QUR'AN 72:6 ..... And there were men from mankind who sought refuge in men from the jinn, so they [only] increased them in burden...... Ni Haram kutegemea majini..... QUR'AN 6:100
@RamadanPaul Жыл бұрын
6:100 وَجَعَلُوا۟ لِلَّهِ شُرَكَآءَ ٱلْجِنَّ وَخَلَقَهُمْ وَخَرَقُوا۟ لَهُۥ بَنِينَ وَبَنَٰتٍۭ بِغَيْرِ عِلْمٍ سُبْحَٰنَهُۥ وَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يَصِفُونَ Bado wamemfanyia Mwenyezi Mungu majini kuwa washirika wake, na hali Yeye ndiye aliye waumba. Na wakamzulia, bila ya ujuzi wowote, kuwa ana wana wa kiume na wa kike. Subhanahu, Ametakasika na ametukuka juu ya hayo wanayo mbandikiza nayo!..... Wewe shehe ni mshrikina... Unasema jini akusaidie kutibu, matibabu, inamaana Mungu hawez?... Mnachafua dini kwa watu wasioujua uislam