VIDEO: FAMILIA YA MAGUFULI YAFUNGUKA UPOTOSHAJI KIFO CHA HAYATI MAGUFULI "UKWELI UTAJULIKANA"

  Рет қаралды 45,362

Millard Ayo

Millard Ayo

11 ай бұрын

Пікірлер: 137
@franktangeki9342
@franktangeki9342 11 ай бұрын
nilijuwa tu kwa mambo yanayoendela kwa sasa tanzania magufuli watakuwa walimuuwa tu
@DanMasoko
@DanMasoko 11 ай бұрын
Kama ukweli hautatoka Tanzania utatoka Malawi yaaan umenisisimua sana kaulii😢😢😢
@adelaudarutagwela5070
@adelaudarutagwela5070 11 ай бұрын
Nitakukumbuka daima JPM Mzalendo wa kweli ulikuwa Mwalimu kweli
@user-fw7hz9mf8d
@user-fw7hz9mf8d 11 ай бұрын
R.I.P Angle Magufuli,bado Tanzania na Afrika tunakukumbuka sana.
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 11 ай бұрын
Hapa msimungunye mungunye maneno wekeni wazi Magufuli kauawa na watanzania wenzetu kwa maslai ya wazungu😢😢😢😢😢😢😢 R I P ..J P M
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@jonasimwanzi3632
@jonasimwanzi3632 11 ай бұрын
Umeona ata mm nina asilimia 100 na zaidi maana sio kwa kifo icho
@josephvenus3259
@josephvenus3259 11 ай бұрын
Umetisha🙌
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 11 ай бұрын
Wauaji wanajijua
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 11 ай бұрын
We know
@phaustinelwemichocho627
@phaustinelwemichocho627 11 ай бұрын
RIP my best ever president
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 11 ай бұрын
RIP JPM We always love you.
@lydialaurian4734
@lydialaurian4734 11 ай бұрын
Magufuli... Akumbukwe daima! 🙏
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 11 ай бұрын
Haleluuuuuya
@maswamills3161
@maswamills3161 11 ай бұрын
RIP JPM wetu,Jembe,Kamanda, Jasiri,Shujaa na mpenda haki ,Mwamba hukuogopa kupambania Utajiri wa nchi hii,Mtetezi wa wanyonge,uliyechukizwa na uonevu siku zote nk........Kukusahau ni kitu kisichowezekana daima baba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤!!!!!!!!!!!!.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 11 ай бұрын
Jamani tunao wasomi wengi hapa wanaojua lugha basi wakitafasiri ili watu wengi waweze kukisoma hicho kitabu. Mimi nakitaka mkisambaze sehemu nyingine nyingi ili tukipate. Sasa hivi in that English version na baadae kama atatokea mtafasili. Hongera sana mzalendo kutoka Malawi. Haya ndiyo tunataka kuliko watu kuangalia Ulaya, Uwarabuni lakini hata Inchi ya Tanzania iliyokuwezesha kufika hapo ulipo unapiga teke unatafuta jinsi ya kutudharau. Kama mna serikali ya wezi nani wakuulizwa? Anyway anza kuthamini Africa kwa vitendo kama huyu mwenzetu alivyo fanya.
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 11 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/qauThK2OfaeUkMk, MADHARA YA KUSAFIRI USIKU NA FAMILIA. WAZAZI HAWA WATEKWA NA MAJAMBAZI USIKU WA MANANE WAKIWA NA WATOTO WAO WA KIKE NA KIUME. WALIKUWA WANATOKEA TABORA KUJA DAR WAKAPITIA NJIA YA PORI ILI WAJE KUTOKEA SINGIDA. NJIANI WAKATEKWA NA KULAZIMISHWA KUINGILIANA YANI BABA AMUINGILIE MWANAE WA KIKE NA MAMA AINGILIWE NA WATOTO WAKE WA KIUME. ILI KUOKOA MAISHA YAO WALIKUBALI KUINGILIANA MBELE YA MTUTU WA BUNDUKI. MAMA AJIUA BAADA KUFIKA NYUMBANI ALIKUNYWA CHUPA NZIMA YA DAWA YA KUOSHEA MIFUGO. ALIONA ATAWEKA WAPI SURA YAKE MBELE YA WANAE WA KIUME WALIOMUINGILIA. VIDEO HII HAPA, SHARE, COMMENT NA SUBSCRIBE, AU UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO KUPITIA NO +255713575718 IPO WHATSAPP.😭😭😭😭😭😭
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 11 ай бұрын
Sahihi
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 11 ай бұрын
😢😢😢😢😢 JPM baba ulikuwa mshindi wa mambo mengi moja COVID-19 dunia ilikushangaaa lakini kumbe ndio ulikuwa ushindi kwetu lakini mama akaja na yake
@patsony
@patsony 11 ай бұрын
Legend never die
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 11 ай бұрын
R.I.P J PM , Africa will always remember you
@mwana4599
@mwana4599 11 ай бұрын
Nakihitaji kitabu kwa gharama yoyote.
@rezegerezege691
@rezegerezege691 11 ай бұрын
Hakika
@leonardmzenga5216
@leonardmzenga5216 11 ай бұрын
Hakiki wanaombeza hawana akili timilifu bali wamepungukiwa. Hawaipendi Tanzania
@marcorwegasira5845
@marcorwegasira5845 11 ай бұрын
ukweli utabaki kuwa ukweli R,I,P JPM
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf 11 ай бұрын
Kunawatu wakeraika kwa ilo jambo , wamejaribu kuifuta historia ya Mzee magufuli ila Malawi 🇲🇼 wameandika nawaona wakijificha mchana kweupe .....
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 11 ай бұрын
Asante Malawi Asante family ya Magufuli Asante Magufuli kwa mema yako bila ivyo leo hii tusing comment sifa njema kwako pumzika kwa Aman 🙏🙏😢
@josephvenus3259
@josephvenus3259 11 ай бұрын
Ayo mnachelewa sana kuleta hizi taarifa. Ila freshi. Magufuri atabaki kuwa raisi pekee mwenye maono tofauti na hawa wengine wanao tuongoza. Mzarendo wa kweli na anayeonyesha hata kwa kumtazama akichukia uzembe na ula rushwa pia kuwa tegemezi kwa wazungu. R.I.P JPM
@zakayomgaya2758
@zakayomgaya2758 11 ай бұрын
Kinauzwa Bei gani nakinapatikana wap
@florencemeza6540
@florencemeza6540 11 ай бұрын
Nawaona MAFISADI NA VIBARAKA WANAVYOTESEKA kuna mtu akifa sidhani kama atakumbukwazaidi yaFAMILIA YAKE
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 11 ай бұрын
asie tambua samani ya kitu chake niyule mjinga2 malawi wanatambua mchango wa raisi wetu ila sisi ndio wengne wanasema utawala wake ulikua wahovyo watu walikua wanaiba sana aliwaonea walipa Kodi ili wao wanaonekane ndio watu wazuli ila ila me naamini magufuli kawaondoa watu wengi ujinga hata wasio soma kama una akili unajua kabx kwamba sas tuko juu ya mawe
@user-sm7ji5ff7w
@user-sm7ji5ff7w 11 ай бұрын
Daaaaah machozi yananidondoka jamani daaaaaaaaah alimsaidia sana mama zangu wa hali za chini
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 11 ай бұрын
Sasa tena kimeandikwa kiingereza ili wakitumie TU wanao tukandamiza jmn yn wasomi wetu hakuna hata Alo andika hata kikaratasi😢😅
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 11 ай бұрын
Magufuli aliniuma kama ndugu yangu wa damu. Pumzika kwa amani kamanda JPM. Mungu ampumzishe kwa amani asimamishe miguu yake panapo nafasi. "Sala yangu na ipae mbele za Mungu kama moshi wa ubani" 🙏
@irenemkwizu2041
@irenemkwizu2041 11 ай бұрын
Ninaumia kila iitwapo leo kwa kifo chake ningekuwa na uwezo wa kumfufua ningemfufua.
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 11 ай бұрын
Blessed 😍
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 11 ай бұрын
R I P MAGUFULI ❤❤❤❤❤❤
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 11 ай бұрын
IPO siku ukweli utaongea
@abubakarsaid7303
@abubakarsaid7303 11 ай бұрын
Tanzania tuna wasomi wezituu😢😢😢
@phaustinelwemichocho627
@phaustinelwemichocho627 11 ай бұрын
Wezi pia matapeli na wanafiki
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 ай бұрын
Na kod zamasikin ndio wanazosomea vyuo 😂😂😂
@vedastusbideberi9965
@vedastusbideberi9965 11 ай бұрын
I need to have this book
@user-cv5df2bw5u
@user-cv5df2bw5u 11 ай бұрын
Sipendi kusoma lakini kitabu icho nakitaji kwgarama yoyote
@ceankiiza9945
@ceankiiza9945 11 ай бұрын
Aisee Kuna Baba wa Taifa na mkombozi wa Africa.lkn sasa Tumeona kwa machoyetu "FATHER OF Tz and DADDY OF AFRICA 🌍" .R.I.P Mwamba.Fungua macho uone Nchi yako ilipofikia sasa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 11 ай бұрын
Kifo cha JPM ni ANGUKO KWA TANZANIA
@kamazima11
@kamazima11 11 ай бұрын
Naomba kujua kinauzwa bei gani na kinapatika wapi kwa sasa
@raphaeljickson9476
@raphaeljickson9476 11 ай бұрын
Wazawa wasomi wamelala mpaka wazalendo wa nchi nyingine ndowaandike
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 11 ай бұрын
Inaumiza Sana Kwa kweli 😭😭
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 11 ай бұрын
To the Late Magufuli Rest In Peace.
@shihume256
@shihume256 11 ай бұрын
Kitabu kiuzwe nchi mzima kisha hiyo pesa imsaidie mama janeth magufuli
@lilianhigilo4255
@lilianhigilo4255 11 ай бұрын
Isaidie itikadi za magufuli
@gracejapheth3476
@gracejapheth3476 11 ай бұрын
Safiiii sana, tunaomba kitafsiriwe kiswahili.
@namsamson3443
@namsamson3443 11 ай бұрын
Imagine nchi zingine zinamthamini kuliko wa Tanzania wenyewe
@ibrahimemmanuel110
@ibrahimemmanuel110 11 ай бұрын
mambo yote yatapita lakini NENO litasimama.
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 11 ай бұрын
Yaani huyu baba miaka mitano tuu mengi kafanya
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 11 ай бұрын
Kz nzuri saaana
@mpwamtaa
@mpwamtaa 11 ай бұрын
Jpm mwamba
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 11 ай бұрын
Lala salama mzee jpm
@kalutalumenge5260
@kalutalumenge5260 11 ай бұрын
Millard Ayo, tutapataje kitabu hicho?
@user-rs9ws1om8b
@user-rs9ws1om8b 3 ай бұрын
Magufuli is our mentor and role model forever
@calvinmwasambili4080
@calvinmwasambili4080 11 ай бұрын
Jpm
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 11 ай бұрын
😭😭😭😭R.I.P Rais Wetu!
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 11 ай бұрын
R. I. P JPM, hakika ulikuwa shujaa kweli kweli..Ole wao walioidhulumu damu ya huyu mzalendo isiyokuwa na hatia. Mungu yehova yupo macho, atawafichua mchana kweupe. Huyu shujaa asingefurahia upuuzi wa Dp World hata sekunde moja.
@mwana4599
@mwana4599 11 ай бұрын
Kina Parijs na wapi?
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 11 ай бұрын
Mmoja tuu Africa ilitulia
@Ambwene
@Ambwene 11 ай бұрын
Na ukweli kuhusu kifo cha Magufuli utajulikana tuu ipo siku.......
@gersonfungo5893
@gersonfungo5893 11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 11 ай бұрын
Safi sana UKWELI haujifichi,magufuli raisi bora wa wakati wote Tanzania na Afrika
@husenihabibu3047
@husenihabibu3047 11 ай бұрын
No one like jpm in Africa nerve
@shinipapaya846
@shinipapaya846 11 ай бұрын
Mama yako chupi ilikuwa inamvuka akimuona MAGUFULI au akisikia sauti yake 😂😂😂
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 11 ай бұрын
​@@shinipapaya846hakufaa kuwa hata tarishi muacheni apumzike na kulipwa kwa aliyoyatenda huko ..!
@mao9622
@mao9622 11 ай бұрын
Miss you Dady
@sikalumea9028
@sikalumea9028 11 ай бұрын
He was magufurifixation of Africa 🌍 we miss you papa 😢😢
@musakihama7205
@musakihama7205 11 ай бұрын
Halafu kuna chawa la wazungu mtaani kwetu linamponda magufuli,dah yaani natamani turudi zamani nifyeke kichwa.
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 11 ай бұрын
Alikubali kupambana kw hali yeyote ile ili Tanzania iende mbele
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 11 ай бұрын
Tanzania imekaa maraisi wa nchi 3 kwa ujumla nao ni karume yerere magufuli walio bakia wote sukumaa ndanii
@petersilas4234
@petersilas4234 11 ай бұрын
Magufuli atakumbukwa Africa kwa ujasiri wake katika kubadili Tanzania. Vita ya uchumi inahitaji akili kubwa na ujasiri.
@emanuelelias4695
@emanuelelias4695 11 ай бұрын
Wasomi wetu hii niaibu na ujinga mkubwa Sana kujikalisha kimya mpaka nchi nyingine ndo zitusemee kuhusu hayati JPM kwa Hali hii Bado tuna safari ndefu Sana kufika ktk uzalendo wataifa letu kwakuto kujali na kupenda vya kwetu
@alexmayengela5723
@alexmayengela5723 11 ай бұрын
Amin
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 11 ай бұрын
IBRAHIM TRAOLE wetu dah
@benardpeter3562
@benardpeter3562 11 ай бұрын
R.I.P 😢 CHUMA
@subirarichard3236
@subirarichard3236 11 ай бұрын
We miss you daddy 😢😢😢
@chaucassim4123
@chaucassim4123 11 ай бұрын
Tunakukumbuka. Sana. Magufuli. Wew ndo ulikuwa. Kiongozi. Bora. Sasa ivi tunaishi. Tu kwa rehma ya mungu. Atujielewi chochote.
@davidpaschal778
@davidpaschal778 11 ай бұрын
Yani mtu katoka nje kaona humuhm wa mzee dah apa wasomi wapo waandishi wazur ma professor Ila ....R.i.p
@barakarobert1029
@barakarobert1029 11 ай бұрын
Bongo hatuna uzalendo
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 11 ай бұрын
Mi nnamashaka na elimuyetu kweli inawafaa wazima waakili kweli!
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 11 ай бұрын
Alafu mgeni
@user-ob3jm3yh3n
@user-ob3jm3yh3n 11 ай бұрын
Magufuli 4:29
@wanguwangu34
@wanguwangu34 11 ай бұрын
How much the book is sold?
@joemarco9990
@joemarco9990 11 ай бұрын
Kitabu kinauzwa bei gani jamani
@aselaabeli853
@aselaabeli853 11 ай бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@abwevincent1438
@abwevincent1438 11 ай бұрын
Kinapatikana wapi jamani
@khadijambuya794
@khadijambuya794 11 ай бұрын
Mmi nawapa like wte mnaomuombea apumzike kwa aman Allah amrehemu in shallah tunakuombea sna kwa manzuri yko😢😢😢
@remotetz
@remotetz 11 ай бұрын
I will remember you until die R. I. P our hero 💔
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 11 ай бұрын
Matajiri walimuua raisi wetu, Hawa ambao ndio rafiki warais wa sasa🥲🥲🥲
@davidgeofrey594
@davidgeofrey594 11 ай бұрын
Asante malawi
@BALEKECH2770
@BALEKECH2770 11 ай бұрын
Mumuulize samia atawapa suluhuu
@saidasimba9979
@saidasimba9979 11 ай бұрын
Kwanza miradi ayo ni wanafki ise hivi haya mliyoandika yanaakisi walichoongea hapo
@mucochanella1672
@mucochanella1672 11 ай бұрын
❤❤❤
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 11 ай бұрын
Huyo mpiga picha wa millard namuona kadata na huyo mwanafunzi hahahahhaah RIP JPM we miss you dawg!
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 11 ай бұрын
Mbona speech ya Samike imekatikia hapo????? Lkn basi tayari tumeelewa
@LiisaMaisha-is1hi
@LiisaMaisha-is1hi 11 ай бұрын
Nice
@user-cv5df2bw5u
@user-cv5df2bw5u 11 ай бұрын
Nakipataje kitabu icho
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 11 ай бұрын
RIP bensanane, azori, Ali wa zanzibar,ackwilina, maiti za kibiti, wazanzibari waliouwawa october 2020. Na pole kamanda Lissu kwa kudhulumiwa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 11 ай бұрын
Wauza nchi mnateseka wanaokufa kwa madawa huwaoni fyoooooooooo
@lilyrose7983
@lilyrose7983 11 ай бұрын
Sasa hapa kina Ben saanane wanakujaje?Haki ya Mungu waja mna mambo
@musakihama7205
@musakihama7205 11 ай бұрын
Unapakatwa
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 11 ай бұрын
Unazani ndo utafanya tuamini magu alikua mbaya??
@KogaDenha-yy8lt
@KogaDenha-yy8lt 11 ай бұрын
Rlp jpm tutakukumbuka daima pumzika Kwa amani
@jeremikakule1633
@jeremikakule1633 11 ай бұрын
Hivindivyo vitabu ryakuwa munafundishawatu hata makanisani
@sonnyr1899
@sonnyr1899 11 ай бұрын
Machozi tu ndio yananitoka 😭
@boazikibuyu7457
@boazikibuyu7457 11 ай бұрын
Sasa nimeerewa bandari itapoteza wazarendo wengi
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 11 ай бұрын
I can't wait to here the truth
@liannsambu7264
@liannsambu7264 11 ай бұрын
Kinauzwa WAPI ili tulotambua TAMANI YA JPM KWENYE TAIFA LETU NA VIZAZI VIJAVYO TUNUNUE NA KUSOMA NA KUWARITHISHA WATOTO WETU KWA TAIFA HILI ??
@saidasimba9979
@saidasimba9979 11 ай бұрын
Ukweli utabaki pale pale forever and ever...hata wakiunda vikundi vya kupoteza ile icon ya JPM HAWAWEZI KAMWE
@user-ix1zs6gm1b
@user-ix1zs6gm1b 11 ай бұрын
Wasema ukweri walimfanya nini????
@allenmwinuka8795
@allenmwinuka8795 11 ай бұрын
nawezaje pata copy ya kitabu hiki cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE
@meshackshadrack1302
@meshackshadrack1302 11 ай бұрын
Uhitaji unakuwaga mkubwa vitabu vyenu mnapenderea Sana kuandika vingereva
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 11 ай бұрын
Nitakinunua kwa hali yeyote ile ili tunaowazaa wajue kulikuwa na kiongozi hondari katika Tanzania hii
@chaucassim4123
@chaucassim4123 11 ай бұрын
Magufuli wetu alikuwa anatuambia. Tuka kwenye uchumi. Wa Kati. Na maendeleo. Ulikuwa unafanya. Lkn sasa iv tupo Kama kuku hatukujui wala hatujitambui. Tutakukumbuka mpaka. Mwisho ya dunia
@user-ix1zs6gm1b
@user-ix1zs6gm1b 11 ай бұрын
JPM
@stelamkane9775
@stelamkane9775 11 ай бұрын
Tunakumbushwa machungu tu, juu ya kifo cha mpendwa wetu hatuna majibu sahihi ila Mungu ana majibu yote tumwachie yeye
@azizabuyonde8368
@azizabuyonde8368 11 ай бұрын
Tunashindwa kuteteya watu bado wako hai ,tunajifanya kuwapenda wakiwa wamefariki, mimi unafiki kama huu sitaki, wa African nani aliye turoga? Acha uwongo ni mapenzi ya mwenyezi Mungu?
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 11 ай бұрын
MUMUACHE APUMZIKE,,,MNGEANZA NA MKAPA KWANZA..
@desolz3809
@desolz3809 11 ай бұрын
Mkapa aliandika chake
@musakihama7205
@musakihama7205 11 ай бұрын
Unamaumivu kiasi gani?
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 82 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 2,6 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 25 МЛН
SNAKE BOY | ep 29 | SEASON TWO
31:40
CLAM VEVO
Рет қаралды 104 М.
Mkesha wa ijumaa na Mch Mbarikiwa Mwakipesile
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 10
Mh. Mustafa Mkulo -  Waziri wa Fedha Mstaafu
5:38
NBAA
Рет қаралды 12 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 82 МЛН