PART 5: MZEE SENI AFICHUA WALIVYOMCHOMA MNYAMPARA USONI kwa MAFUTA ya MOTO GEREZANI...

  Рет қаралды 5,258

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@Doreen_ONLINE
@Doreen_ONLINE Жыл бұрын
ana miliki watoto 😁😁😁😁
@antonmbwile3316
@antonmbwile3316 Жыл бұрын
Mbona mnachelewa Sanaa kuleta part nyingine
@yohanasimba581
@yohanasimba581 Жыл бұрын
Wanatafuta subscription
@Lynnalice217
@Lynnalice217 Жыл бұрын
Ana miliki watoto 😂😂
@mosesgasana7109
@mosesgasana7109 Жыл бұрын
Interview nyingi za hawa jamaa waliowahi kufungwa gerezani ni waongo sana, hawaelezi ukweli kuhusu changamoto walizokutana nazo. Athari za kisaikolojia zinachangia sana kutokuwa wakweli.
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 Жыл бұрын
Sasa huyu mbona anachanganya babu seya aliingia jela kama 2004 inakuaje tena eti miaka ya 2002/3 akikutana nao gerezani
@YunusYahya-gr6ks
@YunusYahya-gr6ks 4 ай бұрын
Mtu kafungwa Toka 90 kumbukumbu inapoteaa ya miakaa
@julianayesayamwailolo8240
@julianayesayamwailolo8240 Жыл бұрын
Yaani wanachelewa haswaa mpakaa wana bore
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
MZEE MATONYA ALIYEISHI MIAKA 43 JELA, ASIMULIA A-Z KILICHOTOKEA!
24:44
Global TV Online
Рет қаралды 186 М.
Zumaridi afunguka maisha ya gerezani, "Nilikiona cha mtemakuni"
4:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 16 М.