TAZAMA MBWA ALIVYOMSAIDIA ASKARI ALIYEKUWA AKIPORWA SILAHA na MHALIFU..

  Рет қаралды 1,336,070

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

TAZAMA MBWA ALIVYOMSAIDIA ASKARI ALIYEKUWA AKIPORWA SILAHA na MHALIFU..
JESHI la Polisi nchini linaendelea kuimarika hasa baada ya kubaini njia mbalimbali zinazoweza kuimarisha ulinzi ikiwemo njia ya kutumia Mbwa katika ulinzi dhidi ya wahalifu,
WAZIRI Simbachawene ameshuhudia uhodari wa mbwa hao ambao wameonesha namna wanavyoweza kumvamia mhalifu ata kama askari atakuwa hayupoa katika mazingira mazuri zaidi ya kufanya hivyo.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 241
@yohanabrayan5583
@yohanabrayan5583 4 жыл бұрын
Nikiona na hivi moyo wangu unauma, ila nabaki kumshukuru mungu, maana naimani wapo vijana kama mimi waliofanikiwa kupenya na kusimama na taifa lao, kulinda haki za taifa lao kwa ujumla, walikula kiapo, kuhakikisha hakuna mambo mabaya yanatokea katika taifa letu, taifa letu linaamani mda ote , salute kwenu wanajeshi na uongozi wote kwa ujumla unaosimamia usalama wa taifa,
@hanningtonmutua2127
@hanningtonmutua2127 Жыл бұрын
😊😊😊
@msafirially7849
@msafirially7849 Ай бұрын
Kazi mzuri polisi
@zaitunhadi7734
@zaitunhadi7734 2 жыл бұрын
Hongereni Walimu wa mafunzo na waliofunzwa kumtumia mbwa ktk ulinzi wa aina zote kweli inafurahisha na inaridhisha ni msaada ktk jsmii mungu awape maarifa zaidi ya ulinzi
@sadaukovizurikakanyimbozak6753
@sadaukovizurikakanyimbozak6753 4 жыл бұрын
Manshallah HONGERA sana police Kwa mafunzo ya mbwa kwaajili ya urinzi na usalama
@abedysteven5397
@abedysteven5397 3 жыл бұрын
Hongera sana jesh le2
@leahmgunda177
@leahmgunda177 3 жыл бұрын
Hongeraaaa.
@technophile8592
@technophile8592 4 жыл бұрын
Hajakutana na Wahehe wenye professional zao....wanakimbia hadi na mbwa mwnyw 😂😂😂
@aminamwangile4020
@aminamwangile4020 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@mohamediissare5199
@mohamediissare5199 3 жыл бұрын
@@aminamwangile4020 too y
@hassanmohammed9153
@hassanmohammed9153 3 жыл бұрын
Kazi nzuri mafunzo bora kabisa
@emmanuelgeorge9579
@emmanuelgeorge9579 3 жыл бұрын
Safi Sana mungu aendelee kuwabariki katika kuimalisha ulinzi na usalama wa taifa letu
@aizzozilahaizzoaizzo154
@aizzozilahaizzoaizzo154 11 ай бұрын
Well trained
@agneswambani7357
@agneswambani7357 Жыл бұрын
Good job 👌
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Kama na ww hujajutia kupoteza m.b zako mbonyeza like
@JrJohn-ri2cz
@JrJohn-ri2cz 11 ай бұрын
😂😂😂I like it
@johnshija455
@johnshija455 2 жыл бұрын
Kazi nzur 👍👍👍👍👍
@leandrendagijimana6488
@leandrendagijimana6488 3 жыл бұрын
Bonjour Bonne année
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 3 жыл бұрын
Mash Allah Hadi raha
@faithpius6401
@faithpius6401 5 ай бұрын
Love it usalama umeimarika😂😂😂
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 11 ай бұрын
Ma shaallah
@faithpius6401
@faithpius6401 5 ай бұрын
Nmependa sana..hio mafundisho
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 3 жыл бұрын
Nawapenda Sana wanajesh kwa uimara na akil zao nyingi♥️♥️♥️♥️
@jeremiaskilian757
@jeremiaskilian757 3 жыл бұрын
Vizuri sana hakika mbwa alikuwa ana muhangalia kiumakini sana hakika mbwa yuko vizuri kiulinzi
@josephodongomboya
@josephodongomboya 3 жыл бұрын
GOOD WORK
@dathmwalimu1088
@dathmwalimu1088 3 жыл бұрын
Kazi nzuriiiii
@daviddaudi7387
@daviddaudi7387 2 жыл бұрын
Noma san kaka
@mamazuu5224
@mamazuu5224 3 жыл бұрын
Maxhallah hongeren xan
@Joh-qx4di
@Joh-qx4di 11 ай бұрын
Kazi iendelee
@Bonfacemogoa
@Bonfacemogoa 11 ай бұрын
Hpo sawa
@Mohammedmohar-s9c
@Mohammedmohar-s9c 4 ай бұрын
Masha Allah
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Mashallah mungu awape ujasir
@silivanusanastaz8680
@silivanusanastaz8680 2 жыл бұрын
No No No No
@bilionealaucy8995
@bilionealaucy8995 4 жыл бұрын
Hongela Sana jeshi la police
@twahachano7410
@twahachano7410 3 жыл бұрын
hongereni Sana kweli mafunzo mazuri kwa mmbwa
@mankamush5057
@mankamush5057 3 жыл бұрын
Daa hadiraha jaman hongeren sana
@solomonmurathiri6778
@solomonmurathiri6778 9 ай бұрын
Wow 😲
@josephkivai967
@josephkivai967 Жыл бұрын
Wow nice job
@farajakihame1153
@farajakihame1153 3 жыл бұрын
Iko poa hongelen
@lucykariuki4520
@lucykariuki4520 3 жыл бұрын
Wooow well trained
@sosweke7083
@sosweke7083 3 жыл бұрын
Hongera polisi
@saknajumapili8282
@saknajumapili8282 3 жыл бұрын
Mbwa pambeee tyu jmn, nimependa 👌
@joshualaitei6275
@joshualaitei6275 3 жыл бұрын
Work done exellent
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 11 ай бұрын
Kazi mzuli
@NuruZebedayombise-ie5zb
@NuruZebedayombise-ie5zb 9 ай бұрын
Hatariiiii
@winniekayanda8255
@winniekayanda8255 4 жыл бұрын
Daaaaahh nimefurahi sana .....kumbe kazi inafanykaa nakubali sana
@jumamasoud5052
@jumamasoud5052 3 жыл бұрын
Dah mlinz mzur kwer
@meshacknyinichile5009
@meshacknyinichile5009 4 жыл бұрын
Good job
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 3 жыл бұрын
Safi kabisa
@omaryasin8309
@omaryasin8309 3 жыл бұрын
Ety Asante sana ndugu yangu😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
Asiye nimetupa cm chini🤗🤗🤗🤗🙊
@elishajailosy8346
@elishajailosy8346 3 жыл бұрын
Safi
@didiamwemwejo7495
@didiamwemwejo7495 4 жыл бұрын
Nimeipenda iyo safi sana
@amanirazalo4338
@amanirazalo4338 2 жыл бұрын
Hahaha kweli mbwa noma
@tujichanuetv7486
@tujichanuetv7486 3 жыл бұрын
Wooow, I need one
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 жыл бұрын
Huna uwezo Wa kununua ni budget y'a wizara
@sakinakisiwa358
@sakinakisiwa358 3 жыл бұрын
Napenda sana
@jackisoniraureti6714
@jackisoniraureti6714 3 жыл бұрын
Namimi nawapenda pia
@amanikimbee6559
@amanikimbee6559 4 жыл бұрын
Hongereni jesh la polisi
@HappynessJose
@HappynessJose Жыл бұрын
Hongera kwa mafunzo ❤❤ Wengine wanafunga mbwa wa kula ungar tu akiona jambazi mbwa anakinbilia kitandan 😅😅😅
@NyoniBlake
@NyoniBlake Жыл бұрын
Wazi Mkuu
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Daaah nimefrai kumuona Mambosasa hapo cjui yuk wapi asa hv
@nsibwenekaswaga6267
@nsibwenekaswaga6267 4 жыл бұрын
Hao mbwa ni wakali sana duuuuuuuuuu
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js Жыл бұрын
Ahahaha nimeipenda hiyo ila jamani jeshi ni raha
@boazsogoseye1493
@boazsogoseye1493 2 жыл бұрын
Send Of
@malindisamwel4144
@malindisamwel4144 3 жыл бұрын
Kaz nzur
@lemaxkawogo6994
@lemaxkawogo6994 3 жыл бұрын
meipenda sna
@princearamyog5816
@princearamyog5816 2 жыл бұрын
Inapendeza san mbwa yuko vizur
@fledymavikamavika6580
@fledymavikamavika6580 3 жыл бұрын
Safi san
@benjamindanielduday3181
@benjamindanielduday3181 3 жыл бұрын
MNA utani wa ngumi😎😎😎
@halimadaud-k7d
@halimadaud-k7d Жыл бұрын
Mashalla
@yohanabrayan5583
@yohanabrayan5583 4 жыл бұрын
Naipenda sana kaz hii lait wazaz wangu wangekuwa na uwezo nigeweza kutimiza ndoto zangu, ila jeshi la taifa mungu azidi kulilinda nalipenda taifa langu
@kankylian8347
@kankylian8347 4 жыл бұрын
Pole kaka
@mwajabumbonde5839
@mwajabumbonde5839 3 жыл бұрын
He probably 7llki
@daudyohan4070
@daudyohan4070 3 жыл бұрын
Daaaaa hawadio walizi sasa
@davidmwiti8809
@davidmwiti8809 3 жыл бұрын
aki pia mbwa ni security mzuri wa ulizi kwa mboma.
@Safwa52
@Safwa52 4 жыл бұрын
hao kweli sawa na watu
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 4 жыл бұрын
Masha Allah nimecheka sana
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 4 жыл бұрын
Hahahaaaa,safi sana, nimeipenda sana hii Hongeren Sana jeshi la Polisi kwa kuimarisha ulinzi na usalama kwa kutumia mbwa kwa kuwapa mbinu za kijeshi👏👏👏🇹🇿👏👏👍
@salehpandu2250
@salehpandu2250 4 жыл бұрын
Wageuke askari wenyewe kuimarisha ulinzi
@johnsonanthony7435
@johnsonanthony7435 4 жыл бұрын
Nimenda safi
@JemsiMutukula
@JemsiMutukula 10 ай бұрын
Sawasaw
@adijakibila4787
@adijakibila4787 Жыл бұрын
Haujui
@robertthadeo1816
@robertthadeo1816 3 жыл бұрын
Wote mbwa
@daudyohan4070
@daudyohan4070 3 жыл бұрын
Mnawauza au
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 4 жыл бұрын
😄😄😄😄😄hongera sana jeshi leotu lakini namajambaxi nayo wanajipanga nao zaidi kiujambazi naweredu wao wakihalifu
@kelvodemash3410
@kelvodemash3410 4 жыл бұрын
Yule mbwa mpeleke Uganda akamng'ate Museveni 😂😂
@msetikebwasi1469
@msetikebwasi1469 4 жыл бұрын
Mseven amekosea nini .
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 4 жыл бұрын
Why
@fausterlugiga1410
@fausterlugiga1410 4 жыл бұрын
Akamng'ate Boby Wine
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 4 жыл бұрын
Hata huyo Bob wine anamapungufu yake na hakuna ajuaye kilicho ndani ya mtima wake.
@kingsdramakorea6673
@kingsdramakorea6673 4 жыл бұрын
Hahaahahhah
@justinebundi4437
@justinebundi4437 4 жыл бұрын
Job tamu sana yaani mnyama mwenye akili Waaaah
@salimimoto
@salimimoto 4 жыл бұрын
Fantastic
@FridaMmari
@FridaMmari Жыл бұрын
Ee sintakaa nisau mbwa wetu,kila siku majirani walikuwa wanakujaga,mbwa wetu hawakuwahi kuleta shida,siku hiyo kaja Binamu yangu kutoka mkoa,yeye kaingia tupo jikoni,duu yule mbwa hakumtambua Aise Alimng,ataa sintakaa nisahau,tuliona majabu,mbwa anautambuzii wa watu wakila siku ni swali nililojiuliza
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Wale wanapenda mbwa mko wapi?❤❤❤❤
@lornahsilas982
@lornahsilas982 4 жыл бұрын
Mbwa kacheza Kama yeye😆😆😆
@Safwa52
@Safwa52 4 жыл бұрын
safi sana
@mobellamobenimpenda7055
@mobellamobenimpenda7055 4 жыл бұрын
MashaAllah
@sigonilemwangole9254
@sigonilemwangole9254 3 жыл бұрын
Uwa nashangaaa watu wanaochukia mbwa
@africancultureghettoking1019
@africancultureghettoking1019 3 жыл бұрын
Tanzania bara
@deusmathew8990
@deusmathew8990 3 жыл бұрын
Tupo fiti ile mbaya
@maigejames791
@maigejames791 4 жыл бұрын
Pongezi kubwa sana
@saidipado305
@saidipado305 2 жыл бұрын
4
@okenyenewton2183
@okenyenewton2183 4 жыл бұрын
Kwa ground things are different....
@barakamateru7615
@barakamateru7615 4 жыл бұрын
Firee
@julietyjuliety9536
@julietyjuliety9536 4 жыл бұрын
Nyimbo Diya mond
@emmanuelmambarera141
@emmanuelmambarera141 4 жыл бұрын
Safi Sana
@mwendikawera5723
@mwendikawera5723 3 жыл бұрын
Hahahahaha uyo mbwa apewe ngombe mzima kwa bill ya afande iko sawa
@teleziankebesho2825
@teleziankebesho2825 2 жыл бұрын
mauwajj Kasuru kigoma
@babiegalkids8069
@babiegalkids8069 3 жыл бұрын
Wow😘 can I get such a dog I don't mind the cost
@hasionshekiondo8876
@hasionshekiondo8876 4 жыл бұрын
Jaman achen nao wapigiwe bajet wanafanya kaz sana
@khadijaahmed7455
@khadijaahmed7455 4 жыл бұрын
Majaribio mengine sio poa 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@JKGJICHOMAKINIONLINE
@JKGJICHOMAKINIONLINE 4 жыл бұрын
Ndiyo mana tumevaa kot kubwa asa jichanganye na modo😂😂😂😂
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 4 жыл бұрын
Hadija😂😂😂😂
@khadijaahmed7455
@khadijaahmed7455 4 жыл бұрын
@@JKGJICHOMAKINIONLINE yani apo mimi nikimaliza nshakunya😆😆😆
@تاتوجمعه
@تاتوجمعه 4 жыл бұрын
Nice
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,1 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
Buurta Dahabka ugu weyn ee aan Booqday - I visited the Biggest Gold Mountain in the Country
17:25
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН