Hapo ni funzo kwa anaowaomba kila siku na wao wasiwe wanampa, ili na yeye mwijaku aone ugum wa pesa
@nurdinmfamau34938 күн бұрын
Pesa Yake Maamuzi Niyake. Kuwa Makini Namaneno Yanaumba. Usione Unazo Leo. Kesho Hauna. Usijisahau. Kwasababu Kuwahivyo Ulivyo Ulikuwa Vile Ulivyokuwa.
@PrinceHendry-hp8vv8 күн бұрын
Ni kweli unaongea mwijaku kwasababu wewe ni omba omba ndo mana unamshauri roma ujinga omba omba hatoagi bt roma anajua siri ya kupokea ni kutoa
@OmaryHussein-e2f8 күн бұрын
Mwinjaku wewe mwwnyewe apo ushapiga kizinga 😂
@user-qg6hz7qr5o9 күн бұрын
Uyo mwijaku aache shobo Kwan hela nizakwake
@faudhiasalum72799 күн бұрын
😂😂😂😂😅
@user-pj3eb2bo4o8 күн бұрын
Halafu wewe Roma hujitambui unatafutwa tz utwekewa masumu jiangalie shauri ysko hujujui
@JJ-fb9jp8 күн бұрын
😂😂
@barrynzeyimana62709 күн бұрын
Hapo wako mall.
@kingkibo11809 күн бұрын
C kila mtu kaumbwa na roho ya ukatili, na kila mtu kuna namna tofauti ya kupokea Baraka zake. Ukiwa nacho toa usipo kuwa nacho kausha, roho ya unyimi asilimia kubwa haisaidii
@barrynzeyimana62709 күн бұрын
Wajinga wanawaza kua wakifa watazikwa na nani! Kwakua hata wakuache barabarani utakua umekufa tu.
@FahadAbubakari8 күн бұрын
We sjui mrundi sjui mnyarwanda acha ufala kwa taratibu za kiafrika kuzikwa kuzaliwa Kuna namna ya muonekano na jinsi yake hata kuzikwa Kuna taratibu zake za heshma ndo mana mtu hafukiwi tu kama paka