Nawapenda sana jaman, Yan hizi nyimbo mkiimba najisikia Niko mbinguni. Barikiwen sana..muendeleze Kaz hii njema
@ElizabethMushi-pn3icАй бұрын
nyimbo nzuri sana hua inabarika sana mungu aendelee kuwatunza tuendelee kuwasikia
@baltazalcornel37432 жыл бұрын
Thanx sana mbarkiwe sana,nnapata hisia ya misa takatifu kbxaaaaaa,,,good music
@LevaniaMahobe8 ай бұрын
Unanikumbusha kipindi naomba 2001 mungu awe nanyi daima
@AustineMosha8 ай бұрын
Wimbo huu umetulia sana Mungu awape kibali cha kusonga mbele kiumbaji hongereni sanasana
@stellachelangat636Ай бұрын
Your songs are on another level ❤❤, congratulations 👏👏,,, God bless you so much
@FestusSavali-i7f7 күн бұрын
Mungu awalinde jamani kazi nzuri❤❤❤
@fausterkaka59922 жыл бұрын
Mungu huwabariki wamchao siku zote hongereni sana kwa kazi nzuri @despina Mdende Mungu azidi kukung'arisha kila siku iitwayo leo🙏🙏
@SwithinShayo28 күн бұрын
Kama hali fulani ya maisha inakuumiza jaribu kusililiza wimbo huu ili upate amani rohoni mwako, ATUKUZWE MUNGU MILELE....
@jackiemulala-ur8dnАй бұрын
Powerful message guys praise be to Jesus our lord🙏🏿
@rjblaudatositv13182 жыл бұрын
Hongereni sana kazi nzr mno hakika tunabarikiwa sana na utume wenu
@salomemhalule52132 жыл бұрын
Kazi pambe, Tumsifu Yesu Kristo. Ninawapenda mno.
@clementlugoda78702 жыл бұрын
MILELE AMINA
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Kazi safi watu wangu🤩🤩👏👏👏
@superfellowTV2 жыл бұрын
Dada una sauti safi mno! Hakika inanibariki.
@VeredianaRichard7 ай бұрын
My all time favourite song...mbarikiwe sanaaa..❤uwe kwangu😊
@margaretakinyi2843Ай бұрын
May God bless you for this good spiritual songs you produce
@mwajabuhoza99192 жыл бұрын
Good Job..keep it up
@suzanaaloyc49037 ай бұрын
Nimejisikia Raha sana kuusikiliza wimbo huu nakuwaona waimbaji Mbarikiwe wote 🙏🙏🙏🙏
@sarahkisanji93218 ай бұрын
Yaani najisikia vizuri kila nikisikiliza nyimbo hii nawapa maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉💐💐🌹🌹
@HendiryKalisti21 күн бұрын
Kwaya nzuri sana mungu awabariki
@magrethyeremia22792 жыл бұрын
Hongereni,mmeimba vizuri Sana
@arnoldrutaihwa35962 жыл бұрын
Asanteni sana kwa kutuinjilisha kwa Njia ya nyimbo. Mungu azidi kuwabariki
@shepherdhermas67632 жыл бұрын
Nice one watu wangu
@DativaVedasto16 күн бұрын
Eh Yesu uwe kwangu mwamba wa nguvu
@tojas.baumba54912 жыл бұрын
Safi sanaaa kazi nzuri
@kevookavishe55452 жыл бұрын
Kazi nzuri hongereni sana
@lushinojunior4522 жыл бұрын
That's nice,
@valeriasimon37242 жыл бұрын
Bwana, ndiwe ngome yangu!!
@gladysndungu34472 жыл бұрын
Lovely lovely
@Ms.millicentoloo2 жыл бұрын
You are a blessing. How i would love to attend a concert and just listen to these beautifully blended Voices as we praise God. God bless you.
@MchainaJrs2 жыл бұрын
Kazi nzuri sanaaa
@IREENKAIRUTHI3 ай бұрын
Nice one Despy
@raymondmruma97377 ай бұрын
Hii kazi nzuri sana
@VeronicaMgwilanga3 ай бұрын
Najisikia laha sana ninapo sikilinza nyimbo nzuri sana🎉
@PILICHIGILO-fm3yo Жыл бұрын
Nawapenda sana watumishi napia hongeren sana muendee na huo utume ❤❤❤❤
@jamesmmbaga62762 жыл бұрын
Hakika Uwe kwangu Mungu asanteni Sana Kwa uinjilishaji na wimbo mzuri tunapoelekea kipindi cha Kwaresma Mungu azidi kutupa Nguvu yakutafakari Maandiko yake Tumsifu Yesu Kristo.
@ERICKSONBAGAKA3 ай бұрын
Kazi Safi👏👏👏.mziki unatuliza roho kweli
@PriscillaMushi-t8i2 ай бұрын
Wimbo Unanibariki Sana huu.
@nemilakiangela51532 ай бұрын
Asanteni sana kwa kutusaidia kusali. Tunamshukuru Mungu pia kwa vipaji vyenu mnavyotushirikisha. Mungu awabariki
@gracasteve3883 Жыл бұрын
Nice song be blessed
@barasamuia78363 ай бұрын
Wimbo mzuri mno, Kama Ukona stress Zozote Anguka na huu wimbo na utaenjoy
@cornelnamzosha2466 Жыл бұрын
Hongereni saaaaana,nabarikiw Sana ninapowasikilza.kweli mnamwimbia aliyejuu katika roho na kwelj
@domikemunyao56355 ай бұрын
Message to our Almighty, Praise to God 🙏
@telesphorkilavikilavi33592 жыл бұрын
Hongelen sana kwakututafakalisha ,
@cecyshee7912 жыл бұрын
Waaaaaah iyo ni soprano ama ni movie ....Aaaaaai you nailed it.
@carolnangira11709 ай бұрын
You bless me with all your songs! Continue spreading the gospel through praising God in your music.🙏🙏🙏
@YungaYunga-gi5kt2 ай бұрын
Hongera kwa sauti nzury dada despina ❤
@HendiryKalisti21 күн бұрын
Mungu awabarik
@scholasticakalimba28282 жыл бұрын
Lovely song
@evelinaboaz48752 жыл бұрын
Ongereni kwa uimbaji mzuri ninafarijika na nyimbo hizi nzuri asa kipindi hiki cha kwaresma
@franciskiamba46502 жыл бұрын
Amazing 👏 ♥️😊
@HiltrudisKayanda-tq2oo11 ай бұрын
Soo lovely. Wish to sing with you Despina😘😘
@dreusebiusjmikongoti2482 жыл бұрын
Bravo
@EmanuelChristopher-m9l4 ай бұрын
Nyimbo ya tamu kumpendeza mungu
@edwigaupendo2 жыл бұрын
Kazi nzuri team....Kama kawaida yenu....Hongereni sana.
@bensonmasingu82102 жыл бұрын
Upendo umekimya Sana ata uwa nauliza ulienda wapi.miss u in this in this platform.
@mrtembakiboboy61452 жыл бұрын
Naomba ikiwezekana ukashiriki nao sku dada,Edwiga😘😇nawewe uko vzuuuuuur
@edwigaupendo2 жыл бұрын
@@mrtembakiboboy6145 Kwa heshima yako nitajitahidi nitekeleze hili kwa kweli
@edwigaupendo2 жыл бұрын
@@bensonmasingu8210 Nipo...Majukumu tu yamenizidi nguvu safari hii....Lakini nakuahidi ntajitahidi
@bensonmasingu82102 жыл бұрын
OK pamoja as we wait for you
@adamshirima58802 жыл бұрын
Hii kazi imetukuka. Huyu dada Mungu aendelee kumpa afya. Sauti yake inapenya hadi kwenye utosi
@robertkyanzue99942 жыл бұрын
Wow😍
@martinmhando83516 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@SwithinShayoАй бұрын
UTUKUFU KWA MUNGU
@GodfreyLusian4 ай бұрын
Nyimbo nzuri ya faraja
@jenniembish25462 жыл бұрын
Amazing Barikiweni sana
@revaniakataga80702 жыл бұрын
Nawapenda Sana jaman, Mungu awabariki sana
@geraldmuuo6992 жыл бұрын
I like this. May lord bless you abundantly
@HendiryKalisti21 күн бұрын
Mungu awabarik 4:15
@remymkoni79822 жыл бұрын
Miongoni mwa zaburi muhimu wakati wa majaribu. Hakika Mungu ndiye mwamba
@fredyjoackimu-bk1tf Жыл бұрын
Naupenda sana wimbo huu yaani nahisi kama niko mbinguni
@himidiwefidege35292 жыл бұрын
Uwe kwangu uwe mwamba was nguvu Amina nyimbo Kali Sana mungu awabariki
@LevaniaMahobe8 ай бұрын
Sauti tamu
@johnlumati29832 жыл бұрын
You've done justice to this one! May God grant you more days... I'm blessed
@jamestitho88992 жыл бұрын
Thank you
@mema43572 жыл бұрын
My best song ever.🙏🏿
@onesmokalinga63052 жыл бұрын
Mpaka raha ukisikiliza nyimbohii,mbarikiwe sana
@SalvatrixiaAnne6 ай бұрын
mungu aendelee kuwabariki muendelee kumtumikia
@mariagorety2842 жыл бұрын
Wawoo 👏👏🙏🙏🙏
@silassebastian549411 ай бұрын
You guys know how to nail it. Kudos
@SwithinShayo5 ай бұрын
Wonderful, Mungu awabariki
@nicholasmuindu8357 Жыл бұрын
Tumsifu Yesu kristo
@frolencesimchile4719 Жыл бұрын
soon tuko woteeeeeeeeeeee
@almarichard49412 жыл бұрын
Very nice song unatafakarisha Sana
@loyceyahya2622 Жыл бұрын
What a beautiful song 😻
@happynesslyimo2080 Жыл бұрын
Nawapenda sana ❤
@samuelnjeru45222 жыл бұрын
MASTERPIECE!!!! What is the name of the lady in specs:?
@ErnestHagt-hk9wf11 ай бұрын
Despina Mdende 😍
@jemakalinga27611 ай бұрын
Hongera Sana.
@sofiamauwa71462 жыл бұрын
Amina
@alfonceqwaru30772 жыл бұрын
Am enjoying with your songs asanteee kwa kunipatia furaha
@Lynettemueni10592 жыл бұрын
Lovely and angelic. Keep up the spirit
@augustinzock97742 жыл бұрын
Uwaw tres beau chant .Besoin des paroles
@atanaszur48182 жыл бұрын
@@augustinzock9774 ml llllk N n kk K k kmmn Lllppp pDl E Aqqqqqq