Рет қаралды 570
DW Kiswahili
Karibu katika mjadala juu ya vipimo vya DNA na jinsi ambavyo vinatishia kuharibu mahusiano na familia. Ungana na Sylvia Mwehozi na John Juma.