Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090
Пікірлер: 4
@khalfansuleiman6206 Жыл бұрын
MAASHAALLAAH SHEIKH WANGU WANGU , ALLAAH AKUPE UMRI MREFU WENYE MANUFAA KTK DUNIA NA AKHERA YAKO
@AlhajMtali Жыл бұрын
Mashaallaah.darasa.zur
@idrisaidrisa5268 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah Sheikh Kidago
@idrisaidrisa5268 Жыл бұрын
Maelezo ya Maswahaba Wanayafanyia kazi Marekani na Uingereza. Sisi Waislamu hatufanyii kazi