(Video ya Wimbo wa mateso ) SI NJIA RAHISI KUTEMBEA NA YESU. Mama Salome Mbarikiwa

  Рет қаралды 43,860

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@user-zu2dc2bj6z
@user-zu2dc2bj6z 7 ай бұрын
Nkwel sirahisi kumpokea yesu ubarikiwe mama Kwa wimbo huuu
@estherjonas8466
@estherjonas8466 11 ай бұрын
Pole sana Mungu Yesu yupo na wewe peke yetu hatuwezi Mam
@lukuyanalaheri4372
@lukuyanalaheri4372 10 ай бұрын
Mungu nisaidie nisije kupoteza msimamo wangu kwa ajili yamaneno ya watu. Nipe kumaliza salama!
@janethmbutwa7893
@janethmbutwa7893 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi ila waliyo usika juu ya tabu unayopitia kikombe lazima wakinywee namini mungu yupo nawe atakupigania jipe moyo songa mbele
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Amina sana Mama, Ninapousikiliza wimbo huu unanifanya nitokwe namachozi, Umepoteza ubinti wako kwa kufuata njia hii, Umepoteza Umama wako,Utu wako, Mali zako, nk.. Nikweli mama, natamani nipite njia uliyoipita na unayoendeleanayo, sijakuona ukiaibika kwa namna yoyote, ktk njia hii natamani Niupotezee ujana wangu humu na maisha yangu yote yapoteleee humu.(katika njia hii) EEEEEE MUNGU NIWEZESHE KUPITA NAMI NIWE TAYALI KUPITA. Kama mama.
@furahachungu6802
@furahachungu6802 Жыл бұрын
Najifunza kupitia kwenu pole kwa magumu mungu anajua hitaji lako lihimidiwe jina la yesu
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Жыл бұрын
Poleni sana mnatembeaje na Yesu wakati mnatukana watumishi wa MUNGU ,mnawaita wahubiri njaa,mjitafakari sana Ni mbaya sana kuwahukumu watumishi wa Mungu?
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 Жыл бұрын
Lakin SI wewe pia unahukumu tumwache mungu atahukumu japo ukweli wachungaji Wana njaa kweli hasa
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 10 ай бұрын
Mama mbarikiwa MUNGU pekeyake ndiye awe mfariji wako
@heriethinnocent3283
@heriethinnocent3283 Жыл бұрын
Oooooooh 😭😭😭😭😭 Mungu akutie nguvu mama angu kutembea na Yesu si njia rahisi Kuna wakati unapoteza vitu vya thamani ili umfuate Yesu Unaweza poteza hata utu wako Kwa watu ili utembee na Yesu 😭😭😭😭😭😭 Yesu tushike mkono wanao
@petermuganda7322
@petermuganda7322 Жыл бұрын
Najisikia kusema amen amen maraa elfu...mbarikiwe sana wapendwa kweli vikwazo ni vingi lakini tujipe moyo na kumuomba Mungu Sana..amen,amen
@CharlesMlowe-fu9uz
@CharlesMlowe-fu9uz 7 ай бұрын
Amina jipe moyo mama angu niya mda tu yatapita.
@meckchatta1460
@meckchatta1460 Жыл бұрын
Barikiweni sana wimbo mzuri wenye ujumbe mzito🙏🙏
@angeliquemwamini4791
@angeliquemwamini4791 Жыл бұрын
Duniani hapa si kwetu. Ndomaana watu wa Mungu hawawezi kuwa salama Mia kwa mia.
@julianambilinyi3341
@julianambilinyi3341 Жыл бұрын
Amina mtu Mungu ,si njia lahisi wimbo umejaa uhalisia wa anaeimba maana anaishi hayo .Uzidi na kuongezeka ktkt Bwana
@winfridaedson8960
@winfridaedson8960 Жыл бұрын
Ni kwer vikwazo ni vingi lakini Yesu yu pamoja nasi,Barikiwa sana mama tunajifunza mengi kupitia nyie🙏🙏
@andrewkasongo1368
@andrewkasongo1368 Жыл бұрын
Tushike mkono mwokozi Yesu, tukiwa na Yesu tutashinda, kweli mama Salome❤❤❤❤❤😭😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼 wimbo mzuri mama
@isdoryhenry-bh5kk
@isdoryhenry-bh5kk Жыл бұрын
Wimbo umenibariki sana
@chrisshaule2088
@chrisshaule2088 Жыл бұрын
Utaachwa na mwanadam yesu pekee hatowaacha yatima jitieni moyo mkuu
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Жыл бұрын
Huwa nawaelewa sana na nikiona mnapigwa vita Huwa naumia sana ila msikate tamaa mana ipo siku kila mtu atahesabiwa na Mungu...Mbarikiwe na Mungu awape nguvu
@trizafrances4304
@trizafrances4304 Жыл бұрын
Emungu nisaidie mungu maranjingi ninaanguka ktk hii safari yambinguni niongoze yesu nitembee nawewe yesu haya mazito ninayo pitia najua mungu utaraisisha Amen 🙏🙏🙏
@user-ct3sm1pd8z
@user-ct3sm1pd8z 10 ай бұрын
Barikiwa sana
@suleshmacs1286
@suleshmacs1286 Жыл бұрын
Wimbo mzuri wa kutia mja nguvu kujikaza na safari ya wokovu
@ombensaidia4311
@ombensaidia4311 Жыл бұрын
Mungu ajulikane katika Haya Kama alivyojulikana kwa Eliya Mtishibi juu ya manabii wa bahari
@petermuganda7322
@petermuganda7322 Жыл бұрын
Barikiweni sana kwa wimbo huu,,ujumbe ni mzito sana nimebarikiwa Sana sana amina...😭
@cyrillecbk5317
@cyrillecbk5317 Жыл бұрын
Mubarikiwe
@joycebulwe3557
@joycebulwe3557 Жыл бұрын
Amina mama m'barikiwa, kweli nimejifunza mengi kwako ,utumishi unahitaji moyo, Mungu akutie nguvu mama mwenzangu, kaza mwendo, Duniani Pana Giza Nene ila huko mbinguni ,big up Iko kwa wale waamuchao hata ktk wakati mgumu na WA mateso,
@isdoryhenry-bh5kk
@isdoryhenry-bh5kk Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mamangu.
@saramuna1173
@saramuna1173 Жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni atutie nguvu katika maisha yetu ya wokovu maana Miba na michongoma ni mingi lakini tufika tu. Mungu awabariki sana sanaa nawapenda
@veronicamwenda7449
@veronicamwenda7449 Жыл бұрын
Mama Salome Mungu natamani kupita njia kama zako jamani MUNGU azidi kukuimarisha Jaman.
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
Lkn kama ni MUNGU amina ila kama n binadamu MUNGU atajibu kwà moto😭😭😭😭😭😰😰😰😰🙏
@EstherManda-ex3bc
@EstherManda-ex3bc 2 ай бұрын
Amen
@tumainimwakisile4855
@tumainimwakisile4855 Жыл бұрын
Mungu awatie nguvu na kuwashindia kwa kila jambo watumishi wake.wimbo huu umenigusa sana
@NuruMbwile
@NuruMbwile 6 ай бұрын
Hiii njia lazima upoteezee vitu ndio Mungu akupe vyakwake ubarikiwe
@mestonianatori7254
@mestonianatori7254 Жыл бұрын
An stoppable generation Big up💪 oll how creat this. 😭😭😭😭😭😭
@pendonkoswe2194
@pendonkoswe2194 Жыл бұрын
Ubarikiwe mnoooo shujaaa wa Bwana. Weew ni mfanoo wa kuigwa mnooo nakupenda bure mama
@kellykelly2672
@kellykelly2672 Жыл бұрын
Amina mama pole sana na ubarikiwe sana
@furahajoy3168
@furahajoy3168 Жыл бұрын
Tushike mumkono Yesu kweli siyo njia rahisi mubarikiwe sana maman Mungu Yuko pamoja na we🙏🏽✝️🌐
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Жыл бұрын
Mnampingana na Mungu bila kujua hubirini injili siyo kuhukumu na kutukana watumishi wa Mungu ,mnajua kuliko Mungu, nyie fanyeni wito wenu Kama Mtumishi mwingine anakosea atahukumiwa na Mungu mwenyewe siyo nyinyi Mbarikiwa na mke wako
@maggifredy2232
@maggifredy2232 Жыл бұрын
Amina mama nabarikiw sana na wimbo huu kweli njia siyo lahisi ya kufuata yesu
@suzanamkate4676
@suzanamkate4676 Жыл бұрын
Amina mama,
@jemanyamle5945
@jemanyamle5945 Жыл бұрын
Mama yetu Mungu atakulipa mara dufu kwa iman
@mchantonmnkondya7
@mchantonmnkondya7 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri
@petermuganda7322
@petermuganda7322 Жыл бұрын
Chini ya yesu mazito urahisishwa na kuwa mepesi kwa wakati atakao Mungu muumba wa mbingu na nchi,,Amina
@yohanamasweko915
@yohanamasweko915 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama awe pamoja nawe
@lovenesscharles5591
@lovenesscharles5591 Жыл бұрын
😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌
@erickbabu4404
@erickbabu4404 Жыл бұрын
Vita vyako sio juu ya damu na Nyama badilisha Vita wapo rohon Achana na matokeo angaika na chanzo
@jester5834
@jester5834 Жыл бұрын
Asante mama mungu awape nguvu
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 Жыл бұрын
Amin
@MichaelMnzava-uk7py
@MichaelMnzava-uk7py 5 ай бұрын
Asante sana
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Kwa kweli sinjia rahisi kuishi neno kuishi mapenzi ya Mungu ila anatuwezesha ila kuishi n'a yesu ni raha kupita raha ya dunia kwani inampa mtu furaha Amani ku tulia nakujielewa kujifahamu hapa duniani
@elinajacksonharusha7155
@elinajacksonharusha7155 Жыл бұрын
Hakika si njia rahisi, ni njia ngumu mno. Mbarikiwe sana
@beatricefrancis9614
@beatricefrancis9614 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@tumaininzunda7206
@tumaininzunda7206 Жыл бұрын
Najiskia uchungu mno Mungu yu pamoja nasi
@computerphonetechnologiesm6803
@computerphonetechnologiesm6803 Жыл бұрын
oh LORD JESUS, I am asking you to hold my hand, the trials are very difficult, I wish to reach you, O LORD.
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 Жыл бұрын
Ni kweli si rahisi Mungu atusaidie
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 Жыл бұрын
Sio njia rahisi kweli,maana imeandikwa watataka kuingia lakini wasiweze.
@suzanaburundi6061
@suzanaburundi6061 Жыл бұрын
Ubarikiwe mama yangu
@mtegetanzalilo7468
@mtegetanzalilo7468 Жыл бұрын
Kweli kabisa mtumishi Yesu mwenyewe awe faraja yenu safari ya mbinguni si Lele mama
@sofianafasi6285
@sofianafasi6285 Жыл бұрын
Ameeeeeeni mama yangu Salome mama wa hekima NI kweli na hakika sii njia rahisi Wala mazoea Wala mkumbo NI njia ya kujikana MUNGU nisaidie nitembee kwenye njia ZAKO YESU kwaunyenyekevu
@dovickybruno3861
@dovickybruno3861 Жыл бұрын
Amina 🙏
@st99ngeni35
@st99ngeni35 Жыл бұрын
Ujumbe ni mzuri ila baadhi ya video sio sawa. Hiyo sehemu ya watu wamefungwa minyororo shingoni kama watuwa wa biashara wa watumwa. Tunapookoka vifungo vyote hukatika. Miba na vikwazo hivyo hubakia, njia ni ngumu na kwa msaada wake Yesu hutubeba na kuifanya kuwa rahisi.
@zabibusamweli2082
@zabibusamweli2082 Жыл бұрын
ubarikiwe mnooo
@lainacemmmwasote1862
@lainacemmmwasote1862 Жыл бұрын
Hakika si njia rahisi,ni Yesu tu anaetusaidia.
@rebekamoshi2623
@rebekamoshi2623 Жыл бұрын
Kweli mama njia hii sio rahisi
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 Жыл бұрын
Amen 🙏
@annuherman1878
@annuherman1878 Жыл бұрын
Amen si njia rahis
@jessecokiru1962
@jessecokiru1962 Жыл бұрын
Kweli Mungu nisaidie kwa wokovu
@estershenene8787
@estershenene8787 Жыл бұрын
Kweli peke yet hatuwez
@joshuangonya-jt5dj
@joshuangonya-jt5dj 6 ай бұрын
Hakika nimetambua, si njia rahisi kutembea na yesu.
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭🙏
@lordorcas9344
@lordorcas9344 Жыл бұрын
Ah Ku t’embea na Yesu si Raisi ni njia y’a Miba mengi ni Mai ha y’a Damu ni kuku Kufa na ye na Kufufuka na ye Kueli Uji p-e Moyo mama si wewe peke yako Na Mimi Hala n’a poteza ni HATARI Sana ni Lolita mismatch mengi
@petermwenda6470
@petermwenda6470 Жыл бұрын
Jehovah baba hatuwezi bila wewe 😥😥😥
@jacoboboniface9996
@jacoboboniface9996 Жыл бұрын
YESU awalinde
@eliakisinga5360
@eliakisinga5360 Жыл бұрын
Mmm.kweli mama
@charlottekabemba8433
@charlottekabemba8433 Жыл бұрын
Amen amen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 Жыл бұрын
Hakika mama japo wengi tunaona laisi lakin ngumu kweli
@alfredbalazire
@alfredbalazire Жыл бұрын
Kweli mama
@tumaininzunda7206
@tumaininzunda7206 Жыл бұрын
Pole pole mpendwa 😭
@josephmwamalumbili8011
@josephmwamalumbili8011 Жыл бұрын
Hakika mama si njia rahisi inamasumbusu mengi na vikwazo pia
@irenenyauhule6017
@irenenyauhule6017 Жыл бұрын
kweli
@zawadikikosikazi3887
@zawadikikosikazi3887 Жыл бұрын
YESU nipe msuli wa kuipita njia hii maana si njia rahisi. Biblia inasema wengi watatamani lakini hawata weza
@jacoboboniface9996
@jacoboboniface9996 Жыл бұрын
SESU awa tunze
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Eeeeeeeee!!!! MORA NISAIDIE NAKUOMBA
@sayunimkongwa9830
@sayunimkongwa9830 Жыл бұрын
Sinjia rahisi pekeetu hatuwezi
@costantinemihayo
@costantinemihayo Жыл бұрын
Umebakia wewe kwenye nyimbo za kumtukuza MUNGU WENZIO WANAIMBA HISTORY Utasikia alikuwepo ............ Anaelezea story yake Kisha anapitishamo jina MUNGU Tiar anakuwa ameimba wimbo wa MUNGU
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Kweli kabisa
Si njia rahisi Hope Choir
9:22
Pentecostal Evangelical Church Mosselbay Branch
Рет қаралды 698
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 36 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 22 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
Video Song; Nimeamua kumfuata Yesu. Salome Mwampeta
6:44
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 54 М.
Abiudi Misholi asema AMANI YA TANZANIA INAENDA KUTOWEKA. Lissu atangaza maamuzi magumu
14:21
Nasikia kuitwa,Tenzi no 40. Mbarikiwa Ft Salome (official video music)
10:51
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 51 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 36 МЛН