VIONGOZI SIMBA WAMWITA GB 64/AHMEDY ALLY AKAA NAYE CHEMBA/MSIMAMO WAKE KUMTOA MANGUNGU MADARAKANI

  Рет қаралды 25,407

KING SOLOKO TV

KING SOLOKO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@ThabitAlly-z1o
@ThabitAlly-z1o 4 ай бұрын
Asante JB 64 mungu atakupa afya njema uendelee kuipambania Simba yetu
@FumboKiliti
@FumboKiliti 5 ай бұрын
Kaka unaijua sana Simba sema watu hawakuerewi me nakuerewa japo wanatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 6 ай бұрын
Upo vizur sana
@salatielmwansyobejoshua8534
@salatielmwansyobejoshua8534 5 ай бұрын
We jamaa unajua kwa kweli.
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 ай бұрын
Msomi wa Simba
@emmanuelsanga3797
@emmanuelsanga3797 6 ай бұрын
Unaujua mpiraaa bro
@kassimntara6901
@kassimntara6901 5 ай бұрын
Kweli jela kubaya gb64 leo unabembeleza viongozi wasajili vizuri msimu huu.hao viongozi wanatakiwa kutoka kama hawataki kwa hiyari basi nguvu ya wanachama,
@SeifuKatumbuka
@SeifuKatumbuka 5 ай бұрын
GB tatizo si wachezaji yatizo viongozi ispokuwa linaingia na kwawachezaji nawao wana mabosi waoo sasa kazi tunayo wana simba hao hao viongozi wapo ambao wana mpiga vita mo sasa je kama mo anaondoka simba nani mbadala wakee tusidanganyanee jamani mo atabaki mo tu
@AbdallahOnga
@AbdallahOnga 4 ай бұрын
Tuandamane wanasimba kushinikiza viongozi wajiuzuru
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 5 ай бұрын
Huyu mwamba anajua sana
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 6 ай бұрын
GB 64 unapotaka kuzungumza angalia saikolojia na kiwango cha uelewa cha waandishi wanaokuhoji. Nadhani umeshajua haiba ya viongozi wa timu yetu. La sivyo kila siku hao niliowataja watakuwekea mazingira ya wewe kuonekana mkorofi.
@YunusiKHatibu
@YunusiKHatibu 5 ай бұрын
Kiukeli huyu jamaa anaielewa sana simba sports club kinachotakiwa tuwaelewe wanaoijua vema simba sports club
@KakwaleJonathani
@KakwaleJonathani 5 ай бұрын
Sema usiogope sema nasisi mashabiki wasimba Yuko pamoja nawewe
@muddiballo3421
@muddiballo3421 5 ай бұрын
Gb 64...haijai
@PauloShija-tx5qz
@PauloShija-tx5qz 5 ай бұрын
Mi nasema Hawa viongozi watakua nauyanga huwezi fanya Mambo yaajabu Kama haya wolootufanyia hawajui watu wanapoteza maisha tazama ajali ya mechi ya aliahali
@IsayaShokaulaya
@IsayaShokaulaya 4 ай бұрын
Hili lijamaa liwe lishauli kwenye timu jamani smba lipeni uongozi lina madini kichwani
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 5 ай бұрын
Gb bhanaa😂😂😂
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 5 ай бұрын
GB64 wee ni kiboko wambie kabisa bro
@swaleherashidimayunga4891
@swaleherashidimayunga4891 6 ай бұрын
Sasa hivi Moo kachemka hela ya korosho imeisha LAKINI GSM NDIYO MUWEKEZAJI BORA NI ZAIDI YA MOO
@adamskabenga8617
@adamskabenga8617 6 ай бұрын
Makolo kila sehem ni makolo, alo kwambia imeisha ni Nani Acha ukoboiii
@saidimkombe9842
@saidimkombe9842 5 ай бұрын
Huyu jamaa apewe cheo
@LiisaMaisha-is1hi
@LiisaMaisha-is1hi 5 ай бұрын
Unafaa kuwa kiongozi ssc nakushauri kugombea unaongea point.ssc nguvu moja.
@WakiliAbasi
@WakiliAbasi 6 ай бұрын
Utafungea achana mambo simba
@cletusmwampinzi
@cletusmwampinzi 6 ай бұрын
unafaa kuwa msemaji wa Simba, una kitu brooo
@saidismail6676
@saidismail6676 5 ай бұрын
Kaka usiogope vitisho kupitia ww viongozi watabadilika hata kama watavifaanya hawaoni tupo na ww
@MussaMzee-hz1jp
@MussaMzee-hz1jp 4 ай бұрын
Unamsahau lali bwalia
@SeifuKatumbuka
@SeifuKatumbuka 5 ай бұрын
kwani uyo mangungu badotu anafanya nn siandoketu kwani anajiona yy ninani ktk simba hii jamqni au anajiona anatuweza hatuwezi kumfanya lolote au siondoketuu jamani nn anakitaka kwetu jamani
@CharlesMkwama
@CharlesMkwama 5 ай бұрын
gB 64 ww mwisho pengine ningekuwa Simba ningekuombea umsaidie msemaji wa Simba hadhi yako sio kuwa na tawi ila ebu njoo kwa wananchi hatuna baya na ww upo vzr unajua kuongea unajiamin sifa zikujae milele
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 5 ай бұрын
GB12 wewe chawa wa viongozi.siyo wajitathmini WANG'ATUKE
@ce-08
@ce-08 5 ай бұрын
Ongea ww bas maana yy halipwi na hata alvyokamatwa hakuna mtu alyeenda kutoka simba
@OneliaLuvanda
@OneliaLuvanda 5 ай бұрын
Wamefumba kaa lamoto ila watalitema tu
@SeifuKatumbuka
@SeifuKatumbuka 5 ай бұрын
kwani uyo mangungu badotu anafanya nn siandoketu kwani anajiona yy ninani ktk simba hii jamqni au anajiona anatuweza hatuwezi kumfanya lolote au siondoketuu jamani nn anakitaka kwetu jamani
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 60 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 14 МЛН
HII HAPA HUKUMU YA KINA NYUNDO "WALIOMBAKA BINTI WA YOMBO"
2:55
Lango La Habari
Рет қаралды 590
GB 64 AMGOMEA ZUNGU
11:53
Kaje Tv
Рет қаралды 50 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 60 МЛН