#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 7,710

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

#EXCLUSIVE: MASWALI MAGUMU kwa WAKILI MADELEKA kwa WATEJA WAKE MADADAPOA WANAODAI BILIONI 36 kwa DC wa UBUNGO...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 66
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Mtemtez WA madada poa😂😂 kweli mbinguni tutafika tumechokaa 😢😢😢😢😢😢
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Muandishi msomi vs wakili msomi Wakili msomi chaliii miguu juu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Nchi hii sheria hazi fuatwi
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Ай бұрын
mwenyez Mungu akufelishe na now yako kuhamasisha kwa kapotea kwa maadili ya nchi we madeleka yaani kabla hujafanikisha lengo lako na waliokutuma in sha allah ufeli kwa hili nawe ufungwe in sha allah rabda kwakua rais mwenyewe ndio wale wale lakin kama ahusiki na tuhuma za usagaji ye huyo rais basi angekemea kwa nguvu zote uchafu hu unao tetewa na mawakili njaa kama madeleka
@SwaleheKudisa
@SwaleheKudisa Ай бұрын
Kaka mkubwa mungu akubariki sana na akuongezee umri inshaallah.
@Nyanda506
@Nyanda506 Ай бұрын
Safi sana wakili ,sheria ichukuwe mkondo wake
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 Ай бұрын
Madereka yuko mkini sana,mwandishi siku nyingine jipange
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Hat ushoga Sheria haijanyoosha
@goldenkisoso2107
@goldenkisoso2107 Ай бұрын
kimeumana😂
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
😂😂 Watu wanachelewa kumuelewa wakili wakili anaongelea sheria wa tz wengi mnafasili maneno ya kawaida na dini sio sheria ya selikali apo mmechemka
@captenndunga6745
@captenndunga6745 Ай бұрын
Tusichanganye sheria na utamaduni ndio mana ukiua unafungwa kwa kua sheria ilishaweka azabu ya mtu akiua sasa mnaomuona wakili anakosea nyie ndio hamjui sheria cha kuhimiza ni bunge litunge sheria na hukumu ya hao madada poa hata ushoga hauna sheria kwamba shoga hukumu yake ni nini.... Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria sio utashi wa mtu.
@nicolasmsaki5987
@nicolasmsaki5987 Ай бұрын
Hapo hakuna kesi kabisa kisheria ila pia mkuu wa wilaya kosa alilofanya ni kupablic habari kwa vyombo vya habarii kwa sisi ambao tulikuwa hajui Kama river side kuna dada poa tumejua tyuuu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
Wakili nimekuelewa kiundani sana sheria oyeeeeeeeee
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Kudai 36btsh... rahisi kutamka ila hicho kiasi ni tani ngapi... wenye kujua uzito wa noti za 10,000tsh,
@AwardHakimu
@AwardHakimu 26 күн бұрын
Gram 1.1 kama sija sahau
@Nobengaphotographer
@Nobengaphotographer Ай бұрын
Huyu jamaa anampiga sana maswali magumu kwa madeleka kudadeki mkuu ulitumwaaaa😅😅😅
@nurumohamed7225
@nurumohamed7225 Ай бұрын
Mm namuuliza wakili kesi ya Babati imefikia wapi?
@stephenkitururu5588
@stephenkitururu5588 Ай бұрын
Imani inapatikana MSIKITINI na KANISANI 😂😂😂😂😂hili jibu liko GOOD SANA... Mwana habari hapo umechemka na haujujipanga pole sana 😂😂😂😂
@user-op7vm9mr3z
@user-op7vm9mr3z Ай бұрын
Columbus leo u much know umekwisha. Hiyo siyo kesi ya sabaya dago😂😂😂😂
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Maswali ya korumba hayajibiki , pita ni mfanyabiashara Kakwepa kujibu swala la kubakwa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Sheria Haija sema hayo mambo ndomana anaweza tetea hao wadada
@chrisekonga9092
@chrisekonga9092 Ай бұрын
Mtangazaji hukujiandaa kuuliza maswali😂😂😂. Maswali unatunga hapohapo😂😂😂
@SalimSalimu-z5c
@SalimSalimu-z5c Ай бұрын
Muandisi Unachemsha kwa maswari huyo n pita Madereleka
@timothbenard8213
@timothbenard8213 Ай бұрын
Mwandishi chawa
@JataTarish
@JataTarish Ай бұрын
Tupate katiba mpya tu ili ayo mambo yawe kama kosa kisheria, vinginevyo ao wadada hawana kosa kisheria😅😅
@user-lj7cw6ee5p
@user-lj7cw6ee5p Ай бұрын
Mswahili
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Ай бұрын
Maadili na utamaduni wa nchi hii umeelezwa wapi kuwa unatakiwa uweje kwenye vitabu vya sheria?
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Ай бұрын
Guys nimecheka jinsi mtangazaji anaulizwa😂😂😂😂
@thedeo472
@thedeo472 Ай бұрын
HIVI KATI YA MALAYA NA MLA RUSHWA NI NANI HATARI KATIKA JAMII?
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 Ай бұрын
Jamani yani hata yie mliotuma izo sms kumlaumu wakili mnafanya malaya sio lazima kuuza mwili ndo kujuwa ni malaya hata kumsaliti mwenzio ni umalaya huo . Au kwakuwa hao wameamuwa kujiweka wazi ndo mnaanza kumlaumu huyo wakili ? Achenu kujifanya nyinyi hamjawai kumsaliti mwenzako. Na kama umemsaliti basi umefanya umalaya
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Sheria haitaki hisia wala mihemuko ya imani bali ni uhalisia jambo,hoja mezani..
@mohamedally121
@mohamedally121 Ай бұрын
Jamaa ni mpuuzi mnooo,na ana elimu, daaah asante mwandishi, umejua kumbana
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Sheria haifatishi dini
@petermbwei1347
@petermbwei1347 Ай бұрын
Hamna mic ya kufanya tukasikia vizuri mnasikika kama mnaongelea stoo
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Ай бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣
@maspro6294
@maspro6294 Ай бұрын
Hili jamaa pumbavu Sana kutete umalaya na ushoga haya ndio mijitu INAYO tumiwa na shetani na Lina tafuta Kiki za kisiasa
@captenndunga6745
@captenndunga6745 Ай бұрын
Hapa inazungumziwa sheria mzee hata kusingekuwepo na sheria ya mtu akiua hukumu yake ni nini basi ingekua mtu akiua huwezi kumfunga lakini kwa kua sheria ishawekwa juu ya makosa ya mauaji ndio mana ukiua unafungwa sasa usiropoke ni kuhimiza bunge litumge sheria juu ya madada poa lakini kama sheria haijatungwa ukiwakamata ni kosa acha kuchanganya sheria na utamaduni mzee
@mohamedally121
@mohamedally121 Ай бұрын
Kuna watu wamesoma ila bado ni wapuuzi
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Hakuna Sheria yahii kitu.mnajitekenya tu
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Wanasheria ni mazezeta kweli hao ,kama hawajui kuna mungu vile
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Sheria za Tanzania hazija tungwa kwa kufatisha dini usi changanye dini na sheria za nchi
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 Ай бұрын
😅wakili shkamoo
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Kama kuna ubakaji mahhabusu mbona hatari
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 Ай бұрын
😂😂😂eti iman ni msikitin na makanusani
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Pita ubongo ziro kabisa
@edwinmeenda9171
@edwinmeenda9171 Ай бұрын
Mtangazaji wa mchongo
@amirjuma9395
@amirjuma9395 Ай бұрын
Nilichogundua wa watanzania wanachanganya kati ya Sheria alizotunga binadamu na Sheria za Mungu kwanza uyo muandishi hajui kuuliza maswali muhimu Sheria haiukumu mtu kwa macho unatakiwa ushahidi wakuthibitisha kosa
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
😂😂 Uko sahihi wa tz wengi upande wa sheria jawamo nikelele tu za vijiweni
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we Ай бұрын
Wakili hajibu swali mpuuzi tu
@masoudlulanga1576
@masoudlulanga1576 28 күн бұрын
T
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Karumba umemkaba koo kweli kweli Akikuona tu atakukimbia ,na hawezi kukubali intavew tena na wewe Wakili janja janja tuuu pumbavu kabisa
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Korumba hana jipya huyo nibmfanya biashara huyo Hata wakishikwa mashoga atawatetea
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Bila uthibitisho wa kosa hana mamlaka ya ku kamata watu ovyo na kuwa weka polisi
@minuleabdulkadir2838
@minuleabdulkadir2838 Ай бұрын
Mchuano mkali kabisa
@ferdinandmakore5002
@ferdinandmakore5002 Ай бұрын
Common prostitute ni kosa kisheria kwa mujibu wa kifungu cha 176 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura namba 16 ya mwaka 2022.
@hashimjumahassani5268
@hashimjumahassani5268 Ай бұрын
wangepelekwa mahakan brother
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Kwanza kusema kuna biashara ya ukahaba na umalaya Tanzania ni uwongo mkubwa. Kwani maduka ya biashara hiyo?
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Wewe pia watetea upumbafu biasha mpaka duka
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Ай бұрын
Pale kajaba anapojalibu kualalisha ukahaba
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Biashara maana yake uwe na leseni,bidhaa na wateja​@@jamaliddiin9357
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
​@@msafirimaulidi5054Kahaba ni mwanaume anayeoa wake wengi au mwanamke anapewa talaka na kubadilisha wanaume 😂
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Anakimbia maswali huyo
@bilid4128
@bilid4128 Ай бұрын
🤣🤣🤣
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Wakili feki eti sheria haikatazi
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
Maswali Magumu yalivyojibiwa kirahisi na Mpoki
4:28
Millard Ayo
Рет қаралды 844 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН