Vaileth Mwaisumo - Mkono wa MUNGU (Official Music Video) Skiza *811*255#

  Рет қаралды 632,597

Vaileth Mwaisumo

Vaileth Mwaisumo

Күн бұрын

Mkono wa MUNGU hauwezi zuiwa na Mazingira, wanadamu, muda yani chochote hakiwezi kuzuia baraka za MUNGU kwa mtu hivyo nikutie moyo kupitia wimbo huu kuwa baraka zako zipo na kwa wakati wa MUNGU zitakufikia. #vailethmwaisumo #MkonowaMungu #hapaniwapi #officialmusicvideo

Пікірлер: 980
@mukiilillian571
@mukiilillian571 8 ай бұрын
Wengine wetu tulidharauliwa na kuambiwa "acha tuone hio masomo utafika wapi,hio biashara haiendi mahali,hio ndoa itakushida" lakini Mungu ni nani☺️..He made sure that wamehaibika...Acha Mungu aitwe Mungu tu☺️ 🇰🇪
@kerubooooo
@kerubooooo 23 күн бұрын
Ubarikiwe Sana umegusha mkono wa mungu sifupi umenifikia 😂😂😂😂😂😂
@bonniemwanzia1417
@bonniemwanzia1417 8 ай бұрын
Huku Kenya tunaulinzanga,"Mwalimu wa Maths hapa ni wapi" . Can't get enough of this
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 8 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼
@rosemwanazyungu1175
@rosemwanazyungu1175 26 күн бұрын
Jamani hizi nyinbo zinanikumbusha kaka yangu seba alikuwa mwimbaji mzuli sana mungu amulaze mahali pema peponi
@Becky-cu7kx
@Becky-cu7kx 11 ай бұрын
Finally mum ubarikiwe sana Kwa kweli mkono WA mungu sii mfupi umenifikia hata na mimi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina🙏🏼🙏🏼
@TashaChepkirui
@TashaChepkirui 4 ай бұрын
Nice song mummy nataka tufanye moja na wewe
@donflixwilliams217
@donflixwilliams217 11 ай бұрын
Mwalimu wa maths hapa ni wapi.... 0:31 ...God of all creation
@Njokilynne
@Njokilynne 11 ай бұрын
Walio sema hatuendi mbali, hapa ni wapi 💃💃
@neemakway8389
@neemakway8389 11 ай бұрын
Kwa kweli mono wa Mungu umenifikia na mimi
@MaureenMalusha
@MaureenMalusha Ай бұрын
Glory to God Mungu ni MUNGU mkono wake umenifikia nimebarikiwa na wimbo huu barikiwa mwimbaji Vaileth
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@getrudeodhiambo2608
@getrudeodhiambo2608 10 ай бұрын
Today is when I get to know that this song and artist exists after I had this so yesterday in a wedding and told myself that I also want it for my wedding...anyway it's lit...may God bless you!!
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amina
@janetnjoroge6381
@janetnjoroge6381 11 ай бұрын
Mwalimu wa math mungu sio wa kijiji chenu mkono wa mungu umetufikia
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Hakika Mkono wa MUNGU umetufikia
@safari2976
@safari2976 11 ай бұрын
Hallelujah! Mkono wa Mungu sio mfupi hata Mimi utanifikia. Asante mama kwa huu wimbo wenye ufunuo wa Neno la Mungu. Kazi safi sana 🔥🔥🔥🇱🇷🇱🇷🇰🇪🇰🇪💃🏾💃🏾💃🏾💞💞 This is a daily anthem!💃🏾💃🏾
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Thanks much
@isaya9613
@isaya9613 11 ай бұрын
Ghwimbile kanunufijo kyala akusajeghe fijo nnyamwaisumo
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@philipngeso8883
@philipngeso8883 11 ай бұрын
You made me love and love the song because my English teacher told me that I'll go nowhere now God has opened my ways 😂
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Hakika MKONO WA MUNGU si mfupi
@carolmoraa4931
@carolmoraa4931 11 ай бұрын
Nanjiizi niko mbinguni walai mkono wa Mungu umenifikia 🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@Njokilynne
@Njokilynne 11 ай бұрын
Hallelujah, this is beautiful 😻😻 mkono wa Mungu umenifikia kwa kweli
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@achayorosemary8289
@achayorosemary8289 11 ай бұрын
Wacha wewe,Mimi infact ni jirani wangu but kweli Mungu Yuko.
@theresamushila9080
@theresamushila9080 11 ай бұрын
Mkono wa mungu hakika si fupi hiyo tu yatosha.barikiwa mama
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amina
@TABBYHEAVEN-kg1qo
@TABBYHEAVEN-kg1qo 11 ай бұрын
Ameeen ❤Hapo ni wapi?Mungu hatoki kwenye familia yao❤Hiyo part imenigusa.. Nakupenda sana❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@rosewafula4513
@rosewafula4513 Ай бұрын
I so vitalis nikajua ukuni home❤❤❤
@lucyawino4686
@lucyawino4686 10 ай бұрын
Waiting to sing this song soon... i believe in God for everything thing.. i will come back soon with my testimony
@AgnesKalinga-ku5se
@AgnesKalinga-ku5se 11 ай бұрын
Mwalimu wa maths Mungu hatoki kwa kijiji yenu🫵🫵🫵
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Kabisa
@elizabethabilia7843
@elizabethabilia7843 11 ай бұрын
Powerfulll❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Thanks
@RodahLichuma-bk8ex
@RodahLichuma-bk8ex 11 ай бұрын
Mkono wa Mungu sio mfupi jamani haki hii nayo ni ukweli,walisema Mimi ni tasa sai Mimi ni mama,wakasema siwezi faulu lakini Mungu naye ni nani. ...Wacha Mungu aitwe Mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@godwinmutsami4635
@godwinmutsami4635 11 ай бұрын
Mwalimu wa math ulisema hatutaenda mbali hapa ni wapi. Mungu sio wenu😂
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Hakika
@emanuelidagharo9897
@emanuelidagharo9897 11 ай бұрын
Hivi Mwalimu wa Maths kakosea nini jamani
@godwinmutsami4635
@godwinmutsami4635 11 ай бұрын
@@emanuelidagharo9897 Kama unatokea Kenya utaelewa maana yake.
@zilpahcharlotte3856
@zilpahcharlotte3856 11 ай бұрын
😂😂😂
@AgnesKalinga-ku5se
@AgnesKalinga-ku5se 11 ай бұрын
​@@emanuelidagharo9897alisema hatuendi mbali😅😅😅😅
@Mashimweyimanavanessa
@Mashimweyimanavanessa 3 ай бұрын
Mukono wamungu umenifikia ata mimi
@irenkutai236
@irenkutai236 11 ай бұрын
This one slaps hard, I've played the song since morning, and it will play overnight. Eti siendi mbali,eeeeiish waje Waone hapa ni wapi🙌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Hakika Mkono wa MUNGU si mfupi
@daudikayinga5701
@daudikayinga5701 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana dada ni Mungu hatoki kwenye ukoo wao alelluya
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 8 ай бұрын
Amen
@markhabweotukho7416
@markhabweotukho7416 11 ай бұрын
Wimbo na ujumbe.... Mambo tosha. Keep that spirit burning my sister. Mimi na wewe hadi mwisho.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Thanks much
@TelesiaSanga
@TelesiaSanga 10 ай бұрын
Mungu hatoki kwene ukoo wenu, akiamua ameamua barikiwa sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amina
@lydiamwikali2805
@lydiamwikali2805 11 ай бұрын
AMINA AMINA I RECEIVE THIS PROPHETIC SONG WITH THANKSGIVING FOR MY FAMILY IN JESUS NAME 🙏 NEVER AGAIN WILL MY FAMILY BE THE SAME AGAIN IN JESUS NAME 🙏 MORE GRACE MOMMY
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@ChristineNeema-u5j
@ChristineNeema-u5j 11 ай бұрын
AMEN 🙏
@JoyceLubanga-kf2je
@JoyceLubanga-kf2je 11 ай бұрын
Ooh yes am blessed with your song
@johnsanago2974
@johnsanago2974 11 ай бұрын
kweli umesema dada yangu mungu wa mbinguni akubariki zaidi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@AgnesKalinga-ku5se
@AgnesKalinga-ku5se 11 ай бұрын
The love ❤️ i have for this woman is of another level 👏👏... can't get enough of this song....ata mm najua mkono wa MUNGU utanifikia tu.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@shadrackosabil6354
@shadrackosabil6354 11 ай бұрын
Huu wimbo ni wa baraka, ubarikiwe mtumishi wa mungu vaileth mwaisumo
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina Asante
@kanzkanguha
@kanzkanguha 11 ай бұрын
These song should be trending by now 👌👌❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@carolineashiali131
@carolineashiali131 11 ай бұрын
Which was started by a kenyan person ( mwalimu wa math ulisema sitaenda mbali hapa ni wapi
@goodisgoodxxxx7624
@goodisgoodxxxx7624 10 ай бұрын
Nauliza hapa ni wapi kweli mungu hatoki kwenye ukoo wao God is good 🎉 ubalikiwe mtumishi wa mungu
@eunicekanyoro5114
@eunicekanyoro5114 9 ай бұрын
Am love this song eeeeiish💃💃💃💃💃💃❤️❤️❤️💃💃💃
@tumuhairweboreen6070
@tumuhairweboreen6070 11 ай бұрын
I can't get enough of this song. May the message move through my veins and grant me a breakthrough in Jesus' mighty name. Amen. Be blessed mama forever🥰🥰🥰🥰😇
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@susanmaina9687
@susanmaina9687 11 ай бұрын
​@@vailethmwaisumo❤
@annordariemba1364
@annordariemba1364 10 ай бұрын
Many blessings to you sister in Christ Jesus. Nice 👍 song.
@LucyJimoi
@LucyJimoi 8 ай бұрын
Amen
@IsabellaKiamba
@IsabellaKiamba 9 ай бұрын
Wash Wen God amounts no one can take away the aniointings? Powerful
@bessymwakideu3684
@bessymwakideu3684 11 ай бұрын
I've been playing this song since morning. I can't get enough of it. Am soo blessed. Thanks sister. Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi.Amen❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina🙏🏼🙏🏼
@georgemwendwa1520
@georgemwendwa1520 11 ай бұрын
Nmefungua tiktok Leo asubuhi nkapata nao,mimi huyo...Leo nmeushindia huko.
@fabulousisaac9770
@fabulousisaac9770 9 ай бұрын
I love it but I don't know what it means
@AgnesNyivaTV
@AgnesNyivaTV 11 ай бұрын
Iko sawa tuko mbari mukono wa mungu umetupikiya👏♥️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@wallaceTheSayantist254
@wallaceTheSayantist254 11 ай бұрын
Your voice is a blessing to many souls 🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@brendaolinjo2055
@brendaolinjo2055 11 ай бұрын
Walai ❤ mkono wake sio mfupi
@ShawnLexon
@ShawnLexon 11 ай бұрын
What a beautiful song to listen 🤗 thanks mum for this🙏🙏mkono wa bwana is a certified banger
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@brianodangachannel4572
@brianodangachannel4572 11 ай бұрын
Huu wimbo umeniguza mahali haki. May the lord bless you mpaka ushangae. Mwalimu wa math alisema aje. Utaenda mahali apa ni wapi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@EmmyWendy-zn5vj
@EmmyWendy-zn5vj 8 ай бұрын
Wangapi tunawatch tukisoma comments, mkono juu ✋✋
@josephkahoi1196
@josephkahoi1196 7 ай бұрын
mambo
@FredrickNato
@FredrickNato 3 ай бұрын
✋✋
@LinetCherono-x3p
@LinetCherono-x3p 3 ай бұрын
Niko 😂😂
@goodmanseguke6971
@goodmanseguke6971 23 күн бұрын
veqqaàaq1qqqa​@@FredrickNato
@eglayfred5731
@eglayfred5731 11 ай бұрын
Wow hallelujah hallelujah Aki tu nimebariwa sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Shukrani sana
@soumsoum774
@soumsoum774 11 ай бұрын
Mulio sema sitapanda dege hapa niwapi😂😂 barikiwa dada
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
🥰🥰
@mercyfaith8566
@mercyfaith8566 11 ай бұрын
Mwalim wa maths ak Huna bahati🎉🎉🎉congratulations Vaillet mwaisumo
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
🤣🤣🥰🙏🏼
@samandash8061
@samandash8061 11 ай бұрын
Mbingu zinene mema katika maisha yako my fellow minister
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@zachariajoseph5541
@zachariajoseph5541 10 ай бұрын
Hakika mkono wa Mungu si mfupi
@SuzanaMonary-fn6fm
@SuzanaMonary-fn6fm 10 ай бұрын
Amen nabarikiwa na wimbo mzuri weye ujumbe mzuri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amina
@sharonlynn2258
@sharonlynn2258 11 ай бұрын
It's true umenifikia I can't even believe where I am Wacheni mungu aitwe mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@MaureenMalusha
@MaureenMalusha 3 ай бұрын
Ameeen Ameeen hallelujah hallelujah glory to God 💪 nimebarikiwa na wimbo huu barikiwa mwimbaji Vaileth
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amina
@MonicaMussa-gy6nb
@MonicaMussa-gy6nb 10 ай бұрын
Hakika mungu akuinue barikiwa sana
@rozkin6921
@rozkin6921 4 ай бұрын
Mukono wa muñgu umenifikia jamani❤❤❤❤
@MadamEsther6988
@MadamEsther6988 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤naeka ikiisha inarudiaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Shukrani sana
@ibrahimkunei4835
@ibrahimkunei4835 11 ай бұрын
Hii wimbo ni moto ,Hapa ni wapi Shukran sana mungu 🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@julianajulia1510
@julianajulia1510 2 ай бұрын
Ananikonga moyo xna uyu dad
@romeojg8456
@romeojg8456 11 ай бұрын
waaaaaah Leo umemaliza maneno mum aki ,sweet voice ,sweet tune barikiwa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@geoffreymichira6855
@geoffreymichira6855 11 ай бұрын
From nairobi kenya nimebarikiwa mtumishi wa mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@raelwafula212
@raelwafula212 7 ай бұрын
Very true mkono umenifikia kweli hapa ni wapi mungu atoki kwenyu Barikiwa mum for nice song🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 7 ай бұрын
Amen
@millionaire-gm4sk
@millionaire-gm4sk 11 ай бұрын
Hii imeenda kabisa hii
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina🙏🏼
@bettymwenesi9244
@bettymwenesi9244 11 ай бұрын
Mungu ni nani na penye amenifikisha
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Mkono wa MUNGU si mfupi
@Evansserede-uw4tb
@Evansserede-uw4tb 10 ай бұрын
Amen 🙏 hakika mkono wa Mungu si mfupi umenifikia
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amina
@Robinah-zq1kb
@Robinah-zq1kb 8 ай бұрын
Kweli mungu ayitwe mungu muku🙏🙏🙏🙏
@petronilakitonyo3716
@petronilakitonyo3716 11 ай бұрын
Barikiwa Saba mum wimbo nzuri sana mungu akubariki🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Shukrani
@abelnyaundi5587
@abelnyaundi5587 8 ай бұрын
Acheni Mungu Aitwe Mungu. Lovely song.
@pastorjamessaid3723
@pastorjamessaid3723 11 ай бұрын
Amen sana. Mkono wa Mungu si mfupi umenifikia
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@GraceWambua-zo1gk
@GraceWambua-zo1gk 11 ай бұрын
nikiwa kenya unanimbariki sana mama mungu akubariki sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@hiii2225
@hiii2225 10 ай бұрын
Ameeeeen mungu akubariki dadangu maadui watajua hawajui mukono wa mungu umetufikia kwa jina la yesu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amina
@LucyWilliam-qd1ui
@LucyWilliam-qd1ui 11 ай бұрын
Mwalimu wa maths upoooo God has done it again
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@stellamuriithi6669
@stellamuriithi6669 10 ай бұрын
From Tiktok niko huku..❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Ni huku🙏🏼
@dennisnyauma7592
@dennisnyauma7592 11 ай бұрын
Wimbo mtamu kweli Mungu akubariki dada
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina🙏🏼
@SabinaPurity
@SabinaPurity 8 ай бұрын
Hakika mkono umenifikia ubarikiwe sana mama
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 8 ай бұрын
Amen
@emmaculatemuteti9584
@emmaculatemuteti9584 11 ай бұрын
Mungu halali kwenu apa n wap😊
@irenesyombuanzuki8120
@irenesyombuanzuki8120 10 ай бұрын
Walisema sipati mtoto mwingine huyu ni nani kweli mkono wa Mungu
@liliankemunto1349
@liliankemunto1349 8 ай бұрын
Waliosema tutaona atafanye aje hapa ni wapi?????Ameeen
@zedekiannyagawa3521
@zedekiannyagawa3521 11 ай бұрын
UBARIKIWE SANA. HAKIKA MKONO WA MUNGU UMENIFIKIA.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@DoriceHabwe-j8x
@DoriceHabwe-j8x 11 ай бұрын
Vailet Dorice love you from Kenya Nairobi 🇰🇪❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Thanks much
@HappyLonhambi-qz6ry
@HappyLonhambi-qz6ry 11 ай бұрын
Goog bless you mom mkono wa mungu hapa ni wap? Mwalim wa math❤️❤️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Mkono wa MUNGU ni mkuu kuliko mwalimu wa Math
@hellenobwogi472
@hellenobwogi472 11 ай бұрын
🥰🥰🥰Wacha Mungu aitwe mungu amenitoa mbali
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina🙏🏼
@rosewafula4513
@rosewafula4513 Ай бұрын
God bless u mum na god akuogeze umarufu zaidi
@carolmoraa4931
@carolmoraa4931 11 ай бұрын
Hii lazima ni watch kila siku walai👏👏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼
@MJ-ye7dd
@MJ-ye7dd 10 ай бұрын
The Title should be " HAPA NI WAPI? " Lovely song, vibe tupu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Thanks
@phillismonyangi7196
@phillismonyangi7196 11 ай бұрын
Amen be blessed alot always mum from Kenya like me back, 🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Be blessed
@annahopenicholaus461
@annahopenicholaus461 10 ай бұрын
Mkono wa Mungu simfupi umenifikia🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amina
@RosemarzMakenaNjeru-uw3mk
@RosemarzMakenaNjeru-uw3mk 11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉woow hapa ni wapi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@RosemarzMakenaNjeru-uw3mk
@RosemarzMakenaNjeru-uw3mk 11 ай бұрын
​@@vailethmwaisumoukinja kenya tutafanya duet pamoja dear
@gemangowi8041
@gemangowi8041 8 ай бұрын
Wimbo mzuri hatari,barikiwa sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 8 ай бұрын
Amen
@kellydeunshakableempires7425
@kellydeunshakableempires7425 11 ай бұрын
Team strong leave a like kama you came from TikTok ❤❤❤❤ to KZbin to listen to this blessed lady
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@HassanNgugi-ih3nm
@HassanNgugi-ih3nm 11 ай бұрын
Nashukuru mungu kwaa kunipa amani na furaha asante mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@AggyMillinga
@AggyMillinga 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@mwakiretichola3945
@mwakiretichola3945 11 ай бұрын
Am blessed,,I like your songs and dressing code,,God bless you,bado utafika mbali,,iam really praying na Mimi nifikie hapo
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@chrispowechuli
@chrispowechuli 11 ай бұрын
Hapo pa hapa n wapi uliimba poa sana nice voice ❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Thanks
@ntullyipopo2287
@ntullyipopo2287 10 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa wimbo mziri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amina
@jemsedikabonge5786
@jemsedikabonge5786 9 ай бұрын
Daaaa barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 9 ай бұрын
Amina
@Annastaciambithuka
@Annastaciambithuka 6 ай бұрын
True mama Kenya with you
@phylismwihaki4706
@phylismwihaki4706 11 ай бұрын
Wow I like the song beats zimepagwa kisawasawa.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina🙏🏼
@karisaneema7399
@karisaneema7399 10 ай бұрын
Halleluyaaaaah💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amina
@JustinaMambo-bs4fh
@JustinaMambo-bs4fh 11 ай бұрын
I can sey amen in 10,0000 grory to God love from Zambia ameeeeeeee
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amina
@josephatnyambati1205
@josephatnyambati1205 11 ай бұрын
Wee dada asante sana kwa kazi nzuri hii
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Shukrani sana
@AgnesBahati-nk1wy
@AgnesBahati-nk1wy 10 ай бұрын
God bless you my sister... My advice for you is that please usiafanye colab any body please wewe Endelea kuimbia Mungu.
@ReslaOpondo-ik1ui
@ReslaOpondo-ik1ui 10 ай бұрын
Amen nimebarikiwa mungu akulinde
Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811
7:40
Vaileth Mwaisumo - Vita si Yangu (Official Music Video)Skiza *860*287#
4:42
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 84 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,3 МЛН
Greatest Hits Of Vaileth Mwaisumo Gospel Music
41:55
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 202 М.
Vaileth Mwaisumo - Ni Mimi (Official Music Video) SMS SKIZA 8089706 to 811
4:59
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1,5 МЛН
Vaileth Mwaisumo - Mama (Official Music Video)
4:30
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 136 М.
MTUKUZE MUNGU TU.BY SIFAELI MWABUKA. SKIZA sms SKIZA 69311525 TO 811
7:05
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 15 МЛН