@@obedkalinga9704 Wokovu ulitoka kwa wayahudi kwanza...soma maandiko
@mathieuombeni46432 ай бұрын
From DR Congo 🇨🇩 Mwankemwa ame potosha sana 📖 Maandiko kana kwamba ame fundisha kumbe ni 👉❌❌❌
@Nolithajack122 ай бұрын
barikiwa mwalimu
@nicodemuswidambe5132Ай бұрын
Daniel yupo sahii! Safii Daniel
@DanielErnest-nn2zj2 ай бұрын
Mii nasimama upande wa Mungu na Mwana wake Yesu Krisro na sheria sake maana si nzito
@FredrickNyangweso2 ай бұрын
for the first time i want to agree with you Isaac Deme , Daniel mwakemwa ni muongo sana hajui maandiko na anang'ang'ana sana kujionyesha kwamba ana elimu ya Bibilia sikilizeni walimu Kama Isaya Benson ambao wako na Roho mtakatifu na kipawa ya kufundisha neno la Mungu , wacha huyo amechanganyikiwa ,(jude 1:4)
@HellenaMky2 ай бұрын
Yeye anaujua unabii gani? Anashangaza. Sana huyu baba mungu amhulumietu.
@DavidNdaha2 ай бұрын
Dogo kiswahili kinakuchanganya hatakama Bado mdogo kwa mambo ya mungu
@dicksonkimanthi52422 ай бұрын
Mwankemwa asome ajue mengi.aache kujifanya mujuaji na hajui
@msemakweli2432 ай бұрын
Mwankemwa kasoma Bible school kakalilishwa mambo lazima haseme uongo
@jjtm1642 ай бұрын
Mwankemwa anafundisha watu kweli
@Nolithajack122 ай бұрын
Daniel nimusana 😅😅 sabbath niyamungu
@ayengobenjamin80142 ай бұрын
Mwankemwa asome UFUNUO 14: 12: " Hapa ndipo penye subira ya watakatifu , hao wazishikao amri za Mungu na imani ya Yesu
@jjtm1642 ай бұрын
Nipe andiko yesu anatangaza sabato wacheni uongo mtumie akili
@michaellumumba17792 ай бұрын
@@jjtm164 Ndugu mbona mnataka laana? Usiguse sheria za MUNGU.
@GodlistenTsere2 ай бұрын
Pastor danieli alisoma Acha porojo pinga kwa maandiko
@SabatoChacha2 ай бұрын
Kwan kusoma kuna shida gan Mbona maandiko yako wazi ndugu Huyo hana unabii wowote kichwani mwake make hata historia haijui kweli ety kasome Ndo shule gan hiyo isofundisha historia ya kanisa??
@SumailamussaafitowwАй бұрын
Ww de me ni mwalimu muongo, wasabato sio wakristo
@DavidNdaha2 ай бұрын
Sabato nisiku ya kuwa ndani ya Mungu na Kuachana na dhambi usitarehe ndani ya yesu
@nicodemuswidambe5132Ай бұрын
Hahahaaaa!
@paulmutuajustus52772 ай бұрын
Naona huruma kwa Wana sema ni wafuasi wa mwankemwa.
@SabatoChacha2 ай бұрын
Lakini pia hata ufunuo 19:10 inatoa ufafanuzi zaidi kuhusu ushuhuda wa yesu
@jjtm1642 ай бұрын
Katika maandiko ya agano jipya na mitume wake hakuna andiko yesu na mitume walitangaza sabato kama ilikuwa muhimu. Watakao mwabudu mungu wataabudu katika roho na kweli sio siku
@michaellumumba17792 ай бұрын
SHERIA ASILI YAKE NI ROHONI.
@cosmassisa5256Ай бұрын
Soma Waebrania 4:1_13
@ayengobenjamin80142 ай бұрын
Bwana Daniel, mtu mzima, mbona unatumia nguvu nyingi kupotosha. Huna hata aya moja ya Bibliai ila maneno mengi kinywani mwako.
@japhetndoro65332 ай бұрын
Kweli mwakema anapotosha watu
@BAYYINATDMTV2 ай бұрын
Aya zote nilizozitoa wewe hujaiona hata moja kuhusu siku ya kwanza ya Juma?
@warningoflastdays2542 ай бұрын
Part 2 inakuja tulia
@warningoflastdays2542 ай бұрын
Pia auoni Aya zagu
@michaellumumba17792 ай бұрын
@@BAYYINATDMTVAmri kumi inasema ikumbuke siku ya sabato sio ya kwanza....siku ya saba ni sabato ya MUNGU?Hiyo ya kwanza ni yenu lakini ya saba ni ya BWANA MUNGU wako.
@DavidNdaha2 ай бұрын
Sabato nisiku ya Mungu na siku zote niza Mungu Ila siku ya saba ni ya 50.
@ayengobenjamin80142 ай бұрын
Shetani hatapenda watu wengi waijue Sabato ya Bwana, maana ameyaletea makanisa mengi Jumapili iliyokuwa ya waabudu mungu jua (Sun- god day)? tangia Babeli, na kupokelewa na Kanisa la Rumi. R.C. inakiri kubadilisha sabato yoka Jumamosi kwenda Jumapili. Mtumishi Mwankemwa atafute historia hiyo kwenye vitabu vya R.C. huenda akasaidika.
@obedkalinga97042 ай бұрын
Nyinyi ndio mko nyuma ya wakati, yaani sabato tu ndio mnaijua, mbona hamuifuti kama ilivyotimilizwa, nasi tulioifuta mbona hamjatupiga mawe mpaka tufe. Hatuishi kwa sheria kwa sasa Bali tunaishi kwa Neema ya Mungu.
@obedkalinga97042 ай бұрын
Hesabu jumatatu mpaka jumamosi, Sikh ya saba inakuwa gani kama si jumapili.
@michaellumumba17792 ай бұрын
@@obedkalinga9704 Je tunaibatikisha sheria kwa sababu ya neema? La hasha
@michaellumumba17792 ай бұрын
@@obedkalinga9704Wacha uongo kaka.
@nicodemuswidambe5132Ай бұрын
Dogo unaleta hadithi. Mwankemwa kaeleza wazi kwa vifungu.
@StephenMwijage15 күн бұрын
Huyu Daniel anapinga maneno ya Yesu aliyoagiza kufundisha na kushika Amri zake Mathayo 5 : 19 je akifundisha huyo Daniel amri za Mungu akifika Amri ya nne anairuka ? Kama anapinga Yesu maneno yake tumwombee Mchungaji Daniel
@francisjoseph10742 ай бұрын
Kama unajiamini kwa hoja acha kuongelea vichochoroni , nenda mkafanye debate
@SabatoChacha2 ай бұрын
Ngoja awapotoshe ambao hata biblia kuifungua mwaka unaisha Katekism yenyewe inaongea kwamba ni mamlaka ya Rumi kubadili sabato ya siku ya saba afu wewe unataka kutwambia debate Kasoma wapi yeye Aya u-protestant umetokea wapi na kugawanyika
@jjtm1642 ай бұрын
Sabato ipo ndani ya yesu ukimpokea umepokea vyote, mambo ya siku iliisha kuabudu ni siku zote. Walio chini ya dheria wamelaaniwa,
@michaellumumba17792 ай бұрын
Nani amesema usiabudu siku zote? Biblia inasema ikumbuke siku ya sabato.....kumaanisha binadamu mumeisahau....
@japhetndoro65332 ай бұрын
Mwakema anapotosha watu
@obedkalinga97042 ай бұрын
Wasabato wamefanya sabato ni Mungu maana munaiabudu.
@japhetndoro65332 ай бұрын
Si Ivo rafiki iko Katika amri Kumi
@michaellumumba17792 ай бұрын
@@obedkalinga9704MUNGU amesema ikumbuke hajatwambia tuiabudu...mbona unapinga amri ya MUNGU?Siku ya sabato ni ya MUNGU si ya binadamu.
Pia amri kumi zimefungwa na ya amri mbili mpende bwana mungu wako kwa moyo wako na nguvu zako zote na akili zako zote. hakuna mahali yesu alisema ipende sabato, yesu hakutangaza sabato alitangaza ufalme
@japhetndoro65332 ай бұрын
Soma Luka 4:16
@michaellumumba17792 ай бұрын
Ikumbuke siku ya sabato...
@SabatoChacha2 ай бұрын
Soma marko 7:7 Isaya 8:20 Ufunuo 19:10 then malizia isaya 66:22 utaelewa
@zuhraall022 ай бұрын
Hizo amri mbili unazozitaja zimebeba uzito wa amri zote kumi... Amri ya kwanza hadi ya nne zinahusu Mwanadamu na Mungu.. yaan Tunapompenda Mungu kwa moyo yetu yote tutamwabudu yeye pekee hatutalitaja bure jina lake hatutatengeneza miungu ya kuchonga.na tutaitii sabato yake.hiyo sasa imezungumziwa kwa jumla hapo kwa mpendwa Bwana Mungu wako kwa akili zako zote kwa nguvu zako zote na kwa mali yako yote .......kuanzia amri ya tano hadi ya kumi hiyo pia imeunganishwa hapa mpendwa jirani yako kama nafsi yako ..yaan ukipenda jirani yako kama nafsi yako kwanza hutamuibia hutazini na mkewe hutamuua hutatamani vitu zake na hutamshuhudia uongo......hizo zote n I amri kumi zimefungwa pamoja kwa hiyo huwez sema unampenda Mungu ma uikatae sabato yake hapo UMEVUNJA amri zote kumi na pia huwez sema unampenda jirani yako na umuibie hapo pia utakua muongo barikiwa na Bwana azid kukufunulia mapenzi yake....
@DavidNdaha2 ай бұрын
Mnajichanganya wenyewe kwakua kama God amefanya kazi siku 6 ya saba nahuku wengine wanaamini siku 7 Sasa abuduni Mungu kwa Roho mtakatifu wa kweri acheni mambo ya siku
@jilardinbenamurihassan1764Ай бұрын
Rudi ukasome bibilia ndugu yangu maana apo ulipo ukotaabani kabisa utapotea bila kujua