Asante Harmonize kutengeneza POLITICAL ANTHEMS...Huu ndo msimu wake....tumia fursa.
@aseelaisaa42822 күн бұрын
Wow ❤ fantastic
@shizmansamuel02222 күн бұрын
Harmo itafika muda hizi ngoma zako utakuwa unasikiliza geto kwako naona ni siasa za uchaa tuu😢😢
@Mumewangu22 күн бұрын
Acha ujinga wewe
@JIWE-G-UNIT21 күн бұрын
Nyimbo ya kampeni hiyo wewe upo wapi wewe????
@jaffjeff691221 күн бұрын
Njia ya kuingilia Ubunge hiyo Harmo sio mjinga utaskia Kawa Mbunge wa jimboni kwako
@Mumewangu21 күн бұрын
@@jaffjeff6912 nakumbuka magu aliongea ilo neno
@jaffjeff691221 күн бұрын
@@Mumewangundoivo platform
@gigoyrn439421 күн бұрын
😂😂😂 itoshe kusema hii ndo album mbovu tz
@jaffjeff691221 күн бұрын
Mbunge wa baadae huyo kalenga mbali mama hawez kumtupa
@Maryc2G22 күн бұрын
Homonize never disappoints, anatekeleza mama.🧓
@Maryc2G22 күн бұрын
Homonize you’re creative congratulations 🎈🎉🍾
@IsayaIsaya-sy6jj22 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 nacheka kwa huzuni
@HassaniMbaruku-jn2mc21 күн бұрын
Hongeri Sana Harmonica Kwa song tamu,mama mtu na nusu
@mfundiko22 күн бұрын
❤❤❤❤
@hadija84621 күн бұрын
🎉❤Pamoja sana Harmonize 🎉❤
@AgnesJohn-cx2hy21 күн бұрын
Nimezipenda nyimbo nanimezielewa
@olivajohn930121 күн бұрын
Sasa umeimba Nini hapo😮
@mfundiko22 күн бұрын
kaz ipo
@gigoyrn439421 күн бұрын
Hii inanikumbusha Mobutu alivyo mwambia Franco amtungie nyimbo za kumsifu
@hamadiayossy21 күн бұрын
Candidate na bisso
@user-tm3jl4yx9f21 күн бұрын
Umelpw kw ajl ya kamp3n nn
@gracekilacy51222 күн бұрын
Tanzania simama nishuke nimefika niendako
@seciliamchalo562722 күн бұрын
Uwii 😂😂 umekosea safar bado kidogo kama miezi 7 hivi
@MashaTarimo21 күн бұрын
😂😂😂😂nimechekaaaaa
@user-ve7ig7qu1u21 күн бұрын
Mwambaaa???? Nani hyo ovyooooo
@eddakasela21 күн бұрын
Kwani akisiliza mwenyewe Kuna shida gani mpaka utukane
@mfundiko22 күн бұрын
hahahaaaahaaaaaha
@HAROLDNGAITANILE-sd5pu21 күн бұрын
Kongole harmonize, mama ni mlezi mwenye huruma
@AllyRumela-cg2qu21 күн бұрын
Telekeza ya Nyoko
@emmanuelnyina178921 күн бұрын
Mi naona hii album alipewa hela amuimbie rais tyuuu ila hakuna kingine na kama ni yeye ameamua kuleta uchawa na mpenda sifa kaitika duuuuh but hakuna cha maana hapo coz hawez uza au kuwa nominees wa MTV, au AFRIMA au GRAMY awards na nyimbo za kampen
@saimonseleka879222 күн бұрын
Kama amekubaliwa na watu wa heshima hivi basi aache upumbavu mitandaoni
@HassanCastory21 күн бұрын
Nilikua nakukubali sana ilaa leo ndio nimejua kua wew ni msenge utasikiliza nyimbo zako na push
@Mutako-ig1ik20 күн бұрын
Sjaona ulicho kifanya hivi huyu kakosq cha kuimba siku hizi unaimba upuuzi mtupu.alafu unajiona umeuwa kumbe umenyea jukwaa
@user-nf1tg3kt3y22 күн бұрын
Sasa katekeleza lipi na Toka aingie madarakani ni kipi ambacho kafanya kama sio kukopa pesa nje matrilioni na kuuza bandari zetu na misitu kwa waarabu halafu Rais anajipaka makeup hivyo jamani Duuuh ni hatari kweli kuongozwa na Rais mwanamke
@sarahmuhammed687222 күн бұрын
Hutoona mpaka aliondoka madarakani
@salummahanzar671422 күн бұрын
Ww hujawahi kukopa acheni ungese
@user-is7yv7wy5w22 күн бұрын
Ww nadhan una matatzo iv Kuona auon ata kusikia mamá ametekeleza Kila mahali ndio maana mpaka Sasa unabwatuka tu coz umepewa demokrasia
@abuumohamed709022 күн бұрын
Una fact gani zaidi ya mihemko yako ndugu yangu.Kuongea saana haimaanishi kuwa ndiyo mkweli
@jackmabirangacharles939822 күн бұрын
Nitajie Rais Unaye mjua hakopi na mchafu Asiye pendeza mtu anakwenda Bar tu anajiremba ijekuwa Rais asijipende Acheni hizo
@mwakimedia29122 күн бұрын
Hii nchi ngumu😭😭😭
@YusufDuale-eq4kl22 күн бұрын
Kweli kbsa kk
@Mumewangu22 күн бұрын
Nenda katika nchi laini Congo, somalia Rwanda na Burundi
@jdanny49722 күн бұрын
Aisee nchi ngumu sana daah
@hadija84621 күн бұрын
Munao mkejeri Harmonize wote ni wajinga Harmonize anampongeza Rais wetu wa nchi ya Tanzania nyie wajinga mnamponda mpaka Rais huo ni ujinga muhimu pambania uhame nchi kudadeki❌️