This is a good leader, uwezo wake umezidi level ya Tanzania...
@chrismassawe2939Сағат бұрын
Mtaratiibu lakini kwa sasa tunamtaka LISU tu
@mangenyanyondo86913 сағат бұрын
Mbowe must go
@richardnganya2311Сағат бұрын
Not correct!! He has to leave.
@eatlawe4 сағат бұрын
Nimesikiliza hotuba va viongozi wakubwa wa chadema. Hawa wawili wana maono tofuati. Mmoja nazungumzia mambo ya kuzikana na mwingine anazungumza reforms na election mwaka huu! Ila FM anafaa kuwa kiongozi wa kwenye nchi kama Marekani. Ila siasa za Tanzania sasa yanamhitaji Lissu ili tutoke kwenye mkwamo!
@mambosasabill75584 сағат бұрын
We subili uchaguzi ili uje kulalamika kama Msumbiji
@Allyiddsud4 минут бұрын
Mbowe kiongonzi makini. Mbowe oyeeeee 5❤❤❤❤❤ mitano ten iyo
@MichaelChombo-w2u3 сағат бұрын
Mbowe nakuomba ujiondoe kwenye uchaguzi
@nuranzubail81343 сағат бұрын
Piga kura acha kupiga kelele
@edisonbyekwaso78133 сағат бұрын
Ndani ya jamii zetu habari za kuzikana na kusaidiana hazina chama. Hapo umepuyanga FM naanza kuamini umechoka hukuwa hv.
@nestor384Сағат бұрын
Mbowe Must Go
@songombingo108Сағат бұрын
Nasoma Comment naona wengi wanataka Lissu awe Mwenyekiti.
@Lupembeajua15 минут бұрын
Kiongozi huyu hapa❤❤❤❤
@YunisJason24 минут бұрын
❤❤Naipena chadema
@ELIAMbise-sy5ue3 сағат бұрын
Mbowe must Go
@richardnganya2311Сағат бұрын
Where !! The most important thing is for him to LEAVE the seat and new one to lead.
@EliasMgaya-j4y3 сағат бұрын
Asante kiongozi wa watu wewe ni Bora wewe ni kiongozi umesimama ktk imani
@prophetallengrace4 сағат бұрын
"One is a Talker ,one is a doer, lower class inavutwa na waongeaji, middle class inavutwa na watendaji, Higher Class inavutwa na "Wanaotenda wanachozungumza" Ili kupima uaminifu wao!
@erasmusaloyce43983 сағат бұрын
I don't know you but this is rubbish first of all we don't have those classes in Tanzania, we have one or two billionaires and a few millionaires, the rest are working class and farmers. Politics is all about the arts of words.
@MohamedMohamed-ry6lt3 сағат бұрын
Honest and fact, someone hapo ni kiongozi kweli kweli
@AbdullyRamadhani2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂 nichek tu ila mbowe. Must go
@yustodonald97724 сағат бұрын
Rushwa inakuondoa mzee mbowe must go
@LeiyoLaizer28 минут бұрын
Mbowe must go and if he will continue as a chairman I opt out of a party
@godwinkasaizi8824 сағат бұрын
Yani unaongea vitu vya kawaida kabisa. Mwenzio anazungumia REFORM wewe unazungumzia MAMBO YA KUZIKANA. None sense kabisa.
@jerome31433 сағат бұрын
Bwashe pumzika tu sasa
@MarryRobertMassanja3 сағат бұрын
Tunakupenda ila twende na lisu
@AbigailBateyunga4 сағат бұрын
Mpeni kura Lissu mpeni kura Lissu mpeni kura aher🎉😂❤ 🙏 🇹🇿🇹🇿
@HamimMbango3 сағат бұрын
Kuweni na msimamo wana chadema uyo mwenyekiti siyo mtu mwema kwenu yupo kwa maslai yake tu, Ivo miaka 21 kwanini asiachia vijana wakaipeleka mbele chadema, na Tz? Yeyetu mpakalini
@uredmwasembo8579Минут бұрын
Mbowe tunakueshimu Sana ila kwa Sasa tunaomba upumzike ni lisu na heche tu
@tibbsminja2575Сағат бұрын
Kazi nzuri FAM umeifanya kwa CDM baki kuwa mlezi. Kwani Home boy Aka Lema ameshachomoa betri!!
@hassanihamidu8546Сағат бұрын
Kwajinsi mbowe unavongea yani umefikia kuwa mshauli mzuri. Pumzika kaka umefanya makubwa kwa sasa inatosha.
@michaelkwatlema21242 сағат бұрын
Busara za mbowe ni kuzikana sio kwani kunamtu haendagi kuzika au hajazikwa
@VenanceKimati34 секунд бұрын
Maoni mengi mitandaoni hayatoki kwa Wanachadema. Wako mamluki.wengi nje na ndani ya Chadema
@ZechuChuma4 сағат бұрын
Baba tunakupenda sana watanzania ila tunakusiii upomzikee
@philipjacob5974 сағат бұрын
Mbowe achia nafasi
@RastaMany-p8x3 сағат бұрын
Umechelewa kuondoka we mchaga enderea na salakasi zako na wenje must go
@haggaikinyau90472 сағат бұрын
Acha ubaguzi wewe mjinga mmoja hivi!!
@revocatusishamula794114 минут бұрын
Ondoa jina Mzee, mwachie Tundu Lissu ili msikipasue chama chenu.
@odhiaodhia9898Сағат бұрын
Kwenye matatizo umeongelea ubaguzi mkubwa
@MahmoudKhamis-cv9pi52 минут бұрын
MBOWE WATU WAKO WANAKUONA ADUI NJOO ACT WAZALENDO WAACHE MIPASHO YAO
@AngelmackieCharity4 сағат бұрын
Mbowe must sepaaa
@claudiasewando3 сағат бұрын
huyu ni ccm
@crecknerz5661Минут бұрын
SURA INAMSUTA ...ANAFULULIZA KONYAGI NOW DAYS
@ExodusMarcStanleyСағат бұрын
Kule mwanza alipomsifia mama Samia alikuwa amevaa miwani mieusi tarehe 21 aje amevaa ileile manaa yatakayotokea hataamini
@marcondokeji898234 минут бұрын
mbowe kubali democracy mwenyekiti. Muache Lisu afanye mambo yake
@LudovickTibakyenda-gs2wh36 минут бұрын
Bundi katua kwako. Mwache Lisu tu
@jacksonmsola15441 минут бұрын
Wengi wanaomtaka lisu au mbowe siyo wapiga kura
@Maria-cx4kn2 сағат бұрын
Tupe mrejesho watoto wetu kina soka wako wapi? Hubiri kile unachokiamini na kukitekeleza
@muhammednassor356936 минут бұрын
Mfalme Mbowe huyo
@NuruNurudinСағат бұрын
Mbowe hautufaii wewe kwa sasa!
@ufunuokihongosi44834 сағат бұрын
Mbowe mtoa Rushwa
@HoseaZablon17 минут бұрын
Mh, Mbowe wewe ni mashine, hao wababaishaji hawajajua kwamba wewe ndiye taa ya CHADEMA, hanataka kuizima lakini kamwe hawatafanikiwa hao mi wababaishaji tu mkuu,
@IsayaBugoro-zj8nuСағат бұрын
Pumzika babu tunahitaji mitazamo mipya kwenye chama
@chrispinemabwenga358747 минут бұрын
😂😂😂
@RwegoshoraPatt-os2ikСағат бұрын
Mbowe umepungua kidogo kimwili
@GabrielMwakasitu4 сағат бұрын
Pumzika baba mbowe
@SamweliAdamu-x7t2 сағат бұрын
pumzika mwachie lisu na iwapo hautamwachia lisu chadema ndio by by kitakuwa chama cha wachaga
@AbubakarYusuph-d3r4 сағат бұрын
Kwani mbowe anasemaje
@ELIAMbise-sy5ue3 сағат бұрын
Nashangaa pia
@GabrielMwakasitu4 сағат бұрын
Pumzika mzee
@GodwinLaizer4 сағат бұрын
Sanaa mkuuu
@saarungu35643 сағат бұрын
Asante sana kamanda Mbowe kwa hotuba safi.wana bawacha Mbowe tano tena.
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg3 сағат бұрын
Unafaaa
@jovitusiinnocent7534Сағат бұрын
Mbowe ndo mwenyekiti kufa kupona polenta sana wanao sema lisu bado amjasema huyu mwamba akili kubwa sana mkimpa huyo mlopokaji mtayakanyaga
@godypeter729929 минут бұрын
Yess
@AnnaSanga-ct1ul2 сағат бұрын
Chama cha kufa na kuzikana?
@FrederickThadeo3 сағат бұрын
ccm oyeee na wakubali
@PhilipoMwita-b2x3 сағат бұрын
Huyu nimesikiliza anaongea kama chadema ni sacoss au chama Cha kamati ya maafa Chadema nichama ambacho kinataka dola sasa huyu mnywa pombe hanamipango yoyote yakuweza kufanya chadema ishike madaraka
@TandaligimaMatege30 минут бұрын
Ngoma..zito..pande..zote
@BernardUrassa-lq8so2 сағат бұрын
Tunakuitaji wewe
@FrederickHerson4 сағат бұрын
Tumekuchoka nasera zako kuntu...
@cdeleo933648 минут бұрын
Please retire
@williamkeita15192 сағат бұрын
MBOWE ATASHINDA NA WENJE ATASHINDA MTAIKUMBUKA HII COMMENTS 4 SURE WAMEJIANDAA KUSHINDA KULIKO LISU INGAWA ANAKUBALIKA SANA WAO WAMEPANGA MATOKEO
@TM-zs3rm2 сағат бұрын
Itskuwa ni mwendawazimu kuchagua Mbowe na wenje smbao kwa leo hawajanishawishi kabisa. Kabisa. Mbowe kachoka. Wenje hastshili cheo chochote ndani ya Chadema. Kama wamepanga matokeo wajielewe wazi wameua mioyo ya watanzania. Mbowe hana pumzi mpya. Mkataani kwa monopolizake. Wanamama msikubali kutumika tena sababu wenyewe mmekamilika. Msikubali mtawaliwe na Mbowe tena.