Рет қаралды 389
Diwani ya Sauti ya Dhiki iliyoandikwa na mshairi, mwalimu na mwanaharakati Abdilatif Abdalla, imetafsiriwa kwa Kiingereza na kwenye Kongamano la 36 la Kiswahili la Bayreuth (Mei 17-19, 2024), kilizinduliwa rasmi, ambapo miongoni mwa waliozungumza kwenye uzinduzi huo ni Profesa Alamin Mazrui wa Chuo Kikuu cha Rutgers.