VITASA | Mfaume Mfaume vs Idd Pialali | Tazama kilichovunja pambano | Usiku wa Mabingwa 26/12/2022

  Рет қаралды 122,880

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

KILICHOVUNJA PAMBANO: Pambano kati ya Mfaume Mfaume limevunjika raundi ya kwanza baada ya kutokea majeraha kwa Idd Pialali yaliyosababishwa na mgongano wa vichwa usiokuwa wa makusudi.
Hili ndilo lilikuwa pambano kuu katika Usiku wa Mabingwa 2022 (#DisciplineNight ) katika ukumbi wa AICC Arusha.
Tazama kilichotokea usikie walichokisema mabondia wenyewe baada ya pambano kuvunjwa kwa mujibu wa tangazo la uongozi wa TPBC.
#Vitasa #VitasaArusha #AchaInyeshe #VitasaNight #Vitasa #UsikuWaMabingwa #AchaInyeshee #MfaumeMfaume #IddPialali

Пікірлер: 144
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 51 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 51 МЛН