Tazama yote yaliyojiri kwenye pambano hili ambapo Kijana Said Mbwanga ameshinda kwa pointi mbele ya Mkongwe Francis Miyeyusho.
Пікірлер: 7
@kivurichumamwerumungwi93827 ай бұрын
Well done champion bwanga.umeonyesha mchezo mzrui
@abduryjumbe74477 ай бұрын
Saidi bwanga ni moto wa kuotea mbali ...
@user-wm7xo5pb3p7 ай бұрын
Bwanga Safi. Usilewe sifa fanya mazoez
@user-kv5iz2tu5j6 ай бұрын
Chichk bado mzur kino1
@KAMBIAsso-pd3yl7 ай бұрын
Hahaha saidi bwanga motto wa ges hakika mzee wa matilio anakupa sumu yakibabe kaka tunakubali wakilisha kwa kishindo mbagara yetu
@IkhuwarKhalid-zk7bv7 ай бұрын
Nahapo hatuja fungua ukurasa nadoo
@fadhiliomary18027 ай бұрын
Changamoto ya fransic moyo unataka Ila mwili unakataa...huyu bwanga angekutana na miyeyusho wa kuanzia 2005 😅😅😅 asingefika hata round ya 3....dogo ajitahidi Sana mazoezi