Рет қаралды 149,622
Kuna kipindi kinatokea kwa binadamu ambacho nguvu ya kuendelea inakosekana wakati huo ndio hatua nyingine ya MUNGU kuanza maana akili za mwanadamu zikifika mwisho ndio mwanzo wa MUNGU wimbo huu ukuinue mahali umekwama kusogea amua kumwambia MUNGU aanze, amua kumwambia MUNGU akuinue tena, mwambie akupe ujasiri upya. Kumbuka MUNGU umwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo #VailethMwaisumo #MusicVideo #AnzaWeweBaba