Zumaridi afunguka maisha ya gerezani, "Nilikiona cha mtemakuni"

  Рет қаралды 16,808

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@fnfaithnyaundi111
@fnfaithnyaundi111 Жыл бұрын
Am Kenyan been watching these lady for long even during her trials and before and after her coming out,One thing I will say the woman has a good heart,She has helped many souls and she is still helping in other words she is a blessing to many let's not judge her doctrines let God only Judge her,All I can say Mummy Zumeridi ur a strong woman God is great he has fought for you don't carry the evil they have perpetrated to you,Trust God Mimi binafsi nakupenda mama
@roselyimo3676
@roselyimo3676 Жыл бұрын
Asante Sana mpendwa ndivyo alivyo Mfalme Zumaridi karibu Tanzania umuone
@xl6941
@xl6941 Жыл бұрын
Troll
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Жыл бұрын
Come and take her....
@fnfaithnyaundi111
@fnfaithnyaundi111 Жыл бұрын
@@moriscollins4494 If you have nothing to say about your fellow human beings keep silent,Its better than exposing your foolishness
@EK-kp2np
@EK-kp2np Жыл бұрын
Alijiita Mungu huyu mama, je unakubaliana nae?
@marianamhepella-zy5dn
@marianamhepella-zy5dn Жыл бұрын
Mungu unaumwa presha wewe zumaridi wewe ipo siku utajibia
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Жыл бұрын
Nilikuwa natafuta comment hii hivi Mungu anaumwa jamani
@danielmarunda153
@danielmarunda153 Жыл бұрын
Mungu anapataje presha?
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Kamfate yesu Christo mokozi umuulize, je alipotiwa mikononi mwa waovu alipata presha ?
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
We mrudie Mungu wa kweli
@oskakayombo9335
@oskakayombo9335 Жыл бұрын
neema imekuzukia mtumikie mungu wa kweli aliyekupa neema hiyo tena ukikosea tena hayo ya kwako
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk Жыл бұрын
Ukiludia utafia jera safari hii
@marianamhepella-zy5dn
@marianamhepella-zy5dn Жыл бұрын
Unaombaje kikombe kikuepuke zumaridi wewe si ni mungu
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Жыл бұрын
1:17 wapi ufalme wako
@jasiri25
@jasiri25 Жыл бұрын
HUYO RPO ALIEKUWA ANAKUTUKANA MEMPENDA SANAA ALIKUWA ANAPATA HASIRA SABABU ANAMJUA MUNGU WA KWELI .. KUDADEEEEKI
@mwanapili1430
@mwanapili1430 Жыл бұрын
Nahukukonda mama ww Mungu akusamehe😏😏😏
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Umeachiwa ,Fanya Tena Mambo ya hovyo Tena.
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
Hawez kashazoea ukahaba na ushamba tu na kudanganya waumini wake
@shedrackmramba4144
@shedrackmramba4144 Жыл бұрын
Mungu anapata pressure????
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
😂
@Mwl.NicksonKipangula
@Mwl.NicksonKipangula Жыл бұрын
MRUDIE TU YESU. UKAKIKA WA MAISHA YAKO UNARUDI
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 Жыл бұрын
Sasa Mungu anapata presha😂😂😂😂😂😂😂
@dianajames2451
@dianajames2451 Жыл бұрын
Na anajitetea kabisa Mungu🤣🤣🤣
@davidsemvua5336
@davidsemvua5336 Жыл бұрын
Ww mjinga sana unamchezea mungu wakurudishe gerezani tena hujakoma umeambiwa usifanye kosa lolote kwa miaka mitatu una laana
@damilesdaniel4134
@damilesdaniel4134 Жыл бұрын
Ulikuwepo kipindi anaambiwa hivo au unasikiliza story za maharage achana na Zumaridi na anafanya atakacho usimpangie
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
@@damilesdaniel4134 mungu kashapaka mekup na wigi jipyaaa.!! Duuuh wafuwasi wake kazi mnayoo.!!
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
Huyu atarudia mtu akisgazoea ushamba na ulimbuken kazi kweli
@dorikasifrancis3865
@dorikasifrancis3865 Жыл бұрын
Akika shetani na mawakala wake Wana enda kupokea mavuno Yao walio ya panda ndani ya mwaka mzima ,ili wajuwe MUNGU HADHIHAKIWI,Na yeye ndio MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA , YEYE ALIE WEKA MAKAO NDANI YA KIFUWA CHA MTEULE WA MBINGU,
@pastadandan3569
@pastadandan3569 Жыл бұрын
Yesu akutie nguvu Iko siku Dunia itakutambua
@prosperjuma905
@prosperjuma905 Жыл бұрын
Huyo hamuamini Yesu, anasema yeye ndio mungu. Kakiona cha moto. Kanyooka. Na akirudia atanyooshwa tena.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Dunia Imtambue Yakuwa Yeye Mungu Aliyekamata Nakuswekwa Ndani.
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 Жыл бұрын
Leo nimecheka xn Yani leo kamtaja Mungu jaman tena kwamkushukulu jmn
@roselyimo3676
@roselyimo3676 Жыл бұрын
Yesu hamkumtaja Mungu yaani babaye? Hamsomagi Biblia mkaelewa
@EK-kp2np
@EK-kp2np Жыл бұрын
Alijiita Mungu huyu😡
@damilesdaniel4134
@damilesdaniel4134 Жыл бұрын
@@EK-kp2np yesu akujihiita Mungu
@winfridagama5832
@winfridagama5832 Жыл бұрын
@@damilesdaniel4134 Yesu wapi alipojiita Mung?alisema nyinyi mnajua Mimi Ni Nani? petroakasema Ma....ya
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
Acha ukahaba kwenye kanisa lako waumini wazuri unao wanakushinda hata kuvaa nguo za adabu
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
Achana na anasa za dunia acha ulimbukeni wewe amua kumtumikia Mungu kweli wewe na acha kujiita hilo jina la zamaradi maana yake ni jini mkuu malikia wa baharini badilisha hilo jina wewe
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 Жыл бұрын
Pole sana mama vita umepigana na Amani ukaitunza! Hongera sana ❤❤❤❤❤
@genarahaswile2990
@genarahaswile2990 Жыл бұрын
uyu ni mchawii mdg wa uko kwao tu😂kashetaniii aka
@ruu6592
@ruu6592 Жыл бұрын
Ongera askari jela
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
Umetoka gerezani ulikua hauna nguo ya kupanda madhabahuni kwaMungu mpaka uende kuvaa nguo1 zakikahaba
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 Жыл бұрын
Kama kweli uliyoyafanya mpk ukapelekwa gerezani . Ukatubu umrudie Mungu . Watoto no Mali ya Mungu na sio ya binadamu hvyo anawalinda
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Hayo maovu yote yalitengenezwa na viongozi wa kidini wa Tanzania wanaojifanya wanamjua Mungu, Mimi namshukuru Mungu kwa ajili yako na Sasa viongozi wa kidini wa Tanzania wako kwenye hofu ya kukimbiwa na waumini, karibu uraiani piga kazi Mama
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 Жыл бұрын
PUMBAVU ZAKO NA WEWE
@gracemagereli93
@gracemagereli93 Жыл бұрын
Huna akili wewe shituka.Toka lini ulisikia wapi Mwanamke anakuwa mfalme au tumkague tujiridhishe ana jinsia gani.acheni ujinga huyu ni shida.watu wanamsujudu .Hasira ya Mungu itampiga tena
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
@@gracemagereli93 grace unajua maana halisi na orination ya neno mfalme ?.
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 Жыл бұрын
Sasa tuombee nchi yetu Tanzania 🇹🇿!
@ezekielpaul-bl6gb
@ezekielpaul-bl6gb Жыл бұрын
Jiombe Sasa pressure isiwepo
@rodymtakimwa3205
@rodymtakimwa3205 Жыл бұрын
Mungu ni mwema kwako dada endelea kumsujudu
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Mungu Gani Tena Yeye Mwenyewe Mlikuwa Mkimwita Mungu.
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 Жыл бұрын
@@nurdinmfamau3493 hata Mimi nashangaa Mungu Gani Tena au kalukwa nahakili nawakati yeye mwenyewe alikufulu kwa kujiita Mungu
@patriciamakoye1546
@patriciamakoye1546 Жыл бұрын
Alimuomba Mungu yupi tena
@roselyimo3676
@roselyimo3676 Жыл бұрын
Jamani jamani rudini kwenye historia za Biblia Yesu alishtakiwa kwa kujiita Mungu Wayahudi walimshtaki kwa kosa hilo hilo
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 Жыл бұрын
PUMBAVU
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Жыл бұрын
Ndio urudie tena uone wananzengo wa jela ulijisahau sana ukaona kila kitu ni sawa....
@annehk8185
@annehk8185 Жыл бұрын
Sasa zumaridi vipi kuhusu ule uungu wako bado unaendelea nao au umeishia huko gerezani? Maana umesema ulifanya maombi kumwomba Mungu hapo unatuchanganya toa ufafanuzi🐒
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
Acha ujinga mrudie Mungu kiukweli acha maingizo
@jamalhamiis8002
@jamalhamiis8002 Жыл бұрын
saaaaaaasa,vipi kuhusu ule uungu ulidai!?nkwa nini hukuwa umejilinda na kujiokoa!?
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Acha kujiita baba wewe nimwanamke soma vizuri vitabu vya dini.Hkuna asiyetaka uchungaji wako bali unavyoongoza waumini wako,unavyofanya hilo kanisa lako,Kuchukua mali zawatu kisa uchungaji,waumini kuwa mazombi nakula mizizi yamimea.
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd Жыл бұрын
Lkn kwa nini unamchezea Mungu yapo yaliyofanyika ndio mana umetoka
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Жыл бұрын
Kwa nini haukufa kabisa ili usije ukaendea kupoteza watu
@richardhosea8827
@richardhosea8827 Жыл бұрын
Mfalume huyo anasema askari wadogo wadogo walikuwa upandewake hao ndo zao kuvizia unacholetewa wanufaike wanafiki sana
@khalidkirama7749
@khalidkirama7749 Жыл бұрын
Sasa wewe si ni mungu, imekuwaje viumbe wako wakutese?
@kentkihongole8235
@kentkihongole8235 Жыл бұрын
Tafuta mchungaji akuongoze Sala ya toba
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Walimuonea bure
@annadaniel8699
@annadaniel8699 Жыл бұрын
Pole,sana diana
@alexvenas2699
@alexvenas2699 Жыл бұрын
Mungu unapata pressure Tena jamani?
@MikereMio
@MikereMio Жыл бұрын
😂😂😂
@allbrightsteven2764
@allbrightsteven2764 Жыл бұрын
Hata mm nimeshangaaa. mungu anaishi kwa mateso pressure 😂😂😂😂😂😂
@esterdesmon1521
@esterdesmon1521 Жыл бұрын
Mungu numwema dada ama kweli mungu yuko ndani yako mungu chini ya jua Asante mungu wetu kwakumtetea mama huyu
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
​@@allbrightsteven2764 🤣
@linkreuben3108
@linkreuben3108 Жыл бұрын
Huyu ,zimo kweli kichwani?!
@joytv8908
@joytv8908 Жыл бұрын
Hahahahahahahaha
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Жыл бұрын
Kufa bwana
@fatma7849
@fatma7849 Жыл бұрын
Kwani ungo ww ni freemason
BMG TV: Mwanzo mwisho, nyumbani kwa Mfalme Zumaridi
14:21
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 31 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
HUYU NDIYE DK EMMANUEL NCHIMBI MGOMBEA MWENZA WA URAIS CCM
4:42
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,8 М.
Malaysia's Minister Says Growth Set to Surpass 5% in 2025
28:42
Bloomberg Television
Рет қаралды 27 М.
HOUSE GIRL EP 20 | S4 | LOVE STORY 💞💕
20:55
BUSATI TV
Рет қаралды 3,8 М.
Kesi ya Zumaridi: Mshtakiwa azimia Mahakamani
3:02
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,3 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН