JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@MonicaTimotheo17 күн бұрын
Daaaaah uchawa mbaya sana kabla ya kumshukuru binadamu hata kama ana cheo gani unapaswa kumshukuru MUNGU kwanza
@FaabinOmar-d6e18 күн бұрын
Makonda nimefurahi sana mungu amlinde🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏😊
@saidiabdallah369916 күн бұрын
Namimi nakuja kuishi arusha
@Lundege_Hips17 күн бұрын
Wewe Meya mshukuru Mungu wako kwanza hadi sasa ndio anakupa hiyo pumzi ya kufka hapo
@WilsonSanare-m6k18 күн бұрын
Arusha.juuuu.makonda.juuuuuu😅
@AlexKinunda-j9l17 күн бұрын
Nami nampa pongezi sana Mheshimiwa mama yetu Mama Samia kwa upeo wako kwa uchaguzi ulio fanya juu ya Makonda kweli jembe Mmenitamanisha nyama choma yaani nakumbuka huko nyumbani tanzania. Nawatakia mwaka mpya 2025 moto ,moto .
@TheBastarrrd17 күн бұрын
Paul Malinda 🔥🔥🔥
@patrickndizeye219018 күн бұрын
Wow❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
@vintz33817 күн бұрын
Sio kwa nia mbaya ila mkuu wa mkoa wa Dodoma ni kama hayupo
@barrynzeyimana627017 күн бұрын
Makao makuu ya nchi hayatakiwi kua na mambo kama hayo
@amosiabdulallh796517 күн бұрын
Hamiya misumbiji
@petershedrack466817 күн бұрын
Hiyo akili yako bado hujatumia vizuri
@paulmaganga970017 күн бұрын
Sahihi kabisa❤❤🎉
@alluminiumexperttz.12mview1317 күн бұрын
Umeona ee. Yan hata simjui na nipo dodoma. Nina unakika wanaomjua mkuu wa mkoa wa dodoma hawafiki 40%
@Niika87017 күн бұрын
Duuu naenda Arusha mie namfata DJ Makonda😂
@leonardalphonce892417 күн бұрын
Ha we yani unamshukuru mwanadam badala yakumshukuru mungu
@AdamChogo17 күн бұрын
Aaah wew kumshukuru alykutndeaa wema
@CharlesSomeke-p8m17 күн бұрын
@@leonardalphonce8924 kila mmoja anapaswa kushukuriwa
@desderylasway981017 күн бұрын
Arusha raha tu
@ruhindacostantine209218 күн бұрын
Mzee wangu watu wa arusha nimewakubali
@godmbise-gj9ug18 күн бұрын
Huyu Maxmilian Iranxe vipi yupo sahihi huyu mstahiki meya wa jiji la Arusha.....
@htx187317 күн бұрын
DONT LET THEM DRINK AND DRIVE PLEASE.
@twalibulomy-cd4zd17 күн бұрын
Sawa mbowe
@JOSEPHKAJORO17 күн бұрын
Mkoa wa Arusha ndio wa kwenda kuisha.
@hanifamziray27718 күн бұрын
Mpk raha tule nyama mpk basi arusha yetu oyeeeerr
@Christiannyangi-u8v17 күн бұрын
Namuomba mungu aamishiwe dar tuenjoy jaman na sis😢
@tumainmkonyi845917 күн бұрын
Alisha wapaga pata kama hii Dar hamkumdamini chuga tumemkubali
@Martin-lv1xw17 күн бұрын
Hivi hao wanaohusika na vyakula sanasana nyama watakufa wakivaa gloves? Binafsi inakatisha stim mtu anashikashika nyama na mikono..Wabadilike😷😷
@tomsijohni17 күн бұрын
wanauza tena mimi nafikiki anapeana bure kwa watu watakao kuja kwenye sherehe apo wamealibu kuzia watu chakula na watu wana kuja kwa ajili yenu
@methewbuzuruga-eg8oz17 күн бұрын
Kuanzia leo jana na kesho
@saitotigeorge65418 күн бұрын
Mpite usiku ndio muonekano upo tumieni akili nanyie sio kila k2 tuwafundishe kwenye comment 🤌
Kwahyo huyo anayeuza bia hapati pesa anapata mawe?
@twalibulomy-cd4zd17 күн бұрын
Sawa mbowe mwnykt wa kudumu.
@rithaurassa17 күн бұрын
Bara bara za mtaani ni mashimo tupu na maji yamezid barabarani boda boda magar yanapita kwa kwa shida mim nikakae starehe akaaa tusameheane kwa hilo. Usafir mgum san kwetu.
@mcback438418 күн бұрын
Address itakua central
@rahabnkya827617 күн бұрын
Tunashukuru kuombewa, kupèwa barabara nzuri maji salama afya nzuri mahospitali, elimu mahakama Safi polisi safii vivutio vingine ubunifu ajira, MH Rais atukuzwe kutuletea Mh makonda kubadilisha Arusha yetu vitongoji hadi MIJI JIJINI. 2025 IWE YA AMANI NA PESA MFUKONI PIA.MUNGU BARIKI.😂
@LangiMwampamba17 күн бұрын
Wanasubiri siasa zipungue mtalipa zote Hela hizo
@majaliwabwitonde690017 күн бұрын
Acheni vijiba vya roho, acheni watu wale maisha. Unakuwa mtabiri wa mabaya wewe
@elioimer842317 күн бұрын
Vitu vya bure havifai. Mazuzu Mantegwa Kama hamjui.
@rajabuhamisi967517 күн бұрын
Ndenda kachukue kama unaona Kuna Cha bule watu wanatumia pesa zao Wacha makasiriko jombaa
@mutabebwa171317 күн бұрын
Ni kweli havifai. Mim ningempongeza Makonda kama angebadirisha hali ya Arusha. Mji ni mchafu maji taka yanatiririka hovyo barabarani.Harufu mbaya kila mahari ukienda sokoni hakufai,stendi ya mabasi kuko hovyo mate na mikojo alafu tunasifia matamasha na nyama choma.
Mnawakandamiza mnaiba uchaguzi Kisha mnawasaulisha
@MohammedAwadh-gq9si17 күн бұрын
Mpaka uibiwe uko wapi ? Ni uzembe
@NasibuAlban17 күн бұрын
Acha lawama za kijinga nani kaib8wa hapo
@SamwelikazimbayaKitahenga18 күн бұрын
Mafanikio gani Arusha usalama ni mdogo sana!Makonda ameshindwa kuimarisha usalama badala yake yeye kila siku kufanya sherehe tuu!
@barrynzeyimana627017 күн бұрын
Watu huleta usalama mdogo kwakua hawana chakufanya
@NasibuAlban17 күн бұрын
Yani nyie kila kukicha malalamiko acha watu walinde raha huwezi kaa kimya kula ugali wako
@amosiabdulallh796517 күн бұрын
We tafuta ugar watt asife nanjaa, chadema italeta chakula hapo ullpo mjinga
@NasibuAlban17 күн бұрын
Watanzania wengi ni wa hovyo kuna siku za kula raha wengi wenu mlivyowajinga mnacoment maendeleo wengi mmeshindwa kufanya maendeleo makwenu mnalaumu mpaka sherehehe acheni roho mbaya na ushamba mwingi makonda piga kazi bata ziliwe siku za kazi zipo na siku za bata zipo badilikeni nyie walalamishi wa hovyo
@ContentSmartphone-rq6po18 күн бұрын
😂😂😂😂
@yasiniSwedi-qg5oc17 күн бұрын
Huko ndo Yalikoja mafsad
@mataypanga526218 күн бұрын
Ninyi wekeni ulinzi,hiyo sherehe yenu haina maana. Ukila na kunywa siku mmoja hata bure inabadilisha nini?😂. Makonda lete maji,umeme, barabara na mengine
@samwelilazaroTZ283518 күн бұрын
Kila jambo na wakati wake, kuna wakati wa kulia na kuna wakati wa kufurahi, kuna kufa na kuishi kulala na kuamka
@Behd14518 күн бұрын
Mwambie,tatizo watu wanamini serikali inatoa kila kitu wacha watu wale bata
@section8ight17418 күн бұрын
Life is all about BALANCE!!
@mataypanga526218 күн бұрын
Sawa@@samwelilazaroTZ2835
@mataypanga526218 күн бұрын
@Be😂hd145
@GoodluckTarimo-u3j17 күн бұрын
Upuzi tuu kulishana matope tuu Kuna vya maana vyakufanya kuliko hivi
@NasibuAlban17 күн бұрын
Vya maana fanya wewe aliyezoea kulalamika
@MohammedAwadh-gq9si17 күн бұрын
Fanya na wewe! Chuki itakukondesha tu
@mmnimshindi17 күн бұрын
Upuuzi gani amemkataza ntuasifanye ndio ufanye na wewe