Daah brother J wewe ndie my favourite endapo iyo elimu ingewafikia watanzania angalia kwa asilimia 85 tanzania 🇹🇿 ingekuwa na nafasi yajuu yakimaendeleo na wanainchi wake tatizo wanainchi wetu wanatumia bando kwenye mambo yasiyo na faida mungu ibaliki tanzania 🇹🇿 mungu mbaliki joeli nanauka Amen.
@AhmedyNassoroАй бұрын
Habar ya leo mr.joel kwa upabde wangu ninashkur sana kwamaan mm ni kijna ninaye jushughulisha na biashara for all nazidi fatili na kurafuta ubora kwa yale niyafanyayo naomba uzidi weka madin kam haya ndani ya uwezo na uwakika zaidi na mola atuewezeshe inshallah
@theresiamlay5 ай бұрын
Bravo Joel, I am learning a lot from you on daily basis. Blessings Always❤
@masudibaja8 ай бұрын
Kaka Joel ili somo kubwa sana,,Mungu aendelee kukubariki wakati wote.
@EDMUNDSOSPETER8 ай бұрын
Mr Joel am running to be at the top am humbly waiting that video sijawahi kosa video yako hata Halafu kuna kitabu nilikutafta nikakutumia whatsapp unisaidie kunielekeza kitu since mwaka jana hujanijibu kaka joel please naomba unifanyie hvyo
@AlexMgala5 ай бұрын
kaka nashukulu sana kaka mungu akubalik akuongeze maalifa zaidi asante
@shukranjulius9526Ай бұрын
Barikiwa zaidi kaka yangu ❤❤
@MalumeDiofu2 ай бұрын
nakuekewa sana mwalimu wangu mungu akusimamie
@smartsilentkiller8 ай бұрын
somo zurii hilii🙏💯
@bestBernard013 ай бұрын
Hakika wewe ni mwalimu 🙏🙏🙏
@winfridaadam79516 ай бұрын
Ahsntee sanaa Kakangu Joely Joely Mungu akubariki sanaaaa 🙏🙏🙏🔥
@UmmyIddi-h3v3 ай бұрын
Nmejifunza kitu ahsante 😊
@CatherineJacob-yt5sy8 ай бұрын
Mungu akubariki sana nimeanza kukusikiliza na kukufuatilia mwaka huu ila unanielimishaa sana
@realemma23128 ай бұрын
Tupo wengi
@CatherineJacob-yt5sy8 ай бұрын
@@realemma2312 tuendelee kujifunza
@OmanOman-ky2oo5 ай бұрын
Ubarikiwe kaka unanifungua sana❤❤❤
@clearsight24858 ай бұрын
Nimejifinza
@tausigulam228 ай бұрын
Nakukubal bro
@AlexMgala5 ай бұрын
Thanks you
@josephtesha8728 ай бұрын
Nimejifunza mwalimu
@Teamtzad8 ай бұрын
Habari ya asubuhi mchana na jioni ikitegemea unasoma comment hii mda gani. Pitia Video yangu itakayokufanya uone upande wa pili wa sarafu ambayo hukuwahi kuonyeshwa. Much love uwe na siku njema
@UpendoLazaro-n3e8 ай бұрын
Inaitwa aje kiongozi
@Teamtzad8 ай бұрын
@@UpendoLazaro-n3e Pitia KZbin yangu kwa jina la Festamir
@realemma23128 ай бұрын
Yaani Kwa mtu anayepambana hapa lazima anukuu kitu ila Kwa mtu eankawaida hanaweza kuona kama anaongea tu. Ila namshukuru sana ananipa Nguvu katika maisha
@MakameMufadhilАй бұрын
Kweli
@wahidizzowizzo35906 ай бұрын
Appreciate
@bernadetachari76488 ай бұрын
Kweli mwalimu marafiki kwabiashara nisumu na watu wafamilia .kwaujumula uliyoyasema niyaukweli
@mohammedrashid29068 ай бұрын
Ahsante
@NekesaAnnie5 ай бұрын
🎉
@KINGCOBRATV7655 ай бұрын
Nimejifunzs
@JihelyaKwilasa-q1p8 ай бұрын
❤
@RonaJumanne8 ай бұрын
🎉🎉🎉
@GloriaMushi-b9r8 ай бұрын
💯🙏
@dottombwiliza2 ай бұрын
Bro nilihitaji unisaidie namba yako
@makedoniachurch8 ай бұрын
Asante kaka.Swali langu je,ninauwezowa kutengeneza biashara eneo moja kwa wakat mmoja katika eneo moja?
@kyangomhono3870Ай бұрын
Kaka Joel hbr ya uzoma?, Kwel nmeamin mungu humoa mtu kitu anachostahili cyo mtu atakacho pambania mafanikii yetu
@daudhabona88978 ай бұрын
Sina Cha kukulipa bro MUNGU AZIDI KUKUBARIKI. Masomo Yako yamenifanya nikue sana kibiashara. Na nimeajiri vijana wengi na tunakuwa Kwa Kasi, yoote haya nimeyafanikisha under 40yrs.