Asalam alaikum sheikh wetu mpendwa me na enjoy sana ninapo sikiliza na kukuangali ila kuna watu wengi kama me wana hitaji ila wanashindwa kutokana na language awaelewi sasa nilikuwa naomba mufikiliye kutufikishia na kwa lugha ya english please kama itawezekana (ila ni mawazo yanga nisameeni kama nipo kwenye makosa)