guy is my man!! He's factual and debates pretty well!!
@kisulangusa6498
@kisulangusa6498 4 жыл бұрын
Co poa kabisaaa
@barakachaula5412
@barakachaula5412 3 жыл бұрын
Nimempenda sana mbunge huyo
@leonardkiprotich3217
@leonardkiprotich3217 4 жыл бұрын
Kenya ooliskia wapi mzee kijana mtetezi
@franciskorir4403
@franciskorir4403 4 жыл бұрын
Bw Sekemani.., ooliskia wapi 😅😅😅
@jerrjamary2649
@jerrjamary2649 4 жыл бұрын
Mh BWEGE UYO hatali Sana watu wa kilwa ninamaana LINDI MH vipaji wanavyo si kwa Quran,si kwa kimazao si kwa uvuvi tupo vizuli Alahmdulih
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 3 жыл бұрын
Kiboko kabisa 😂😂😂
@ramadhanshabaniislamicgrou2607
@ramadhanshabaniislamicgrou2607 3 жыл бұрын
Koment zip nzuli nawatakia ramadhani kalim
@samueljunior6651
@samueljunior6651 4 жыл бұрын
Mheshimiwa uko chonjo sana, nigelikua na uwezo kura yangu ungeipata, ongea ukweli na zidi kutenda huo wema. Wewe ulisikia wapi🤣🤣🤣
@zamzammauly5502
@zamzammauly5502 3 жыл бұрын
Bunge bila wapinzani buree hata spika hanogi
@omanoman1576
@omanoman1576 3 жыл бұрын
Duh mbunge bwg hngr xn kiukwl bunge lilivyo kuwa na upnzn llikuwa saaaaf mana ccm wao nindio hawana llt hngr.xn bwg
@MohamedAli-jw2ws
@MohamedAli-jw2ws 4 жыл бұрын
Bwege anatetea Amani 💪💪.
@scolabwana3610
@scolabwana3610 3 жыл бұрын
bwege tutakumiss sana
@danielmathias160
@danielmathias160 3 жыл бұрын
Sana
@solomonmari9001
@solomonmari9001 4 жыл бұрын
Bwege arudishwe bunge
@saidyamiri6131
@saidyamiri6131 4 жыл бұрын
Mbunge wangu namkubali sana
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 4 жыл бұрын
Huyu jamaa kamtetea lisu yupo vzr
@sammythuku8938
@sammythuku8938 4 жыл бұрын
In Kenya enjoying this mp
@edwinejuma4399
@edwinejuma4399 4 жыл бұрын
ashakum si matusi. hili bunge la Tanzania lina furaha kuliko letu la KENYA. tazama spika alivyo mcheshi
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 4 жыл бұрын
Natamani Kenya kuwe hivi siku moja and I will be in the paliament me my children or my grandchildren 🏋️💘💘
@brian_jake
@brian_jake 4 жыл бұрын
Ukweli
@fardahally8511
@fardahally8511 4 жыл бұрын
Kwa kweli nimecheka kwa frah maana hiyo Umekula Ndiyo! Unanjaa, Ndiyo. Raha sana.
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 3 жыл бұрын
Inapendeza Bunge letu likiwa hivyo. Spika na Mpinzani wakiongea kwa matani na furaha kama hivyo. Inaonyesha uzalendo wetu na utaifa ulivyo mzuri.
@deuspetermnazi8809
@deuspetermnazi8809 4 жыл бұрын
Safi sana 👍
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
wambieeee wavimba macho hao wajukuu wa ferau
@johnchuwa2888
@johnchuwa2888 3 жыл бұрын
Ndicho kilichotokea sasa mh Bungarah. Lakini kwa maneno haya ccm watakununua bila shaka
@witnekidoti6160
@witnekidoti6160 3 жыл бұрын
Safi sana bwege
@samuelnganga6660
@samuelnganga6660 4 жыл бұрын
🇰🇪twakupenda........
@getrudecharles6212
@getrudecharles6212 3 жыл бұрын
Huyu mbunge namkubali Sana😂😂😂
@jacklinechalepa786
@jacklinechalepa786 3 жыл бұрын
Mnanjaa eeh mmeshiba eeh yaani nimecheka kweli bwege anaongea
@felistafutte2514
@felistafutte2514 3 жыл бұрын
Nampenda bwege jmn sahiz hatutakuona 😭😭😭😭
@philipo019
@philipo019 4 жыл бұрын
Uuuliskia wapi😂
@morrynechege9172
@morrynechege9172 4 жыл бұрын
Haha wewe ooliskia wapi 🤭🤭🤭
@mubaboyonline5879
@mubaboyonline5879 3 жыл бұрын
Ameongea
@michaelnamji7804
@michaelnamji7804 3 жыл бұрын
Nimekumisi sana uwepo wako bungen
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 жыл бұрын
Du alitabili kweli vichwa vingi tutavimis
@samwelmasoya3536
@samwelmasoya3536 3 жыл бұрын
Wambie waache uchama wananch hatuna pesa solo la mazao haliereweki
@tipaykelembundeka3076
@tipaykelembundeka3076 3 жыл бұрын
uko vizuri bwege
@eliasmachibya8241
@eliasmachibya8241 3 жыл бұрын
Kumbe bwege alitabili makubwa
@eliudimastertz3635
@eliudimastertz3635 4 жыл бұрын
Oolisikia wapi weye
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
Kama mkitimiza haya yote Aaaahhhh ccm dole tu lakini mkipotezea 2020 hesabuni kuumia tu
@erodeshayo8672
@erodeshayo8672 4 жыл бұрын
Bwege Leo wameganda cpika anakitibua
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂ila kaonge point 😘😘😘
@pakapakatuondoke6785
@pakapakatuondoke6785 3 жыл бұрын
Bwege umeacha historia nzito bungeni sio wabunge wanao kaa kimya tu hata hawaongei aaa
@muhammedmsagat6833
@muhammedmsagat6833 3 жыл бұрын
Kwa wenye Akil tunakuelewa sana mzee mungu akuhifadh uko uliko sasa.😭😭😭.
@aronmwengemeke7108
@aronmwengemeke7108 3 жыл бұрын
Daaaaaaaaa jamani bwege haludi basi maana alizima ucheke tu
@yusraomar867
@yusraomar867 3 жыл бұрын
hongera sana mbunge bwege napenda unavochangiaaaa
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 5 ай бұрын
Anayejua alipo huyu mheshimiwa hadi sasa 2024 aseme
@cymoowanjeri6843
@cymoowanjeri6843 4 жыл бұрын
Olisikia wapi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤣🤣🤣
@benjaminkapelah7664
@benjaminkapelah7664 2 жыл бұрын
Best speech yenye unabii
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
Kwikwikwikwi
@rashidimwambichi3340
@rashidimwambichi3340 3 жыл бұрын
Alitabili
@hairgang1743
@hairgang1743 4 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@harrsonnyemele5578
@harrsonnyemele5578 3 жыл бұрын
tunakumis san bwege
@charleskamundi9952
@charleskamundi9952 4 жыл бұрын
Bwege nakukubali sana
@yugeen45
@yugeen45 4 жыл бұрын
olisikia wapi
@zubedasoud9204
@zubedasoud9204 3 жыл бұрын
Namis sanaaa yani
@washonhaule5041
@washonhaule5041 3 жыл бұрын
Wanasokolana wenyewe kwa wenyewe
@shabanimtari6287
@shabanimtari6287 3 жыл бұрын
Daaah uyu mzeee anatishaaa
@charlesmwandenuka7986
@charlesmwandenuka7986 4 жыл бұрын
Tuache uchama utafikije bungeni bila chama .........bwege kweli Kweli unatuchekesha tu ..
@hassanrashid306
@hassanrashid306 4 жыл бұрын
Acheni uchama jengeni nchi umepigiwa kura na watu si chama
@machiamabembenya7620
@machiamabembenya7620 4 жыл бұрын
Hujamuelewa ndio maana
@mariamjuma1286
@mariamjuma1286 3 жыл бұрын
Ujamuelewa
@fatumajuma1157
@fatumajuma1157 3 жыл бұрын
Mbn kina mdee wapo bungen
@hilalsaedy6101
@hilalsaedy6101 4 жыл бұрын
Ahsante Mh Bwege
@jacksonisrael434
@jacksonisrael434 4 жыл бұрын
Huyu speka ana madharau sana
@othmanhaji1832
@othmanhaji1832 4 жыл бұрын
Mchango kwa watu wa Kilwa ni muhimu. Tunaomba tusaidiwe namba ya Mhe. Bwege, tuchangie
@binothmannasheed8910
@binothmannasheed8910 3 жыл бұрын
Hili benge laina yakee upizan muhim bungen
@lucassospeter8905
@lucassospeter8905 3 жыл бұрын
Watakumis Sana Bungeni
@mtunesalumu8359
@mtunesalumu8359 3 жыл бұрын
Bwege mtu makini
@leonardkiprotich3217
@leonardkiprotich3217 4 жыл бұрын
Nikae??amenimaliza🤣🤣🤣
@edwinejuma4399
@edwinejuma4399 4 жыл бұрын
nafuatilia m bunge huyu baada ya kuskiza 'OLISIKIA WAPI MHESHIMIWA?' jamaa mw enye kuchafua hewa
@samuelshikuku2553
@samuelshikuku2553 3 жыл бұрын
Napendezwa sana na mchango wa Bwege kwa nini kilwa kusini wakamuangusha
@fatumajuma1157
@fatumajuma1157 3 жыл бұрын
Kaangushwa na tume mtawala aliepta alitoa maagizo wacrud bungen Hakushndwa kwny kura Km mawakala wake wt walifukuzwa ww ulitegemea angshndaj
@winfridamwamban1078
@winfridamwamban1078 4 жыл бұрын
Hatariiii
@pauloadam3720
@pauloadam3720 3 жыл бұрын
Safi sana bwege we noma sana🤣🤣🤣🤣
@ibrahimuinalilahwainalilah7264
@ibrahimuinalilahwainalilah7264 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni shda.
@binmahmoud2821
@binmahmoud2821 4 жыл бұрын
Huyu ndie msema kweli
@that_guy_evans
@that_guy_evans 4 жыл бұрын
I am a Kenyan and I love how he always starts his speeches "Kwanza Namshukuru Mwenyezi Mungu"
@allyfleva8920
@allyfleva8920 3 жыл бұрын
duh umitabii kweli
@jumathabit8703
@jumathabit8703 4 жыл бұрын
uko real sana BWEGE !!!!
@amotowntz6381
@amotowntz6381 4 жыл бұрын
Kwel kabisa, Waambie
@chrisjosephokido7473
@chrisjosephokido7473 4 жыл бұрын
Tungewasikiliza na kufuata ushauri wa wabunge hawa, 👆hakika dunia ingekuwa pahala pema sana pa kuishi
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
MBUNGE BWEGE: "Mnaua, Mnateka tu, Mlitaka Kuninunua nikakataa"
11:46
Global TV Online
Рет қаралды 753 М.
Cheka na vituko vingine vya Mbunge 'Bwege' Bungeni
16:06
Millard Ayo
Рет қаралды 189 М.
“Mimi sielewi mkisema nchi hii ina amani”-Mbunge BWEGE
8:55
Millard Ayo
Рет қаралды 118 М.
KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
12:09
Global TV Online
Рет қаралды 132 М.
Mbunge Bwege afunguka kuhusu kuhamia ACT
17:25
Dar24 Media
Рет қаралды 63 М.