sayuni band nyimbo zenu nazipenda xana mungu awabariki xana na azid kuwapandixha utukufu hadi utukufu
@joycekaganga79207 жыл бұрын
Dada una talent Mungu amekupa japo ckujui jina nlyekukusudia nlianza kukufuatilia tangu ukiwa unaimba na Emmanuel Mgogo nlkua napenda nyimbo za Mgogo kwa sbb ya support yako tu kwa Mgogo unanibariki sn
@mussathegreat5 жыл бұрын
Kwani imekuwaje ema ameondoka watumish
@olivermwamakimbula7872 жыл бұрын
Kaka unaweza kuimba Mungu akubariki
@christophersamwel82365 жыл бұрын
Vicky Mungu akubariki kwa sauti awainue Sayuni Band
@ebranialeonard75546 жыл бұрын
Mungu Awabariki kwa kazi nzur awapandishe viwango vya juu na wakumbuke ktka ufalme wake
@joycekaganga79207 жыл бұрын
Nmeshakufahamu victoria nazareth nabarikiwa sn na sauti yako nzuri Mungu amekupa adi machoz yananitoka nataman kua km ww
@neemajoseph81557 жыл бұрын
jamani nabarikiwa sana na sayuni band hawa kwakweli mungu azidi kuwatunza
@bukurudevota22607 жыл бұрын
Hii choir nzuri naomba munipe number tuasiliane
@favouredblessed16426 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana ya furaha but the ladies hawana tabasamu kabisa, I think they should look on it.
@aaronocean864343 жыл бұрын
GtV
@rogatechoir14556 жыл бұрын
nc
@nasrinasri17825 жыл бұрын
Mnafanya kazi nzuri Sana
@najaabdul57107 жыл бұрын
sayuni band nyimbo zenu nazipenda xana mungu awabariki xana na azid kuwapandixha utukufu hadi utukufu
@najaabdul57107 жыл бұрын
sayuni band nyimbo zenu nazipenda xana mungu awabariki xana na azid kuwapandixha utukufu hadi utukufu .
@najaabdul57107 жыл бұрын
sayuni band nyimbo zenu nazipenda xana mungu awabariki xana na azid kuwapandixha utukufu hadi utukufu .