''FARIDA HAENDI KAZINI - ANALINDWA na WAKUBWA - AMENITUKANA MATUSI HAYA HAPA''-MWANANCHI vs MTUMISHI

  Рет қаралды 168,976

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

''FARIDA HAENDI KAZINI - ANALINDWA na WAKUBWA - AMENITUKANA MATUSI HAYA HAPA''-MWANANCHI vs MTUMISHI
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 258
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@MACHOZIKAMBI
@MACHOZIKAMBI 4 ай бұрын
😂😂😂ON
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 4 ай бұрын
Mtumishi wa UMMA huruhusiwi kuwa siasa hadi hapo dada umezingua labda wakulinde tu sababu ni ccm mwenzao
@musalumbi8490
@musalumbi8490 4 ай бұрын
Hii ndio Prof. PLO Lumumba anaita "Magufulification"
@avitusmichael5
@avitusmichael5 4 ай бұрын
Huyo demu anaonekana alivyo mchafu wa kinywa na nyodo, yawezekana kweli analiwa na vigogo
@benjaminwaswa2039
@benjaminwaswa2039 13 күн бұрын
Wanaichi wa Tanzania mweshimu bwana makonda good job anayofanya
@NancyPatrick-il8zj
@NancyPatrick-il8zj 4 ай бұрын
Hili dada limekaa kichagudoa kabisa. Makonda toa hiyo takataka hapo
@jonasamos555
@jonasamos555 4 ай бұрын
Kwa maellezo ya dada inawezekana kabisa ni mwanaisasa na sio mtumishi wa umma
@JoseeSarakikya
@JoseeSarakikya 4 ай бұрын
Natamani siku moja makonda awe raisi wa nchi
@ushindidaycare234
@ushindidaycare234 4 ай бұрын
Walikubeza wakisema hunahakili nime hakiki mwenyewe unahakili nyingi za upendeleo (usije uka muacha Mungu).
@JennipherGabriel-rx6jc
@JennipherGabriel-rx6jc 3 ай бұрын
Kushindana na mwalimu katika maelezo ni changamoto wanajuwa kujieleza na wanapanga maelezo vizur yan inatakiwa ujipange
@rizikimarco6451
@rizikimarco6451 3 ай бұрын
Ogopa
@dorcasmruma9001
@dorcasmruma9001 4 ай бұрын
Huyo dada msaniii tuu labda wamlinde kwa ajili ya chama chale ila anaonekana chenga tyuuu
@RamadhanMakunja-i5m
@RamadhanMakunja-i5m 4 ай бұрын
Usiogope vitisho vya maadui hawawezi kwa chochote mwenyezi mungu atakurinda🤲🤲🤲🤲
@epimackjohn461
@epimackjohn461 2 ай бұрын
Mbona mama huyu katoa maelezo yaliyonyooka moja baada ya jingine , kwa hiyo kijana aliyemchongea labda ana KINYONGO binafsi au haelewi taratibu za kikazi .mheshimiwa MAKONDA kazi yako ni nzuri sana naomba kuwa makini wengine wasije wakatumia nafasi hiyo kuingiza MAJUNGU na UONGO wa kuwachafulia wengine sifa kazini .
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Issue ya bandari haipo hapo, wala ya kutukana viongozi hapa
@hassanmustaphaabdallahabda3838
@hassanmustaphaabdallahabda3838 3 ай бұрын
Makonda.tunatakaa.kilamkoa.ajee.awe.mkuu.wamkoa.ingawa.hata.minzi.mitano
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 ай бұрын
UKIWA RAIS WA TANZANIA 🇹🇿 UCHUMI UTAPANDA MALA KUMI YAKE KILA MTU ATAOGOPA KUIBA MANAYAKE PESA YOTE ITAINGIA SEREKALINI UCHUMI NDIO LAZIMA UPANDE BRAVO MAKUFULI JUNIOR 👏
@hashimrweabula9
@hashimrweabula9 2 ай бұрын
Manenoo mengiii wamekuiliza swali moja unajielezea sanaaa aaah mashaka matupuu siasa Yann ancheka cheka tuu mashaka matupuuu
@rogersiddy
@rogersiddy 4 ай бұрын
Dada Farida anaonekana yeye ndo tatizo hata iyo Bandali atakuwa amemsingizia tu ili asimsikilize tu huyu lkn ukweli utajulikana tu huyu Farida inaonekana tatizo sana
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 4 ай бұрын
Dada anaonekana ananyodo sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
Babaaaa hiyo mida uwe makini sana manyangau ni wengi hawapendi unachokifanya usije kuraluliwa tukakukosa bado tunakuhitaji
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 4 ай бұрын
hahaaaa manyangau
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa.
@JoyceMziray
@JoyceMziray 2 ай бұрын
Vita kazini,, hiyo farida pambana watu kama hao wapo wengi hata kwetu, kuhusu sifuri sio mratibu bt ni mfumo wa hizo shule
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 4 ай бұрын
Kuwa makini sana nyakati hizi za usiku mkuu Viva Makonda Vivaaaa
@ibrahimdeogratious4487
@ibrahimdeogratious4487 2 ай бұрын
We mzee upo wapi unatutisha mkuu fanya vulugu kidogo tujue upo hai unatuzingua wana
@AsungaSteven
@AsungaSteven 4 ай бұрын
Makonda wewe ni kiongozi aisee,njoo tena Dar
@mtumwasamaki
@mtumwasamaki 2 ай бұрын
Nimeenda kuongea na ushahidi ndio silaha sio kuegemea ukuu WA mtu Mh. Makonda upo sawa maana inaonekana dada Farida yupo sawa Kwa kujieleza lakini Kaka kaja na ushahidi Sasa ni vyema kuufanyia kazi kubaini ukweli
@meshackeliau8973
@meshackeliau8973 4 ай бұрын
Nawapenda sana hao wamasai wanaposema tunamlinda kwa huku nyuma maasai are very wise🎉😅
@elizabethisaya136
@elizabethisaya136 3 ай бұрын
Mungu akulinde makonda
@kingthedon508
@kingthedon508 3 ай бұрын
Wangap tumegundua kuna kusaga na kukoboa kwa manzi et😂😂😂😂😂
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Nafikiri dada amejieleza vzr kwa kukanusha maneno ya mwananchi Lkn huyu dada yupo kisiasa zaidi inanekana kwakua huyu bwana ni chadema wanamtukana wakijua hataenda popote
@Hanga-ub5hu
@Hanga-ub5hu 2 ай бұрын
Dah,,shida ya kujiita mwanaharakati n kama hivyo,,mbona uyo dada yupo sahihi sana,,ila huyo mkaka ndio tatizo sana,,uzur makonda kalimaliza kimakonda
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 4 ай бұрын
Hivi inaruhusiwa kuwa watumishi wa umma kuwa na vyeo vya kisiasa?
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@ThomasMagoti-it4ty
@ThomasMagoti-it4ty 3 ай бұрын
Magufuli Wetu Fanya Ufunge Kikao
@BarakaMwaikenda-ty1bt
@BarakaMwaikenda-ty1bt Ай бұрын
Viongozi wa juu na wabunge igen mfano wa makonda wanachi wanawaonea kweli watumishi
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 ай бұрын
Mtumishi wa umma kuwa mwanasiasa Tena KIONGOZI wa chama ni sawa?
@V24hrs
@V24hrs 4 ай бұрын
Ukifanya siasa na utumishi wa umma utaufanya saa ngapi weweeee.??
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Mtumishi na siasa wapi na wapi inabidi uchague siasa aua utumishi
@moddy8744
@moddy8744 4 ай бұрын
Kwa kweli Makonda sizani duniani kama kuna kiongozi kama Makonda anaejitolea kusikiliza shida za watu kama hivi sijawahi kuona ni kazi kubwa sana inataka moyo
@selelilumambo2157
@selelilumambo2157 4 ай бұрын
@mfinangaexaud3492
@mfinangaexaud3492 4 ай бұрын
Iwe inatoka moyoni na sio analenga nafas Fulani huko mbele.itakua thawabu kubwa
@LewadiNyasaland-re9tu
@LewadiNyasaland-re9tu 4 ай бұрын
Makonda ni fireeee ❤❤❤
@silvanusmyovela6545
@silvanusmyovela6545 4 ай бұрын
Tunaomba Makonda awe mkuu wa mkoa nchi zima
@J4UPro
@J4UPro 4 ай бұрын
Yaani umewaza kama mimi. Yaani awe mkuu wa mikoa.
@josephatdunda1937
@josephatdunda1937 4 ай бұрын
Hahaha atakuwa kashakuwa Rais tu
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 4 ай бұрын
In short awe Rais
@JaydenBahi
@JaydenBahi 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadjamhozya
@khadjamhozya 3 ай бұрын
Kweri sana
@DoraNasinyari
@DoraNasinyari 23 күн бұрын
Kuna mtumishi ana husiana na siasa ww acha mambo mengi jibu swali uliloulizwa
@BedaMbaga
@BedaMbaga 3 ай бұрын
Huyodada nimwana siasa alafu ananyodo sana haendi kazini
@BarakaMwaikenda-ty1bt
@BarakaMwaikenda-ty1bt Ай бұрын
Sasa huyu bwana anahusianeje na kazi ya hofsini yeye yupo kijijini
@benjaminwaswa2039
@benjaminwaswa2039 13 күн бұрын
I like him
@osodowilberforce
@osodowilberforce 4 ай бұрын
This is what we call "OPEN AIR PUBLIC ADMINISTRATION"
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
HUYO MUHUNI TU HUYO KIJANA. KWANZA YEYE HUYO ANAFANYA KAZI GANI? HIUO KIJANA?
@emmansolo4477
@emmansolo4477 4 ай бұрын
Mchimba chumvi tuu
@abdulymaeda2697
@abdulymaeda2697 4 ай бұрын
We n mwizi pia mtumishi hewa
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 4 ай бұрын
Hapana kijana kuhoji au kufatilia maendeleo ya kata yake ni sawa tu sema wengi wetu Hua tunaogopa na kuona kama kufatilia ni kazi za viongozi tu Ila Sisi hatupaswi kuhoji
@BakariKibauri-qh7gf
@BakariKibauri-qh7gf 4 ай бұрын
WEWE NDO HUJIELEWI LAITI VIJANA WOTE TUNGEKUWA HIVII KUHOJI MAENDELEO NCHI INGEKUWA MBALI SANA VIJANA WANAOFANYA UCHAWA SIKU HIZI NDO MNAWAONA WANAAKILI PUMBAVU KABISA
@barikiringo6311
@barikiringo6311 4 ай бұрын
Mwanaharakati na mzalendo
@hassan-sarumbo
@hassan-sarumbo 4 ай бұрын
farida unafaa kua mwanasiasa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
Mtumishi wa uma kwann upo kwenye siasa? Shida ndo inaanzia hapo
@DaviMaiko
@DaviMaiko 12 күн бұрын
Dada maelezoyamekuamengi sana
@bushbabytz
@bushbabytz 4 ай бұрын
eti mtumishi wa umma anakiri kabisa kwenye umma kuwa yeye ni mwanasiasa! ...mtumishi anakuwaje kwenye siasa!?
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 4 ай бұрын
Acha ajikaange mwenyewe
@bushbabytz
@bushbabytz 4 ай бұрын
@EmmanuelBatholomew-xq1sb kaka tuna kazi sana kwenye hii nchi...yaani ingekuwa amesema yeye ni chama kingine tofauti na ccm kesho ungesikia tamko kumsimamisha kazi..ila ipo siku tu yatakwisha
@Shehafa
@Shehafa 4 ай бұрын
Kashasema na hamumfanyi chochote😂😂😂😂
@givenjackson5449
@givenjackson5449 4 ай бұрын
Mwaka 2022 kwenye chaguzi za ndani watumishi waliruhusiwa KUJAZA fomu so yupo sahihi kuwa mtumishi na mwanasiasa
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 4 ай бұрын
@@givenjackson5449 ili ujaze form lazima uache kazi yako kwanza. Huruhusiwi kujaza form bila kujiuzulu nafasi ya utumishi. So asingekuwapo hapo
@JOSEPHMwakibinga
@JOSEPHMwakibinga 3 ай бұрын
Anaweza kua anasaini tu anaondoka
@BarakaMwaikenda-ty1bt
@BarakaMwaikenda-ty1bt Ай бұрын
Huyu makonda anakili kweli
@olyomary317
@olyomary317 3 ай бұрын
Ndio makonda mama mkwe wako mwalimu mkuu wetu mama Masenge tunamjua sanaaa
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 4 ай бұрын
Daa hii kweli ni kazi. Huyu Dada kweli ni mchafu kwa kinywa Ila pia kuna jambo hapa makonda anatakiwa atumie busara
@maulidi8479
@maulidi8479 4 ай бұрын
Yaani mtu akijibu kwa kujiamini anaonekana mbaya
@GeofreyBalyo
@GeofreyBalyo 4 ай бұрын
hee kumbukeni mwanadada ni kada ..na mnajua kitakachofata
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 4 ай бұрын
Icho kidada kifupi inaonekana kinalindwa na wakubwa na itakuwa ni chakula chao
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 4 ай бұрын
Yes
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 ай бұрын
Wanawake wote ni chakula cha wanaume.
@kamarhelo
@kamarhelo 4 ай бұрын
Akiwemo mama ako
@khanafrica22
@khanafrica22 2 ай бұрын
Wanaokula humo nao vipofu
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 4 ай бұрын
Jamaa labda unamtaka dada wa watu shida watumishi hamtutaki raia tukiwapenda hamtusikilizi😢😢😢😢😢
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 ай бұрын
Makonda unatumalizia Bando,,😂😂😂😂
@khadjamhozya
@khadjamhozya 3 ай бұрын
Kwa wiki unatumia shingapi ???? Nione kama tuko sambambaa
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 ай бұрын
@@khadjamhozya Dada Khadija naishi nje ya nchi hata sijui Ni kiasi Gani Nikiweka kwenye TZ shillings,🤣🤣
@seneu.2128
@seneu.2128 4 ай бұрын
Sheria ya nchi hairuhusu mtumishi wa umma kujihusisha na siasa HASA akiwa na nafasi tena elimu, imekuwaje wewe Farida ukawa mwenyenyekiti wa uwt CCM.
@videralfred8889
@videralfred8889 2 ай бұрын
Hahaaa😅 wengine wana kofia mbili
@shedracksanga125
@shedracksanga125 3 ай бұрын
Ninakuelewa sama
@emmanuelndotela9412
@emmanuelndotela9412 4 ай бұрын
Safi sana dadaangu unajiamini 😂😂❤ ila ungehamia kwenye siasa moja kwa moja kuliko kuwa mtumishi na wakati huo huo mwanasiasa.
@robertzamani5612
@robertzamani5612 4 ай бұрын
Makonda tunakuomba ikifika sa 12 uwe unaahirisha mkutano,manyang'au hawapendi unachofanya kwa kuwatetea wananchi wa hali ya chini
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
Kabisaa
@kivatirokitojo657
@kivatirokitojo657 4 ай бұрын
Huyu sio pimbi etii hapo amekaa kimichezo anajua yupo targeted Ila hii chuma ni mafia
@AmAl-x9j
@AmAl-x9j 4 ай бұрын
😂😂kweli ni mafia aiseee
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 4 ай бұрын
Mheshimiwa hawa watu wanalinda kwani huyo dada apearence yake tu anaoneka na ni jeuri
@JumaMadebe-gp7ov
@JumaMadebe-gp7ov 2 ай бұрын
Kula, nondo hizo
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 3 ай бұрын
Logbook si zinajazwa tu
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 3 ай бұрын
Tuone makala
@barakacosmas636
@barakacosmas636 2 ай бұрын
fitina
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 4 ай бұрын
Mtu akinyoosha maneno eti ana kiburi??mtu ana jiamini na anacho kifanya
@jumapilingoji
@jumapilingoji 2 ай бұрын
Nape nauye
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 3 ай бұрын
Nakweli shule zenu zinaongoza Kwa zero maana hata mkuu wa mkoa unamwita Mkoo wa mkoa
@bahatiJohn-y6o
@bahatiJohn-y6o 2 ай бұрын
😂😂😂
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 4 ай бұрын
Sidhani kama ana elimu ya kiwango cha kazi yake manake anajibu Kwa milolono ya matukio Mara siasa
@laurianogerold5129
@laurianogerold5129 4 ай бұрын
Wengine ni walimu ila sio walimu wanakazi maalumu
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 4 ай бұрын
Makonda awe mkuu wa mikoa yote
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Dada anamajivuno
@davidkalama5426
@davidkalama5426 4 ай бұрын
God of heaven may bless you, horn: Paul Makonda, for good work to help your people.
@msafiriomary893
@msafiriomary893 4 ай бұрын
Wezi wanarindana sana
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Huyu dada inaelekea anajenga mazingira ya kukwepa issue
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 4 ай бұрын
Kijana kavaa Kapero ya CCM iliajenge majungu Asante sana Dada kwa kujibu hoja kisomi.
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Uchunguzi ufanyike
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 4 ай бұрын
Dada mtata.ukimwona ongea yake tu,haina ubishi.
@EuniceNgede
@EuniceNgede 4 ай бұрын
Huyo ni twinie wangu
@samkoka3
@samkoka3 4 ай бұрын
Watanzania wengi wamesoma sio kama zaman
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Uliza wananchi
@simiongasirigwa6316
@simiongasirigwa6316 3 ай бұрын
Ww mama acha uchochezi wako lazima watu wakiona madhaifu yako wasiseme?
@mandelasamson8401
@mandelasamson8401 4 ай бұрын
Kuna shida mahali na kuna bifu kati ya huyo dada na huyo bwana na haitatuliki papo kwa papo
@BugandaLushanga
@BugandaLushanga 4 ай бұрын
Makonda uko sawa maana wanyonge hawatendewihaki
@FrankMkwanda
@FrankMkwanda 4 ай бұрын
Mwananchi hana shida wala haki anayodai bali analeta siasa na kutaka jina na sifa. Unamchosha mkuu wa mkoa kushughulikia mambo muhimu
@sadikingitu
@sadikingitu 4 ай бұрын
Nimependa sana huyu jamaa anavyowasilisha hoja, he is too confident. Briliant!
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 4 ай бұрын
Very coool person
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 3 ай бұрын
Huyo dada labda atetewe sababu ya uchama lakini kiuhalisia hamna kitu!
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys 3 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri !
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 4 ай бұрын
Jamaa🙋🙋au ulimuomba akakukatalia au alikujibu ya kuwa ukipeana utaweza na???😂😂😂😂
@Mweya-87
@Mweya-87 4 ай бұрын
Farida nimekupenda sana dada yangu.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 ай бұрын
Mwenyewe nimempenda sana,katika wote waliojibu kisomi ni pamoja na yeye.
@anamsaid8610
@anamsaid8610 4 ай бұрын
Anaongea kwa hoja na takwimu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 ай бұрын
@@anamsaid8610 mnooo
@zanubharoon
@zanubharoon 3 ай бұрын
Mtu wamaana kabisa dadaagu❤
@spantonsamba6191
@spantonsamba6191 3 ай бұрын
Dada Farida ametumia kila sekunde aliyopewa kuwa analindwa na wakubwa...
@emanuelpetro9591
@emanuelpetro9591 4 ай бұрын
Nyie waratibu na waalimu ni watu wabaya mnoooo wazuri tu wanapokutana na wakubwa hivi ni wapole kama huwa,wanaongoza kunyanyasa wanafunzi na kutukana wazazi makonda na viongozi wengine tumeni kamati maahuleni mchunguze mtakubali tuuuu
@NoelNoah-y9z
@NoelNoah-y9z 2 ай бұрын
Farida! Sister angu unapgwa majung Mungu yupo asee
@MezdDimoso
@MezdDimoso 4 ай бұрын
Huyu dada kama mwanasiasa
@wangwedaniel7115
@wangwedaniel7115 3 ай бұрын
Oya mkuu upo vizr makondafication
@milkamushi2548
@milkamushi2548 4 ай бұрын
Huyu kijana jmn
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
HUYO ANATAKA MASHINDANO NA HUYO DADA.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 4 ай бұрын
Watu Acheni Ujinga Kila Mwananchi Ni Mlinzi Kwa Mwenzie Mpaka Mambo Yawe Sawa
@GetrudeRashid-be8bs
@GetrudeRashid-be8bs 3 ай бұрын
Napenda kukushaur Dada,,ww nimtumishi WA umma,,Acha na sias,, fata ulichokisomea,,siasa na kaz wanapi,,,,,utashika kipi
@SwaleheSaad
@SwaleheSaad 3 ай бұрын
Makonda nakuomba sana mwisho wa mkutano wako uwe ni saa11 jioni bado tumaini la wananchi ni kubwa sana kwako na tunakuona mbali
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН