JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@Dorcasfoundation11 ай бұрын
My God bless you ❤🎉😊
@malitomalito11 ай бұрын
Mdogo wangu makonda safi sana chapa kazi
@elibarikimanjia839111 ай бұрын
Serikali katili ndio iliyo sababisha UMASIKINI wananchi wake. Alafu anajifanya kusikitika
@elibarikimanjia839111 ай бұрын
Serikali katili ndio iliyo sababisha UMASIKINI wananchi wake. Alafu anajifanya kusikitika
@ashaahmad72011 ай бұрын
sasa nn nae huyu mama kama kafiwa upya jmn ananiliza dah 😢 haya haya twendw na Zaburi: 41:1
@IssayaTumuso9 ай бұрын
Makonda Mungu wa mbinguni akubariki mara dufu kwa kazi nzuri uliyoifanya kwa hii familia
@BigTownTV_Rwanda7 ай бұрын
This video moved me to tears; it’s incredibly emotional. May God bless all of you for making this possible.
@tonnyford578211 ай бұрын
Mh makonda unayoyafanya mwenyez mungu anakuona mm nakutakia maisha mema,kipimo ulichoipimia familia hiyo ndicho naww mwenyez mungu atakupimia👏👏👏
@marieconnect638911 ай бұрын
Mungu kupitia rais wetu ametupatia kiongozi mwrnye moyo wa kibinadamu anayefanya kazi za kimungu kwa imani na moyo mmoja. Wasiopenda kazi hizi kwa sababu zao binafsi na washindwe na kulegea katika jina la bwana YESU kristo. Keep it up makonda wetu
@jonathansolomon45611 ай бұрын
Huyu baba tumuombee sana Tena sana
@marieconnect638911 ай бұрын
@@jonathansolomon456 hakika
@Anna-fo6sq10 ай бұрын
Amina
@FrediMolell-ql9sg8 ай бұрын
Amina
@mwanyongamama440711 ай бұрын
Utukufu kwa Yehova Mwema Mbarikiwe Sana Watumishi Raisi na Makonda We praise God for you
@zabrongermanus-co1jj12 күн бұрын
Mungu anatenda kazi kupitia watu wake Rais samia na mh makonda Mungu awape maisha marefu hapa duniani
@Jibambeshow254k11 ай бұрын
Kama ushawahii lelewa mzazii mmoja daa utaelewa sana makonda nakufagilia sana kutoka Kenya 🇰🇪 Mungu akujalie hio moyo unatembelea kabisa nyayo za magufuli Akujalie utimize ndoto zako pia InshaAllah,watanzania musiwauwe viongozi wazuri kama hawa waombeeni wazidi kuwepo maana niwachache sana walio n moyo y kutoa
@sabuomar242011 ай бұрын
Makonda umetuliza wengi, clip hii imetu-touch sana. Mungu akubariki sana. Wewe ni Mtu wa watu. Umeonyesha ubinadamu toka ndani ya moyo wako. Baraka njema toka kwa Mungu kwako zaja, Amin.
@MwanaidiSalehe11 ай бұрын
Dah kipenz me mwenywe nimejikuta nalia aisee dah 😭😭😭
Asante Makonda wetu. Unatukumbusha.mbali sana. Tulidhani mambo haya hayawezekani tena kumbe Mungu wetu bado anatupenda sana watanzania. Hakika tuna kila wajibu wa kukushukuru sana ee Mungu wetu.
@FelisterRobert-d3j11 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema kwa watu wake
@reshmabayyo10 ай бұрын
❤yaan huyu baba ana wito mungu akubaliki sana baba
@lutindiOthumani-ph5kz11 ай бұрын
mungu ampige laaana Kila anae bezaa harakati za makonda insha Allah hata kama anatoka kwenye ukoo wanguu eti Kuna mavi Mmoja anasema makonda anawazalilisha wananchi nyoooo kwa lipi analowazalilisha insha Allah yarabi mpe kinachomstahiki makonda
@hadijaramadhani480111 ай бұрын
Umemuonaee nasauti yake kama mlamba unga yaani alinikera yule kuna watu hawana shukrani kwakuwa wao wanakula kwenye sahan hawawezi anacho kifanya huyu mwamba
@lilyrose798311 ай бұрын
😭😭😭
@lutindiOthumani-ph5kz11 ай бұрын
@@lilyrose7983 wanaumwa
@magrethtowo11 ай бұрын
Awe nao kinyume wapigwe
@feisalmwinyi242911 ай бұрын
Mpaka nalia maisha hayaaa Mungu mbariki mh Rais wetuu Mama wetuu Samia kupitia kwa mh wetuu Makonda Mungu ibariki Jamuhuri yetu ya Mungano wa Tanzania 🙏
@Ramadhani-ui8hl11 ай бұрын
Makonda mungu akulinde daima...wewe ni kiongozi uliyeshushwa na mungu..asanteee makongo. Hta mie machozi yamenitoka
@SarahLetion5 ай бұрын
Mh. Paul Makonda Mungu akubariki sana na uzao wako ukawe wa heri daima kwa hili mbinguni utakumbukwa umetuliza kweli nami nasema Mungu akulipe kwa wakati wake.
@Kidotii11 ай бұрын
Makonda unanikumbusha Baba Magufuli , Mwenyez Mungu akulinde
@GloryJoshua-xk8sb11 ай бұрын
Mungu awabaliki Sana kwa kwa kuwatunza wahitaji hao Msione kupungukiwa bali mkazione balaka za Mungu tu maishani mwenu
@priscamchomvu402111 ай бұрын
So emotional Makonda Mungu akulinde na hskuna dilaha itainuka juu yako ikakushinda bali damu ya Yesu na jeshi la malaika viwe silaha yako usk na mchana had ktk familia yako itunzwe na Bwana. Na mbawani mwake uwe salama
@KelvinKidiwa-dg3nn10 ай бұрын
Makonda na mapungufu yake yote bado ni mtu mwenye moyo wa kiutu
@isaacmanyala322811 ай бұрын
God bless the fraternity of this convoy. Makonda Paul, you are a great leader .Your stars are being shown by Mama Samia . Good Lord, God bless you all. I always follow you because you are my mentor.
@fatumaabubakarzuberi813211 ай бұрын
Mmejua kuniliza jmn kwel mungu akitaka kukupa akuandikii barua Allah atupe kizazi Chema km ch alhaji 🙏🏼
@zohoraramadan454011 ай бұрын
Allahuma amini
@kilungumsabaha389111 ай бұрын
Mi pia nimejikuta naliaa uwiii jamaniiii haya maisha 🙌🙌
@mswahili624711 ай бұрын
Amina 🙏🏽
@TeshaNange11 ай бұрын
Ameen yaarabi
@rosetreffert417911 ай бұрын
Yaani 🙏🙏
@WitnessNnko-e9j6 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba😢
@festusbokoro161511 ай бұрын
Good man makonda,,, alafu hyo baba alieitelekeza hio familia akiona maisha yamekua mazuri asirudi apo
@marieconnect638911 ай бұрын
Makonda has a bright brain and a very big heart...... what it takes to be a true leader. He is patriotic, courageous and intelligent. He is the kind of a leader needed in this country. Asante mama rais wetu kwa kumpatia tena nafasi ya kudhihirisha zaidi uwezo wake.
@mkulimatanzania11 ай бұрын
This is the leadership that has a calling in it, Makonda is not understood by many, but he is a man with the heart of God in him and he has a very big calling.
@martinsimtenda599011 ай бұрын
T We call it Servant Leadership
@ElizabethDeusi-sx8di11 ай бұрын
Makonda mungu akuweke kwajiliya wa Tanzania 😭😭😭😭😭😭 karibu tunduma baba tunakungoja kwaamu kubwa ❤❤❤❤❤❤
@surusuru199411 ай бұрын
Huyu nimakufu ❤kabisa❤ma
@marieconnect638911 ай бұрын
Hakika kuna roho nyingine huwa hazifi moja kwa moja. Zinabaki zinawaingia watu wengine hapa hapa duniani. Mungu anatupenda sana
@yuzotv45811 ай бұрын
nimemuona magufuri ndani yamakonda😭😭😭😭.
@salmakashau-ib9fq11 ай бұрын
Yani mtt wamiaka kumi anawaza sn nakuangua kilio kwakel mtt Mmoja mwenye akiki sn mungu atampa upeo zaidi
@yuzotv45811 ай бұрын
@@salmakashau-ib9fq huyu kijana nishupavu haswaaa,kuna mijitu imeweka hadi oder ya nyembe zitazotoka mwez wa tatu😂😂😂😂😂😂😂,na ukiipa mitaji inahonga alafu wanarudi kuomba tena.
@AbdalahMohamed-e3m11 ай бұрын
Rais wangu samia mwanyez mungu atawalipa na atawaongoza katika uongozi wenu ulio tukuka amahakika makonda nichaguo sahihi katika chama chetu cha ccm nilikua sipigi kura mwaka huu ntapiga kura uendelee kutuongoza aaamin!
@MohammedAwadh-gq9si11 ай бұрын
Kilio cha mama hicho ! Tutafakari sana ! Mungu atajibu chozi la huyu mama na mtoto wake na kiongozi huyu ! Insha ALLAH
@lilyrose798311 ай бұрын
😭😭😭
@marieconnect638910 ай бұрын
Wako wengi sana tena sana katika taifa hili wanahitaji kusikilizwa pia. Huyo ni mmoja tu Kati ya wengi.
@NdayisengaTatu-f2v7 ай бұрын
Na si wote watafikiwa Bali alochaguliwa na Mungu ILO tufahamu
@danielshauri639011 ай бұрын
It really hurts a lot. May God give you new grace and breakthrough for this nation of Tanzania Mr. Makonda
@marieconnect638911 ай бұрын
Amen. God hear our prayers
@JUU-lw2je11 ай бұрын
Sa ya Mungu ikifika imefika
@MedizzoCylvecter-v1j11 ай бұрын
Jah! Bless us.
@assanelourenco318311 ай бұрын
God bless this family
@minzambiyu14311 ай бұрын
Mungu aliyemtumia Alhaj kuiinua familia yake , akawatumie na kuwainua watoto wengine waliotelekezwa na kuachwa na wazazi wao, Mungu huwainua wanyonge na kuwapandisha juu, mwenyezi Mungu atujalie mioyo ya huruma na upendo 🙏
@julianaotwin443711 ай бұрын
Ameen...
@umsulaiman746811 ай бұрын
Makonda Mungu akujalie moyo huyo umemfurahisha al haj na mama yke kujengewa nyumba n ww na mama Samia Mungu awape nyumba ya akhera Amiin
@neemaelija92582 ай бұрын
Kwakweli machozi yamenitoka ya furaha Mungu awabariki wote mnaoguswa na maisha ya watu wenye maisha magumu...barikiwa mama Samia Mungu akupe maisha marefu barikiwa Makonda
@dorcaskidoti24911 ай бұрын
Nakosa cha kusema, Kupambana kwa mtoto huyu kumekuwa Baraka kubwa sana, Ndo maana harisi Mungu ataibariki kila kazi ya mikono yako, Mama samia hongeraa sana pamoja na kaka yetu Makonda😥😥😥😥❤🥰
@isaliisu340811 ай бұрын
CCM WASANII SANA WAMESHINDWA KILA IDARA WALIONGOZA NCHI KWA KUSHINDWA TOKA TUKIWA WATANZANIYA MILIONI 10 WATAWEZA LEYO TUKO MILIONI 60
@julianaotwin443711 ай бұрын
Hakika mungu huna upendeleo kama ilivyokuwa kwa kornelio leo kwa alhaji...tunakushukuru mungu baba,asante kwa upendo wako mkubwa juu yetu,nimetokwa na machozi ya furaha na yakushukuru mno..bless Lord🙏🙏
@marieconnect638911 ай бұрын
Asante rais wetu kwa zawadi hii nzuri ya kiongozi mzalendo mpenda watu iliyokuja kwa wakati sahihi.
@SophiaManase11 ай бұрын
Mungu amekuchagua makonda
@oliviamhinamasimbusi163511 ай бұрын
I am speechless, Mungu azidi kukuongoza vyema Mama Samia na Makonda usichoke kufanya kazi hata watu wakikubeza, unaonyesha kazi zako kwa matendo sio maneno
@mrsab30311 ай бұрын
Makonda you are good man ❤❤❤❤❤❤❤❤
@JudithAdonis11 ай бұрын
Pacha wa Magufuli......na huko aliko aisee 😭😭😭 we are still crying for him
@evelinamwaikambo250611 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mtetezi wa wanyonge
@EdithaErro-cb8fp11 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@ashiraphmisigaro743211 ай бұрын
Huyu mtoto wa kiume ana kitu Cha pekee ndani yake.GENIUS! Amekosa la kusema!
@hyacintagugu711 ай бұрын
Yaani jamani...Huyu Mtoto jamani
@hyacintagugu711 ай бұрын
Mungu ameona mahangaiko ya huyo mtoto jamani
@RhodaLudigija11 ай бұрын
He z a blesn aiseee
@MariamMarusu11 ай бұрын
Ndo maana analia..
@BarakaNdimbwa-f3z4 ай бұрын
Amina BABA endelea kuwa na moyo wa upendo zaidi Mimi binafsi nakuombea maisha malefu uzidi kuwa na moyo huo huo 😭🙏🏻🙏🏻🙏🏻🧎🏿🧎🏿
@marieconnect638911 ай бұрын
Keep it up hon. Makonda. We praying for you for a bigger role in this country in the future. God protect you and your family against any evil plans. We understand you and we love you so much. Keep it up
@jacklinemwarabu654911 ай бұрын
OUR GOD IS GOOD ALL THE TIME🙏🙏🙏 UHIMIDIWE BWANA..BARIKI FAMILIA HII..BARIKI MAMA YETU MZURI SAMIA..Good work makonda👍👍
@skjjsj188911 ай бұрын
Ma konda oyeeeeeeee Umepata mtetezi wa wanyonge❤❤
@AliceEugen5 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@aminaomary556711 ай бұрын
Rais wangu Samia S.Hassan mungu atakulipa mara mia na kwa kuchagua Makonda hadi kwenda kumiona huyu mtoto na kumsaidi.Samia mungu akuzidishie sana kwa upendo wako wa dhati na Makonda mungu atakuzidishia tu.😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏👍👍👍👍
@florasimonmwale12911 ай бұрын
Jamani huyu kiongozi bora mtumishi wa Mungu & Watanzania, ana wadhifa gani?
@julianashani940811 ай бұрын
Yote kwa yote namshukuru sana mtagazaji wa WASAFI Mr Zungu 🙏🙏🙏🙏🙏namshukuru sana my brother 🙏🙏🙏🙏🙏, ZUNGU Mungu anakuona my brother hongera sana 🙏🙏🙏
@DusengePapin11 ай бұрын
Zungu naye apewe mauwa yake
@RehemaAbdallah-k5n11 ай бұрын
Ubalikiwe sana katibu mwenezi kwa huu msaada uliyo wezeshwa familia yahuyu mama na watoto wake kiukweli hii kilip imenisababisha mpaka na Mimi nikatow machozi kwauchungu wa isitolia ya huyu mtoto mungu amuzidishie hekima huyu mtoto na huruma aliyo nayo amina
@marieconnect638911 ай бұрын
Asante ewe Mungu wa Abraham yakobo yohana na Joshua. Matendo yako makuu tunayaona kwa taifa hili. Usituache. Usiache wanyonge wako peke yao sababu wako wengi sana.
@dismassmaranga89035 ай бұрын
God bless u so much watazania kupitia makonda na juhudi zake za kuzaidia familia🙋🇰🇪😭😭😭😭
@marymunisi580111 ай бұрын
Nimelia sn Mungu mbariki mama Yetu mzuri Mama Samia kwa moyo wa huruma
@RamlahNassoro11 ай бұрын
Aaaamiiiin
@marieconnect638911 ай бұрын
Tumepata mtetezi mwingine wa wanyonge. Keep on doing God's work and you'll be rewarded big time
@queenmapunda786811 ай бұрын
Asante Makonda kwa moyo wa Mungu ulionao.Naamini utafanya makubwa kwa taifa hili.Nakuombea uzima na ulindwe kwa nguvu za Mungu.
@marieconnect638911 ай бұрын
Wenye wivu watasema sana lakini usikatishwe tamaa Makonda wetu. Keep it up. Watanzania wanaona,na mungu anaona. Usirudi nyuma kaka
@Hawaa-g9q19 күн бұрын
Mm ni mkenya natamani ningekua mtazania Allah akuongoze kwahaki na kz Allah akufanyie wepesi❤
@msomaliwilliam11 ай бұрын
Makonda unafanya kazi mzuri Sana. Mungu akubari na akulinde.
@mariomachecajoaquim192111 ай бұрын
Thanks Maconda thanks mama Samia kwaku show upendo, Mungu awabariki kwa ukubwa na kwa upana. Nawapenda ote. God bless
@RobertMachenga-tz3re11 ай бұрын
Mama Alhaji mungu ni mwema usilie kwa hiyo wewe jione ni mshindi kutoka kupanga na kujengewa nyumba ni mungu ndiyo anajua
@sarafinasinkonde271111 ай бұрын
❤❤❤ Mungu akupe maisha marefu
@ashaanab-sy4cq11 ай бұрын
NIMELIA SANA WALLAHI😭😭NAAMINI WAPO WENGI WATOTO KAMA ALHAJI WANATESEKA MASKIIN,MUNGU AWASIMAMIE INSHAALLAH🙏
@annakapolondo777111 ай бұрын
Amen
@senseiamani468411 ай бұрын
Nimeumia saana kwakweli
@MariamMarusu11 ай бұрын
😭😭
@HadijaJoseph-d1g2 ай бұрын
Da kwakweli makonda mungu akupe maishamalefu utaiona pepo
@magrethyeremia227911 ай бұрын
Mungu ni mwemaaa,jmn asifiwe aliye juuuuu
@Haytham-ip3ou11 ай бұрын
Asante sana my president Allah akulinde nimejisikia faraja sana Kwa jicho lako na mda wako Kwa kupitia Allah kuguswa hili Allah atakulipa Hili siku ya hesabu na makonda my brother my brother keep doing
@marieconnect638911 ай бұрын
Asante viongozi wetu kwa moyo wenu wa kimungu kwa familia hii. Mungu akubariki sana kwa hili.
@mwanyongamama440711 ай бұрын
OoooGod Your God Doing The Best Yes see you LORD Father Makonda Bwana Akulinde Raisi Samia Ubarikiwe
@Mohamedmarijan11 ай бұрын
Soo sad and happy at the same time God bless him
@judicatendengerio-ndossi158311 ай бұрын
Mungu alishuka kaona na kabariki tendo hilo ili ufalme wake utukuzwe. Ubarikiwe Makonda na Abarikiwe Samia Rais wetu. AMEN
@goodluckbenny12311 ай бұрын
Daaaah nmeumia sana ila wanaume kuna kitu chakujifunza apa
@MerryRenatus-ck4lz11 ай бұрын
Huyo baba mwenye watoto atakuja kama ameshayaona haya atakuja spidi kuja kuomba msamaha kusikia nyumba tena😂
@goodluckbenny12311 ай бұрын
@@MerryRenatus-ck4lz Asimsamehe haata kidgo
@marieconnect638911 ай бұрын
Asante mama.samia kwa kutupatia zawadi yenye thamani ya makonda. Usikatishwe tamaa na watu wanaobeza. Umefikiria mbali.....Asante sana
@MwanaidiMatary-cp2rf11 ай бұрын
Paka nimeliya wallah 😭😭😭😭 dahhhhhhhhhh inaumiza mungu watanguliye viongozi wetu wa serikali yetu ya Tanzania
@norahgingi564210 ай бұрын
Mwenyekiti wetu mwenyezi mungu akubariki uishi maisha marefu
@Mariam-fm8vq11 ай бұрын
Mama samia kama marehemu Rais magufuli tu hamuja poteza Watanzania ❤❤❤
@evamgaya824011 ай бұрын
Mama Samia tunakushukuru sana kwa kutuletea huyu kijana mwenye hofu ya Mungu, Imani ni Matendo, Barikiwa sana Makonda, Mwenyezi Mungu akulinde kila uingiapo na Utokapo
@esterrupia847011 ай бұрын
Nimelia Sanaa mimi
@MikidadiMawaya2 ай бұрын
Mungu akuzidishie kwa moyo iman amin
@marieconnect638911 ай бұрын
Mama namwanao umejua kuniliza leo. Huwa si mwepesi wa kulia lakini leo nimepatikana nimelia sana. Mungu amesikia kilio chako mama.
@jacksonsamwel29211 ай бұрын
Mi pia nimejikuta machozi yamenitoka ghafla tu
@VickieMkuu-bw9gv7 ай бұрын
Baraka tele 🙏🙏
@BlueDiamond-w2p11 ай бұрын
Na mungu atende kazi take hadi washangae
@AdamuDamasi-qq9uv11 ай бұрын
Makonda nimekuelewa sana Kwa hilo ulilofanya Mungu akubariki Kwa hilo na raisi wetu wa Tanzania mamayetu Samia Mungu ambaliki sana awe na moyo huwohuwo wakusaidia watanzania Mungu akubariki sana mama yetu Samia,Mi Adamu Damasi kutoka Arusha tanzania
@kilungumsabaha389111 ай бұрын
Duuh hii kitu imenigusa uwii i😭😭😭😭🙌🙌🙌
@Masoud-vx5hr11 ай бұрын
😅 0:30 😢
@HerieliLoishiye11 ай бұрын
Mimi kwa huo moyo wa upendo namshukuru raisi wa tanzania Samia suluhu kwa msahada wake mungu akubariki raisi wetu nyuma Yako tupo mama yetu mungu akuinue sana uwe mkuu wa mataifa ndani na nje amen
@danielshauri639011 ай бұрын
We Tanzanians need you, and God also needs you for work like this for citizens who have no advocate
@ChemchemiRecords11 ай бұрын
This really melted my heart❤️ God bless you Makonda. Yaani viongozi wote wangekuwa na moyo kama wa kwako, Bongo ingekuwa paradiso ndogo
@malupex629911 ай бұрын
Mungu awabariki sn viongozi, mnafanya kzi za kiroho. Mungu awape kila hitaji mkafanikiwe. Hongera Rais Samia @ asante Makonda.
@sandalakabalo544211 ай бұрын
Asante mungu kwa kutupa viongoz bora
@XsaveriaLivigha23 күн бұрын
Amina sana , mungu akzishie baba makonda kwakuikiomboa iyo familya
@lushiligolegwa402511 ай бұрын
Huyo baba aliyekimbia majukumu atarudi TU, Kazi nzr badhiteeee
@KelvinCharles-p9t7 ай бұрын
Uncle mungu akubariki naserikali yetuungu azidi kuibarik mama zeru kama hawa waweze kupata msaada kupitia serikali yako pendwa mungu bariki tanzania♥️♥️♥️🙏🙏🙏
@fredpiter465711 ай бұрын
Hongera mama
@DeboraMpologomyi2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu makonda❤❤❤❤❤