HAMISA MOBETTO KUHUSU COMASAVA YA DIAMOND, AWAPA NENO SHISHI NA ESHA ASEMA YEYE BADO NI SIMBA

  Рет қаралды 15,572

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@zuleikhachibako7346
@zuleikhachibako7346 Ай бұрын
Niliskia anameno mabaya nimechunguza kumbe waja mna wivu na anacheka vzr tu sema mwenyewe anapenda kuziba tu mdomo wake akicheka kma heshima❤
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Ай бұрын
Mashaalah hamisa ni madili
@naeema8155
@naeema8155 Ай бұрын
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
@halimantapa1750
@halimantapa1750 Ай бұрын
Nampenda sana huyu dada jaman hata sielewii uuh,,piga kaz mama
@imanibakili8028
@imanibakili8028 Ай бұрын
HILI LIDADA NILIZURI JAMANI MOLA AMEUMBA SIJUI UTARUDI ALIFUATA NINI DAH
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje Ай бұрын
Ila huyu demu ni mzuri sana hamisa moberto
@user-cd8ge8mx7p
@user-cd8ge8mx7p Ай бұрын
Binafsi Me ndio natumia ,,,,,, kampuni nxuriiii bei poah❤❤ ila nakuomba hamia yanga misa wanguuuuuu
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 Ай бұрын
Hongera sana mwanangu napemda iyo
@karyori69
@karyori69 Ай бұрын
Unakuwaje kwenye ku-endorse bidhaa ya kampuni yw Azania halafu unakubali kuongeleshwa kuhusu Simba? Manager m-coach Hamisa jinsi ya kuji-brand!
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Ай бұрын
@@karyori69 ajibrand mara ngapi kwa hiyo umeumia kusema yeye bado ni shabiki wa simba 😂 pole sana kwa sasa hamisa yuko mbali sana acha kwanza amchune aziza mpaka aombe poo
@happysakuya7394
@happysakuya7394 Ай бұрын
Yeye ni Simba ndyo sasa shda nin
@anethonesmo6390
@anethonesmo6390 Ай бұрын
Ingekuwa wasanii na watu maarufu kuna muda wanafanya press kuzungumza mambo yao binafs au kuulizwa maswal na wanahabar haya usingeyaona ila inabid wakipata nafas kama hii ndo maana wanaulzwa kila ktu
@eliyawinfrida2491
@eliyawinfrida2491 Ай бұрын
❤❤❤
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Ай бұрын
Wema sepetu mbona apati endorsement ata mtotoooo eeeeh Mungu mbariki na dada yangu wema
@alexoswald1725
@alexoswald1725 Ай бұрын
Nyota ya mdogo wng AZIZI KIIIIII
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Ай бұрын
Ni mwendo wa madili tu piga kazi misa ni wakati wako mama
@nahumnkwama239
@nahumnkwama239 Ай бұрын
,kawaitia Indoziment, mnaleta umbeya 😂 ila waandishi
@karyori69
@karyori69 Ай бұрын
Yeye ndiye qnapaswa kuhepa kujibu anachoulizwa!
@madreks253
@madreks253 Ай бұрын
Huyu dada amejaa plastic surgery, kila kitu chake ni feki...hamna chochote natural...😂
@starlily07
@starlily07 Ай бұрын
Unatesekea wapi 😂😂 tafuta pesa acha makasiriko
@tausimohammedy
@tausimohammedy Ай бұрын
@@starlily07❤❤
@Deboramartin-z2m
@Deboramartin-z2m Ай бұрын
Mbona kama unateseka sana wivu umekujaa mpaka matakoni
@Deboramartin-z2m
@Deboramartin-z2m Ай бұрын
Unajua nini huna pesa ndio maana makasiriko yamekujaa tafuta pesa wivu na makasiriko yoote yataisha
@RehemaMpeli-dt9vm
@RehemaMpeli-dt9vm Ай бұрын
❤❤❤❤👍
@Faith_joseph
@Faith_joseph Ай бұрын
❤❤❤
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 677 М.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН