No video

Aliyekua MGANGA maarufu ATUBU | aweka hadharani UTAPELI NA USHIRIKINA UNAOFANYIKA

  Рет қаралды 34,824

IHSAAN TV

IHSAAN TV

Күн бұрын

Al Akh Bakari Akida Nuru akitoa Kalima katika msikiti wa Ansaar Muslim Youth Center Barabara ya 19 mara baada ya swala ya ijumaa ya tarehe 05 julai 2019.
Aliweka wazi siri za mizimu na uganga wa kienyeji..

Пікірлер: 106
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Waislam kazi mnayo mtatoka tuuu uko kwenye nguvu za giza amna mganga atae ona uflme wa Mungu amna wa kitabu wala wa chale wotee wachawi na ndio nyinyi waislam mnawafuga ayo majini kwetu jini ana nafasi apa anakemewa tuu kwa jina la Yesu anakimbiaa mganga wetu Sisi ni Yesu tuu amna ndumba wala makombe yotee kuzimu.....damu ya Yesu ni ngao Yetu amna damu ya kondoo wala mbuzi wala kuku wala ng,ombe apa ni Yesu tuuu waislam tokeni ukooo kwa majini...watu wangu waangamia kwa kukosa maharifa...
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 4 жыл бұрын
Hhhhh Wakati Mskanisani mapepo kibao kila kukicha twawaona Waumini wa Kikristo wakitolewa Mapepo, yaliwaingiaje wakati walishampokea/wanamwamini Yesu?!
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
halaf kanisani kuna sanamu wanaaabudia sanam et bikra maria tusamehee makosa yet..... huon kama ww huna akili kabsaa kuabudia sanamu. Lkn makanisa yote n ya shetan ndio church of satan yapo meng tu huku marekani yapo mengi majanusa ta shetan tena huku hawafich wanaandika tu CHURCH OF SATAN CHURCH OF LUSIFA yako mengi tu huku makanisa hayooo. sasa ww unajiita mm naenda kanisani kuabudu waabudu shetan kanisan hakuna mungu huko n lusifa tu !
@haridyhillaryndembo1946
@haridyhillaryndembo1946 4 жыл бұрын
BASI KAMA NI KWELI NAKUSIKITIKIA WEWE MAANA BIBLIA INASEMA NABII YAKOBO BABAKE YUSUFU ALIPOKUFA NI WAGANGA WALIOMPAKA DAWA MWILI WAKE KUUHIFADHI NA YUSUFU NDIYE ALIYEWAITA WAIFANYE KAZI HIYO HIVYO BIBLE NDIYO YA KWANZA KUUTHAMINI UGANGA KABLA MTUME MUHAMMAD S.AW HAJAJA NA QURAN.KAMA UGANGA NI UCHAWI BASI UCHAWI HUU UMO KATIKA BIBLE MIAKA MINGI KABLA QURAN HAIJAJA ,NA UKISOMA QURAN HUWEZI KUTA HABARI ZA UGANGA KAMA ILIVYO KTK BIBLIA USHAHIDI HUU HAPA Mwanzo 50 2 Yusufu akawaagiza watumishi wake waganga, kwamba wampake baba yake dawa asioze. Waganga wakampaka dawa Israeli. 3 Siku zake arobaini zikaisha, maana hivyo hutimizwa siku za kupaka dawa. Wamisri wakamlilia siku sabini.@Mimi mimi
@allyberto7617
@allyberto7617 4 жыл бұрын
Uislamu ni njia ilionyooka
@najmamakame9881
@najmamakame9881 3 жыл бұрын
Mimi Mimi @we ni hayawan tena mfano wa kitimoto huna akili umeona utofaut wa waislma na ushirikina ila kwa sababu wewe niwamoton ushapigwa muhuri ...kasome kwanza bibilia ndyo uje ropwakwa humu hakuna uganga katka Qur'an ila bibilia imekiri uchawi unafaa na uganga pia unafaa
@raiswamaraishalisi8426
@raiswamaraishalisi8426 Жыл бұрын
Shukran sana Mwalimu
@zanmedia5225
@zanmedia5225 3 жыл бұрын
Alla akusamehe
@ramadhanamour1315
@ramadhanamour1315 4 жыл бұрын
Shekh ugnga hasa upo na niyakweli unayofanyiwa maana ya majini yapo na sihiri yaani uchawiizupo haya ni maneno Allah (s w ) na mganga wa kweli hasa kitu cha mwanzo anakueleza yy anamtegemea Allah na ww uganga hukusoma uliosoma utapeli c uganga maana acli ya kwenu mulichukuwa fungo tu la mji kwajili ya kuzwiya vita kwaiyo kutokana na uzito w maisha wameigiza tu uganga na hawakupewa uganga kwahyo usome maana mashekhe wakubwa Kama Sleman bin Alawi nk waliganga Ila Uje Zanzibar usome elmu tiba c hiyo ulosoma ww iyo ni elumu ya utapeli
@abdulwahidmsellem1998
@abdulwahidmsellem1998 4 жыл бұрын
Ramadhan maneno yako sadaktaa👏👏
@zoey2635
@zoey2635 Жыл бұрын
ACHA kutetea ushirikina wewe ,huo si uislam ,mwislam kumtegemea mungu pekee ACHA kutetea shirki Rudi madrasa ukasome elimu sahihi
@ahmadmohd3771
@ahmadmohd3771 4 жыл бұрын
Allah akufanikishe bro
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 жыл бұрын
Waganga wote mungu awaalani kuna mganga mmoja alinitomba na sikufanikiwa
@sandraaljabry3788
@sandraaljabry3788 4 жыл бұрын
Ahahahaaaaa
@mamussi6872
@mamussi6872 4 жыл бұрын
Na kwa nini wewe ukakubali kutombwa ndugu dah!!!!!
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 жыл бұрын
@@mamussi6872 aliniambia ndio dawa yenyewe
@mamussi6872
@mamussi6872 4 жыл бұрын
@@fediliaulomi4969 hiyo ndio mitihani ya waganga waendapo wanawake cha kwanza hukimbilia uzinifu
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 жыл бұрын
@@mamussi6872 awanipati tena sasa ivi nimetubu nimeokoka ni mwenyekiti wa akina mama kanisani naubiri yesu alie hai
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 3 ай бұрын
sema chama cha WACHAWI!!
@affaanothmaan6287
@affaanothmaan6287 5 жыл бұрын
Subhana'llah
@abodetidings8392
@abodetidings8392 3 жыл бұрын
nice
@opportunities2767
@opportunities2767 Жыл бұрын
Sauti yako tu yatosha na ujasiri wakongea haki ww unatakiwa kua mwalimu , Ulamaa
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
😂😂😂 Safi sana
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Waganga karibu wote ni waislamu Sioni hata ajabu,masheikh wengi ni washirikina wakubwa,karibuni kwa Yesu
@ibnually7428
@ibnually7428 5 жыл бұрын
Ndugu kuwa muelewa huyo sio Sheikh Na kichwa cha habari kimeandikwa "MGANGA ATUBU" nn maana ya kutubu?
@khamisothman1154
@khamisothman1154 5 жыл бұрын
Dezire Heza si kweli, wako waganga wengi tu ni wakristo, hasa maeneo ya bara.
@tabukinga6757
@tabukinga6757 5 жыл бұрын
Unauthibitisho au unakurupuka tu
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 жыл бұрын
Dezire Heza qurani ni mfumo wa binaadam
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
Hakika wengi wanaokoka ,,YESU mwema,ukifatilia Walikuwa mashekhe wakubwa
@user-xd3ru7tn9v
@user-xd3ru7tn9v 4 жыл бұрын
Mashuzi
@msekwakhamisi9065
@msekwakhamisi9065 2 жыл бұрын
Huyu nakaa nae mji mmoja ety saiv amerudi tena kweny uganga anaidhalilisha dini mpuuzi
@mohamedibrahim7732
@mohamedibrahim7732 Жыл бұрын
muogope mola wako usimsingizie
@msekwakhamisi9065
@msekwakhamisi9065 Жыл бұрын
@@mohamedibrahim7732 serious amerudi kwenye uganga na ngoma anapiga
@abdullahkassimu6804
@abdullahkassimu6804 3 жыл бұрын
Apana ndugu yangu uganga utapeli upo na uganga wa kweli upo ila wengi wao wanakuwa matapeli lkn waganga wengine wanamtegemea ALLAH pekee maana yeye ndo mponaji
@zoey2635
@zoey2635 Жыл бұрын
Hakuna Cha uganga wa kweli shiriki ni shiriki tu haina mjadala muslamu kweli utegemea mungu na shirki ni dhambi ya kwanza kwa ukubwa ukafa ujatubia makazi yako motoni mile tukasome jamani elimu sahihi
@user-od1xx3tk9y
@user-od1xx3tk9y 4 ай бұрын
Hakuna mganga mkweli kua na iman ya kungu. Mungu anapokupa mtihan anakupima utamshukuru au utamkufuru!! Kumkufura ndui kwenda kwa waganga. Lkn hakuna mganga asiye mshirikina wote waongo tu. Kama ni wakweli waseme siku zao zakufa au akwambie ww utakufa lin na muda gan
@peteralfonce5848
@peteralfonce5848 4 жыл бұрын
Hata hapa nzega maeneo flani ya Nyasa kunafamilya moja inapenda sana mambo ya waganga walisha ingizwa mkenge na mmasai mmoja mpaka Leo hawajapata walichokua wanaitaji
@hashimnamanolo4018
@hashimnamanolo4018 4 жыл бұрын
Yesu gani rirebabu.rakizungu ndio.nriyabudu.atanikiwa.nmerara.simwabudu.kafamwakajana.muegereza yure Uyo yesu wako.
@mishibaron5021
@mishibaron5021 3 жыл бұрын
Kabila gani wewe mwenye waongea vitu hazieleweki
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 2 жыл бұрын
@@mishibaron5021 😅😅
@monicahnjeri7390
@monicahnjeri7390 Жыл бұрын
@@mishibaron5021 😂😂😂😂😂
@jasminyabdully499
@jasminyabdully499 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@kibindamtotombonasomolakoh7694
@kibindamtotombonasomolakoh7694 5 жыл бұрын
Shekhe wallahi waupotosha umma yapo ya ukwel lakn mengi ulyoyaongea hapo hayana ukwel
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Bora uokoke
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 4 жыл бұрын
Walokole/walioloka wanapi(wamempakia Yesu) na Wanamapepo/Mashetani...! TATIZO mmezowea kurithi kukariri bila kufanya tafiti halisia. Angewaongopea ameokoka/amempokea Yesu na kuuwacha Uislamu kaingia Ukristo hapo mngezidi kwa Comments zenu za kuamini kibubusa/bila elimu/tafiti! Kwa Waislamu huwezi kuona/kukuta Misikitini kukifanyika masuala ya kutoana Mashetani/Mapepo but Makanisani ndo kwenye kufanyika kutowana mashetani na Uchawi/Ushirikina (Mazingaumbwe) huita miujiza.
@hadija846
@hadija846 4 жыл бұрын
Makubwa
@ibnually7428
@ibnually7428 5 жыл бұрын
Sio wote wanaojifanya wana masheitwani, wengine wanawaingia kweli kabisa
@kibojewee2710
@kibojewee2710 5 жыл бұрын
Jee ushapandisha pepo???
@suleimnally2385
@suleimnally2385 4 жыл бұрын
Shekhe je kurogwa inakuaje kama yote ni uongo
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 4 жыл бұрын
MANENO HAYALIPIWI HIVYO SIKILIZA TU !
@ramazubery2641
@ramazubery2641 4 жыл бұрын
Sema wewe ulikua tapeli
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Жыл бұрын
Mfundisheni Quran huyu
@hashimnamanolo4018
@hashimnamanolo4018 4 жыл бұрын
Kikombe chababu.arikua.nani sio.mkristo.arikua Nani eti waganga waisiramu Amna mkristo unaishiwapi tembeauwone
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 2 жыл бұрын
kajifunze kuandika , elimu za watu wazima bado zipo.
@amourabdallah2978
@amourabdallah2978 4 жыл бұрын
Huyu mwehu muongo tu inamaana hao watoto wanaodondoka shule wanafanya makusudi
@bonifasiemanueli2708
@bonifasiemanueli2708 3 жыл бұрын
Njo kwa Yesu wewe ndugu ndo kuna wokovu
@ahmadikauru6592
@ahmadikauru6592 4 жыл бұрын
Sawa nimekusoma kwaiyo Inamaanisha uchawi akuna
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 4 жыл бұрын
Uchawi upo ispokua uyu alikua tapeli.lakini wachawi wapo tena wengi.dawa iliokua bora kutegemea ALLAAH tu.
@amourabdallah2978
@amourabdallah2978 4 жыл бұрын
Wewe muongo bhana mashetani wapo na uganga upo na waongo pia wapo
@rojahdaudi9306
@rojahdaudi9306 3 жыл бұрын
huyu nadhani alizidiwa mahali haswa kwenye zinaa sasa ajificha msikitini lakini Allah hafichi mnafiki
@mohamedibrahim7732
@mohamedibrahim7732 Жыл бұрын
waganga tulieni leo mme umbuka acheni na brother awaumbue ni rahatu sana
@hudaaalhussein3841
@hudaaalhussein3841 4 жыл бұрын
Afadhali umeacha umekuja kwa Allah dini yetu imekataza uchawi,km mtu hajui ajue
@chifuayubu4315
@chifuayubu4315 4 жыл бұрын
sikuhizo Na sisi tunatoa ushuhuda
@mwaitatv7973
@mwaitatv7973 5 жыл бұрын
Asee huyu jamaa alikua mganga mfawidhi.
@asiahaji5081
@asiahaji5081 4 жыл бұрын
UGANGA SIO KHARAMU ILA NAMNA YA KUUFANYA HUO UGANGA NDIO PENYE SHIDA.
@mohammedabubaker1042
@mohammedabubaker1042 3 жыл бұрын
Ndugu yangu uganga upo lakini ni shirki na ni haram ila kama una tibu kwa mitishamba
@zoey2635
@zoey2635 Жыл бұрын
Rudi darasani kasome uganga ni ushirikina ACHA kutetea shirki utaangamia Rudi darasani ukasome
@hashimnamanolo4018
@hashimnamanolo4018 4 жыл бұрын
Upako manayake nn ndiouwo.uganga.wakirsto.wapo SIO.waisiram.ayomakosa unataka kutureteaudin.wewe.vip .eti waisram hidunia.
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 5 жыл бұрын
Mhm jina anshika fimbo balala duniaa tusikiaa mengu nduniani. Sùbhanallah
@halfaniisale3401
@halfaniisale3401 4 жыл бұрын
Wewe hukua mganga tapeli umegeuza mtndo wakutapeli natanga waganga walishaisha sanamatapeli wauwaj wachonganish fulanimchaw hskunachamana dawazpo majniwapo wetapeli
@halfaniisale3401
@halfaniisale3401 4 жыл бұрын
Yani mlikuamatapeli mbona huludshi ulivyo waibia shnyanga ujinga mlokua mnafanya haupo Wala hakuna kutoa vtu
@ramadhanimohammed7062
@ramadhanimohammed7062 3 жыл бұрын
Ujielewi wewe njaaiyo
@rojahdaudi9306
@rojahdaudi9306 3 жыл бұрын
na watu wanamsikiliza
@udazakikoti2878
@udazakikoti2878 3 жыл бұрын
Mimi ni naamini upo uganga na upo utapeli, huyu jamaa amekabiziwa utapeli siyo uganga
@asiahaji5081
@asiahaji5081 4 жыл бұрын
WEWE UNAONGEA TU LAKINI HUJAKUTANA NA VIUMBE MZEE. NGOJA SIKU WAKUINGIE KICHWANI HALAFU TUJE TUJUULIZE
@omarymajiwa3714
@omarymajiwa3714 4 жыл бұрын
Mmmh huyu jamaa sijamuelewa kabisa
@hashimnamanolo4018
@hashimnamanolo4018 4 жыл бұрын
Mimi nipo south Africa bibiria wanaozeshea wasenge kamauamini njoo uwone.arafu.wewe.unasema.kitabu chamungu.je Dodoma VIP
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila uyu jamaa kaongea ukweli tupu 👌👌👌👌👌👌ayo mambo utayakuta kwa waislam tuuu maana amna mganga mkristo....
@doemusa9977
@doemusa9977 4 жыл бұрын
Sio kweli waganga dini zote wapo
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 4 жыл бұрын
Wacha unazi/ushabiki wakijinga ndomana mnakuwa wajinga kwa kung'ang'ani Biblia, Kanisa, Ukristo na Mungu mkuu Yesu bila kufanya tafiti halisia. Waganga Wakristo wamejaa kibao mitaani. Jamaa anaongea ikweli chamcngi kufanyia kazi uwe Muislamu/usiwe Muislamu. Waislamu 2nacmamia haki ukilona haki unaifuwata na ukiona batiti unaiwacha hata lkama batiri hiyo instoka/umerithi kwa Wazazi. But nyie Eakristo wa2 wa kutithi mambo/imaa bila kufanya tagiti halisia. Nawala kwa maamuzi hayo jamaa hajicfu kuwa ameokoka/(hana dhambi)ameokolewa na m2me Muhammad S.A.W. kuoka cku ya Kiama utaokokaje ungali duniani?! But Wakristo hujinadi wadhaokolewa (hawana dhambi) coz eti damu ya Yesu ilomwaguka msarabani imewakomboa/imewaondolea dhambi. Mnadanganywa mmerithi dhambi ya Asili(dhambi ya Adam na Hawa)ilhali Adam na Hawa walishasamehewa tangia Mbinguni. Wakristo mnachezewa akili na Wapagani wanawaficha ukweli kuwa dhambi ya Asili/dhambi mlitorithi ni dhambi ya kumkataa Mungu wa Ukweli/kumkataa ALLAH/kutojisalimusha(kunyenyejea/kusilimu) kwa ALLAH mmerithi/mnarithi kiburi/ujeuri wa Shetani na dhambi hiyo haisameheeki/hamjasamehewa hadi Msilimu/Muwe Waidlamu.
@selemanmzeru5058
@selemanmzeru5058 4 жыл бұрын
Doe Musa kweli dini zote wapo waganga na wachawi pia wasiongope waislm tu
@hudaaalhussein3841
@hudaaalhussein3841 4 жыл бұрын
Na kule kanisani mapasta wanavyopandishana,ni hayohayo tu,mambo ya kiganga ni mambo ya kimila za watu flani
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
ha! wakristo cio waganga wakristo n wapiga ramli etl nabll nmeoteshwa na munguuub hahahahaha wakristo kweli wajinga huwez kumkuta muislamu ajiite nabiiii aanatoa mafuta ya upako wakristo ndio waganga sana icpokuwa wakristo joz n wajibga et mtu anakutoa na kukupa dhambii hahahahaha ! namshukur mungu kuwa muislamu
@mlishomigila2685
@mlishomigila2685 3 жыл бұрын
Wewe ndiyo ulikuwa tapeli lakini watu wanatibiwa wanapona muongo wewe
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 4 жыл бұрын
BLAH BLAH BLAH TUBIA TUU YOU STILL YOUNG END OF THE STORY 😄😐😯
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 18 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 17 МЛН
UBAYA WA KWENDA KWA MGANGA
8:36
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 3,9 М.
MAISHA YA  NABII SULEIMAN.  SHEKH, ANUALLY JONGO .. IKWIRIRI 2019 JULY 7
43:26
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 109 М.
Mwanamke Mcharuko Ndio Maangamizi ya Dunia | Mwl Dimoso
49:05
ZVP ONLINE TV
Рет қаралды 34 М.
Sheikh Naasor BACHU - MAUTI NA MAANDALIZI YASIKU YA QIYAMA 2/2
59:59
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 18 МЛН