Рет қаралды 60,327
Jamaa wawili kutoka mji wa Nyahururu kaunti ya Laikipia wamewashangaza wengi kwa ujuzi wao wa hali ya juu. Wawili hao wamefaulu kuunda trekta na gari aina ya Tuk Tuk ambayo yanatumia mafuta kidogo. Uvumbuzi huu umepongezwa na gavana wa kaunti hiyo Nderitu Muriithi aliyeahidi kuwapika jeki wavumbuzi.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya