VIPI UTAOWA MKE WA PILI

  Рет қаралды 10,152

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@fatmahassan4790
@fatmahassan4790 3 жыл бұрын
MaSha Allah TabarakaLlah Shukran kwa Darsa. Yanini amfanye awe wa siri??? C Ni Halal yake huyu Mke Wapili? Ni Nyinyi Wanaume Mukiamua Muwe Na Msimamo. Muekeni Mungu... Awape Ushujaa. 😁😁😁
@khidmatulquran
@khidmatulquran 3 жыл бұрын
Ushujaa mwengine hupelekea madhara mambo ni taratibu.
@khidmatulquran
@khidmatulquran 3 жыл бұрын
Ukiona mtu amefanya siri anataka kudhibiti au kupunguza kiasi cha madhara
@bashir3515
@bashir3515 3 жыл бұрын
Indeed vry true,, ushujaa mwengine huleta madhara...almuhim kutumia busara na hekma
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 11 ай бұрын
​@@khidmatulqurankuowa siri Sio tatizo! Tatizo hatimiziwi kwa lolote, mume akioa kwa siri ndo mwanzo wa dhulma! Mke 2 atateseka hata ktk kumuhitaji mume kwa muhimu ikiwa mke ni mgonjwa usiku ninani amuangalie na kumpeleka dharura hospital?mume khasaaa mume hawezi owa siri ila ni mume dhaifu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 11 ай бұрын
​@@khidmatulquranWaume simamieni haqi zenu mlopewa na Allah, mnatia aibu sana! Vipi hata ukagawa haqi zako kwa mkeo?sio kumuhofia mke na ku jikuta uko ktk dhulma!ni ruksa amekupa mollah wako!nini wewe mume kujihini?na unakuta huku kwa mke 2 ndo wewe mfalme wafurahika na unapewa mahaba na heshima zote lkn unamfikiria na kumuogopa zaidi mke mkubwa ambae mnaishi kama mtu na mamake tu ktk nyumba!huko kwa mdogo mawada mahaba mengi wa pewa lkn unadiriki kumtoa thamani na kujitoa thamani wewe kwa ujinga wako tu, ili mridhishe huyo mkeo 1,hii ni dhulma na utapeli, basi waolea nini kama mkeo ni mamako?
@jimjam4148
@jimjam4148 3 жыл бұрын
MASHA ALLAH. ALLAH akuzidishiye afya njema. Amin amin YARABI amin.
@rahmatahmed1871
@rahmatahmed1871 3 жыл бұрын
Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh...jazak Allahu kheroon jazaa yaa sheikh
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 3 жыл бұрын
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh vp hl
@nassimkassim8022
@nassimkassim8022 3 жыл бұрын
Asalam aleikum hawana uadilifu hawa wanaume wa sasa.watutesa sana sana kila umsikiae ni mume wangu.
@bashir3515
@bashir3515 3 жыл бұрын
Waaleikum salam warhmatullahi wabarakatuh....sio wanaume wote watesa wake zao
@khidmatulquran
@khidmatulquran 3 жыл бұрын
Watu na mke mmoja na bado hutesa
@bashir3515
@bashir3515 3 жыл бұрын
tatizo wengine huziendea ndoa bila kufaham lengo hasa la ndoa...
@khidmatulquran
@khidmatulquran 3 жыл бұрын
@@bashir3515 wengine hawataki kuteseka wanataka raha tupu utadhani kuna raha tupu duniani labda akhera hata wenye mke mmoja mmoja ugomvi hauishi hakuna raha tupu hakuna mateso matupu
@bashir3515
@bashir3515 3 жыл бұрын
@@khidmatulquran Masha Allah umeongea point ambayo wengine hawaifaham....expectations zao huona ndan ya ndoa ni raha tu kwenda mbele,,tatizo hatusomi dini....Allah atuongoze na atuhifadh
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 3 жыл бұрын
Maasha ALLAH tabaraka ALLAH sheikh hakuna siri chini ya yua😂😂😂
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Hahahaaa sheikh umenichekesha sana
@جنيتكينيا
@جنيتكينيا 3 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah shukran jazzakh Allahu
@becksbinladen6293
@becksbinladen6293 3 жыл бұрын
Asalam aleikum sheikh, swali langu ni hili, Mume akifiliwa na mkewe na wakweze(wazazi wa mke) wote wawili wako hai, nani mwenye haki ya kuchagua atakapostiriwa maiti?
@salhasilima4838
@salhasilima4838 3 жыл бұрын
Mashaallah shukran 👏
@mohamedhussein4070
@mohamedhussein4070 3 жыл бұрын
Tuko tayari 2 3 4 nisha,allah
@mohamedhussein4070
@mohamedhussein4070 3 жыл бұрын
Mm nikipata mchana Muzuri naowa kabisa lkini wanawake ya sasa ni stress tupu nataka binti ya coast region:no 0921377787/
@wasilaahmad3528
@wasilaahmad3528 3 жыл бұрын
Jamani naomba kuuliza hakuna sehem ya private comment 🙏🙏🙏?
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Waalaikum Salaam Warahmatullahi wabarakatuh Tuma suali lako kupitia whatsapp +254-772-611-120
@asinakassim1548
@asinakassim1548 3 жыл бұрын
Ana group kwa watsapp
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 3 жыл бұрын
Wasila vp hl yak
@abumuhidin6842
@abumuhidin6842 3 жыл бұрын
Nina is monja basi kana vituk zaida wa 4 baba yani 4 in 1
@wasilaahmad3528
@wasilaahmad3528 3 жыл бұрын
Au naomba namba ya huyu sheikh please 🙏🙏🙏
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 3 жыл бұрын
Hiko hapo juu kwenye description box dear
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 3 жыл бұрын
+254772611120
HAKI YA UKE WENZA...?
17:47
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 18 М.
NI NINI KUZUWA KATIKA DINI?
18:54
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,1 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
JE NI SAWA MWANAUME KUOA MKE WA PILI?
6:14
MiniBuzz Tanzania
Рет қаралды 3,9 М.
Mume kuoa zaidi ya mke mmoja (Part 3) #SemaNaCitizen
11:28
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 24 М.
HAKUNA NYUMBA ISIO VUJA .
18:18
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,5 М.
HUKMU YA NDOA NA MUME YUKO MBALI KIKAZI,KUPOTEA AU JELA
18:23
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 70 М.