Vaileth Mwaisumo - Humjui Mungu Wangu (Official Music Video)

  Рет қаралды 133,367

Vaileth Mwaisumo

Vaileth Mwaisumo

Күн бұрын

Kuna namna mtu anaweza kukutazama na kukudharau kutokana na muonekano, maisha, ukoo na vingine vingi asijue unayeMUNGU ambaye ni zaidi ya hivyo vyote na ambaye ni mtetezi wako na ngome yako. Wimbo huu ukupe ujasiri wa kuwa na nguvu kwa shetani na maadui zako maana MUNGU wetu ni mkuu mno. #VailethMwaisumo #HumjuiMunguWangu #MusicVideo Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital

Пікірлер: 424
@kayugajuma7878
@kayugajuma7878 Жыл бұрын
Hakika hawamjui mungu wangu watu wa Qatar kujeni na likes
@petronilanasirumbiouma-ns5qk
@petronilanasirumbiouma-ns5qk Жыл бұрын
❤❤❤unasitahili kuvishwa taji mama kweli humjui mungu wangu nimekubali
@marymmbone
@marymmbone Жыл бұрын
Wale tumetoka TikTok mbio 🖐️🖐️ I love you mama..wapi wakenya hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@AlexAnyonge
@AlexAnyonge 10 ай бұрын
Wambie mama najivunia kwa nyimbo zako zinanipendeza sana
@autotechnicianke-charles4113
@autotechnicianke-charles4113 Жыл бұрын
Targeting 2M in a week guys tujikaze we support our mum, Humjui Mungu wangu 🎉 a very encouraging song 🎧
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Be blessed
@Jayden14201
@Jayden14201 Жыл бұрын
Humjui mungu wangu kwa kweli 🙏🙏🙏 representing team Lebanon piteni na likes 😊😊
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
❤️
@sharllynewendo7193
@sharllynewendo7193 Жыл бұрын
Team lebapain #klayaat ndo mtaa and you
@jessicanjue6163
@jessicanjue6163 Жыл бұрын
​@@sharllynewendo7193 pls share
@faithsyombua6682
@faithsyombua6682 Жыл бұрын
Kweli akuna mtu anayejua mungu wangu wacha mm tu na jana na mungu wangu tu...huwa unanibariki sana mungu akubariki sana
@francisfrancis9438
@francisfrancis9438 Жыл бұрын
Ni kweli humjui ni moto team kenya 🇰🇪kenya 🇰🇪
@brgitbb8261
@brgitbb8261 Жыл бұрын
Team saudia ariebia kuja huku
@emmyeze9778
@emmyeze9778 Жыл бұрын
What a powerful song... surely..hawamjui Mungu wangu...mama mimi penda wewe
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana
@georgeochieng6625
@georgeochieng6625 Жыл бұрын
Thanks so much
@emmahKK2024
@emmahKK2024 Жыл бұрын
Hawamjui Mungu wangu ndio maana wamenianzishia vita vya kazini!Yesu pigana nao,wacha wakujue🙌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@lifewithvivadines4637
@lifewithvivadines4637 Жыл бұрын
Hawamjui mungu wangu....🙏....aaah maadui zangu ...hamumjui huyu mungu wangu 🙂... Asante kwa kibao hiki nzuri dada vaileth
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@valenakomba9218
@valenakomba9218 7 ай бұрын
KATIKA JINA LA YESU.AAANTE YESU.
@evamusuruve3196
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
Ooh yes ,,this song , special dedication to Mwarabu ,,Hajui MUNGU ninaye mwabudu ,,ooh yes Glory be to God 🎻🇧🇭🇧🇭🙏
@maryirene7607
@maryirene7607 Жыл бұрын
Imeisha hiyo bado ni moto na ushatupa moto mwingine hakuna kupumzika mum 💖 💖 kwa kweli humjui mungu qangu is a banger❤❤🙏🙏🙏representing Team saudia arabia
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks much
@hildahmidecha1841
@hildahmidecha1841 Жыл бұрын
Wakenya kujeni uku tufanye Ile kitu sasa❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@kitengelovers9046
@kitengelovers9046 11 ай бұрын
Kweli wengi hawajui kuwa mungu ndiye Kila kitu
@bahati9341
@bahati9341 Жыл бұрын
Watu husema " acha tuone katafika wapi" humjui Mungu wangu,,,,,,,for now start looking for places where you'll hide your faces, juu Mungu wangu akiinuka, itakua aibu iliyoje kwenyu?? Thank you God for working, never will I remain in the same state IJMN AMEN 🙏🙌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@sheryl027
@sheryl027 Жыл бұрын
Japo napitia mambo magumu maishani Mungu atanionekania tu na maadui watajua tu hawajui Mungu wangu🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@juliettamawia2403
@juliettamawia2403 Жыл бұрын
Neema ya bwana wetu izidi kukuinua mummy. Tunakupenda sana wakenya🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana
@janeatieno1761
@janeatieno1761 Жыл бұрын
Glory to God wambiye mum hawajuwi MUNGU wangu good message
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks much
@alexirene1623
@alexirene1623 Жыл бұрын
Kwakweli hamjui Mungu wanguuuuu halii mtu apaaaaaaaaa kweli namuonea hulumaaaa nenda kipenz changu nenda nendaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana
@michaelmoyo3290
@michaelmoyo3290 Жыл бұрын
Amin mama yangu ubalikiwe kalibu mikocheni A❤ nawapenda kwaroho wamungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@juliusmungure5345
@juliusmungure5345 Жыл бұрын
Amen nyimbo zako zanibariki sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@PST.Bennie
@PST.Bennie Жыл бұрын
Mungu wa moto huu ,Bwana wa vita ...kazi nzuri neema sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@dorcasnanjala9793
@dorcasnanjala9793 Жыл бұрын
Nikiwa na stress nasikiliza nyimbo zako natulia nakupenda mama mungu akuinue juu sana🙏🙏🙏🙏🙏umjui wow🔥🔥🔥🔥🔥
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@Sildogirl2
@Sildogirl2 Жыл бұрын
Sehemu yangu ninayo ipenda zaidi ❤ 1:40
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@noelalukyobola3672
@noelalukyobola3672 Жыл бұрын
Ubariwe sana kweli hakika humujuwi mungu wangu
@josephinemichael1514
@josephinemichael1514 Жыл бұрын
Nampendaga huyu dada amejaa raha na furaha ya Kristo, nimebarikiwa nikiwa IRAQ🇮🇶🔥🔥🔥hawamjui Mungu wangu watachoka sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@dr.Sabinah_99
@dr.Sabinah_99 Жыл бұрын
Am really blessed by this song 🎵 🙏.....momma God is talking your ministry to another level......... Watching from KENYAN .....Kenyans pigeni likes tukisonga
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@StephenKasolo
@StephenKasolo Жыл бұрын
Dada nipigie nakutafuta . Kazi nzuri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Sawa Asante
@onsarigoemily2644
@onsarigoemily2644 Жыл бұрын
Amen wakati ibilisi na maadui wanapotupitishia kwenye mapito na moto mkubwa kama shadrach Meshack and Abednego kisha Mungu anatufanyia njia ya kutokea wakashangaa hawamjui Mungu anayetutea be blessed dada Vaileth❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@christinendinda6500
@christinendinda6500 Жыл бұрын
Hallelujah Mimi sio kama wale uliowafanya walie humjui Mungu wangu uuuuui🥰🥰🥰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
❤️❤️
@AnnerlisaSteven
@AnnerlisaSteven Жыл бұрын
🙏🙏💞💞
@ajilitmourene3969
@ajilitmourene3969 Жыл бұрын
That's great mum nakupenda endelea kututia moyo
@elizabethonyango6664
@elizabethonyango6664 Жыл бұрын
Wow hii nayo imeweza sana mama,Mungu wangu hawamjui hata kidogo waje polepole
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Kabisa
@estherndunge4709
@estherndunge4709 Жыл бұрын
Kweli ata maadui awamjui Mungu wangu,Amen
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 Жыл бұрын
Ameeeen akuje pole pole atapigwa vibaya barikiwa sana utunzi umekaa sawa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@georgeochieng6625
@georgeochieng6625 Жыл бұрын
Waiting for best of the best song of the year more love ❤❤❤❤❤❤❤ from 254
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks much
@marymaloba6152
@marymaloba6152 Жыл бұрын
Huyu si abarikiwe jamani Mungu muinue anapotubariki❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@samwelmtasiwa95
@samwelmtasiwa95 Жыл бұрын
Kwel humjui MUNGU wangu usije kichwa kichwa huu ni moto mwingine
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Kabisa mwanangu
@shantrylihanda7851
@shantrylihanda7851 Жыл бұрын
Kwa hakika humjui mungu wangu be blessed mommy ❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@munraomary7920
@munraomary7920 Жыл бұрын
KAZI nzuri hakika humjui Mungu wangu barikiwa mama 🥰🥰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@justerkamala3933
@justerkamala3933 Жыл бұрын
Aleluyaaaa humjui Mungu wangu ...🔥🔥🔥
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@piliibrahim4057
@piliibrahim4057 11 ай бұрын
Hakika awamjui Mungu wangu 😂 Mungu akubariki dada
@christneambadi3959
@christneambadi3959 Жыл бұрын
I love the song na nyimbo zako zinapatia mtu nguvu hata kama ni mdhaifu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@lillychero135
@lillychero135 Жыл бұрын
Hii nayo imeenda❤💞🙌🙌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@carolinejbaile817
@carolinejbaile817 Жыл бұрын
Nyimbo zako zinanitia moyo sana ,God bless you mum and lift your ministry up
@samwelmtasiwa95
@samwelmtasiwa95 Жыл бұрын
Hongera sana MAMANGU
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina mwanangu
@clairemakotswi9666
@clairemakotswi9666 Жыл бұрын
Hakika humujii mungu wangu hallelujah Amina 🙏 barikiwa Sana dada yangu pamoja na waimbaji wako wote endelea kumtumikia mungu wimbo huu umenikumbusha mbali sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@mamaprisdebs8215
@mamaprisdebs8215 Жыл бұрын
For real they don't know my God...much love ❤❤mum from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@majanjajunior5706
@majanjajunior5706 Жыл бұрын
Another hit woow😘😘
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@justerkamala3933
@justerkamala3933 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu 🎉
@janepherodouri3393
@janepherodouri3393 11 ай бұрын
Uinuliwe juu sana katika uduma wako kazi mzuri sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Shukrani
@joycemwaikofu
@joycemwaikofu Жыл бұрын
Hongera sana hawamjui Mungu wako ee😅
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Hata kidogo
@scolakiwale2055
@scolakiwale2055 Жыл бұрын
Hongera sana, kazi nzr mno, umependeza sana 🥰🥰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana my wii❤️
@dinahkhasandi
@dinahkhasandi Жыл бұрын
A powerful massage,humjui Mungu wangu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@dominicdomii3200
@dominicdomii3200 11 ай бұрын
Waje polepole
@roseimali936
@roseimali936 Жыл бұрын
Anazushanga moto❤
@kiaiwahitograce2348
@kiaiwahitograce2348 Жыл бұрын
Kwa kweli hakuna amjuaye mungu wangu vaileith my sister more grace nakupenda bure
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@silviak1776
@silviak1776 Жыл бұрын
Humjui mungu wangu wow nice song,🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@phaustineokitwi7043
@phaustineokitwi7043 9 ай бұрын
Kali saaana
@menasmusic9863
@menasmusic9863 Жыл бұрын
Mungu Akuongeze nguvu Tena na Tena 👏👏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@benjaminomenda
@benjaminomenda Жыл бұрын
Kuna mtu ananipiga vita mahali anataka nifutwe kazi😢😢😢😢
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Hamjui MUNGU wako
@madamneema7626
@madamneema7626 Жыл бұрын
Hongela sana mom wimbo mzurii sana 💯💯💯🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana
@aloycetimoth6679
@aloycetimoth6679 Жыл бұрын
Haleluyaaa asante kwa kazi zuri nabarikiwa sanaa kwa kazi zako hakika Mungu akusimamie zaid ukafanye zaid, Ameen 👏👏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@ReselyneLumula-ej9wu
@ReselyneLumula-ej9wu Жыл бұрын
barikiwa sana mama, nyimbo zako zinatubariki sana 😍😍🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@sarahwakuthii9972
@sarahwakuthii9972 Жыл бұрын
Very powerful song.....this is my present with my enemies 🤩 I do say everyday that you my enemies hujui Mungu wangu ni moto unacheza nayo....thanks God for this song
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@andreamakoyeofficial9756
@andreamakoyeofficial9756 11 ай бұрын
🏇humjuwi mungu wangu🏃
@talal-uf6ni
@talal-uf6ni Жыл бұрын
Wow powerful mother amen aumjui mungu wangu ukweli kabisa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@hellenwanjiku4830
@hellenwanjiku4830 Жыл бұрын
❤❤humjui mungu wangu ni mkuu sana kuliko vyote dunia like u song mum so nice God bless u
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@faithkomen2258
@faithkomen2258 Жыл бұрын
Woow mummy this song is so powerful I really love it so much much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🥰🥰🙏🏼🙏🙏🏼
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@faithkomen2258
@faithkomen2258 Жыл бұрын
@@vailethmwaisumo Always welcome 😘
@silasblessing7448
@silasblessing7448 Жыл бұрын
Total agree with you from Kenya 🇰🇪🇰🇪.
@faithkomen2258
@faithkomen2258 Жыл бұрын
@@silasblessing7448 kabisa🙏🏼🙏🏼
@TABBYHEAVEN-kg1qo
@TABBYHEAVEN-kg1qo 9 ай бұрын
Waje polepole🔥huu ni moto mwingine❤Ameen Nakupenda sana❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 9 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼
@papadess952
@papadess952 Жыл бұрын
much talented i love your songs
@moraaconcepta8545
@moraaconcepta8545 Жыл бұрын
Tiktok mara moja mama nakufanya challenge y hii song ❤❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@Onesmo944
@Onesmo944 Жыл бұрын
🎉❤❤❤ balikiwa xn dada 😭😭😭 wimbo umenigusa sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana
@jackiezee1033
@jackiezee1033 Жыл бұрын
We love you mummy thanks for encouraging us mungu akuzidishie zaidi kabisa tuko twakupenda sana hapa Kenya
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@mary-cm5je
@mary-cm5je Жыл бұрын
Ameen kwa mungu wimbo muzuri. 🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@jovithaclavery6474
@jovithaclavery6474 Жыл бұрын
My favorite ♥️♥️♥️waje taratibu kwakwel 👌👌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@eunicenyawirakamau4523
@eunicenyawirakamau4523 Жыл бұрын
Powerful 💪 lyrics jameni❤❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@STEVE-zd7ou
@STEVE-zd7ou Жыл бұрын
Kazi nzuri,🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya💪💪🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@mikaeljoseph8934
@mikaeljoseph8934 Жыл бұрын
Wow congratulations Allot Mungu akuinue zaidiiii nakupenda saana nikiwa Tanzania
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@nancychiboi7133
@nancychiboi7133 Жыл бұрын
HAllELUJAH Hallelujah 🔥🔥🔥🔥 Ukweli Wanaonidhi hawamjui mungu Wangu 🙏🙏🙏Barikiwa mum
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@Valvale65879
@Valvale65879 Жыл бұрын
Woow mum, this is so powerful yaani kali sana, wanatuona tu hivi hivi ila hawamkui Mungu wetu, barikiwa saana 🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@irineotieno8682
@irineotieno8682 Жыл бұрын
Wow! Nice song barikiwa sana,acha mungu akuinue ufike mbal🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@ShazCay-official
@ShazCay-official Жыл бұрын
Kweli humjui mungu wangu🙏🙏🙏 baraka tele. Keep moving our beautiful mom❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@janetadalo9853
@janetadalo9853 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana dada
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@mercyakech
@mercyakech Жыл бұрын
Keep going mummy 👏👏👏 much love from 🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@CynthiaMepz
@CynthiaMepz Жыл бұрын
God bless you mumii 🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@TUMAINIMBEMBELA7
@TUMAINIMBEMBELA7 Жыл бұрын
Waoooo hongera my mom
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana ❤️❤️
@serahmwema-cy2qr
@serahmwema-cy2qr Жыл бұрын
Kwa kweli,,the message is powerful 🎉🎉🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@obiya66
@obiya66 Жыл бұрын
Wooow violet kazi nzuri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@EstherMongare-re7dj
@EstherMongare-re7dj 8 ай бұрын
Ooooh yees humjui mungu wangu kaa mbali nami jamani mungu wangu ni moto
@silvierminayo8082
@silvierminayo8082 Жыл бұрын
Huu wimbo unaguza mazingira yangu sai,😂😂😂😂😂😂😂
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Barikiwa
@jumachango
@jumachango Жыл бұрын
Keep up the good work.. Mtumishi wa Mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@JosephSimiyu
@JosephSimiyu Жыл бұрын
Ukweli Barikiwa mtumishi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@stellakifizi8156
@stellakifizi8156 Жыл бұрын
Barikiwa kwa ujumbe mzuri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@fridahmuthanga8420
@fridahmuthanga8420 Жыл бұрын
Njoo polepole 😮😮
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Mungu.nimwenye.nguvu.haleluyaa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Haleluya.⭐mungu.atuwazia.mema
@EstherKinya-ow5dn
@EstherKinya-ow5dn Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 much love mummy
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@furmary7135
@furmary7135 Жыл бұрын
Wow🥰🥰🥰🥰hawamjui mungu aliyenifikisha Leo🙏🙏🙏 powerful mam❣️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811
7:40
Vaileth Mwaisumo - Anza Wewe Baba (Official Music Video)
5:18
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 151 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
Vaileth Mwaisumo - BEST OF VAILETH MWAISUMO | NEW PLAYLISTS
48:01
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 70 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 5 МЛН
Dj James Presents Martha Mwaipaja Mixtape Volume Two (Audio Link 👇)
1:23:28
Dj James The Rockstar ⭐ TV
Рет қаралды 755 М.
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 714 М.
Vaileth Mwaisumo - Mkono wa MUNGU (Official Music Video) Skiza *811*255#
4:36
Vaileth Mwaisumo - Mtasubiri sana(Official Music Video)
4:23
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 87 М.
Greatest Hits Of Vaileth Mwaisumo Gospel Music
41:55
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 190 М.
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,2 МЛН
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 167 М.
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 1,1 МЛН
Serik Ibragimov ft IL'HAN - Жарығым (official video) 2024
3:08
Serik Ibragimov
Рет қаралды 175 М.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 28 МЛН