TUMAINI ALIYEFUNGWA MIAKA 60 AKATOKA ANAMTAFUTA SABAYA, ATOKA na ZAWADI ya MKUU wa GEREZA

  Рет қаралды 18,266

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@donalddonald3190
@donalddonald3190 Жыл бұрын
Nilitegemea kuona namba ya jamaa kwenye description ila hamna... Sijapenda😢
@Oman-nu2kc
@Oman-nu2kc 11 ай бұрын
Mungu akujalie iyo biashara iendelee kua kubwa inshallaah🙏🙏
@samsunggalax8258
@samsunggalax8258 Жыл бұрын
Sabaya god blessings u❤
@happylemboto9103
@happylemboto9103 Жыл бұрын
I thank God for you 🙏
@hassanhamud-pw1qp
@hassanhamud-pw1qp 11 ай бұрын
Ndutu manisha unacintent nzito sanaa
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 Жыл бұрын
Sabaya mungu akupe maisha marefu ❤❤❤
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr Жыл бұрын
Sabaya tunakupenda Sana
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Hakika kuna kesi za kubambikiwa huko polisi na zikifika mahakamani hakuna umakini wa uthibitisho wa kosa. Mtu anaadhibiwa kwa kukandamizwa na hakimu anaona tu.... !! Jamaa amesema mahakimu wanawake... mtangazaji akakata maneno...!! Bado kuna woga hata kwa waandishi. !! Tutajifunzaje !?
@HenryAnatoly-jg3df
@HenryAnatoly-jg3df Жыл бұрын
Mungu awe juu yako na akafanikishe hitaji lako la moyoni.
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Pole Sana ndugu ila nikweri. Tz wakandamizaji sio Sheria ndiotunapoteza muelekeo
@officialdinaize
@officialdinaize Жыл бұрын
Mahakimu wanawake changamoto yalinikuta nashukuru nilipona
@Nyaburyaofficial217
@Nyaburyaofficial217 Жыл бұрын
Mwandishi msomi nakukubali bro 😎
@ndayishimiyedonatien
@ndayishimiyedonatien Жыл бұрын
thx lord 🙏✍️✍️
@benswai8099
@benswai8099 Жыл бұрын
Hii ni interview ya maana sana
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 Жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NAMWOKOZI WETU AMEEEEN BARIKIWA SANA NYOTE SHALOM
@Oman-nu2kc
@Oman-nu2kc 11 ай бұрын
Viatu niczr sna💯💯
@CalistCalman
@CalistCalman 4 ай бұрын
Naomba tumsikilize Maria nini sababu ya kumsingizia kijana Tumaini
@neemareuben311
@neemareuben311 Жыл бұрын
Daaa maskini kuna watu wanapitia Mapito mengiiii dunia aiseee
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 Жыл бұрын
Dah nakumbuka mwaka 2008 yalitaka kunikuta haya sema mimi bahati yangu nilianza kuojiwa nyumbani hivyo baada ya kuona ukweli wakaniambia basi nikubali nikubali kuwa momba yangu ili mtoto akizaliwa aandikwe jina langu nikikataa basi twende polisi kwanini ulimtongoza dah haya maisha we acha tu
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Ulivokubali nini kilifata
@charlesbutera897
@charlesbutera897 Жыл бұрын
Mm nimekaa jela miezi 3 ila naambieni kwenda jela siyo lazima uwe jambazi au mbakaji michongo ni mingi sema mungu ni mwema.
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Tz tulokuepo wapendapesatu angaria ata mazingira ya Barbara awatengenezi kwa umakini wanajilikulapesa siokazi
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Mungu amsimamie huyu kijana afunge kiwanda chake mwenyewe ili ajipatie kipato chake
@daudzabron5514
@daudzabron5514 Жыл бұрын
Hivi si amshitaki hakimu, amshitaki afisa upererezi na familia walio mfosi Binti aseme uongo.
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Nakushaur akaombe Kaz wiwanda vya viatu kipo iringa tosaganga
@ilungasalle
@ilungasalle Жыл бұрын
Serikali imlipe fidia hakimu akatwe mshahara kwa nini hawakupima DNA kujiridhisha. Wamemuharibia miaka sita bila sababu mbwa kabisa hawa
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
😢😢daah kumbe jela wanatembea peku dah basi jela ni mbaya nyie
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 11 МЛН
KIBOKO wa DAWA za KULEVYA WALIVYONASWA DAR WAKIWA na DAWA ZAO..
3:55
Global TV Online
Рет қаралды 34 М.