Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka

  Рет қаралды 47,821

Hamasika Tv

Hamasika Tv

3 ай бұрын

.
#joelnanauka #mafanikio #malengo #focus #newsupdate #inspiration
#motivation #swahili

Пікірлер: 76
@JastinSichilamba
@JastinSichilamba Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 nakubali sana joel
@judithsilayo9776
@judithsilayo9776 27 күн бұрын
Nikwli kaka watu wengi wako hivyo Mimi nimeteseka sana ,Mungu akubari kwa elimu unayotupa.
@mkilimamoses2311
@mkilimamoses2311 3 ай бұрын
Mwalimu wa kweli kabisa.Upo duniani kwaajili yetu.Napenda sana mafundisho yako kwani ubongo wako ni kubwa mnooo.The happiest person is that who do things for others.Ubarikiwe sana Joe👍🏻👍🏻👍🏻.
@DianaMwacha
@DianaMwacha 3 ай бұрын
Asante kaka umenifanya nijitambue mungu akubariki sana
@ISDORICHAVALA
@ISDORICHAVALA Ай бұрын
Ahsanteh kaka joel kwa mafunzo unayoendelea kunipa naendelea kuyatumia maarifa yako 🎉
@EMANUELMWAKITINYA-vr4ge
@EMANUELMWAKITINYA-vr4ge 10 күн бұрын
Hakika kweli kabisa Coach life
@mwambasaguda9655
@mwambasaguda9655 3 ай бұрын
Ubarikiwe Kaka ujumbe mzurii umenifungua
@GeorgeMakanza
@GeorgeMakanza Ай бұрын
Mtumishi sjawah kutoka moyon kumwelewa mtumishi wa Mungu kama wewe ukwel wewe ni mwalimu nimekuskiliza, ninakuelewa sana Mungu akubariki nipo mwanza
@eselinabibuka9610
@eselinabibuka9610 3 ай бұрын
I appreciate your presentation. God bless you abundantly!
@fadhilimwamgiga2614
@fadhilimwamgiga2614 2 ай бұрын
Yes
@FikiriPhilipo
@FikiriPhilipo 2 ай бұрын
Asantesana mwalimu umenibaliki Kwasomo zuri sana God bless you
@christinechambuni9060
@christinechambuni9060 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Amen and Amen
@RaikoWkt
@RaikoWkt Ай бұрын
Nakukubal sana mzee mungu ata kulipa
@hafidhhamad5732
@hafidhhamad5732 Ай бұрын
Thank you very much for this
@dicksonmgoga-hj4im
@dicksonmgoga-hj4im 3 ай бұрын
Good job!
@user-ue3uu1eh8n
@user-ue3uu1eh8n 3 ай бұрын
MaashaAllah nashukuru sana
@petermsangi2701
@petermsangi2701 2 ай бұрын
Ur such a genius brother...
@naomisiha4919
@naomisiha4919 3 ай бұрын
Nashukuru umeniponya
@neemaemanuel7715
@neemaemanuel7715 3 ай бұрын
I'm proud of your lectures 😊
@user-qu6gp6zx3l
@user-qu6gp6zx3l 3 ай бұрын
Axante mungu akulinde
@salhakyande3905
@salhakyande3905 Ай бұрын
Nice having u!
@julioclauditayaye9368
@julioclauditayaye9368 Ай бұрын
Barikiwa sana
@user-zl2cp8ws8r
@user-zl2cp8ws8r 3 ай бұрын
Really said brother
@user-ih1ib9kc5j
@user-ih1ib9kc5j 3 ай бұрын
Thanks alot brother... God bless you...!
@stanleytoo2028
@stanleytoo2028 3 ай бұрын
God bless you joel Nanauka
@user-xz9wx8hq7e
@user-xz9wx8hq7e Ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@AwidiMwafongo
@AwidiMwafongo 2 ай бұрын
mungu akubariki sana
@fadhilimwamgiga2614
@fadhilimwamgiga2614 2 ай бұрын
You play a great role to me
@victormusoga4136
@victormusoga4136 Ай бұрын
Unapendeza kwa mafundisho
@anatoryjames4128
@anatoryjames4128 28 күн бұрын
Exactly
@lilianmjema3205
@lilianmjema3205 3 ай бұрын
Asante sana umenisaidia
@user-qn3jg1um7f
@user-qn3jg1um7f 3 ай бұрын
Uko sahh
@user-ih4mp1ds8k
@user-ih4mp1ds8k Ай бұрын
Sawasawa
@LengishonMepukori
@LengishonMepukori 2 ай бұрын
Big up mwalimu una content me nafurahi sana kukusikiliza
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 3 ай бұрын
Mwalimi kwakweli hapo kwasoda yani pameninghusa sana.ilanimelipendha sana funzo hili limeninghusa sana
@leonidaskalumuna
@leonidaskalumuna 2 ай бұрын
Joel,Joel leo umenisema nakushkr sana Mungu akulinde uendelee kunisema ahsante
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 3 ай бұрын
Kweli shukran
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 3 ай бұрын
Kabisa
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 3 ай бұрын
Huwezi kuchagua soda😂. Big up brother. We are together Sir
@MbarakaMasharubu
@MbarakaMasharubu 3 ай бұрын
Amin
@user-dr1qd7bu7e
@user-dr1qd7bu7e 2 ай бұрын
Good advice.
@sammwakalinga2705
@sammwakalinga2705 3 ай бұрын
Kweli kabisa wengi wetu tunashindwa kufanya maamuzi🎉🎉
@EdmundAssenga
@EdmundAssenga Ай бұрын
Asante kaka
@bonnyjessy9657
@bonnyjessy9657 3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@HenryAlinda
@HenryAlinda 3 ай бұрын
Mimi niko Congo na furaia mafundisho sana yesu aku bariki
@user-pz3dx8wn3j
@user-pz3dx8wn3j 2 ай бұрын
Tujuane bc
@AthanasioDungumaro-rj4bc
@AthanasioDungumaro-rj4bc 2 ай бұрын
Very nice story.
@TinaKisomba-jt6yr
@TinaKisomba-jt6yr 3 ай бұрын
Amen
@user-xv6lq2st1p
@user-xv6lq2st1p 3 ай бұрын
Asante sana🙏
@daynessmarcel958
@daynessmarcel958 2 ай бұрын
👏👏👏
@DuraMuhenga
@DuraMuhenga Ай бұрын
Jaman me nan biashar ya dagaa nyama npatkan dar es salaam mbagala nauz jumla nfnya derivary kam unawtka nifhamishe tfdhal
@bettymvanga3273
@bettymvanga3273 2 ай бұрын
Truly
@realemma2312
@realemma2312 3 ай бұрын
🙏🙏
@user-su8po8yr4m
@user-su8po8yr4m 3 ай бұрын
Kaka niyo kweli kabisa
@HappynessKinawa-ol4qr
@HappynessKinawa-ol4qr 2 ай бұрын
@bonnyjessy9657
@bonnyjessy9657 3 ай бұрын
😢😢 so touching 😔😔😔
@alexmwalingo5020
@alexmwalingo5020 2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@ApostleMwl.IsayaIaiser
@ApostleMwl.IsayaIaiser 3 ай бұрын
Ukweli mtupuu 😢😢
@suleimanhakimu2543
@suleimanhakimu2543 3 ай бұрын
Umeniongezea kitu.
@MapesamsodokiJr
@MapesamsodokiJr Ай бұрын
Nimejifunza kitu
@lilianmjema3205
@lilianmjema3205 3 ай бұрын
Kweli
@KukuVillage
@KukuVillage 3 ай бұрын
Hapo kwenye cheat day ya diet. Dah! Ni kweli nilikwishaaaa
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 2 ай бұрын
👊
@harunaselupanga2146
@harunaselupanga2146 3 ай бұрын
nakushukuru sanaa
@BalekeleBanga
@BalekeleBanga 3 ай бұрын
fact
@daudymbukwa5495
@daudymbukwa5495 3 ай бұрын
Naona mwanga kak tokea nimeanza kuku skia na yote niliyo yaskia kwak k Yamesha nitoa hatua moja naeleke A hatua nyingine
@mojafaster96
@mojafaster96 3 ай бұрын
Hapo ni wafanyakazi wanao jiendeleza kwa ajili ya kazi na baada ya hapo tukistafu mambo yanakuwa mengi
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 3 ай бұрын
Ok
@godibless3700
@godibless3700 2 ай бұрын
Bro naomba uniunge kweny magroup yako
@BapileMeshack
@BapileMeshack 24 күн бұрын
Samahani sir vp Kwa yule anayefanya kazi ili alipe fees I mean ni mwanafunzi.
@evamarua4998
@evamarua4998 3 ай бұрын
Mume wangu amekua akinirudisha nyuma kila wakatia unafanyaje na ndio mume
@mwajumayunus2041
@mwajumayunus2041 2 ай бұрын
Fanya maamuz magum utanishukuru❤
@elisannko5892
@elisannko5892 Ай бұрын
Ongea naye japo kabla ya maongezi Fanya naye sala then atakuelewa tu
@yusuphsteven260
@yusuphsteven260 Ай бұрын
Samahan kaka naomba msaada wako Mimi ni meneja wa bar nimeanza kazi hii nikiwa Sina uzoefu nayo lakin nikajitaidi kwasababu nilikua nashida Sana nakaz pia nilikua nataman Sana kufikia Zaid yamalengo ya ofisi nikakabiziwa mzigo wa laki tano ta 2300, baada yamiez 4 nikaanza kushuka wateja weng vinywaj vinadoka sana ila pesa haionekani nauz at cret 7 ila mda wakufunga ofis nafanya esabu nakuta pesa iliopo niyakret 2 tu nikaogopa kutoa taalifa nikaona kwanza niilipe hio pesa iliopotea ili nifatilie nijue nn tatzo baada yahapo nikajua niushilikina ambao boss wangu anaugomvi namt yule Mt ndio anafanya yote hayo yakupotea pesa huyo Bibi aliniita akaniambia niache kufatilia vitu vusivyonihusu nikamshilikisha boss ili afanye kitu akasema atafanya ila hakufanya nimeshuka kimauzo nakubaki mzigo wa laki na nusu tu boss kasema nilipe hio pesa iliopotea mwezi huu kagoma kunipa mshahara nimeongea nae nakumuelewesha ila kagoma japo kasema atalifanyia kaz lakupotea pesa ila pesa iliopotea lazma niilipe Mimi yote nimeshawaza Sana nimeshindwa nifanye Nini maan sihusiki nayeye anajua hiko kitu
@leahilom-o7206
@leahilom-o7206 Күн бұрын
Nakushauri mlipe , acha kazi, tafuta nyingine
@Sangaligospel
@Sangaligospel 3 ай бұрын
Kweli
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 95 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 19 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 73 МЛН
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 114 М.
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO ILI UINGIZE KIPATO ZAIDI - JOEL NANAUKA
1:11:12
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 153 М.
DR IPYANA ft JOEL NANAUKA // DAMU YA YESU NA UTAJIRI
18:43
Dr Ipyana
Рет қаралды 45 М.
Aina 5 Za Watu Muhimu - Joel Nanauka
1:02:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 158 М.
UBONGO WA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
13:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 68 М.
SABABU YA BIASHARA KUFA SEHEMU YA 1: JOEL NANAUKA
11:35
Joel Nanauka
Рет қаралды 5 М.
KUIPAMBANIA NDOTO YAKO - JOEL NANAUKA
13:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 173 М.
5 Keys To Become Valuable Person | Joel Nanauka | Part 2
25:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 41 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 19 МЛН