Dah nchi ilipitia pagumu sana hii😂🙌 Wanaongalia hii clip 2021 gonga like apa
@sylvesterjose32862 жыл бұрын
Makonda, makonda.... Ukampa kichapo Mzee wa watu kisa Katiba mpya, aaah, jeuri ya cicimu, ukawangombanisha waume na wake zake kisa eti wamewatelekeza, ukawadhalilisha wafanyabiashara maarufu eti wauza madawa ya kulevya, ukanyang'anya watu magari, ukaagiza makontena ya fanicha kutoka Marekani ukakwepa ushauri...M beleko ya chuma ilyokubeba ilishakatika, bila Shaka hukujua hayo, pole Sana!
@elicegeorge99912 жыл бұрын
Afungwe tuuu 30y inamtosha alionea Sana binadamu amefanya watu Hadi waame nchi waliyozaliwa #romarudikumenoga
@mwigaramadhani36872 жыл бұрын
Yaani kupitia hii njia makonda aliweza kutengeneza pesa nyingi nyingi Sana maana hapo wengi walikata mpunga Sana 🙆🙆🙆🙆😃😃😃
@f.a60432 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂
@barneymunuo56593 жыл бұрын
Hivi Huyu bashite si akamatwe awekwe ndani Kwa kuchafua watu na kudhalilisha wafanya biashara..
@f.a60432 жыл бұрын
Balaa bado anaendelea kuwataja mpaka leo 2021 Dec. haogopi anaushahidi gani Mh. Shauri lako🤣🤣😆😆 jamaa alikua na jeuri Dah! hivi ilikua ni kweli au ni siasa za maji taka tu 😂😂😄😄 hatari sana Sasa Vodacom kazi ni kwako
@wachapakazimedia43532 жыл бұрын
Kweli uongozi ni ulevi wa Hali ya juu hivi makonda alijua kesho yake?
@chedielimrutu69552 жыл бұрын
Alisema waliotoa ushirikiano aliwaacha. Walitoa ushirikiano kivipi?! Kwanini umuachie mhakifu Kama unakomesha uhakifu. Hapo Kuna kitu nyuma yake. Kweli huu ni uvunjaji wa Sheria kumtuhumu mtu na hakuna aliyefungwa kwanini hawakupatikana na hatia!?
@davythomas35503 жыл бұрын
Nakupenda sana makonda unaweza kazi, one day tz itajua thamani yako
@elishamwanjela44432 жыл бұрын
Thamani ipi jaman
@raybirry38162 жыл бұрын
Yeye mwenyewe sio PAUL,ni DAUDI ALBERT forgery tupu! sheria inasema DAUDI MAKONDA awe jela miaka 7!
@josephatjoseph1755 Жыл бұрын
Usingemtaja Gwajima bro ndo uliaharib
@samuelringo39919 ай бұрын
Nimeichek leo 2024 , nimegundua hali ni tete
@nehemiamwasile86966 ай бұрын
Nimeangalia leo ,12/4/2024 hatari
@fintanmkesha10772 жыл бұрын
Pole makonda majina mengne ulbgi ktaja
@mbwanarajab47562 жыл бұрын
Hii nchi Sijui ilikua ikienda wapi , alf watanzania wengi wanafiki wanasema tulikua pazur , hapo babaako anatajwa na hajui lolote na anaamua kujiua kwa fedheha kubwa alf watu wanasema mengi ya kusifia uongo na unafiki tu
@farhannahkulishwaburekunam53603 ай бұрын
Mbona gwajima hakufungwa wala hakuwekwa ndani hao waliokuwa wanauza kweli mpska watoto wa wakubwa hukuwakamata wala hukusema
@zegelibilishanga6047 Жыл бұрын
Safi karrbu tena
@nikodemmwahangila3334 Жыл бұрын
Kweli alikisea sana ndionaana kasahaulika kabisa
@innobugobola16943 жыл бұрын
Alikuwa anafanyia sifa akijua Tanzania nyake kumb kaikuta tu jmn
@shaniathumanishaniathumani85153 жыл бұрын
baba uko wapi baba umeshapotea hiyo ndyo Tanzania
@amirimohamedi3922 жыл бұрын
Bashite Kuma tu huyo Hana lolote afunguliwe mashitata sasa hivi nae ala was chui najuta alijifanya nchi ya mama yake hii makonda Kuma tu makonda afungwe
@dapinitiative24512 жыл бұрын
Leo 10/12/2021 nimeiangalia tena hii kitu 😂😂
@SeifMohammedSalum Жыл бұрын
😅😅😅😅 leo hii yuko wap kila kitu ni dhamana
@hashimsaid55463 жыл бұрын
Yaani huyu mtoto ni mpumbavu Sana mwanaharamu hakujua Kama meko ni binadamu na atakufa sasa Leo hii mi sijui Yuko wapi mbwa huyu
@salumumakombo91362 жыл бұрын
mbona yupo tu anaenderea na shughuri zake za kawaida ...nenda kamkamate uone pa mnyoro
@mdangadaniel21852 жыл бұрын
Bashite wewe ufungwe tu ulituondoshea manji wetu
@innobugobola16943 жыл бұрын
Mmh 2015 ilikuwa ya ...,......! Le Hy kwa Mama ayapo jmn
@amirimohamedi3922 жыл бұрын
Bashite afungwe Hana lolote afungwe hata bashite amezulumu makonteeina afunguliwe kesi Kama sabaya
@stevenhinjo96642 жыл бұрын
Unajua alichokosea ni hekima ilitakiwa kama amepewa hiyo orodha ya wauza unga angewaita kwa siri wahojiwe kwa sasa hawajathibishwa na hakuna aliyekamatwa ilikua vyema sana wahifadhiwe hadi in a prohibit O'Shea ndipo watangazwe.
@stanleyshoo36063 жыл бұрын
Saiv ukowapiiiiii lndo tz banna
@michaeliharani11342 жыл бұрын
Wengine ulikuwa na ogomvi nao.
@calvinamon41253 жыл бұрын
Akili amna
@badenbensoni75163 жыл бұрын
Katika dhambi uliyoifanya ni hii.
@danielchibo62332 жыл бұрын
Mbiguni Tutafika Tukiwa Tumechoka
@bakarimngazija66722 жыл бұрын
Nchi hii imepitia kwenye wakati mgumu
@elicegeorge99912 жыл бұрын
Sana
@josephfumbuka65437 жыл бұрын
zero on a paper translates zero in a brain
@sylvesterjose32862 жыл бұрын
Definitely, well spoken!
@bensonlucas76072 жыл бұрын
Mpuuzi mmoja huyu
@robinhovanlameck53163 жыл бұрын
Hayamaisha bana!!!! Jamaa alijisahau balaa!!!! Mwenzie chalamila anaimba. Ila dogo ulikua nazarau hatari
@aloycekiwia86132 жыл бұрын
Mla huliwa...Zamu yako Sasa Bwana BASHITE.! Ulikuwa UNALOPOKA Tu.! Wote hao walikutwa hawana Hatia.
@athumanisudi8912 жыл бұрын
Kila zama na nabii wake cjw yupo wap huyu kijana
@fredreckmwakalinga34753 жыл бұрын
Huyu jambazi mbona mama Samia ashughuliki naye
@selemanishaame41742 жыл бұрын
Jamaa kichwani hamna kitu kabisa huyu
@zegelibilishanga6047 Жыл бұрын
Uludi bila uoga
@philemonnestory42392 жыл бұрын
Zamu yako Sasa imefika
@aminaathuman7153 жыл бұрын
Dah jpm alipambana sana
@isakajunior71392 жыл бұрын
Alipambana na nani? Apambane na malaika kaburuni sasa km anaweza
@awadhrajabu14033 жыл бұрын
Uyu Ndie Alikua Dereva Wa Dar.Sasaivi Majanga Tupu
@henrystanley40773 жыл бұрын
Hahahahahaahaaha
@haidarbulush24263 жыл бұрын
Shikamoo dunia
@henrystanley40773 жыл бұрын
Hahaha marahaba...naaam!!!hahahahahahahaaaaa...dunia ubadilika bhana kwahyo chunga sana mdomo kabla haujafika mwisho.. hahahhahah
@ramadhanimtetu72463 жыл бұрын
Safari ni Ndefu Sana Kila kitu Bora Uwe Mtu Wa kati na kati
@goodluckmalaba89923 жыл бұрын
Hivi wewe bashite na huyo baba yako mwendazake mlifikir Tanzania ni yenu? Laa hasha hivi unaweza kuamini kuwa kweli ulifeli ? Je? Sasa unajisikiaje. Jamii unaiambiaje we matako
Unaijuwa dhambi wewe sasa ndiyo utajuwa kuwa ulikuwa ujui
@lordymawoiya58183 жыл бұрын
Why can't you deliver those names to police instead mentioning names in public is it not against the law
@leokamil62842 жыл бұрын
He is above the low
@kuntakintekoko53203 жыл бұрын
Yaani huyu ndiyo alikuwa mkuu wa mkoa, tupowe watanzania hichi chama cha ccm kimetufikisha pabaya kwa kupeana cheo wenyewe kwa wenyewe, kweli mtu mwenye akili timamu hazungumzi kiu tumbo tumbo kama hivi.Hata kama ni kweli hao aliowataja wamehusika bado hawaja hukumiwa na unafahamu wanapoishi kuna haja gani wewe kuwatangazia kwenye vyombo vya habari.
@leokamil62843 жыл бұрын
Na ndio alipopatia nafasi ya kuwachuma waoga ili wasibambikwe hiyo mikiki
@raybirry38162 жыл бұрын
MALI ALIZO NAZO NA MSHAHARA WAKE BASHITE, HAVILINGANI!
@hammysleyman41772 жыл бұрын
Haya yakowapi sasa baada ya sabaya ni wewe...kijana dawa yako tayari subiri tiba...
@amirimohamedi3922 жыл бұрын
Huyu bashite no Kama mkuu was wilaya hai sabaya nae bashite apelekwe
@fredypastoryutd48643 жыл бұрын
Hapa ndio alijiona rais kwelikweli, huyu dogo bana.
@billgussy60993 жыл бұрын
Zao la ubatili ni ubatili tu
@tareqhilal67503 жыл бұрын
Wafuate kimya kimya sio kuwataja watakimbiA
@rahmazahor43333 жыл бұрын
Zamu yako imefika.......
@georgesongo36172 жыл бұрын
Utashangaa pumbavu wewe umevuma mapesa kibao Sasa utazitapika.
@irakozejclaude78693 жыл бұрын
1:23 eti ni mukono wakulia au kushoto kutokana na upande gani unatokea 😀😀😀 hakuna maelekezo ya hivo
@deejeydaev2 жыл бұрын
Itamkosti hahah
@frankfusi89722 жыл бұрын
Huyu bwana afungwe nae
@hemediseleman18823 жыл бұрын
duuh
@georgesongo36172 жыл бұрын
Mungu fundi kweli ulifurahia maisha Sasa unaishi kama kibaka tu huna amani tena
@amosimnyili21653 жыл бұрын
Dunia imekunyoosha jeuri,kiburi tipuuu
@pascopeter53663 жыл бұрын
Ulijiona utabaki kwenye hicho cheo
@amirimohamedi3922 жыл бұрын
Huyu Kuma bashite ashikwr
@veronicamlali96692 жыл бұрын
Wewe unatukanaaa unajua athari za madawa ya kulevya au wewe no zero brain
@amiribakari25282 жыл бұрын
Haaah haka kajamaa kalikua kanafki kwelikweli..kweli mwisho wa unafki aibu..iv unajisikiaaje mzee bashite
@charlztitu76077 жыл бұрын
n
@henrystanley40773 жыл бұрын
Hv huyu hajui kama hii ndio biashara kubwa kbs duniani na ndio inayoweka tawala zote duniani kwa jeuri ya pesa hahahahahaha...tatizo ni ukosefu wa akili tu ktk utawala...hv chunguza nchi zote haramu duniani ndio zenye uchuki bora kbs duniani...hahahaha hv hadi mashekh na mapadri wanapiga navyo hvyo hlf unataka kushindana nao khaaaaa...pole Sana ila tabia mbaya sana kutaja majina ya watu