Kaka gb nikwer kabisa nakukubalii sana wachane tupo pamoja tunae umia ni sisi
@jumamasasi442418 күн бұрын
GB 64 MM KINYAGO TABATA NAKUONGEZA WENI 89 GB
@edwardmizambwa23721 күн бұрын
Kila mwezi Simba Sc itakua na shs 2.4 billion tosha kabisa kuendesha club. Tatizo kama GB64 alivyosema ' Simba Sc Management ' .
@lakuchumpa972419 күн бұрын
GB64 ana kitu jamani ndio maana alikaa lupango
@swalehlikongo151221 күн бұрын
Ujue tofauti ya wanachama 'na followers😂😂😂 followers sio wanachama nimeenda huwezi mwambia followers alipe
@MakarotiKamugisha3 күн бұрын
Nisahihh
@user-md7sd3hk6l21 күн бұрын
nikweli gb mimi ni shabiki kweli kweli nipo ikwilili stend mishe zangu apa akuna asiye nijuwa kuusu simba msimu huu 23 24 jezi tano supe moja nyekundu nbc nne nyekundu nyeupe bluu na mke wangu nyekundu nina uwa kika kuna wana chama wengine ata moja awana naunga oja wana chama ndiyo wau wao timu
@ArafaMkomwele-vi2hp19 күн бұрын
GB64 UNAONGEA UKWELI UONGOZI TATIZO
@hamisimsosi62376 күн бұрын
Huyu jamaa anafaa awe mwenyekiti wa mashabiki wa Simba dunia mzima siyo tz tu😅😅😅😅😅
@josephjohn211417 күн бұрын
Sitoi hata mia ..nitachanga Mo akiondoka
@abdallahsimba351614 күн бұрын
Kabsa mzee mtu awake mitangazo yake halafu me nichangee
@alfredymalata26920 күн бұрын
mi mwenyewe followers wao lakini sio shabiki wala mwanachama wa simba 😂😂 kweli kazi na umri
@hamisJuma-lx2cc6 сағат бұрын
Jamaa yupo rulaa
@felixsamford41686 күн бұрын
Huyu jamaaa huwa namwelewaga sana kiukweli
@PedadMiyombo-pc8gc21 күн бұрын
Mwandishi Bado ondoa uwoga
@charlesmtitu560620 күн бұрын
Watanzania kipengele cha kutoa hela ni kigumu sana na inshort huwezi kupata pesa toka mashabiki watanzania.
@GulatoneMasiga21 күн бұрын
Wanachama na mashabiki lazima waratibiwe katika mfumo bora ili kujua idadi yao na kuja na ubunifu utakaowahusisha kwa manufaa ya timu yao na wao pia wanufaike
@GulatoneMasiga21 күн бұрын
Tzs Bilioni 2.4
@seifkibambe978020 күн бұрын
Jaman hakuna kitu hapa tumepigwa
@ip_header20 күн бұрын
Well said 🎉🎉🎉
@ranman491017 күн бұрын
GB 100000000000
@ferdinandchilumba403520 күн бұрын
Mtangazaji haukumuelewa zungu, acha upotoshaji
@damianmcba952519 күн бұрын
Ndio elezea basi wasio msikia zungu waelewe,, ili ijulikane anapo potosha watu
@mussaandrew208320 күн бұрын
MBONA UME MKATISHA ??
@Ommyblacktz1317 күн бұрын
We mbwa hakuna buku bila sh 1 we nikichaa alichosema zungu nikizuri watu Kama ww hawatakiwi Simba nenda kachange kwamamayako we unatumika hufai kua shabiki huo ushanba unaoleta wakizaman unaoleta ili uonekane niumama wasenge Kama nyinyi hatuwataki mamae nenda yanga mbwa ww
@peng.alexandernchaholuli944020 күн бұрын
Na sio kama ulivyomlead GB64
@HuliloDonard-gu9bp20 күн бұрын
True
@IssaAbdallah-rt2sh15 күн бұрын
Uongozi huu ni kuliko uongozi wote uliopita tangu simba ianze
@user-rc6ww6rx7n20 күн бұрын
Hy jamaa anakitu kikubwa sn aisee sema ndy vl bongo anaekuongoza akiwa mburula ukimkosowa unakuwa adui badara ya kupewa na fas
@AnoliasiKope18 күн бұрын
tutaongezeka mara n
@user-yh3dv2bl7u20 күн бұрын
Mwamba kwer unanyosha mlemle unaweza ukachanga zote zikaingia kwenye mdomo wamamba shida iko hapo
@HassanMakame-qs4mr15 күн бұрын
Ww ndo jibii 64
@yunusimchala656921 күн бұрын
Hata timu kubwa wanachangia timu zao
@alfredymalata26920 күн бұрын
ndio followers wa kwenye acc 😂😂😂
@MiriamAbdallah19 күн бұрын
@@alfredymalata269😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@omarymtotela375121 күн бұрын
We mtangazaji akili huna aliekuambia foloas na mwanachama kitu kimoja
@BADAWY57521 күн бұрын
Yani hawa Simba adi wanatia huruma sasa imefikia viongozi wasiojulikana wanataka kuwaibia mashabiki wa Simba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂adi raha .
@SebaProcess20 күн бұрын
Mtangazaji hamna kitu
@SuleimanJuma-dv8gt20 күн бұрын
Simba iko nafasi ya 6 Africa waandishi wa habari Tanzania munafeli
@damianmcba952519 күн бұрын
Yeah baada ya miaka mitano , Kwa point alizokuwa anakusanya hio aimaanishi kwamba kwa sasa bado ni bora uwanjani
@nuruabdallahmed949518 күн бұрын
Kwana mwanachama siyo shabiki? Huyu naye msiwe mnamuhoji kila mara akili yake imeanza kwenda alijojo.
@AllyMaya-yj3xd16 күн бұрын
Uwezo wako wa kufikiri mdogo jamaa ana alili
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA21 күн бұрын
Million 900 ....total lies
@DenisMalima-cq9hp20 күн бұрын
Yani katika makolo wote. Yani wewe na mchome.ndioo mnajielewa zaidi. Wengine wote machawa
@salimmalaka25620 күн бұрын
MCHOME SIO SIMBA NI UTOPOLO YULE
@fahmysawafi126320 күн бұрын
Pumbavu ili halijui hata kilicho zungumzwa hawa waandishi hebu waache kuhoji hawa watu wasio jielewa.