Рет қаралды 34,134
USIKU WA VITASA: Bonge moja la pambano likimkutanisha mkongwe Emmanuel Mwakyembe dhidi ya kijana mgeni kwenye ngumui za kulipwa… Said Bwanga. Zilikuwa ni raundi sita tamu, vitasa vikitembea kikamilifu lakini shughuli ikamalizika kwa sare.
Ni #VitasaNight #NgumiImenyooka ndani ya #UbungoPlaza kuelekea pambano kuu kati ya Tony Rashid vs Sabelo Ngabinyana LIVE #AzamSports1HD