DADA ALIYEANZA KUUZA ASKRIMU ZA 100, HADI KUMILIKI MGAHAWA MKUBWA Afunguka - "NIMEFELI MARA NYINGI"

  Рет қаралды 60,983

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@KhadijaKamus
@KhadijaKamus Жыл бұрын
Mashallah je dada naweza kukupata niko zanzibar naomba alhamdulilah nataka nikuone nashukuru kwa nguvu na hope ulionipa
@NajlaAhishakiye
@NajlaAhishakiye 9 ай бұрын
Manshaallah dada Allah akuzidishiye ,umenipa nguvu
@avillajoseph7499
@avillajoseph7499 2 жыл бұрын
Hongera mnooo nimejifunza vingi sana kutoka kwako natamani niwe kama weww kwan napenda sana kutengeneza ic cream kwan natengrneza za 100 100
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
Mashaallah 👌.Mwanamke shujaa hakuna kukata tamaa kwa kile unachokipenda
@Zuhra1th
@Zuhra1th 2 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah akuzishie ukhty akupe siha na afya atuhifadhi na hasad na kila shari Ameen Im so proud of you biashara ya halali hukuchukuliwa na ulimwengu wa sasa kila kona mabaa SubhanaAllah Allah akakuwezesha na wewe ukashukuru keep it up
@neemafrancis6044
@neemafrancis6044 Жыл бұрын
nimejifunza kitu hapo namimi naanza biasha leoleo
@salmasulleysh7101
@salmasulleysh7101 Жыл бұрын
Mashallah yn amna ndoto uiota km hii naipnda adi naumwa Mungu atutimizie malengo ytu
@shamzone388
@shamzone388 2 жыл бұрын
Kweli kazi yoyote ukitilia nia itakunyanyua Hongera sana dada umetoa mfano kwa kina dada wengine
@nurually8292
@nurually8292 2 жыл бұрын
Hongera sana mama
@deborahmwakihaba2484
@deborahmwakihaba2484 2 ай бұрын
Napenda sana umenitia moyo sana ubarikiwe
@nipautago8574
@nipautago8574 2 жыл бұрын
Amina! Hongera zake! Haya ndo yakutuletea
@jumaramadhan2620
@jumaramadhan2620 2 жыл бұрын
Mahshaallah Allah Akubarki
@NeemaSamwel-c6r
@NeemaSamwel-c6r Жыл бұрын
🎉jamani kweli zuri sana
@naiylamahmed4484
@naiylamahmed4484 Жыл бұрын
Hongera mama.... worthy kuigwa
@BS-vk9ls
@BS-vk9ls Жыл бұрын
Mashallah sis unanipa moyo maana namimi ndio nimeanza hizo biashara za icecream barafu za ukwaju na za maziwa
@Goodluck-uf5um
@Goodluck-uf5um Жыл бұрын
Hongera mno mm ni mwanaume ila natamani kuwa kama wewe
@mumynanah5479
@mumynanah5479 2 жыл бұрын
MashaAllah dada ice cream zako ni tamu nazipenda
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Masha Allah 😍
@irenekaluse3501
@irenekaluse3501 2 жыл бұрын
Zenie ahmed hongera sana
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Hongera Dada
@jacklinemsangi7521
@jacklinemsangi7521 Жыл бұрын
Nimeipenda
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Hongera ukiipenda kz na kuiheshimu unafika mbali
@KidawaKhaji
@KidawaKhaji Жыл бұрын
Tunaomba namba zake tujifunze kwake
@mohamedimillanzi8243
@mohamedimillanzi8243 2 жыл бұрын
Habari naitaji unifundishe kutengeneza icream za 100
@فوفوروز-و4ف
@فوفوروز-و4ف 2 жыл бұрын
Best ingia humu humu youtube utajifunza
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 2 жыл бұрын
MaaShaaAllah - Tabaarakallah
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 жыл бұрын
Mashaallah 👌
@manyangagrace4342
@manyangagrace4342 2 жыл бұрын
Hongera
@snegalkassim7316
@snegalkassim7316 2 жыл бұрын
Hongera sn
@AGNESSMUSSA-zw9qt
@AGNESSMUSSA-zw9qt 7 ай бұрын
Dada naomba namba zako nimefurahishwa sana
@habibamohamedmohamed9497
@habibamohamedmohamed9497 Жыл бұрын
Hongera dada pls naomba namba yako
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 2 жыл бұрын
Masha Allha
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Жыл бұрын
Dada naomba namba yako
@JamilahMohamed-eh8nl
@JamilahMohamed-eh8nl Жыл бұрын
Yan nilivyokuwa na niya ya kufanya kazi hii half nimelikuta Hilo kusem ukweli nimepata nguvu kubwa
@mohammedfarid5534
@mohammedfarid5534 3 ай бұрын
Keep it up Jamilah anza muda ni sasa
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 жыл бұрын
Well done Zein ❤️
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
Samahani Sana naomba number zake niongee na chochote nakuomba sana
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 2 жыл бұрын
Hongera ndugu
@missyfao1375
@missyfao1375 2 жыл бұрын
Mashallah
@alawiyadaud7750
@alawiyadaud7750 2 жыл бұрын
Mashallah
@angelinashigela9342
@angelinashigela9342 2 жыл бұрын
Wow
@francsinga2475
@francsinga2475 2 жыл бұрын
Madam habr,samahni naomba unielekeze vipimo vya ice cream ya kuuza 100
@ombeningoya4418
@ombeningoya4418 5 ай бұрын
Dada naomba namba yako tafadhali
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 2 жыл бұрын
Dada Sama Hani nipatie nambar yako unipe muongozo
@danielmarco5222
@danielmarco5222 9 ай бұрын
Naomba namna ya kupata hizi mashine
@gracegrace2561
@gracegrace2561 Жыл бұрын
❤❤❤
@happyrobert7350
@happyrobert7350 7 ай бұрын
Naomba namba yako unifunze
@faustajohn-kz4jz
@faustajohn-kz4jz Жыл бұрын
Sawa
@wankeykingu3093
@wankeykingu3093 2 жыл бұрын
Nataman kujifunza ice cream za mia plz nsaidie
@KhadijaKamus
@KhadijaKamus Жыл бұрын
Na mimi nina biashara ya ice cream za mia mia nimeanza
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 2 жыл бұрын
Mashaallah
@aminachappa8677
@aminachappa8677 2 жыл бұрын
Asalm alkm vip hali kwema wallai naomba namba yako Kenya
@fifikipendo5555
@fifikipendo5555 11 ай бұрын
Njambo nitawapata jee ?
@EmerdaSambala
@EmerdaSambala 6 ай бұрын
Ahsant
@ridahsupply2756
@ridahsupply2756 2 жыл бұрын
Zai naomba namba yako
@annamoyo5879
@annamoyo5879 2 жыл бұрын
Naomba kujifunza dada ,nisaidie mwanamke mwenzio niweze kusaidia familia yangu.
@MasoudKiame
@MasoudKiame 3 ай бұрын
Mimi nauza sioni faida zaidi ya hasala ya umeme tu
@adrophinapeter4384
@adrophinapeter4384 2 жыл бұрын
Naomba nisaidie jinsi yakupata mashine .
@MaidaFadhili-om2zq
@MaidaFadhili-om2zq Жыл бұрын
nimepend mtaji wake unawez ukaw shingap nijifunze kutengenez
@sabinastadler
@sabinastadler 2 жыл бұрын
Nimeshukuru. Umenigusa
@aoman5214
@aoman5214 2 жыл бұрын
Mtuletee vitu km hivyo
@wanjeneemathabitha4863
@wanjeneemathabitha4863 Жыл бұрын
Na mask?
@Goodluck-uf5um
@Goodluck-uf5um Жыл бұрын
Ant Zena mashine hizo ambazo zin freezer umenunua shingapi na frge umenunua shingapi?
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 2 жыл бұрын
sio MUUA ni MUUZA
@KuruthumKimei
@KuruthumKimei 7 ай бұрын
L
@JoyceNdugulile-y9c
@JoyceNdugulile-y9c Жыл бұрын
Hongera
@jacklinemsangi7521
@jacklinemsangi7521 Жыл бұрын
Nimeipenda
@SamiaRajab-f2b
@SamiaRajab-f2b Ай бұрын
❤❤
@ruqayarashid6180
@ruqayarashid6180 2 жыл бұрын
Mashallah
@rosesesala9131
@rosesesala9131 2 жыл бұрын
Asanteee sanaa dada angu kwa kunitia moyo
@ruqayarashid6180
@ruqayarashid6180 2 жыл бұрын
💖💖
@KuruthumKimei
@KuruthumKimei 7 ай бұрын
Mashallah
JINSI YA KUTENGENEZA ICECREAM ZA UBUYU
6:20
Dina
Рет қаралды 128 М.
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
AINA ZA BIASHARA ZINAZO MFAA MWANAMKE - JOEL NANAUKA
8:58
Joel Nanauka
Рет қаралды 224 М.
Making of milk Ice Candy aka PEPSI | Milk Made
5:41
sarvesh patkar
Рет қаралды 1,5 МЛН
KUTENGENEZA BARAFU ZA RANGI 3 Nyumbani/ Colored Ice popsicles
5:50
JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM ZA MAZIWA (LAINI NA TAMU SANA)
5:40
MASTY TV TANZANIA
Рет қаралды 53 М.
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН