Рет қаралды 105,578
HENOCK INONGA BAKA
.
CENTER BACK(Stopper)
.
🇨🇩 Congolese
.
Huu ni usajili bora mno
.
Inonga Baka anajua sana kukaba , mzuri hewani, good on passing, good on pace na ana vurugu mno kwa washambuliaji
.
Mapungufu yake
ni kupoteza Confidence akiwa pressed ila pia ni endurance limits (uwezo wa kuhimili dakika 90 kwa mchezo ule ule siyo mkubwa)
.
Simba wamepata beki namba 4 mzuri hongereni kwa usajili huu @bvrbvra