VIDEO: MABAKI ya MIILI ILIYOTEKETEA kwa MOTO BAADA ya LORI KUWAKA MOTO IKITOLEWA - DC SHAKA AELEZA..

  Рет қаралды 2,598

Global TV  Online

Global TV Online

19 күн бұрын

VIDEO: MABAKI ya MIILI ILIYOTEKETEA kwa MOTO BAADA ya LORI KUWAKA MOTO IKITOLEWA - DC SHAKA AELEZA..
Kufuatia ajali ilyotokea usiku wa kuamkia leo julai 10 2024 katika eneo la kwambe Wilayani kilosa Mkoani Morogoro ajali iyohusisha Gari ndogo aina ya Harrier na lori kuteketea kwa moto taarifa zinaelezwa kuwa watu watatu wamefariki dunua kutokana na ajaili hiyo ya barabarani
Mkuu wa wilaya ya kilosa Shaka hamdu shaka ameongoza zoezi la kuopoa mabaki ya miili miwili ya raia wa burundi walioteketea kwa moto baaada ya lori walilokuwa wakisafiria kuwaka moto huku dereva wa gari ndogo naye amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya st Joseph
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 6
@globaltv_online
@globaltv_online 17 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@danielelikana2615
@danielelikana2615 17 күн бұрын
Mwajuma Rambo ....
@rinasmart5123
@rinasmart5123 16 күн бұрын
Mwajuma, huhitahi kuwa na haraka ktk kuripoti stori huku ukifanya makosa hata ya kukosea jina la mtu. Gari aina ya Aria ni gani??
@mariamcrispo8296
@mariamcrispo8296 17 күн бұрын
Mwandishi usiseme wamefanikiwa kufariki. Sio kiswahili sanifu bhana. Kwani walipenda kupata hili janga jamani!! Jitahidi kurekebisha aaiisee
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 17 күн бұрын
Wapumzike kwa Amani
@AfricaQueen
@AfricaQueen 17 күн бұрын
🙄🙄🙄😭😭😭😭😭😭🫣😭😭😭😭🤲🤲🤲Mungu awalaze mahali pema poleni sana jamani poleni sana.
AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO. KAMA NI MWOGA USIANGALIE
1:23
fgroup TV
Рет қаралды 83 М.
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 32 МЛН
Cek saldo kartu KKS pkh bpnt hari ini , Minggu pagi 28 juli 2024,
4:54
Kang Herry Ahmad 46
Рет қаралды 888
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 82 М.